Haja ya Moyo - Minister Eliya Mwantondo (official live video)

  Рет қаралды 1,000,605

Eliya Mwantondo

Eliya Mwantondo

5 жыл бұрын

Song :Haja ya moyo
Album:Sound of Victory 11th November 2018 at Arusha Metropole Hall
Song Written by Eliya Mwantondo
Music Directed By Harry GB
Audio Recorded and Mixed by Samuel Mboya (Chosen Records)
Video by Amigo Johnson

Пікірлер: 268
@lawrencelisakeli7067
@lawrencelisakeli7067 4 жыл бұрын
kuna kipindi napitia magumu sana mpaka saa mingine nawaza kwani mungu mimi anioni lakini nikisikiliza wimbo huu myoni mwangu nasikia baraka kupitia wimbo huu umenipa ujasiri kumbe mungu ukimuomba na kumpelekea haja zetu anasikiliza na anajibu kwa wakati.mtummishi mwatondo huu wimbo una annointment ndan yake na barikiwa,ni maombi yangu bwana azidi kukutumia zaidi na zaidi kaka,mimi ni shabiki yako,,,,,,YOUR THE BEST BRO
@marylukindo2204
@marylukindo2204 Жыл бұрын
Mungu atakuonekania
@faithjoseph6641
@faithjoseph6641 4 жыл бұрын
Awwwwwwww jaman my fav song Sitoacha kumpenda Yesu kuna raha yake na kukaa na Yesu siku zote ni haja ya moyo wangu.....Bless you Bro Eliah🔥🙌🙌🙌🙌
@boazdanken
@boazdanken 5 жыл бұрын
Hongera sana Mtumishi wa Mungu Mdogo Wangu Yesu azidikukuinua zaidi
@EliyaMwantondo
@EliyaMwantondo 5 жыл бұрын
Glory to Jesus. Ahsante sana kaka
@katamabada3839
@katamabada3839 5 жыл бұрын
Amen nyote Mungu azidi kuwainua Kenya mnatubariki ila contact zenu hatuna tuwaalike watumishi....
@shadukalangali6003
@shadukalangali6003 4 жыл бұрын
Ubarikiwe zaid kaka Boaz danke kwa kuwapa moyo watumishii wanaochipukia.
@dickydickson4370
@dickydickson4370 4 жыл бұрын
@ boaz Danken you also bless me too with your sweet melody songs. May God keep on lifting you up
@dickydickson4370
@dickydickson4370 4 жыл бұрын
@@EliyaMwantondo kazi nzuri mtumishi Eliya nakuombea fanaka katika huduma yako
@BenjaminMassawe
@BenjaminMassawe 4 жыл бұрын
Huu wimbo umenivusha kwenye kipindi kigumu cha ukame na kufanya niangaze kwa utu upya, may God keep using you kama chombo teule cha kugeuza na kurejesha mioyo iliyoinama na kukata tamaa, Bwana azidi kumimina mafuta yake mabichi juu yako 🙏🙏
@caiki35
@caiki35 5 күн бұрын
Thanks for coming to Citam Thika Rd today on Sunday and minister to us during the Worship experience....God bless you and the entire team.
@lawrencesoundengineer9745
@lawrencesoundengineer9745 4 жыл бұрын
Being a sound engineer I'm challenged by how great this live recording has been done good work watching from Kenya
@gracembatha2013
@gracembatha2013 4 жыл бұрын
But the lead mic isn't being heard, it's like it's not working or something
@poulletkavuvi2227
@poulletkavuvi2227 4 жыл бұрын
Bertha, na venye iko loud! Kwani uko mavitu?
@leahwairimuwanjohi8193
@leahwairimuwanjohi8193 4 жыл бұрын
True ,the sound is just Glorious
@katamabada3839
@katamabada3839 3 жыл бұрын
Oooh sure engineer its quite a good effort..Kenya Msa locked
@anitahbecky9304
@anitahbecky9304 3 жыл бұрын
@@gracembatha2013 the back up too are very low
@user-he7bb3le6e
@user-he7bb3le6e Ай бұрын
Eemungu naomba kukaa nawe siku zote za maisha yangu. Wimbo mzuri sana
@johnedwardkassawa2952
@johnedwardkassawa2952 4 жыл бұрын
Dah huu wimbo umenigusa Sana. I'm member of worship song. My first time to hearing this song were at Church Nyamanoro Anglican Church and has make me tears flow in my eyes. Then I started searching for this song while I didn't know who performed this song .Today I get it thanks JESUS
@mrfavour9996
@mrfavour9996 5 жыл бұрын
Sawa sawa Fundi nakubali sa ukiimba ila ukipiga piano ni balaa zaidi asee sasa mkuu nakupataje asee nakutafuta kuna kitu nataka unishauri au unisaidie ukiniona utanikumbuka ulitupigia piano tukiwa tunarekodi Faraja Praise team
@denasterdeusdedith4086
@denasterdeusdedith4086 3 жыл бұрын
Hii ni haja ya Moyo wangu Bwana a found my self crying out,very exited, I like u eliya mwantondo GOD bless u more times
@emillyakhulo8603
@emillyakhulo8603 4 жыл бұрын
Hakika ni haja ya moyo wangu kukaa ndani yako eeee bwana nawe ndani yangu Blessed is him who reigns in this wonderful praise barikiweni sana
@pacifiqueclement4359
@pacifiqueclement4359 3 жыл бұрын
Every time am on KZbin I have to search for the song . and that has always be my prayer to be in God presence
@gracembise906
@gracembise906 3 жыл бұрын
Ni maombi yangu Bwana Yesu... Nikae na wewe... Uniambie na mimi nikuambie. ....
@joskyshams4758
@joskyshams4758 8 күн бұрын
Hii ni haja ya moyo wangu kukaa nawe 🙌
@emanuelmbise4750
@emanuelmbise4750 4 жыл бұрын
Hakika n moja kati ya nyimbo nikisikiliz najikuta napata Aman ya moyo barikiwa sana kwa ujumbe mzuri mungu akuinue zaid Na zaid katika kumtumikia..
@hekimamuhoja8102
@hekimamuhoja8102 5 жыл бұрын
Amen, kweli ni wajibu wetu kujiuliza Kila siku hivi nimekaa na Mungu au tayar niko peke yangu ye yuko nje! Powerful song yes ni haja ya moyo wangu kukaa na Bwana sikuzote.
@godlovetheudas771
@godlovetheudas771 3 жыл бұрын
Wooow" hii ni haja ya moyo wangu Hekima kukaa naweeh,,,,Muhoja."
@katamabada3839
@katamabada3839 3 жыл бұрын
Hongera mtumishi Eliya umeinua moyo wangu kupitia ujumbe ndani ya wimbo huu..
@lizmckenzie8722
@lizmckenzie8722 4 жыл бұрын
Whenever I hear this song its makes me cry....be blessed
@lucylucy3155
@lucylucy3155 4 жыл бұрын
Mimi ni mkenya na wimbo huu kwa wakati wa sasa ni haja ya moyo wangu
@fobumusic8240
@fobumusic8240 5 жыл бұрын
Yaan huu wimbo n moja kat nyimbo znanbalk kila nnapokuwa katka mapambano ya Kutafuta na huwa napata upako ndani ya Moyo Wangu #HajaYaMoyoWangu 💪👏😅🙏🙌
@LawrenceYobuNdosi
@LawrenceYobuNdosi 5 жыл бұрын
Ubarikiwe rafiki yangu! Hii ni haja ya moyo wangu kukaa nawe Bwana #lawrencendosi
@gracesirengo629
@gracesirengo629 4 жыл бұрын
This song moves every Barrier and obstacles in my life,,, I'm not leaving at His Feet, shallom
@danielpaulbwagegeganguye8641
@danielpaulbwagegeganguye8641 2 жыл бұрын
😭😭😭Hallelujar,this song i repeat watching,watching from EAST AFRICA TANZANIA
@collinsngilah2456
@collinsngilah2456 4 жыл бұрын
Hii ni haja ya moyo wangu, kukaa nawe bwana!!! Watching and being blessed from Kenya
@hellenalbert5317
@hellenalbert5317 4 жыл бұрын
Ni haja ya Moyo wangu kukaa na wewe Bwana Yesu katika maisha yangu..nimebarikiwa Sana na huh wimbo..mbarikiwe Sana kwa uimbaji wenye baraka
@dr.peterik2586
@dr.peterik2586 4 жыл бұрын
Hongera sana Eliya wimbo huu unamguso sana moyoni mwangu ubarikiwe na Mungu akutumie zaidi
@kelvintembo1228
@kelvintembo1228 4 жыл бұрын
hii siku nilikua katika hili tamasha na nimemiss sana hii siku nili furahi
@dennismapalala8679
@dennismapalala8679 4 жыл бұрын
hongera sana mtumishi wa Mungu, ukitembea katika kusudi la Mungu hakika unakuwa wa juu tu, what a blessing!
@orenisrael823
@orenisrael823 5 жыл бұрын
Hii ni haja ya Moyo wangu,kukaa nawe siku zote za maisha yangu my Darling Baba,my Sweet Jesus🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏
@peterodipo175
@peterodipo175 4 жыл бұрын
Obssesed with this song because God is with all of us through our easy and hard times
@purotich
@purotich 4 жыл бұрын
Tanzania you are blessed at a different level may God lift you up
@danielpaulbwagegeganguye8641
@danielpaulbwagegeganguye8641 2 жыл бұрын
am here in Tanzania too,,be blessed
@liztsere7221
@liztsere7221 3 жыл бұрын
Blessed by this sound of worship to GOD. More glory and favor in Jesus name Eliya. Cannot wait for Sound of Victory live DvD
@modeckaijoram6020
@modeckaijoram6020 2 жыл бұрын
Enx lord
@misswilliam9796
@misswilliam9796 4 жыл бұрын
Ninekuona tafes ya last week I never heard you but I can't over this song na hakuna kama wewe... You're so blessed....God bless you
@queenfletcher4223
@queenfletcher4223 5 жыл бұрын
Mweeee Hongera na Asante kutupandishia Hii video BLESSINGS 😞🙌🏻
@israelprincemusic
@israelprincemusic 4 жыл бұрын
still a great song in 2020
@phennyolela8149
@phennyolela8149 4 жыл бұрын
You're doing a wonderful work bro ,may Gods grace , strength, favor and peace be with you always as you continue serving him, barikiwa
@IreneCtz
@IreneCtz 4 жыл бұрын
haja ya moyo wangu that one day you will hug me Yesu
@davideliakim2167
@davideliakim2167 4 жыл бұрын
this is the desire of my heart to dwell in your house Lord......GOD bless you Brother
@consolatamedard2777
@consolatamedard2777 5 жыл бұрын
Duuuh nakosa atalakusema ila ubarkiwe zaidi Kibur kisiinuke ndan yako skuzote endlea kukaa magotin mwa Mungu
@danielmutisya5275
@danielmutisya5275 4 жыл бұрын
You bless my soul man of God.
@limicosmas4712
@limicosmas4712 4 жыл бұрын
How a lovely and blessing worship song is!!!!! it comforts and gives hope to move on ...no matter how difficult the situation is, may our Almighty God lift u up
@cyndieachieng9392
@cyndieachieng9392 10 ай бұрын
I long for your presence in my life Lord, my heart desires to be with you
@shadukalangali6003
@shadukalangali6003 4 жыл бұрын
Kaka eliya mungu azidi kukuinuaa ,,,,,,ubarikiwe zaid na zaid
@robertnanage1149
@robertnanage1149 4 жыл бұрын
Beautiful...essence of worship. Mungu azidi kuwainuia, mbarikiwe
@karenmujungu2703
@karenmujungu2703 4 жыл бұрын
Ni haja ya moyo wangu nikujue wewe Bwana na nikae nawe Yesu wangu
@subiramomburi9148
@subiramomburi9148 5 жыл бұрын
Raboboshika raboshaka .. Umetisha baba... Glory Glory to God
@gilbertmbise9873
@gilbertmbise9873 5 жыл бұрын
Good job bro Elya,,I'm impressed with content ,,,i appreciate basist,,, may living God uplift even more.......
@gidionmanyaga5251
@gidionmanyaga5251 5 жыл бұрын
Kazi iko njema ,Mungu wa mbinguni akubariki sana.Uinuliwe katika viwango vingine zaid🤝
@jonasmwakambonja9964
@jonasmwakambonja9964 4 жыл бұрын
My favorite worship song,,Be blessed son of Jehova
@kennygadau1774
@kennygadau1774 5 жыл бұрын
very poweful man of GOD tunaenda mahali, so powerful worship be blessed, MUNGU akuongezee mafuta
@EliyaMwantondo
@EliyaMwantondo 5 жыл бұрын
Amen my brother and great man of God
@janelisamwadime8444
@janelisamwadime8444 4 жыл бұрын
God use u in greater ways
@veronicamkenda52
@veronicamkenda52 4 жыл бұрын
Unanibariki sana na wimbo wako Mungu akutunze.
@JohnNelson92
@JohnNelson92 Жыл бұрын
This song is always a blessing.... More Grace servant
@miriamlihinda7816
@miriamlihinda7816 4 жыл бұрын
Hii ni haja ya moyo wangu usiku wa leo kukaa nawe Bwana
@godfreykashuli3859
@godfreykashuli3859 3 жыл бұрын
I'm blessed with Tanzanian gospel song. Ki ukweli watanzania tuko juu sana katika muziki wa injili.
@ritaabdul1260
@ritaabdul1260 2 жыл бұрын
Utukufu umrudie Mungu
@mathewissangya5052
@mathewissangya5052 5 жыл бұрын
appreciate many things . pianist has wow, bro humrey also, Gift drummer, all back up, without forgeting my role model Eliya did a great job broo . praise to God,. My almighty God bless you all
@lorenmukei7678
@lorenmukei7678 4 жыл бұрын
great son. Hii ni haja ya moyo wangu kweli
@agneswilliamlasway8760
@agneswilliamlasway8760 4 жыл бұрын
Yes Lord Hii ni haja ya moyo wangu BABA Nike nawe siku zote 🙌
@johnmarcus260
@johnmarcus260 4 жыл бұрын
I am not getting tired to watch this song
@asnathkashoke9070
@asnathkashoke9070 5 жыл бұрын
One of my most best worship song And this live video is completely awesome Groly be given to GOD our LORD .Be blessed brother
@aberlymayunga3720
@aberlymayunga3720 Жыл бұрын
Bariki mtumishi Mungu akutumie 🙏🙏 kwa mapenzi yake
@happyrebman6325
@happyrebman6325 4 жыл бұрын
May GOD keep you Man of GOD!
@lucyathumani8181
@lucyathumani8181 Жыл бұрын
MUNGU akuinue viwango vya juu zaidi na zaidi.
@janepallangyo8111
@janepallangyo8111 3 жыл бұрын
Umekuwa wimbo wa baraka sana kwenye maisha kila ninapopita kwenye situation ambayo haieleweki wimbo ambao unaimba moyoni mwangu ni huu..kweli huu wimbo sio wa kawaida sana unakitu extra cha KiMungu ndani yake ...God bless you Minister Elia
@ezekielmjemah8497
@ezekielmjemah8497 2 жыл бұрын
Haja ya moyo wangu. Nikae nawe nawe Yesu. A blessing song and highly professional musician.
@lilianealbinus3452
@lilianealbinus3452 4 жыл бұрын
Nabalikiwa sana kupitia wimbo huuu
@christianmwabukusi8132
@christianmwabukusi8132 Жыл бұрын
Barikiwa sana kwa huduma hii. Nimepata faida ya ibada hii
@bethazoempambo3492
@bethazoempambo3492 5 жыл бұрын
I like the way you minister on Holyghost. Just like Khaya mthetwa like everything
@HumanBeing-pj4hm
@HumanBeing-pj4hm 4 жыл бұрын
I suggest gospel concerts Tanzania mnapoziandaa muwe mnatafuta consultancy ya huyu sound Engineer kuna kitu kajitahidi ambacho huwa kinamiss kwenye sounds nyingi za live concerts. Bless
@ruthnkindikwa9815
@ruthnkindikwa9815 4 жыл бұрын
Nimebarikiwa na huduma yako Sana, 👏👏🙌🙌🙌🙌
@zimbaisote8210
@zimbaisote8210 4 жыл бұрын
Hongera sana kwa kumtumikia Mungu katika uimbaji
@nedroseakinyi9898
@nedroseakinyi9898 7 ай бұрын
Hii ni haja ya moyo wangu though sometimes the situations we don't understand but this is the desire of our heart psalm 42:1
@BarakaWaya
@BarakaWaya 5 жыл бұрын
Bless you mdogo wangu. Perfection iko kiwango chajuu .Muba is killing the groove with that Bass,Md kafanya kazi nzuri sanaa
@EliyaMwantondo
@EliyaMwantondo 5 жыл бұрын
Thank you My Brother. Glory be To God
@georgekabugi8358
@georgekabugi8358 2 жыл бұрын
Ni haja y moyo wangu..kukaa nawe bwana
@samsonsegeja1651
@samsonsegeja1651 5 жыл бұрын
Tuseme nni wapenda praise na worship God bless you bro eliya
@justintsumalewa9648
@justintsumalewa9648 4 жыл бұрын
Hakika hii band ilifunga mziki i love the groove the pianist oh my bless you Eliya with the team
@agneswilliamlasway8760
@agneswilliamlasway8760 4 жыл бұрын
Yes Lord 🙌 Hii ni haja ya moyo wangu kila siku kila saa kila dakika kila sekunde 🙏
@ngwanafabian7532
@ngwanafabian7532 4 жыл бұрын
Hivi kwanini waimba wimbo ukiwa kwenye madhabahu ya kishetani je Mungu ataridhia hizo sifa? Madhabahu yakishetani ni chukizo mbele za Bwana
@nyamburamwangi5140
@nyamburamwangi5140 4 жыл бұрын
Amazing. My morning worship song! God bless you 🙏 Ei!
@BarakaWaya
@BarakaWaya 5 жыл бұрын
Harry ni pianist kweli kweli.
@sheilaashoro4824
@sheilaashoro4824 4 жыл бұрын
This is a great love song unto God....a song for all seasons
@estamushi6073
@estamushi6073 5 жыл бұрын
I love this song aisee! bt shida nikuja kupata audio yk ..😩kila nikisearch n live performance tu
@nessclassic4535
@nessclassic4535 4 жыл бұрын
Am on my start moments i believe am going to reach to your grace.I love your ministry
@dynazahabu1592
@dynazahabu1592 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana kwa hiyi wimbo ime nibariki sanaaa
@priscamakwetta740
@priscamakwetta740 Жыл бұрын
Hongera Sana mtumishi na Kaka yangu Eliah Mwantondo .nabarikiwa Sana 🙏🏼🙏🏼
@asmakaronge6601
@asmakaronge6601 3 жыл бұрын
Wimbo unanibariki mnoo,na hii ni haja ya moyo wangu, barikiwaaa mnoo mtumishi
@justusaganyilatvonline1417
@justusaganyilatvonline1417 4 жыл бұрын
It's better one day dwell in you more than one thousands days far with you
@lifewithirene1527
@lifewithirene1527 Жыл бұрын
2023 and am here worship the Most High God ❤
@subiramomburi9148
@subiramomburi9148 5 жыл бұрын
Hongera sana pia kwa ajili ya back vocal vzr sana
@enockmakere1185
@enockmakere1185 5 жыл бұрын
Hongera sana my bro.. super proud of you!!!
@cynthiamuriithi4678
@cynthiamuriithi4678 6 ай бұрын
So beautiful ❤️
@agieachieng2423
@agieachieng2423 3 жыл бұрын
Asante kwa kukubali kutumika na Mungu. Na hii ndo haja ya moyo wangu kweli.. ubarikiwe kaka
@mikayakabuka
@mikayakabuka 3 жыл бұрын
haya ni maneno muhimu kwa mkristo. lets stay with lord be blessed man of GOD
@dinnahsamwel9607
@dinnahsamwel9607 2 жыл бұрын
Siku zote hii n Haja ya Moyo wangu kukaa na ww Bwanaa💞💕🤗🙌🙏
@samkaemperor5628
@samkaemperor5628 2 жыл бұрын
The guy on them keys y'all 🎹🎹💯💯🎊
@terryannkogei115
@terryannkogei115 3 жыл бұрын
This song really blesses my soul. Indeed this is my desire 😊
@gracemziray3213
@gracemziray3213 3 жыл бұрын
Wimbo wa nguvu sana,
@victorokoth2558
@victorokoth2558 4 жыл бұрын
This songs still sparks the inner spirit... Meanwhile Nelson The Poet has done the first spoken word cover of the NARA song Wanna watch, here is the link @​
@rtlusungu
@rtlusungu 5 жыл бұрын
Wouw brother ... You're amazing kaka, you're a worshipper and a treasure for this generation,.. Stick there brother, no going left or right but do it for God only..
@EliyaMwantondo
@EliyaMwantondo 5 жыл бұрын
Glory to Jesus. Thank you bro for blessing me.
@kevywilly9285
@kevywilly9285 5 жыл бұрын
This song is so blessing and very professional Big up bro u did it,Let the glory and Honor be unto Him sited in Highest.....
@papaaeliud7575
@papaaeliud7575 5 жыл бұрын
Barikiwa sanaaaaaaaaa!!! Sanaaaaaaaaaa!!!
@collinsotieno9133
@collinsotieno9133 4 жыл бұрын
Huu ndiyo tamaniyo LA moyo wangu .....,
@vailetsteven1571
@vailetsteven1571 4 жыл бұрын
Hongera sana Mtumishi WA mungu nibarikiwa sana na huu wimbo
@kisinzaemmanuel6318
@kisinzaemmanuel6318 5 жыл бұрын
Glory to God. Hongera sana bro
Essence Of Worship ft Gladness Siyame -Wewe ni Baba
9:55
Essence Of Worship Ministries
Рет қаралды 10 МЛН
Ukae Nami - Henrick Mruma (Official Live Video)
13:06
Henrick Mruma
Рет қаралды 2,8 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 187 МЛН
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
Бискас
Рет қаралды 4,3 МЛН
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 25 МЛН
UWEPONI MWAKO KUNA AMANI
16:32
D'VINE WORSHIP MINISTRIES - CHURCH
Рет қаралды 1,4 МЛН
Bella Kombo ft. Zoravo - Ameniona (Official Live Video)
11:50
Bella Kombo
Рет қаралды 3,3 МЛН
Moyo Wangu by Patrick Kubuya dial *811*406# to download this song
7:19
Patrick Kubuya
Рет қаралды 67 МЛН
Emma Omonge - |Nachotaka| Official video| [Dial] *837*589#
4:41
Emma Omonge
Рет қаралды 4,5 МЛН
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 23 МЛН
Agape Gospel Band Ft Rehema Simfukwe - Amejibu Maombi (Live Music Video)
12:35
Patrick Kubuya - Sitakuacha (Live Recording )
15:53
Patrick Kubuya
Рет қаралды 877 М.
Essence of Worship - Ninapenda Nikuabudu (Official Video) skiza Codes (7636499)
19:28
Essence Of Worship Ministries
Рет қаралды 6 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 187 МЛН