GODDY HUNCH NEW GIRLFRIEND BADLY EXPOSED🤭

  Рет қаралды 36,165

The Alekiz Show

The Alekiz Show

Күн бұрын

Пікірлер: 370
@thealekiz
@thealekiz 2 жыл бұрын
Kindly subscribe to her channel kzbin.info/door/wNXZVI1fiS8a87NHLS-Y5Q
@feirshnaiko7687
@feirshnaiko7687 2 жыл бұрын
I will subscribe but promise mi not to host stupid people like this one
@rb-3
@rb-3 2 жыл бұрын
We wont
@Shirleyhoward.
@Shirleyhoward. 2 жыл бұрын
We sub coz of defaming others 🙄
@rb-3
@rb-3 2 жыл бұрын
@@Shirleyhoward. ask him..hii ni ufala manze
@feirshnaiko7687
@feirshnaiko7687 2 жыл бұрын
Wacha atafute subscribers uko mbele we won't ....for those who have subscribe plz unsubscribe wacheni io ngamia ikue mature ....atafute content ingine
@fraciahnyambura4803
@fraciahnyambura4803 2 жыл бұрын
My opinion still remains that Goddy left a diamond 💍 me he's now busy collecting stones Ariane be my role model in maturity
@damasshop4982
@damasshop4982 2 жыл бұрын
Goddy alitoroka mapressure mob😂
@angelsawo
@angelsawo 2 жыл бұрын
Alikimbia from responsibilities
@esmilymwanyiro2104
@esmilymwanyiro2104 2 жыл бұрын
Its true😘😘saii kafuri X ndio ameokota gold
@Christine0727
@Christine0727 2 жыл бұрын
You right
@vveronicamakori2297
@vveronicamakori2297 2 жыл бұрын
Exactly
@Shirleyhoward.
@Shirleyhoward. 2 жыл бұрын
May GOD PROTECT OUR FAMILY
@sampizohtv
@sampizohtv 2 жыл бұрын
Amen 🙏uyo dem ata mm nlikula, muulize kama anajua Sampizoh atawasho uyo mluyha achana tu naye,
@gitumagladys4845
@gitumagladys4845 2 жыл бұрын
Amen🙏🙏huyu amekam kukuza Channel tu
@ashleymash3717
@ashleymash3717 2 жыл бұрын
😂😅😂acha tu n cheke lkni tutulizini joh acha tusiingilie mambo y w2 wawli joh
@abigaelmwendee418
@abigaelmwendee418 2 жыл бұрын
Akh Dela I fill ure fine bt what I can advise u kwanza huyo goddy God have mercy 🥺 bt nimufunguke macho ya kiroho mungu awafichulie kila siri yote 😭😭😭😭😭siezi sema kwa media bt mungu hawapinganie na hawatetee maana .........acha mungu hawapinganie sitaki kuingia kiundani be blessed ukitii
@graceluvuno8222
@graceluvuno8222 2 жыл бұрын
Hawa ni wivu TU wengine wako yano
@rakelwanjiku4843
@rakelwanjiku4843 2 жыл бұрын
I think nobody who doesn't have a past,...and nobody should be judged because of their pasts...no one is a saint
@shilarafarak9582
@shilarafarak9582 2 жыл бұрын
Age doesnt matter in love ,,there is always a story behind everyone history of life,
@cheruiyotkipkoech8676
@cheruiyotkipkoech8676 2 жыл бұрын
At any cost, age doesn't matter, 👍
@alvinmwangi4180
@alvinmwangi4180 2 жыл бұрын
Wachana na maisha ya akina goddy na Nihan ,shughulika na maisha yako kama wivu ndio inakumada jua hautawahii succeed ,kama ulijua alikulwa na mwalimu si pia wewe bac ulikuwa hapo na mwalimu wa mao ama wa Bio
@theemalikelitu5292
@theemalikelitu5292 2 жыл бұрын
Watu wakiwa na mwili kubwa mnasema n wa wamama na wakiwa na mwili dogo mnasema n watoto....🙄🙄🙄
@actressmoraacomedy6966
@actressmoraacomedy6966 2 жыл бұрын
Eeeish mummy this not fare better kujijulia than kumwanika public 👌😓. And love doesn't choose the age love is a feeling ikikuhanta endananayo ikikushinda leave it and try another way👌
@faithkasei
@faithkasei 2 жыл бұрын
Inaitwa socia media waah😂😂😂😂 hata mimi nikipatana na mtu anajulikana obvious nitatukanwa
@yvonnenyatichi7147
@yvonnenyatichi7147 2 жыл бұрын
Handi mwalimu 🤣🤣🤣anyway why are you doing such to your fellow lady
@juliekyalo6214
@juliekyalo6214 2 жыл бұрын
We acheni kuaribia wengine if ujapendwa stop please
@mersi5157
@mersi5157 2 жыл бұрын
C watu wengine wajiangalie kwnza before waongee na kjudge kiherehere
@jruby4597
@jruby4597 2 жыл бұрын
🤣🤣👈willy Paul crushy wako ako apa anakuongojaa .but Liz u look beautiful
@chemutaifaith2051
@chemutaifaith2051 2 жыл бұрын
we nn mjinga ulitaka Goddie ama
@golden06
@golden06 2 жыл бұрын
I will be back 🤣🤣🤣🤣🤣
@cynthiashee5844
@cynthiashee5844 2 жыл бұрын
Bytha goddy ampia dame wako ajiheshimu plzz vile watu wanabonga kumhusu aibambi
@alvingachagua7185
@alvingachagua7185 2 жыл бұрын
uyo dem anaongea sana...achana na maisha za watu
@cocosdee434
@cocosdee434 2 жыл бұрын
Girl, it doesn't matter about how the girl used to be in highschool ,nobody asked you about anything regarding her 🙄why would you tarnish your fellow lady though 🤔. Learn to appreciate others an d Clap for their win
@youngnepeitavlogs5529
@youngnepeitavlogs5529 2 жыл бұрын
For a fact😂😂😂 gosh how does it concern her . She should mind her business .wacha watu wapendane. You didnt have to tanish her name💔💔. .
@cocosdee434
@cocosdee434 2 жыл бұрын
Ikr Ati sasa ju the girl amejulikana media ndio anaambia watu kuhusu story zake za highschool . Who cares though?
@bujake956
@bujake956 2 жыл бұрын
Wale wanamtetea ni Malaya kama tu huyo dym ya goddy
@sherrif6549
@sherrif6549 2 жыл бұрын
@@bujake956 Walahi
@sherrif6549
@sherrif6549 2 жыл бұрын
@@bujake956 umesema ukweli..
@Waenifmbwika
@Waenifmbwika 2 жыл бұрын
Umesema "Handi" walimu 😂😂😂😂. Tumia ulimi kiasi girl
@imi244
@imi244 2 жыл бұрын
Kwani ulikuwa unataka upendwe pia😂😂she is just jealous, how's goddy your business!!enemies of progress,style up madam...wachana na relationship ya watu🤔
@shiku8129
@shiku8129 2 жыл бұрын
Mmmm akuliwe asikuliwe Kuma niyake mehemehe
@derrickmunyoki2898
@derrickmunyoki2898 2 жыл бұрын
Ama uyu Dem alikua anapeda goddy af Sasa akona machungu😂😂😂😂
@risrayreece7696
@risrayreece7696 2 жыл бұрын
Goddy please live that girl alone
@elicamukami7030
@elicamukami7030 2 жыл бұрын
Willpaul na weewe surely
@winny6103
@winny6103 2 жыл бұрын
Whether rash is old or not,,,it matters nothing...diana na baha are happily married so ata awe mkubwa haijaloshi....aleki kabla uende uone mtu ask wat story anadai kushare....
@thealekiz
@thealekiz 2 жыл бұрын
Okay..thanks
@christineosoro6184
@christineosoro6184 2 жыл бұрын
Exactly
@esthernjeri8054
@esthernjeri8054 2 жыл бұрын
@@thealekiz wewe n content hwa Huna ama nn shida yko
@nyawirakibugi6495
@nyawirakibugi6495 2 жыл бұрын
Girl you so true He left gold and went for copper💔 Rethink bro
@emmaculatendunge7879
@emmaculatendunge7879 2 жыл бұрын
We ndio unaeza mtaka pekeako😂😂😂 hapo kwa huyo dem sitamtetea
@annewambui8980
@annewambui8980 2 жыл бұрын
😂😂😂😂willypaul ur soul mate is looking for u🤣🤣🤣
@thealekiz
@thealekiz 2 жыл бұрын
😂
@graceluvuno8222
@graceluvuno8222 2 жыл бұрын
Yeye tu alikuwa nataka tujuwe anataka willy Paul hawezi mpata hata Kwa mdawa🤣🤣
@kawiralilian7531
@kawiralilian7531 2 жыл бұрын
IF UTOTO WAS A PERSON,gal MATURE up
@hellenkerubo4951
@hellenkerubo4951 2 жыл бұрын
GODDY please Ariane belongs to you go back to her please
@abigaelmayaka1646
@abigaelmayaka1646 2 жыл бұрын
Wats wrong with pple?
@criminohmk1560
@criminohmk1560 2 жыл бұрын
U knw in love life u just accept the past support the present and encourage the future maybe theyve already talked about it leave them alone 🤠🤠
@estherwanjiru9720
@estherwanjiru9720 2 жыл бұрын
Hio ni ujinga kila mtu ako na past yake huyo mrembo wa hunch ameweza
@floflorence8612
@floflorence8612 2 жыл бұрын
wale wa kanjalu girls meru class of 2019 mko wapi njooni ama hamna maono ya teacher kama mm😅😅😅😅
@thealekiz
@thealekiz 2 жыл бұрын
Mlikuwa class moja na huyo dem wa Goddy ama?
@fatuma4353
@fatuma4353 2 жыл бұрын
Goddy Ako na mumama 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@thealekiz
@thealekiz 2 жыл бұрын
🤭🤭
@priscilawamburu8576
@priscilawamburu8576 2 жыл бұрын
Mumamaaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@floflorence8612
@floflorence8612 2 жыл бұрын
Goddy amekuja na mumama eeh😅😅😅
@rb-3
@rb-3 2 жыл бұрын
Sasa story ya highschool ni ya kuambia watu jamani sasa yangu ikifunguliwa si mtanifukuza kenya
@mwezzireen17
@mwezzireen17 2 жыл бұрын
Hiyo nayo ni kweli Hadi ni Mzee kumliko huyo gody
@jaquelynekhavetsa9651
@jaquelynekhavetsa9651 2 жыл бұрын
Aiiiiiii, 🤣🤣🤣si women we are so bitter aky.na wewe tabia zako nani anajua since umeamua kuharibia mwenzako jina, , , .Nkt????cheath
@christinewanjiku9719
@christinewanjiku9719 2 жыл бұрын
I have a feeling tuwapatie time to taste atha fishes in the water Goddy na Ariane watarudiana tu
@cynthiakemunto2139
@cynthiakemunto2139 2 жыл бұрын
Nilikuwa nangoja ....kuskia story za dem ya gody...kiasi kiasi naskia nimecrushia willy Paul...kumbe gaidi ni message ilikuwa tu inataka ku pass 😂😂😂😂😂😂
@thealekiz
@thealekiz 2 жыл бұрын
😂😂
@jswer
@jswer 2 жыл бұрын
Nonesense, live and let live.. Everybody gat a past, if Goddy does not care about her new girlfriends past, who are you to care, its only Goddys opinion which matters in his new relationship.. All the best Goddy and your new girlfriend dont let anything ruin your relationship again.
@idahgatwiri9909
@idahgatwiri9909 2 жыл бұрын
Kna ukweli...apo Kia's
@thealekiz
@thealekiz 2 жыл бұрын
Wueeh sawa😂
@jolynjenna880
@jolynjenna880 2 жыл бұрын
Wataachna tu wait and see huyo dem
@bettybahati8099
@bettybahati8099 2 жыл бұрын
That's why I always say goddy aliacha Mali Safi ikaenda I still love Ariana
@lintykamau5586
@lintykamau5586 2 жыл бұрын
Haki give this lady sapa on my bill 💜💜💜💜💜💜
@lourahmilela7480
@lourahmilela7480 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂waaaah!siz to my boss ama nakufananisha
@milkah_george5877
@milkah_george5877 2 жыл бұрын
imagine nyinyi watu achaneni na relationship za watu, everybody has got a past,tuachisheni.
@julianamutua8744
@julianamutua8744 2 жыл бұрын
Wafangie kwao
@millymilly7244
@millymilly7244 2 жыл бұрын
We dada Una wivu, ni kama ulikua wamtaka huyo goddy akakukataa
@nyarnorthern4029
@nyarnorthern4029 2 жыл бұрын
Excuse our Cushite gal,let em love n be happy 😊 nkt
@clairemusula5841
@clairemusula5841 2 жыл бұрын
Age is just anumber,,,if that's he's choice,,, please learn how to leave the past,,,,,we are on the current situation,,,it's goddys love,,,,,,,,, please style up
@theceoempire2995
@theceoempire2995 2 жыл бұрын
cloutchasing at it`s peak,if you are not happy for them ,let them be
@fatumakidoa4006
@fatumakidoa4006 2 жыл бұрын
Goddy alipoteza dhahabu akivua samaki
@ventianyaguthii9080
@ventianyaguthii9080 2 жыл бұрын
It true huyo dama Mzee anakaa to
@sylviahmungoni2179
@sylviahmungoni2179 2 жыл бұрын
It's mmama for me😂😂😂 Ariana remains my best
@thealekiz
@thealekiz 2 жыл бұрын
😂😂
@glorykageni5980
@glorykageni5980 2 жыл бұрын
Iyo ni past yake....and he is not interested in her past...it's present and future for them....
@evanstoshaly536
@evanstoshaly536 2 жыл бұрын
Form one na form four na unajua wanakulana na mwalimu mtu aclean kwake bana 💔💔
@reginaphilip2644
@reginaphilip2644 2 жыл бұрын
Huyu umeokota wapi surely ,,ama alikuwa anataka Goddy
@jovialbarbiegirl3832
@jovialbarbiegirl3832 2 жыл бұрын
Gai Nini mbaya na uyu Dem was she born to make choices on ppls life ati nani aezi penda will Paul 🤣🤣cnt dream achana na life ya watu ww mwenyewe huna mpenzi unakimbilia kufagia Kwa wenyewe who are you jisafishie kwako qwz @goddy hunch mwambie ata ukipenda mshosh Bora you're capable of all responsibilities
@maureenbenson4737
@maureenbenson4737 2 жыл бұрын
Willy Paul mwenyewe hamtaky hio sio link ya pozze hawache kuota
@catherinemutheu4428
@catherinemutheu4428 2 жыл бұрын
Arianne my favorite 😘🥰 Goddy will marry Arianne no matter what,,,
@rejinam9320
@rejinam9320 2 жыл бұрын
N ivo ndo nmemaliza data.. Kwn ww n yy tofauti n nn apo.. Style up
@fatumawako8365
@fatumawako8365 2 жыл бұрын
Wivu itakumaliza
@paulynstevoh9042
@paulynstevoh9042 2 жыл бұрын
Reason ya huyu dame kukuja ni ju anataka Willy paul ajue anakuwanga amemkufia... so acha kuharibia wengine jina
@kateyndunge6315
@kateyndunge6315 2 жыл бұрын
Nonsense ...unaingililia relationship za watu why?
@petermusyoka9915
@petermusyoka9915 2 жыл бұрын
Hey man...director aliacha mabo ya kukulia asali😲😲😲I remember you well being sanitized by Pluto🤣🤣🤣
@thealekiz
@thealekiz 2 жыл бұрын
😂😂😂
@petermusyoka9915
@petermusyoka9915 2 жыл бұрын
I think mabo iko sawa kabsah eeeh🤣🤣🤣
@stephanylavene
@stephanylavene 2 жыл бұрын
Aaaaaaaaaah jamaniiii 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@jruby4597
@jruby4597 2 жыл бұрын
😂😂😂aty wamemkulaa wachaa ata goddy pia akule mabakishoo sasa 😂😂😆
@thealekiz
@thealekiz 2 жыл бұрын
😂😂
@masonsanders7689
@masonsanders7689 2 жыл бұрын
The teacher has to be older and more experienced than the student. Goddy alisema anaenda shule, he needs both street and book experience. Wachaneni nayeye afundishe mapenzi .... aren't you the ones who were calling him immature?
@leonitamuchai4449
@leonitamuchai4449 2 жыл бұрын
Pilipili asiyo ila yamwashia nini?
@goretyakinyi2569
@goretyakinyi2569 2 жыл бұрын
Weeuh ulikuwa akikulana na walimu , maybe huweza fika standards zake ,wacha relationship za watu idumu
@norahkiende2919
@norahkiende2919 2 жыл бұрын
Ni kwako haileti shangwe kwao Iko sawa...hachana na maisha ya wengine
@Rogersomurwa
@Rogersomurwa 2 жыл бұрын
Huyu dem analobokwa
@kuifrancokamasaaigal6033
@kuifrancokamasaaigal6033 2 жыл бұрын
Kukuliwa na kukulana na mwalimu ,,inakuuma n nini ,,kuma sio yako inakuliwa nkt shughulika n maisha yako ,awe mama awe mschana haikuhusu rubish,,kwani ulikuwa unadai kukuliwa siungesema ,goddy continue na dame yako she is very cute and cool
@nicolechebby355
@nicolechebby355 2 жыл бұрын
Kwani ye ndio mholy aje... you should let people be..usi tarnish other people's name
@asafa1511
@asafa1511 2 жыл бұрын
😂hi mambo ni ukweli but haikuwa utangazie watu
@thealekiz
@thealekiz 2 жыл бұрын
😂😂kwani pia unamjua?
@asafa1511
@asafa1511 2 жыл бұрын
@@thealekiz yeah
@shellalove3207
@shellalove3207 2 жыл бұрын
Ariane my role model 😘😘😘😘❤️❤️❤️❤️❤️....Gody you lose Gold....now you can see 🤒🤒🤒🤒🤒
@thealekiz
@thealekiz 2 жыл бұрын
Wueeh😂😂
@masakaelpina6639
@masakaelpina6639 2 жыл бұрын
Mtu a-tag mwalimu wa English tunataka maoni yake hahaha
@ashleyachieng7759
@ashleyachieng7759 2 жыл бұрын
This is true bebygirl🥰big up
@danke1174
@danke1174 2 жыл бұрын
Wah 🤣🤣🤣 am not supporting goddy ama huyu dem Lizzie manze pia huyu dem Hana difference na huyo wa goddy pia willy Paul si league yake. Tafuteni pesa🤣🤣🤣🤣🤣
@edinahopati7914
@edinahopati7914 2 жыл бұрын
Sio bure huyo Ethiopian ni sura ngumu🤣🤣🤣🤣
@boboo6107
@boboo6107 2 жыл бұрын
Uongo I don't believe this gal
@tempuslii254
@tempuslii254 2 жыл бұрын
we enda uko na hizo accent zako za kikamba eti HANDI MWALIMU shenzi
@odhiambocharles8580
@odhiambocharles8580 2 жыл бұрын
Hapo kwa age Kuna kaukweli,she looks much older than Goddy,but hapo kwa kulala na walimu, everyone has a past, let them be.
@marymwikali3926
@marymwikali3926 2 жыл бұрын
Nyinyi amna akili mmekosa kazi ikabidi mwongelele maisha ya watu
@christinetinah9231
@christinetinah9231 2 жыл бұрын
Enyewe hapo Kwa age ni ukweli amedate mmama. Sio Rika ya goddy but si wanapendana😂😂
@رانيزجاهز
@رانيزجاهز 2 жыл бұрын
Kweri ni kamama
@wizambior
@wizambior 2 жыл бұрын
You should not haunt other pples lives...let pple move on and live their own lives...
@andrikatutu8719
@andrikatutu8719 2 жыл бұрын
Wueeeeeeh!!!!Am tired 😂😂😂😂😂😂
@wagio-itugi
@wagio-itugi 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 sasa mtu anatoka kwenye ametoka anakuja kujudge watu kama ni yeye mama yao 😂
@apphiahfay8832
@apphiahfay8832 2 жыл бұрын
Uyu Dem anachomea mwenzake vibaya sana😢akuna kitu utapata kwa kuchomea mtu..plus the way anaexplain unajua ni vitu anajitungia tu.not good at all
@Abbydoll001
@Abbydoll001 2 жыл бұрын
Huyu Alekiz ajifunze kiswahili 🤣🤣🤣🤣
@thealekiz
@thealekiz 2 жыл бұрын
😂😂sasa unanichomea why
@lyngatwiri831
@lyngatwiri831 2 жыл бұрын
Willy paul si league yako pia
@nataliamumbua
@nataliamumbua 2 жыл бұрын
Mmh kwenda uko willy atakudinya na hakudump
@morrehTDR
@morrehTDR 2 жыл бұрын
Clout......uyu dem ametoboka medula......
@lionesshelpshow7996
@lionesshelpshow7996 2 жыл бұрын
Your channel is growing very fast, road to 100k sub... Before 3,3 no. Of trinity
@lazenbett5813
@lazenbett5813 2 жыл бұрын
Kila mtu ni taste yakee 😂😂feelings sometimes hufade
@myles_george
@myles_george 2 жыл бұрын
This girl is just out here for fame🤣🤣🤣
@mwendeevictorshow1498
@mwendeevictorshow1498 2 жыл бұрын
Uko na mshenee
@immamulati3437
@immamulati3437 2 жыл бұрын
Ak ladies na msheneee aaaaaah 🙄🙄🙄
@SolidadMotia
@SolidadMotia 5 ай бұрын
Nilikuona kwa the Pluto show uko sanitisiwa na dem ako
@jackymmbone3348
@jackymmbone3348 2 жыл бұрын
I think Goddy Hunch's parents should sit him down coz the way this boy is going he may end up..........it's clear he's confused, he left a good life partner and now he's on and of with wamama heeeeh🙆
@kaksvidoke8700
@kaksvidoke8700 2 жыл бұрын
Huyu ni wife ya mtu marsabit
@anndi4431
@anndi4431 2 жыл бұрын
Mschana akona mambo 🤣
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
ARIANE DASHIAN ON DATING AGAIN❤️ NEW BOYFRIEND🤗@arianedashian9562
13:48
Richard king mimi siogopi uchawi hata kidogo maana mimi mzoefu
6:07
Finally Boy tee said the reason why he’s fighting nhastyjee
6:24
Emi Rexx Official
Рет қаралды 4,2 М.