Dj sma maashaallah huyu jamaa anajua an hawa watu wa GPS wanajua mnoo let's support them
@blueboybajos68803 күн бұрын
kabsa mim huu jama namuelewaga sna
@Brunotarimo103 күн бұрын
GPS Wachambuzi Wetu Wapo Visuri Sana Wanatuletea Habari Ambazo Hatuwezi Kusiona Kwenye Hisi Media za Tanzania na za Nchee ya Nchi. Big Up Wachambuzi Wetu Mnafanya Kazi Kubwa Sana. Kutoka Gikombaa Nairobi Msaliwa wa Rombo Kilimanjaro, GPS Iliyopita ya Kwanza Nimemsikia Dj Sma Akisema Ameishi Shaurimoyo Kaloleni South B South C Halngam Nairobi
@ReyzDonКүн бұрын
Mr Ali masubi uko vzr Sana Bro
@geofreykichonge-pe3bu3 күн бұрын
Mr Henry, I think we are deadly miss your analysis which always base on fact and thoroughly insights.
@GeorgeAkasha-zx2rj3 күн бұрын
Exactly
@YamuremyeYarodi3 күн бұрын
Smaa hua mimi nakuelewa sana unasemaga mambo yandani kabisa hua unachimba nausemi yale yeny ambayo watu waoitaji kuskia kutegemea nakila mtu umbande anataka.ila sma kumbuk asade alihusika sana kuusu kifo cha gaddafi alimsaliti najingine alites sana raia kuna gereza palikua panafanyiwa mambo yakutisha.uzuri wa yote mazungumzo ameendeka vizuri akaona vizuri aondoke njo maana unaon apakua namawuwaji ilo nimelipenda sana.mengine tuyape mdaa utatupa majibu kamili ahsanteni
@avivtelcomms3 күн бұрын
The pain in dj sma's voice 😢
@joshuajohn85333 күн бұрын
Dj smaa ameweka mapenzi na ushabiki mbele kuliko uhalisia😂 Ila namkubali Ally yeye anajitahidi kuzungumzia Ukweli
@YohanaJoshua-h2j2 күн бұрын
Dj smaa anatamani hadi kujiua. Pole sana DJ smaa
@gloriakaali140Күн бұрын
😂😂😂😂
@MwanaHussein-s2n3 күн бұрын
Nawatakia Kila la kheri watu wa Syria .. Lkn wanafaa kuwa makini.. Wakumbuke hata gadafi walimuita dicteta lkn wa Libya wako kwenye majuto adi leo... Wakati wao wanashangilia kumdondosha Bashar Netanyahu anajikatia maeneo mpakani na anaweka bendera za Israeli na anamshambulia maghala ya silaha muhimu za Syria . Mungu asimame nao.. 🤲
@adnanomary19552 күн бұрын
Masubi una nondo sana sema jitahidi kupangilia mzee una hama hama sana mpk ukimaliza kuongea mtu anawesa asielewe...big up sma ..kaka henry wew ndo bingwa wa hiki kipindi unatisha sana
@AbuuLotiКүн бұрын
Kachambue wew tuone
@adnanomary1955Күн бұрын
@@AbuuLoti njoo nikuchambue
@DINASSOUR3 күн бұрын
Baada ya hapo wataanza kupigana wao kwa wao
@francemushi27883 күн бұрын
Jaman nimewasubiri sana nashukuru mungu nimewapata
@Brunoh90Tv3 күн бұрын
Dah afadhal nilikuw naisubiria sana GPS👏👏💪
@donaldmgunda49703 күн бұрын
Pole sana myemeniiii bwanaa DJ smaaa 😅
@benardmakori40123 күн бұрын
Nimepeñda hii😂😂😂
@Gulfnas13 күн бұрын
Imekaa kikejeli
@dorcaskarago28763 күн бұрын
😊
@peteremmanuelymatwimatwiem32583 күн бұрын
Pole yanini sasa ulitaka urussi apeleke majeshi
@lusajomwaipopo50423 күн бұрын
Kwani urus majeshi hayakuwepo??kwanin hamkubal kwamba russia kafel hawez kujigawa ukrein halaf syria!@@peteremmanuelymatwimatwiem3258
@HappyAlbatross-us3bgКүн бұрын
Dj smaaa asee we jamaa unajua xaaaana we ni genius nakukubali xana
@KaijageKaishozi3 күн бұрын
Dj Sma, anajua sana uyu jamaa ila tatizo ni ushabiki unamzidi., inamaana unatuambia kuwa media za magharibi zina sema uongo tu afu awa wengine kila wanachokifanya na kukuripoti ndio sahihi ,.uyu mtu ata wananchi wenyewe walikuwa hawamtaki.
@chiefndatu18953 күн бұрын
Nakukubali san, dj Masu bi kama sijakosea🎉🎉
@braystuskibassa38423 күн бұрын
Hapo so waasi ni Marekani, Uturuki, na Israel wameipindua serikali ya Syria
@ahmadmzoa743 күн бұрын
Furahi kidogo bakisha, huzunika kidogo bakisha.Fitna za Dunia ni nyingi, huwezi jua.
@MwanaHussein-s2n3 күн бұрын
Mnao msema msema vibaya dj asma... Mungu awape uhai mje mshuhudie yajayo... Ogopa Sana sehem yenye mkono wa America... Leo Biden ni wa kusema yupo tayari kushirikiana na Viongozi wa uasi ambao wao wenyewe huwaita magaidi 😳.. Narudia tena mungu awasimamie wa Syria
@youngbona38043 күн бұрын
Facts
@AlexGwiha3 күн бұрын
Hiyi mbwa et mungu atrehem
@Brunoh90Tv3 күн бұрын
Washajichanganya, Syria inaenda kuw kama Lybia😢😮
@shukranechimale27223 күн бұрын
Pia ukitazama utaona wanajesh wa sirya hawakuonesha morary yakupambana, ukitazama vizur utakundua askar walitelekeza vifaa na kuondokaa
@KraudiJinioro3 күн бұрын
❤Tuko pamoj napenda simuriz ❤
@hamsikrasheedi17962 күн бұрын
djsma upo vizuri sanaaa mungu akuongoze inshaallah ❤
@mamilooutukufu35163 күн бұрын
Masod Yuko vizuri mno kuliko hata uyo dj masod hayupo upande wowote kamwe mchambuz makin uwez kuegemea upande mmoja kua kama masud anaongea yaliyopo hana mapenzi na yeyote
@BereKimas3 күн бұрын
nahichi ninacho kizungumzia mtakujya kuya kuya zungumzia siku mojya nina uhakika gps mta yasema insha allah
@mfupakhamis97513 күн бұрын
Henry's hayuko huru kwa mujibu ya picha yake. Inakuwaje? Nakutakieni afya na kz njema. Shukrani.
@ShehaHaji-k8t3 күн бұрын
Kw kweli tusidanganyanye mm nawakbali sna nyie wachambuzi lkn ukweli hakna kikundi chochote kitachoweza kupindua serikali hasa kw silaha,, lkn apa kilichotokea sio Asad ni Jeshi limeridhia au niseme limekua sabbu ya mapinduzi.
@Bahati473 күн бұрын
Alkaida wamewezaje? kuipindua nchi inatagemea na Wana nchi wenyewe km Wana nchi wanapenda uongozi uliopo basi ngumu sana kwa vikosi kuipindua serikali lkn wa Syria wenyewe walichoka sana na uongozi wa yule shetani
@JafariNyalluКүн бұрын
sma umesema kweli..... allah akuzidishie elimu
@kolokokoloko92762 күн бұрын
🎉Smaa juu zaidi
@mbarakamlawa7249Күн бұрын
It’s very sad Dj Smaa kwa kuongea uongo about Syria kwa kuweka ushabiki na hisia mbele while Syria walipitia kipindi kigumu chini ya Assad’s regime kwa kumtetea mtu muuaji aliyedhulumu nafsi za watu
@Chw_Kdmn833 күн бұрын
Wachambuzi mpate mafunzo ya lugha, muache vigugumizi, muweze kufanya choice of words. Mfano ukisema "Jeshi lili collapse hawakutaka upigana". Hii ni tungo tata. Hamsomi kwa Fredi!
@AbuuLoti3 күн бұрын
Nenda kwa fred hukohuko
@avivtelcomms3 күн бұрын
Hahaha sma apo kwa hezbollah kuwapiga israel had wakaomba cease fire umetupiga rungu la kichwa bwana dj😂😂😂 na cc tunafatlia taarifa kama ww tu 😂😂😂
@gregorynkunda50293 күн бұрын
Huyu jamaa Dj Muongo sana
@lusajomwaipopo50423 күн бұрын
Kinacho mtesa udin
@youngbona38043 күн бұрын
Kama unaona Kuna uongo hii sehem haikufai unaenda ata CNN broo
@samwelmrisho34763 күн бұрын
Dj sma wanaomuelew ni wale tu waliofika angalau form four sio ninyi
@NasraYusufu3 күн бұрын
Mbona wew hatoyi makala yako Mim nakubali sana do smaa nimwalim wangu
@hamisisalum61163 күн бұрын
@lusajomwaipopo5042 Unaumia ukiwa wapi?
@MaurusMpinga3 күн бұрын
Dj smaa saiz kama mchekeshaji kwenye huu mjadala 😅😂😅😂
@HercaIlunga3 күн бұрын
@@MaurusMpinga kweli kabisa amekuwa shabiki
@benardmakori40123 күн бұрын
Ni ukweli amebaki kuwa comedian😂😂😂
@africanQueeny-u7o3 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@HercaIlunga3 күн бұрын
@@benardmakori4012 wamuondoe kwenye hii kipindi akaingie kuwa mwanajeshi wa urusi na kipara chake
@peteremmanuelymatwimatwiem32583 күн бұрын
@@HercaIlunga😂😂😂😂tukuweke wew
@josephissa44063 күн бұрын
Here we gooo
@HercaIlunga3 күн бұрын
Huyu kipara ni shabiki wa urusi mumuondoe kwenye hii kipindi aende akapiganie urusi akuwe mwanajeshi wa urusi
@benardmakori40123 күн бұрын
Madonga huyo😂😂😂
@nixonkimaro54543 күн бұрын
Yupo kidini zaidi kuliko uchambuz
@Awatee3 күн бұрын
@@nixonkimaro5454chuki tuu ndio zilokujaa sasa dini imeingiaje apo kwani nani alikwambia usikilize tafuta chanal yak
@ramgainmkubila12133 күн бұрын
Rohi mbaya tu an mtu mnataka aseme nyie mnachokitaka shame on you
@ernestkunja34723 күн бұрын
Smaa anzungumza ukweri na ndio yatakayotokea tusubiri tuone
@adiaygo85463 күн бұрын
Masubi marekani alikuwa nyuma ya huo mpango😂😂
@benjaminibirama66642 күн бұрын
GPS on fire 🔥
@BereKimas3 күн бұрын
mimi na dhani ndugu zangu hapa kati ni makubaliano kati ya rashia na us sasa wewe kubali bashar kuondoka nasi tukubali kukuachia sehem zile za ukrain
@AlexGwiha3 күн бұрын
Kama vile nikapoint kamaana hivi
@benjatz17053 күн бұрын
Huyo jamaa sjui DJ sarma NI muongo Sana yaan linatia asirah Sana
@NoelNjementi3 күн бұрын
Duuuuu hii chaneri inatisha jmn
@chance07092 күн бұрын
Kumbe Syria 🇸🇾 nikama Congo 🇨🇩 Nihatari😮😢😢😢😢
@lexq-sm6lq3 күн бұрын
Mi nashikwa hapo kwenye C.H duty track!! Jinsi Sky anavyo isema🎉🎉🎉😂😂😂 Mi nasikia, C.H nyuta truck🎉🎉😂😂
@AbuuLoti3 күн бұрын
Wenyew d2 tumemuelewa vizur kabsa
@SamwelRobethКүн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@anny199883 күн бұрын
Msisahau na Uchumi wa Syria uliharibiwa na Marekani. Visima vyote vya mafuta na maeneo ya kilimo vilikaliwa na Marekani. Bado wakampiga vikwazo juu. Hata wakati wa tetemeko la ardhi walizuia dawa kwenda Syria. Kwahiyo Assad asingeshinda.
@lusajomwaipopo50423 күн бұрын
Vipi mrus na iran walishindwaa kmsaidia syria??hata kuvishinda vikwazo vya magharib??
@anny199883 күн бұрын
@@lusajomwaipopo5042Huwezi kuvishinda vikwazo kama huna raslimali yoyote. Mfano Irán ina vikwazo lakini ina inauza mafuta China . Russia anauza gesi . Lakini Syria alikuwa hana chochote
@mytelecom20193 күн бұрын
i thing LIBYA MPYA IMEZALIWA... YAJAYO YANAFUAISHA,
@Bahati473 күн бұрын
Usimfananishe Gaddafi na huyu shetani
@maniamba.tz_3 күн бұрын
Zaidi ya Libya
@eliyampesa43523 күн бұрын
Ukweli huooo
@abdullahmapesa3 күн бұрын
1:14:21 daaah leo GPS wachambuzi wetu hawako vizuri kbs mana niko naskia wanachanganya majina ajabu ila kawaida kuna muda yanatokea
@Seth-bp2mo3 күн бұрын
Ally Masubi nakubali saana matamshi yako
@nixonkimaro54543 күн бұрын
Dj smah punguza hisia za kidin leo naona unaumia kabisa kutoka moyoni iran na mrusi kupoteza eneo muhimu sana
@HassanAbdallah-f6o3 күн бұрын
Sasa hapo dini ameingizajee?
@Awatee3 күн бұрын
Yaani mumebeba chuki hadi maisha yako yanakushinda pambana na nafsi yako ndio adui yako na sio mtu mwengine nyie kila saa Sma ana udini na weye si utumie si mna dini yenu
@jonasmrema85503 күн бұрын
@@AwateeNI mdini huyo myemeni wa mchongo
@avivtelcomms3 күн бұрын
Sure bro! Uko sahih inashangaza vita zina mashabiki😅
@SalumObed3 күн бұрын
Urusi ni nchi ya kidini....huo ni.mtazamo wako kaka
@mangiclaus3 күн бұрын
Kwa uchambuzi huu... Kuna siku zijazo chama flani Cha siasa kitafurushwa na kukimbilia kusikojulikana
@serijofesto90683 күн бұрын
HHah
@Moranotz2 күн бұрын
NawKubali sana wana gps
@nzeyimanaadidja76843 күн бұрын
DJ sma 🔥🔥
@BarakaKusalula3 күн бұрын
Mwinuka ndy akiulizwa swali anajibu straight alichoulizwa namuelewa sana
@WaziriAlli2 күн бұрын
Ata mm Henry yupo vizuli sana ila dj smaa akikaaa pekeyake ndio simba sio apo
@abdullmo87363 күн бұрын
Mm sky nakwambia siriya itakuja kujuta km Libya 🇱🇾 allah awanusuru hp wako NATO
@lusajomwaipopo50423 күн бұрын
Kwa hiyo urus na iran wameshindwa kumzuia nato??
@Gulfnas13 күн бұрын
Henry plz we missed your mubashara
@MailesSezero-l4c3 күн бұрын
Me naona mpango ulianza tangu mwaka jana, Israel aliaribu uwezo wa jeshi la syria na Hezbollah ndani ya syria kwa kupiga maeneo akisingizia ni vituo vya hezbollah tu. Kwahyo ilitakiwa nguvu kidogo tu ya waasi kuchukua nchi.
@AlexGwiha3 күн бұрын
Haswa
@georgemasumbigana74343 күн бұрын
Russia awezi kupigana vita zaid ya moja
@AlexGwiha3 күн бұрын
Point
@GeorgeElias-p5o3 күн бұрын
Kwa kifupi Magharibi wana akili nyingi sana.. Putin na Iran wamechanganywa na vita ya Ukraine na Gaza + Lebanon. Wajanja waakaingia Syria kilainiiii
@africanQueeny-u7o3 күн бұрын
Kiufupi urus na iran ni majinga tu uwezo wao ni ndog sana
@kamanapomo70293 күн бұрын
Kaakimya hujui siasa za dunia zinavyo endeshwa
@kigesomichael80613 күн бұрын
Kabisa mikwala ming matendo kigogo
@khamisshaban47033 күн бұрын
jalibu kabla kuongea fanya utafit ivi unazan urusi kuto msaaidia Asad unajua chanzo je ujajiuliz kwa nn Iran ijamsaidia au so tafakal ndug
@FredMwamgogwa-td6ni3 күн бұрын
Iran muoga 😂😂😂😂
@emmanuelmlekwangano99913 күн бұрын
Iran mpuuzi alitakiwa aingize vikosi haraka kwa kuwa Hana vita kwa sasa mikwala mingi tu
@ztvonline25233 күн бұрын
🔥🔥🔥
@MsafiriKhamisКүн бұрын
Gps nawakubali ssana kwenye uchambuzi
@FredWabwire-w3q3 күн бұрын
Musemetu hivi Urusi na Iran wameshindwa, iyo ni daliliyawo kuporomoka, wamerika wameshinda❤❤❤❤❤❤❤
@hamisingwengwe10323 күн бұрын
Husichojua au kuelewa urusi bado ipo syria. Kama hamuelewi mambo mfungage mdomo. Hiki kilichotokea ni jeshi la SAA limemgeuka asad na kumtoa sio vikundi vya magaidi
@AlexNswila-g1q3 күн бұрын
Mim siamini kama vita anavyo pgana urus ndio 7b yakuto kumsaidia syiria mim ninacho amin purtn alisha ona assad akubaliki na watu bola atolewe tuanze upya kwa hawa watao kuja kiukwel syiria itabak chin iz nch maana sina hakika kama wanamapinduz hawa watakubali kunyonywa na nch za maghalib
@africanQueeny-u7o3 күн бұрын
Ww tupe uwakika wako😅😅😅 urus imechoka sana
@lusajomwaipopo50423 күн бұрын
Ndiyo atolewe na waasi wanaosapotiwa na magharb kwann asingemtoa yey mwenyewe?
@nassoroshakiru70943 күн бұрын
Lakini tusisahau kuwa hii hii HTS walisema wao wanataka waweke serikali ya Dora ya kiislam kama Afghanistan sasa hawa watu wanaweza wasiwe wazuri kwa hao madandidu maadui wa kizungu manake sasahiv wanawasifia sababu kapinduliwa Asad lakin pindi watakapoanza kuingiliwa maslahi yao baasi kazi itakuwa ni kubwa
@djafro87293 күн бұрын
Controversial man dj sma
@denismasao5203 күн бұрын
Sma na masubi mnatia huruma Yani Inaonyesha mmeumia sana mnaongea kinyonge
@twahasuleiman-lo9vl2 күн бұрын
Ally Masubi 🎉🎉🎉,
@hafidhyakoub83693 күн бұрын
Mbona km sauti ipo chini kidogo
@omondiowino78753 күн бұрын
Dj smaa bhana sometimes kuwa real bro ...yani unasema Hezbollah amemshinda Israel..?😂😂😂..duh! Chuki ni mbaya
@charlesboniphace22493 күн бұрын
Umeona kama mm😂😂😂😂 Na bado Utaskia Israel inauwa wazee ,wanawake na watoto wasio na hatia
@omondiowino78753 күн бұрын
@charlesboniphace2249 😂😂🤣
@Awatee3 күн бұрын
Kwani wazayuni wameshinda nini zaidi ya kuuwa watu malengo yao ni kuuwa hizbullah wote na kuchukua maeneo ya lebanon na wameshindwa hadi saiv kama unaumia na wazayuni kwa nini sasa usiende kwenye taifa la Mungu ili uwende mbinguni 😂😂😂😂
@charlesboniphace22493 күн бұрын
@@Awatee kwa wenye shule kichwani hapo umeandika ugoro
@omondiowino78753 күн бұрын
@Awatee Hezbollah imekuwa na mazoea ya kuanza vita na Israel na wanapoona kuwa wanalemewa badala ya kukubali kushindwa wanakimbilia kuitisha cease fire...hata mwaka wa 2006 mtindo ulikuwa huohuo..sasa tuangalie walichokifanikisha Israel... makamanda 8 na kiongozi wao wote hawapo duniani.. mahandaki Yao kibao na silaha zimeharibiwa..na Hezbollah wamesukumwa mpaka mto Litani...na mpaka Leo jeshi la Israel bado lipo Lebanon...hivi unajuwa idadi ya Hezbollah ambao wameuliwa..? sasa wewe nitajie achievements za Hezbollah..bila kusahau kuwa Israel bado ipo Gaza
@twahasuleiman-lo9vl2 күн бұрын
Sky! Chemistry now a day inapungua... Kwa wachambuzi... !
@abdulatifismail47473 күн бұрын
Tupo pamoja asanteni brothers /leo wakwanza
@djsma2553 күн бұрын
🎉
@MsafiriKhamisКүн бұрын
GPS nawakubali ssana
@sharifahabsi50043 күн бұрын
Pamoja frome oman 🇴🇲
@AlexGwiha3 күн бұрын
Kwahiyo Kama upo Oman iweje
@eessagogoo76953 күн бұрын
siku zote waarab niwatu wakukufuru tu ata uwape nin awaridhiki na wata tawaliwa mbaka MAHD aje
@MsatiOne3 күн бұрын
Mfumo umebadilishwa hakuna vita kama hivi
@FredWabwire-w3q3 күн бұрын
Ndio nyinyi wafuwasi wa Urusi mjuwe nidaliliza IRAN , Urusi kuporomoka
@frednassary72103 күн бұрын
Masubi leo katema nondo balaa🔥
@francisjackson65243 күн бұрын
Assad ameondolewa, ila tusitegemee amani syria, kunachofuata hapo nihayo makundi yaliyo ungana kugeukana nakuanza kutwangana
@abdallahhamisi453 күн бұрын
Nipo top ten leo
@mwanaidiabdalla52933 күн бұрын
Leo wa sita🙌🏼🙌🏼
@paulvimbamvula95083 күн бұрын
Ata Jeshi kenyewe walikuwa wamechoka
@feisalseleman50983 күн бұрын
siongelei mada ya leo ila smaa aache mapenzi,wakowap urus na iran? usisifie ukapitilizA uongee uhasilia,huwa namuelewa sana masud anaingea uhalisia
@modekaijames3 күн бұрын
Brother smaa anafanya ku balance kipindi lakini ukweli anaujua wakisema wote wakae upande mmoja kipindi kitapoa
@Big_father0983 күн бұрын
Sio Vita ya wenyewe Kwa wenyewe balı bashar alasad alikuwa akiwapiga wananchi wake baada ya kuanza kudai haki zao. Ila wananchi hawakupigana
@ce-083 күн бұрын
😂pumba nyingine hii kwahyo HTS na SDF walikuwa hawapgani hivyo vikundi vya waasi vilikuwepo kitambo tu sema nafas vikapata 2011 kuanza kukiwasha
@tahiyasaidi65323 күн бұрын
kwnye issue kama hizi sensitive..mtafute mtu mbadala meza ikiwa na wachambuz watatu ni vzr zaidi....sio Kila cku mtu hayupo Hailey picha......udhuru unajulikana hatumlaumu ila mjitahs kuweka back up....na HENRY ATACHANGIA TU KWA SIMU
@GeorgeAkasha-zx2rj3 күн бұрын
Utamlipa ww huyo mtu?
@aasatt783 күн бұрын
yeye katoa mawazo yake hakuna haja ya kujibu ovyo
Unaota ndoto za mchan ww acha mihemko urusi haez guswa ngoja uone muvy na fatilia kwa makini ujue kwann urus na iran hawakuingia katik hii vita moja kwa moja watu wana akili nyingi san, alaf ukae kwa kutulia ngoja uone mashoga watakachoenda kukutana nacho
@paulvimbamvula95083 күн бұрын
Cease fire ya Israel na Hizbollah.....hayanishi Israel vita ame be defeated....
@manjoriwakunesa70063 күн бұрын
Naimba namba ya simaa
@Mpangomzima-x6w3 күн бұрын
Dj yuko wapi hadi nchi ya watu inapinduliwa kaxi udini yani mi ningelikuwa kiongozi niliye pidua ningewatoa wote wenye majeshi ya kigeni wote hata bazi zao ningezifungia zote watoke
@chrispinmkanda60973 күн бұрын
Wale watu wanaodai hii habari ni ya uongo Bado wanashaka tena na hii habari, Maana Kila habari inayo wachoma roho wanageuza kuwa uongo,
@Khaly-v7c3 күн бұрын
Libya walifurah sana kuondolewa gaddafi, leo wanalia, na syria waache tu tuone hayo maisha mazuri wanayoyawza, naujinga wao.
@issalyanali41192 күн бұрын
Dunia haijashangaa,, huo ni msaada wa USA na Israel
@Phillytv27383 күн бұрын
Leo wa pili
@johnmichaellukindo21Күн бұрын
Zungumzeni kuhusu vita ya ndani sudan
@khamsjabdullah6913 күн бұрын
Henry mwinuka ni mwalimu mtoro
@joshuakasemelo16752 күн бұрын
Wewe smaa unaumia sana washia,urusi na irani kudondoshwa huko sria maana siku zote uchambuzi wako ni wa kiitikadi,subili tena iran na hezbroh utateseka sana nikichapo tu
@BereKimas3 күн бұрын
jeshi la rashia ni kubwa syria tena nikubwa sana sehem ambapo alipo kua ana tegemea katkita ushawishi wake kwa wa arabu na nguvu
@ghazarahmed802 күн бұрын
Uelewa wng kwa walaka wa trump no kumkejeli Putin na kumpa onyo ako react katika vita na akiendelea katika vita watampiga vibayaaa na the world are waiting for.