The introduction haikuwa inasikika😢😢. Quick recovery Keshi.
@Tucheke-j9bАй бұрын
Iyo wimbo iko juu sana ata sio nessesary
@dorcusmutemi9902Ай бұрын
Dawa ya jino ni kug'olewa tu, quick recovery
@AnnnjokiNjokiAnn-um8piАй бұрын
Watu pia nanyinyi nahizi ma congratulations zenyu hamuoni nimeno inauma keshi wajameni sazingine huwa mpaka mnasinya😏😏😏quick recovery keshi 💔💔💔💔
@graciousgrace7841Ай бұрын
Wanasinya kidogo😂😂😂😂😂😂😂kila kitu hata mafua congratulations 😂😂😂😂😂
@DalvineNafula-y1yАй бұрын
😂😂😂😂😂😂wah
@AmaumoSarahАй бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@philiskadenyi6252Ай бұрын
@graciousgracwametoka kwa gee wako keshi wanasinyapa akie7841
@jenniferkwanza9473Ай бұрын
Mwanaa 🤣🤣🤣
@PatrickMbai-q1vАй бұрын
Pole sana keshi. Plz Biko where is Gee and Vinny flava your best friends plz 👏👏👏
@joycewambui6138Ай бұрын
Meno dawa yake ni kung'olewa...hiyo inaeza fanya ukae njaa siku mzima ata kunywa maji ni shida...Pole mamaa❤ ng'olewa tu woiye
@EstherWanjiru-u5iАй бұрын
Exactly that's e madecine tuu
@muleliz465Ай бұрын
Meno si mchezo hio pain uchizisha mtu
@charitywanjugu3336Ай бұрын
Shida ni meno ikiwa imevula haiwezi ng’olewa😢😢😢
@beatrice3675Ай бұрын
Afanye surgery mm nilikuwa na meno tatu zinauma kwa pamoja but nilikataa kuungolewa nikafanyiwa surgery I thank God 😊 🙏🏼 am ok
@margaretnjoki3836Ай бұрын
Ikifika ni meno tunaongea mambo mengine 😢😮😮😮😮😮is not a joke 😢
@yvonnebosiboriАй бұрын
Na watu c mnapenda news za mimba wah anyway qr fiance ❤
@SamuelMuia-xw9ncАй бұрын
Biko next time u try uweke background ikiwa chini,,,hapa nimewaste data zangu Bure juu sijasikia intro
@WasynafylifestyleАй бұрын
Sorry Keshi,,enda super buy cloves,hukaa kama misumari,,unaigrind then use it in powder form eka kwa meno inauma ,,,ikiacha kuuma stop using it coz pia ukiioveruse iko na effect but hupoesha haraka,,,,meno huuma uchungu unaeza dance bila wimbo😢
@Eunieshee-n2tАй бұрын
Quick recovery my cutie keshi meno ukuwa chungu sana all the best
@ceciliandia9593Ай бұрын
Quick recovery keshi ❤
@sharonmuthoni8436Ай бұрын
Get well soon keshi 🧡🧡🧡
@judywanza3366Ай бұрын
Helloo sharone,nipitie done kwako
@sharonmuthoni8436Ай бұрын
@@judywanza3366 hello done
@LifewithsusankАй бұрын
Nipitie nukupitie
@LifewithsusankАй бұрын
@@judywanza3366done nipitie pia
@PamelaWanja-vo6ccАй бұрын
Wacha staki kukumbuka meno iyo tyme ilikua inaniuma nilikua nalia kama mtoto aki weee 😢
@joywaithera5370Ай бұрын
Uchungu wa meno is a no joke,pole sana Kesh
@brendaokola3893Ай бұрын
Toothache isn't a joke😢😢healing upon you bbygal❤🙏but dawa yake ni kuing'oa