Mimi Niko Gisenyi Rwanda ni mji unaoshikamana na Goma DRC, vita bado nikali make M23 wameingia lakini bado wanapambana, risasi na mabomu yananguka Rwanda na watu wanajeruhiwa, ndiyo Hali halisi hiyo, Mungu tu 🙏🙏
@theodorythobius3965Күн бұрын
Duuuh😢😢😢 poleni sanaa
@abeidkhamis6130Күн бұрын
wenye vita ni wazungu na wanao cheza kama Actors ni. Waafrika wenyewe Felix ,kagame na M23 lengo ni nchi za ulaya kupora Rasili mali za kongo tu ambapo kagame na felix wote wana faidi ki uchumi. Sababu Rwanda haina uwezo wa ki fedha kudhamini vita halafu Rais Tchisekedi hawa taji NATO kua wausika bali wana tuzubaisha wakiendelea kushutimiana baina yao kagame na Felix na M23
@HijaSaid-t6cКүн бұрын
Safi sana toeni dikiteta
@MnengatvКүн бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭wanaoumia ni watu wasio na hatia kwa maslahi ya wachache hii si sawa why CONGO? May god be with you
@josephgalandu128Күн бұрын
Yesu wateteeee😢😢😢😢
@MalamboSelijusКүн бұрын
Lakini mambo mwingine niupumbu wajeshi la Congo
@JosephPhinias-p1lКүн бұрын
Wakongo mmelala sana. Pambanieni nchi yenu😮
@HaroldTarimo-g6fКүн бұрын
D R Congo inamaana ichi kubwa hawana jeshi imara wanashindwaje vita na waasi aibu kubwa Je jumuia ya Africa mashariki mbona kimya
@jizasjinakubwa-j1qКүн бұрын
Jumuhiya ya masharaki ndo inayo piga congo. Hususani rwanda na uganda pia hapo juzi TZ ilituma majeshi lakini nao wamefeli inamaana tanzania pia hahina jeshi
@mmungfunnytv.Күн бұрын
We nimpumbavu kweli.
@henrybovick93Күн бұрын
Leo dunia mko tayari kuona wa innocents wakongomani wakiuwawa Bila tatizo ila wakongomani wakilipiza kisasa mtasema tena oh oh oh Massacre in Rwanda 🇷🇼 be careful africa's belong to us
@RonnieBertinКүн бұрын
HII NI AIBU KWA NCHI YA CONGO NA WANANCHI WAKE IMAGINE RWANDA IMEIVAMIA CONGO KI NCHI KAMA RWANDA UNAJUA KWA NINI NACHEKA HII NI MAAJABU
@MuhindoAkimКүн бұрын
❤😭😭😭😭😭😭💔🙏🙏🙏🙏
@GeremihJumaКүн бұрын
Mkuu wa umoja wamataifa Zero Sija wahi kuonan anazukaia Vita ufaransa zero Wao ndiyo Wana leta machafuko duniani Ulaya zero mmetuchosha 😠😭☝️😭 Waafrika tujitambue
@allysimu6856Күн бұрын
Kwani uyu mzee anajikutanani
@AllyKeitaBungaliКүн бұрын
Viva M23 vivaa
@theodorythobius3965Күн бұрын
!!!!?
@imananiyonkuru9694Күн бұрын
wacongomani kenye banaweza ni mdomotu kusemasema vyavita mapambano wabi wapi wapi kbs
@mustaphakheba4644Күн бұрын
tusubir kuona Kwan muda utaongea
@MbilizihenryKazamwaliКүн бұрын
Mtangazaji havana amekufa amepana inji sama ya uraisi iko wapi
@bogalechtafari378Күн бұрын
Na Kuna kundi la maaskari wa Congo (wazalendo/FDLR) wameingia Rwanda wakakamatwa
@AllyKeitaBungaliКүн бұрын
Wachee hao wahutu WANATAKA kua WATUTSI hilo ni kosa ngoja wapigwe Rwanda ni nchi kubwa sana kiintelejensia #Viva kagame
@imananiyonkuru9694Күн бұрын
tokakure FDLR ikowapi wewe haramu
@bogalechtafari378Күн бұрын
Lakini sorry kidogo wale ni askari wazalendo ambao walijisalimisha pale mpakani Kwa askari wa Rwanda baada ya mapambano kuwa magumu sana huko