HAIJAWAHI KUTOKEA AL-HIKMA YAWAKUTANISHA MAULAMAA WA TANZANIA IKIMPONGEZA SHEIKH AL-MUALIM

  Рет қаралды 4,149

Kishki Online TV

Kishki Online TV

Күн бұрын

Пікірлер: 50
@ustadhisimbula8622
@ustadhisimbula8622 13 күн бұрын
Shekh abdul,qadir ni mwanachuon huyo maa shaa llah allah ampambe kwa afya njema yeye na team yake ya alhikma
@AshurasKikao
@AshurasKikao 6 күн бұрын
Maashaallaah mahilama wetu Allah awazidishie amina
@ustadhisimbula8622
@ustadhisimbula8622 13 күн бұрын
Watu waendelee kua pamoja kwaajil ya allah na usilam utapata nguvu zaid in shaa llah
@Mariam-ke4og
@Mariam-ke4og 16 күн бұрын
Mashaallah Mashaallah hayo ndiyo tunayoyata sisi waislam na siyo wale wenye genge la Sharifu feki
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 15 күн бұрын
MASHA ALLAH 💚💚💚
@hamidashaban1203
@hamidashaban1203 16 күн бұрын
Allah awahifadhi hapa duniani na akhera.
@qaboosabdulrrahmaan1314
@qaboosabdulrrahmaan1314 16 күн бұрын
يسرنا كثيرا ان نرى علماءنا من مختلف المذاهب جالسين حول ماءدة واحدة ، يتبادلون الاراء ، و هذه خطوة مهمة نحو الرقي و التقدم و تحقيق الوحدة بين صفوف مسلمي تنزانيا رغم اختلاف وجهات نظرهم , كما نهنىء علماءنا الذين قاموا بتلبية الدعوة و كل من ساهم في في عقد الاجتماع ، *نعم الثواب و حسنت مرتفقا*
@MiriamAziz-z5t
@MiriamAziz-z5t 16 күн бұрын
MWENYEZI MUNGU MTUKUFU AWABARIKI MAULAMAA NA MASHEKH WOTE....MANENO YA HEKIMA, BUSARA, KHERI NA AMANI KWA WAISLAM.
@agiasaidi5294
@agiasaidi5294 16 күн бұрын
MashaAllah, mashaAllah, mashaAllah
@iddyiddy1282
@iddyiddy1282 16 күн бұрын
Waalayku salaam warahmatullah wabarakatu, Khalid bin Omar🤝🏼. Mashallah tabaraka Rahman❤
@muliamadi859
@muliamadi859 16 күн бұрын
Masha'Allah tabarack allah.
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 16 күн бұрын
MNASHIRIKINA NA MAIBADHI (KHAWARIJI ) ALAFU MNAJIITA WATU WA SUNNAH
@dhamiirrashid6175
@dhamiirrashid6175 16 күн бұрын
Ndugu yangu soma dini kwa iyo ibadhi wao si watu wa sunnah au sunnah nikufanya nn labda ulichokusudia wwe,
@dhamiirrashid6175
@dhamiirrashid6175 16 күн бұрын
Mm nakushauri tu ufanye ibada kwa kumuabudu Allah kwa siri na dhahiri, co kufanya kwa kujionesha na kujiona wwe ndio umekamilika kila mtu anakili zake unavoelewa wwe humohumo darasani kwa mwalimu 1 wengine wanafahamu tofauti Muabudu Allah
@nyatya199
@nyatya199 16 күн бұрын
Ikiwa Mtume wetu alishirikiana na Mayahudi, kipi kinazuia kushirikiana na Maibaadhi?
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 16 күн бұрын
Wewe ni mfuasi wa Diamond
@hamidashaban1203
@hamidashaban1203 16 күн бұрын
Mashaallah mabruuk
@KiagoBakari
@KiagoBakari 16 күн бұрын
Hivi Tanzania kumbe kumbe kuna maulamaa na wana wa zuoni innalilahi wa innaa ilaihi raajiuun
@nyatya199
@nyatya199 16 күн бұрын
Wewe unaona kuna wakina nani?
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 16 күн бұрын
Unaonekana wewe ni mtu wa fitina na chokochoko,Acha tabia hiyo
@Abdulshabani-nl8xk
@Abdulshabani-nl8xk 16 күн бұрын
Asalam alikum mashekhe na viongozi wengine.acheni.kufaraqana itilafu ipo.lakini umoja ni amry ya Allah
@hamishussen1589
@hamishussen1589 16 күн бұрын
Mashallah
@ustadhisimbula8622
@ustadhisimbula8622 13 күн бұрын
Pongez pia kwa mh mufti wetu wa tanzania amekua sambamba na viongoz wa dinI bila kujali madhaahib hivi ndio tunataka na ndio tunapenda
@KhalifaHassani
@KhalifaHassani 16 күн бұрын
Mashaallah mashaallah mashaallah hongereni sana al-hikma hakika mengi mnayoyafanya ni ya kuigwa.
@Sofi99-u6o
@Sofi99-u6o 16 күн бұрын
❤❤
@noot-oe2mw
@noot-oe2mw 16 күн бұрын
Mashaallah Mashaallah 🙏🙏🙏
@GhalibLindi
@GhalibLindi 16 күн бұрын
Swahili therapytv, usipende kukariri mifarakano, tetea umoja
@KiagoBakari
@KiagoBakari 16 күн бұрын
Mbona hamjawaita mashia
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 16 күн бұрын
Acha fitina wewe,unaweza na wewe kuandaa hafla ukawaita.
@Abdulshabani-nl8xk
@Abdulshabani-nl8xk 16 күн бұрын
Fikisha mawaidha ila mtu kukufata ni hidaya kutoka kwa Allah si ulazimeshe na iwe nimatusi na.kuishi kwa uadui
@AbdallahKifundo-t5e
@AbdallahKifundo-t5e 16 күн бұрын
هذ الرجل يريد أن يساوى بين الحق والباطل....
@AbdallahKifundo-t5e
@AbdallahKifundo-t5e 16 күн бұрын
Vipi hemed jalala hamjampa udhulu mukamualika ili tupeleke mbele gurudum la uislam
@WazirrashadYussuf-um5uq
@WazirrashadYussuf-um5uq 16 күн бұрын
Hii comment hii atakaeingia tutapambana nae.
@WazirrashadYussuf-um5uq
@WazirrashadYussuf-um5uq 16 күн бұрын
Wawekeen wazi watu ikhtilafu gani hiyo mnazungumzia nyinyi sababu sisi tunajuwa ikhtilafu ziko 2 ....sasa lazima muweke wazi ...laa si ivyo ...mutuambie kila khilafu ni watu kuachiana tu.
@WazirrashadYussuf-um5uq
@WazirrashadYussuf-um5uq 16 күн бұрын
Wee mtangazaji wawajuwa wanachuoni? Au wajisemea tu
@mwalivanduabdul
@mwalivanduabdul 15 күн бұрын
Mmmh
@WazirrashadYussuf-um5uq
@WazirrashadYussuf-um5uq 16 күн бұрын
Tanzania kuna wanachuoni?
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 16 күн бұрын
Wanachuoni wapo saudia
@NuryaMusa
@NuryaMusa 16 күн бұрын
Duuuuh ety. Maulamaaa. Hhhhhhhh😂😂 wazushi wakubwa
@MussaIssa-d5u
@MussaIssa-d5u 16 күн бұрын
Hayo ndo mambo sasa sio kupoteza mda kwa yule nyau nyau sharifu feki
@MutoniwaseMadinah
@MutoniwaseMadinah 16 күн бұрын
Kweli kbsa
@IsihakaRajabu-y6v
@IsihakaRajabu-y6v 16 күн бұрын
Kule sio kupoteza muda kak,shekh ameuzindua imma kuwa yule sio shairf Bali nimiongon mwa matapel tu kama alivyotanabahisha kuwa tiba sio haramu ,lkn jee unaitoaje hiyo tiba?
@AbuuRuqaiyyah
@AbuuRuqaiyyah 16 күн бұрын
Tanzania tuna maulamaa?
@NuryaMusa
@NuryaMusa 16 күн бұрын
😂😂woote niwazushi. Wakubwa. Ety. Maulamaa
@Abdulshabani-nl8xk
@Abdulshabani-nl8xk 16 күн бұрын
Hakuna ushekhe waku chuki na kusemana hadharani busara ni.kuitana kujadili palipo shida
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 16 күн бұрын
Mbona shekh kasim mafuta hamjamualika Hamjuwi kama na yy ana elmu pengine kushinda ata nyie apo
@HabibOthmani-n8c
@HabibOthmani-n8c 15 күн бұрын
😢ndivyo anavyowadanganya huko pongwe
@Abdulshabani-nl8xk
@Abdulshabani-nl8xk 16 күн бұрын
Ku ikhtilifiana ni jambo lipo ila kuishi kwa uadui ni haram.ktk dini na.kwa waislam woote
@AmadiSaidi-sx4dn
@AmadiSaidi-sx4dn 16 күн бұрын
Hivi watu mmekuaje kwanini hatupendi kher
@hameidseif7083
@hameidseif7083 16 күн бұрын
Mashallah
UISLAMU NI DINI YA USAFI SEHEMU YA PILI KHUTBA YA IJUMAA SHEIKH KISHK
48:59
СКОЛЬКО ПАЛЬЦЕВ ТУТ?
00:16
Masomka
Рет қаралды 3,5 МЛН
This Game Is Wild...
00:19
MrBeast
Рет қаралды 185 МЛН
ТВОИ РОДИТЕЛИ И ЧЕЛОВЕК ПАУК 😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 6 МЛН
HIVI NDIVYO SHEIKH KISHK ALIVYOMSILIMISHA PIERRE LIQUID
16:52
Kishki Online TV
Рет қаралды 364
#LIVE: HII NDIO SWALA YA ISTIKHARA - (WADHAKKIR)
1:21:34
Kishki Online TV
Рет қаралды 2,3 М.
LISSU AANIKA MPYA " HATUKUWEKA WAGOMBEA WA KUTOSHA"
23:26
JAMBO TV
Рет қаралды 4,8 М.
HILI LA KUIGWA MUFTI ALIVYOWATAMBULISHA WAGENI KWA MNDOLWA KOROGWE
39:47
BACHU AMVAA SHEIKH OTHMAN MAALIM TUHUMA ZA UZUSHI VIGAWANYO VYA TAWHID
26:32
40 Qiso┇40 Qiso Ee Ygu Saameynta Badan 2023ᴴᴰ┇► Sheekh Musdhafa Xaji Ismaciil
3:26:03
ZINAA NI DENI LA AJABU. SHEIKH KISHK.
39:14
Kishki Online TV
Рет қаралды 239 М.
СКОЛЬКО ПАЛЬЦЕВ ТУТ?
00:16
Masomka
Рет қаралды 3,5 МЛН