Рет қаралды 86
Karibu katika Mahafali 👩🎓🎉👨🎓🎉ya mwaka huu yatakayofanyika Ukumbi wa KIBO ( kibo hall) huko Dar es salaam.
Sherehe itaanza saa kumi jioni Hadi saa mbili usiku. Tafadhali usikose kuwepo pale🔥🔥.
Kiingilio kwa wasio wahitimu ni kiasi Cha Tsh. 20,000/=. Kutakuwa na usafiri bure kutoka shuttle point UDSM.
#UDSM#graduation#tucasanyererecampus#twenzetu_kibo