Hakika sisi sote ni wa mwenyezi Mungu siku moja kwake tutarejea poleni Sana ndugu zangu Handeni
@BashiruMteka13 күн бұрын
Inn Lilah wainna ilaih rajiun
@fatimataidrissa-bangura20212 күн бұрын
MAMA SAMIA NAKUSALIMIA MIMI MWANAO WA KUFA NA KUPONA. Tupeane pole sote kutokana na msiba wa Uliotokea huko Handeni, kwani msiba huo ni wetu sote. Mungu aziweke PEPONI roho za wenzetu wote ambao wametutangulia mbele ya haki. AMIIINA AMIIINA AMIIINA.
@ThomasKagwata13 күн бұрын
Habari ya Leo 15
@MwanakheriOmari13 күн бұрын
Inalilahi wainailaihii rajiun
@JemsiMokya13 күн бұрын
Poleni Sana mliye patwa na ajali mungu awatangulize
@Ahmdee-g9l13 күн бұрын
Waliofiwa nawapole😂
@SamoraMakundi-bn5bd13 күн бұрын
Polen sn
@masoudalriyamy629813 күн бұрын
Ajali haina kinga ispokua sharia raiya hatujui inatakiwa inapotekea ajali jambo no1 iwekwe alama barabarani inawekwa matawi ya miti barabarani ile inakua alama na dereva wa malori mwendo mkubwa sio sifa ni upumbavu mwendo mkubwa barabara zakizamani finyu pia mitihani