Mwakatobe yuko vzr tunamkubal sana ila ajirekebishe kitu kimoja mavazi nguo izo izo movie zote nguo izo izo Hana ubunifu kwenye swala la mavazi apo abadilike
@user-in7ie3mj9o6 ай бұрын
Mavazi sio kesi n'a hayana maana usiovu ata badilisha akitaka
@EvodearVenance-xe3xs5 ай бұрын
😁🤣nikwambie yeye ni comedian so mavazi yake ni ubunifu tosha wa kucheka pia 😂haina ulazima wa kuvaa kigentroman or kibrothear men🙌
@user-cl4oj3ov5c4 ай бұрын
Mavazi nini wewe
@user-bq9jt9uj7q6 ай бұрын
Duh yan kitu kimenona hivo nikiache asee siwezi Eti tangulia nakuja sema ni movie tuu ngekutukana
@mkanyafamily6 ай бұрын
Hii inatokea ata kwa maisha ya watu yakawaida
@user-dm7mp2uq6u6 ай бұрын
Xx km mkono wa suweta afanyeje au unataka adhalilike😂😂😂😂
Bravo umeyatimba jogo apandi mtungi mwakatobe mke wamtu nisumu😁😁😁😁😁🤣❤️❤️❤️🇧🇮
@MamyCute6 ай бұрын
Hahahahaha uyu mbona ivi mzigo huo ata kidogo kuws na hisia nae ka
@nicokabonge19719 күн бұрын
Huyo Dada mzuri kweli shemeji yake mwakatobe
@user-vx9pr1mm7l6 ай бұрын
Sema iyo demu wa bavo Anajua Sana
@SalumuWembo-fo5rr1066 ай бұрын
Naipenda saana baba Tangu Congo 🇨🇩😂😂🤣🤣💯🎉
@DastanMichael6 ай бұрын
Mwakatobe sijapenda njia nzimq unamnyanyasa mwenzio😂😂😂😂😂
@Spagles6 ай бұрын
Suluwali tatu na boxer tatu afu atuelewi kipindi wahuni😂😂😂😂
@user-uo3qh8cn6t5 ай бұрын
Sijaelewa fundisho la hii mv an inakuwaje mme tumia suluhisho la tiba ya tatizo la bravo kwa daktari ambaye si professional na hatujaona madhara anayo weza kupata. Nafatilia movie zenu nyingi ila hii idea ya final mmezingua kwa kukuwa jamii imejifunza kuwa madaktar wa kienyej ni bora kuliko hospital.
@user-nk4oq4ek9y5 ай бұрын
Sauda nae hana tabia zaumbea kisura chake kizuri lkn m mbea uyo
@kilongofilms5 ай бұрын
Hahahaaa alooo sijui ataacha lini
@madarakaempire47446 ай бұрын
Mwakatobe bhn et atakupelekea moto uyo mpaka utasema mamaa mamaaa
@alitante42796 ай бұрын
Ila wanyakyusaa😂😂
@robertmutinda57495 ай бұрын
Watching from Nairobi Kenya mwakatobe more fire
@AbdalaAssumane-yi5vq6 ай бұрын
Bravoo unaweza kaka❤ from 🇲🇿🇲🇿
@Yosiafreddy6 ай бұрын
Mzee wng minakukubali sana katobe❤❤❤😂😂😂
@PUGBFORBEGGINERS6 ай бұрын
SEIWEZ KUA BRAVO 😊
@LucasMagukuru-hc9kr4 ай бұрын
Huyo mke wa bravo, mashallah
@ppendo36116 ай бұрын
Hivi wewe mwakatobe una mpenzi au mke😂😂
@turnfidennikazo94376 ай бұрын
Mmmh mbn swali ilooh anae mbona
@ppendo36116 ай бұрын
@@turnfidennikazo9437 kama anae basi yuamuumiza mbavu maana anachekesha sanaa
@user-ot9gy3kq2f4 ай бұрын
😂😂😂😂
@user-tp4sy6ym7q6 ай бұрын
Safi sana 🎉🎉🎉
@AgueroBoaz-ei5qt6 ай бұрын
😂😂😂😂😂 analia mamamama😂😂
@user-ts6fh4si3m6 ай бұрын
❤❤❤ one love mwakatobe
@SaidAlly-u4i23 күн бұрын
Mh kila nikiangalia hiii muvi napata hisia Kali kisha najiuuliza kweli kuna wanaume wanalala nasuru Ali tatu hata dali kimoko kinawashinda mh hatar ila mm kwa mizagamuo sitaki ujinga
@user-vs6qs5cd9z6 ай бұрын
Bravo acha kubana fwatua mkeo atakukimbia hyo
@mercywanyonyi-jf5pyАй бұрын
😂 movie nzuri sana .... Lakini apo kwa kunyimwa 🎉haki ya bedi sija penda😂😂😂ama hivi mti isimami😅
@user-ec2cj5om7v6 ай бұрын
Mwakatobe jamani😂😂
@edgarkapusi62836 ай бұрын
Kaka toast movie saut kama ile ya kwenye snake boy ilikuwa ya moto sana
@edgarkapusi62836 ай бұрын
Kaka toa movie yenye sauti kama ile ya lwenye snake boy ilikuwa ya moto Sana . Shahid
@ZenaAlly-ib1xo4 ай бұрын
Mwakatobe una bayaa ila kalibu kuangalia wasanii wako wanaongea kama wanasoma na akiyandoa inadaiwa mlangoni inabidi muigize maisha halisi jammaniii
@deejayivan47222 ай бұрын
Mwakatobee😂😂❤️
@richardgodfrey90206 ай бұрын
Bravo unajua sana
@MNYATURU_comedian6 ай бұрын
Ningepata chance mm 😂😂😂😂😂😂
@user-jv6ub6gh8h6 ай бұрын
Mungu abariki sna kazi zenu
@user-ej1rz1cv5e6 ай бұрын
Kazi nzurii sana
@sagevali6 ай бұрын
Kazi nzuri, ila punguz hizo duration ya transition (mawingu, foleni,)