GOD YANGA AWALIPUA SIMBA "WANABEBWA PENATI ZA MCHONGO KILA SIKU

  Рет қаралды 3,594

S500 TV

S500 TV

Күн бұрын

Пікірлер: 32
@RehemaSaid-rg5mr
@RehemaSaid-rg5mr 18 сағат бұрын
Yanga kubwa kuriko Tim yeyote
@bonifacelugo2941
@bonifacelugo2941 2 күн бұрын
Yanga imeshakuwa butu kwenye umaliziaji mpira mchezo wa wazi safari hii yanga hamna timu imekuwa bovu mtaumia sana kumamae zenu.
@marthamsacky6973
@marthamsacky6973 2 күн бұрын
Mbona sis msimu uliopita tumesemwa sana na tulikubali matokeo na leo hii eti makolo wanabebwa mbeya ilikuwaje Hii ndio maana halisi ya ubaya ubwela
@PiusLaymond
@PiusLaymond 2 күн бұрын
Chama na azizi k hawatakiw kucheza pampja kocha wetuaone abadilike
@abdallahabdul1038
@abdallahabdul1038 2 күн бұрын
Tulia wew utakutana nacho Cha moto mpaka sawa iingie
@MuhammedAbdallah-h2t
@MuhammedAbdallah-h2t 2 күн бұрын
Wewe Kumbikumbi mwaka huu ni Ubaya Ubwela
@abdallahabdul1038
@abdallahabdul1038 2 күн бұрын
Nenda ukapewe sasa mbona unaroho ya korosho
@StivinMwaipaja-b9c
@StivinMwaipaja-b9c 2 күн бұрын
Kwani hawa wanao sema bado hamjasema wao na Dodoma leo wameshinnda ngapi?
@MkaliZuberi-rt3gb
@MkaliZuberi-rt3gb 2 күн бұрын
Mlikataa goli mbeya na vibonde
@MuhammedAbdallah-h2t
@MuhammedAbdallah-h2t 2 күн бұрын
Wewe Wacha kurembusha macho
@MkaliZuberi-rt3gb
@MkaliZuberi-rt3gb 2 күн бұрын
We k mbona azam fc awalalamiki we nani
@AshuraChamwana
@AshuraChamwana 2 күн бұрын
Ndomshangae hampelekeimoto nahamshindi
@bonifacelugo2941
@bonifacelugo2941 2 күн бұрын
Mashabiki wa yanga siyo watu wa mpira kabisa mbona nyie mlipigwa na Kagera sugar bao la chilwa la kichwa mkabebwa lefa kalikataa hazarani kabisa? Mbona mnajisahaulisha? Tulieni wapumbavu nyie
@JosephMwaipopo-px4wi
@JosephMwaipopo-px4wi Күн бұрын
Sasa kama wewe ni shabiki wa mpira matusi ya nini mtandaoni?
@AshuraChamwana
@AshuraChamwana 2 күн бұрын
Hilijamaabwabwa
@MkaliZuberi-rt3gb
@MkaliZuberi-rt3gb 2 күн бұрын
Ubaya ubwela
@AshuraChamwana
@AshuraChamwana 2 күн бұрын
Ubayaubwela
@AshuraChamwana
@AshuraChamwana 2 күн бұрын
Mmeanza sasa
@AshuraChamwana
@AshuraChamwana 2 күн бұрын
Mmeshuka
@mosesmnape9444
@mosesmnape9444 2 күн бұрын
Simba wapo vizuri tuache ubishi tunaumia moyoni tu na Yanga yetu
@EvaMshindo
@EvaMshindo 2 күн бұрын
hupaswi kuumia yanga n bora
@MunaMohammed-j3m
@MunaMohammed-j3m 2 күн бұрын
mbona nyiegoli la offside kule mbeya mmekaa kimya yenu duu ya wenzenu midomo juu
@marthamsacky6973
@marthamsacky6973 2 күн бұрын
Wanapanic Hao achana nao nashangaa wanahangaika kutaja team zingine ,kama ni mchezo wa wazi kuona hawaoni walizoea mwaka Jana sio mwaka huuu
@mosesmnape9444
@mosesmnape9444 2 күн бұрын
Yanga ndio uwezo wetu tuzungumzie timu yetu kweli simba wanakuja juu tukibweteka kujipa moyo tutalia jioni tuache kupenda sana
@vincentkatonga6985
@vincentkatonga6985 2 күн бұрын
sasa simba anashindaje au mpira uoni we bwege mbeleko makolo
@barnabaslyimo7607
@barnabaslyimo7607 2 күн бұрын
Ha😂 hamia Simba
@marthamsacky6973
@marthamsacky6973 2 күн бұрын
Mmhhhhhh😂😂😂​@@vincentkatonga6985
@zainabsimbamtoro6790
@zainabsimbamtoro6790 2 күн бұрын
Mmekwisha jifarijini tu
@EvaMshindo
@EvaMshindo 2 күн бұрын
tunajifariji eee subr mpk mwisho
@franccoz94
@franccoz94 2 күн бұрын
BADO HAMJASEMAA YANI MPAKA MSEMEE
@KalenjeMasoud-vg3om
@KalenjeMasoud-vg3om 2 күн бұрын
Yanga ikishinda goli moja inabezwa ila simba ikishinda goli moja inapongezwa kweli yanga iko mbali sana
@barbiepixie92
@barbiepixie92 Күн бұрын
@@KalenjeMasoud-vg3om misifa ya yanga ndo inafanya watu waseme hivo mmeaminisha fans wa yanga kua mnastahili kufunga mabao mengi ndo maana fans wana taharuki hawajazoea hayo mambo ya moja bila
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 12 МЛН
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 12 МЛН