No video

HAKI ZA MUME KWA MKE || MUME ATARAJIE NINI KWA MKE WAKE"SHEIKH DIMOSO.

  Рет қаралды 78,211

ZVP ONLINE TV

ZVP ONLINE TV

Күн бұрын

#MwlDimoso #Zvponlinetv #Tabora

Пікірлер: 112
@nelsonnikodem1100
@nelsonnikodem1100 Ай бұрын
Mashallha 🎉🎉🎉
@tshishimohamed9086
@tshishimohamed9086 13 күн бұрын
Shekhe demoso 😅😅😅😅❤
@faizaahamd2052
@faizaahamd2052 2 жыл бұрын
Mashaalah. Mashaalah. Nzuri sana Mungu akubariki shehe wetu. Kwa darasa zuri
@mutomubaya
@mutomubaya 3 жыл бұрын
Shukrani Mwalimu. Haya Masomo yanatufaidi jamii kuweza utekelezaji wa mambo ya ndoa. Ni muhimu kila imaam akumbushwe umuhimu wa kuwaelimisha raiya wake ujumbe wa Allah. Kwa hivyo, tuelimishane kuanzia ilmu ya Tawhid ambayo ndio msingi wa imaan na ilmu ya Fiqh ya Ibadah ..hadi tufikie kuwawezesha jamii kujua umuhimu wa kujenga vyema maisha ya ndoa. Lakini ikiwa imaam atakuwa hajihusishi kuwanasihi raiya wake kwa kuwa anakuja Msikitini kuswalisha kisha anaondoka jamii itakosa kuelekea njia sahihi kisha masuuliya yake juu ya maamumah yatabaki kuwa ataulizwa. Na tuwakumbushe pia wazazi wajue wana jukumu la kuelimisha Raiya wao.
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Mashaallah
@noorynmohammedy6063
@noorynmohammedy6063 3 жыл бұрын
Masha Allah Mwenyez Mungu akuifadh zaid sheikh wetu.
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@biubwamohd6089
@biubwamohd6089 2 жыл бұрын
Warithi washekhe nyundo
@aminangalunda8348
@aminangalunda8348 Жыл бұрын
MashaALLAH baaraka llah fiikum
@AbdullahKHamis-r4y
@AbdullahKHamis-r4y 26 күн бұрын
@maryamayitsa6181
@maryamayitsa6181 2 жыл бұрын
Japo mm si mwisalamu,hayo mafunzo ya nanifaa, nakuskiza nikiwa kenya 🇰🇪
@omaniomani643
@omaniomani643 2 жыл бұрын
Shukrani karibu katk uisilamu
@abuuchampion
@abuuchampion 2 жыл бұрын
Mashallah Mary amayitsa karibu Katka uisilam 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@husnabibikhadidjaomari9427
@husnabibikhadidjaomari9427 Жыл бұрын
Silimu sasa ndugu yng
@YussufSaid-ok4pu
@YussufSaid-ok4pu 11 ай бұрын
Allah akujalie uwe muislam Allaah atuongoze ktk njia ya haki
@user-si2mp2io9t
@user-si2mp2io9t 7 ай бұрын
Mashaallah 🥰
@bentybenty2343
@bentybenty2343 3 жыл бұрын
🤣🤣😁😁Masha ALLAH TABARAKALLAH..hadi rahaa👌
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@najatrashidi6647
@najatrashidi6647 3 жыл бұрын
Napenda shehe huyu kwa ajili ya Allah
@mshamsan4338
@mshamsan4338 2 жыл бұрын
Shekhe ni msheshii saanaa anafungua mengi 🤣🤣🤣🤣🤣
@saudahassan6667
@saudahassan6667 3 жыл бұрын
Mashaaallah sheikh somo zuuuriiiii kabsaaa
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 3 жыл бұрын
Mtihani huo mungu atunusuru kwa hilo
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Kabisa
@Saudaboshori-ie7en
@Saudaboshori-ie7en Жыл бұрын
Kweli kabisa shekh unachoongea.tubadilike wanawake kuipata pepo nirahisi Sana tuache usasa😢
@yasalaam590
@yasalaam590 3 жыл бұрын
Mashallah sheykh dimoso mjomba angu wewe dimoso elimu hii mke kama hakuyafahamu huyo kichwa chake sjui vipi
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Mashaallah
@yasalaam590
@yasalaam590 3 жыл бұрын
Swalla llwahu alayhi wasallam
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Naam
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 3 жыл бұрын
Masha Allah natamani izo darsa za wtsp
@HalimaHalima-id2cb
@HalimaHalima-id2cb 2 жыл бұрын
Mashallah shekhe wetu mashallah
@sophianyangalio3796
@sophianyangalio3796 3 жыл бұрын
Walaikum salam warahmatullah wabarakatuh
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Naam
@ladhiarajab6832
@ladhiarajab6832 3 жыл бұрын
Nakukubali dimoso
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@azizakussaga9632
@azizakussaga9632 3 жыл бұрын
Mashallah alhamdulillah sheikh unatupa somo zuri hapo kwenye kumtii mume wengi mwalia Sana lkn nyie wenyewe mnatutengenezea mazingira ambayo ambayo yanafanya mtuone hatutii nanyi mjitathmin
@ayubuiddi8563
@ayubuiddi8563 3 жыл бұрын
mashaallah tabarakala ❤️
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@user-si2mp2io9t
@user-si2mp2io9t 7 ай бұрын
😂 shukra 😂 sana 🙏 shekh 😂 wetu 🙏
@user-br3sc8bm4t
@user-br3sc8bm4t 3 жыл бұрын
Shukran sana nimekuelewa uko Sawa
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@salmamrembo4360
@salmamrembo4360 2 жыл бұрын
Mashallah sheikh tunaomba uwaambie na wanaume kuwa sisi wanawake hatupaswi kufanya kazi za ndani km kupika kuosha vyombo kufua na nk sisi kazi yetu nikuwastarehesha nyie tuu uwaambie pia hats kunyonyesha wanapaswa watulipe pia hill sheikh sijawahi kulisikia kwa sheikh yoyote akilisema hilo ktk mawaidha yake
@shamsaalrahbi5573
@shamsaalrahbi5573 2 жыл бұрын
He 🤣🤣🤣unauvivu ww sibure
@dulashaibkheri3470
@dulashaibkheri3470 Жыл бұрын
tutaliongelea inshaalah
@DaaishaommyDaaishaommy
@DaaishaommyDaaishaommy 2 жыл бұрын
Ma sha Allah.
@mohamedmarzuoq24
@mohamedmarzuoq24 2 жыл бұрын
Assalam alaykum. Sheikh Una nambari ya simu unayoweza patikana Kwa Sisi tulioko Kenya kuwasiliana nawe kando.
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 3 жыл бұрын
Mashaalah shekhe
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@sofiyabakari9730
@sofiyabakari9730 Жыл бұрын
😂 hahaha yan mim hoi
@yasalaam590
@yasalaam590 3 жыл бұрын
Subhanallah
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Walhamdulillah
@kinyovukilongola5620
@kinyovukilongola5620 3 жыл бұрын
999ø
@tawasamshabani1606
@tawasamshabani1606 2 жыл бұрын
Masha Allah
@yasalaam590
@yasalaam590 3 жыл бұрын
Ya sheykh nna ombi langu kwa waume skuizi wamejiacha sana huo ubosi wao shekhe yaani hawawatizami wake zao kwa jicho la huruma wala hawajui majukumu ya kuwatafutia wake hususan hao waume vijana tunsomba jumuiya za kiislam mnoshughulika na maswala ya sheria tuaomba Mueke mkakato kijana asiozeshwe mpaka awe na cheti chskuisoma ndoa na majukumu yake katikanusimamizi Kina mama leo hii hio aya ya arrijalu wawwamuna ala nnisai Waume wenginwao wameibadilisha wameifanya annisau qawwamuwna alarrijali astaghfirullwah Leo hii mke ndio ende akachore watu hina aw akauze nyanya aw mitumba aw kilomo n.k ili amsomeshe mtoto amvishe mtoto amlishe mtoto jee hii kweli ni haki ? Tatizo mnawaozesha bila ua elimu yakutosha mke mume lazima wende chuo kwa uchache miexi mitatu na afaulu maana mtamuuliza chonjo kabla jamjamkabidhi cheti kikowapi na mumuulize nini haki za mke na familia watakayoipata biidhni llah .jukimu ni lanani wakijibu na wakiwa na cheti chakumalizs darsa za ndoa ndipo mumuozeshe aw muwaozeshe nadhani hapo asa kheri allah akajaalia wakaweza kuvumiliana na kuombana misamaha nasi kupeana mitalaka kilasiku ikisha wakaausia watoto kwa konamama
@mutomubaya
@mutomubaya 3 жыл бұрын
Vijana waelimishe wasipoteze umri wao kwenye mambo ya upuuzi au mambo ya haramu kama anasa za ulevi na porojo nk. Bali watumie wakati kwa ibadah za Swalah na kuhudhuria vikao vya elimu na kutafuta riziki ya halali na kuwasaidia masikini na Daawa na kila kheri na wajiepushe na marafiki wabaya miongoni mwa wapotoshi.nk.
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
waume wenyewe hajui majukum yake halafu wao wataka watiiwe mwanamke ndio anatafuta pesa ya chakula nk yy kabki kuzalisha tu ndio wanajua
@mutomubaya
@mutomubaya 3 жыл бұрын
@@heyumi2340 hata kina dada wasipoeilimishwa wanakuwa watu wasiojua yanayohitajika kutekelezwa sio tu kwenye ndoa bali hata katika mambo ya ibadah nyenginezo.
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
@@mutomubaya inabidi watu tusome hata unapooa au kuolewa kila mmoja atajua thaman ya mwenzio na nn mungu anataka hata ibada wengi hawaswali c wadada c wakaka ni mtihan sana
@omarkaundu5068
@omarkaundu5068 2 жыл бұрын
Verry nice
@yasalaam590
@yasalaam590 3 жыл бұрын
Innalillahi wainna ilayhi rajiuna
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Msiba mzito
@jumajumanne1455
@jumajumanne1455 2 жыл бұрын
Mashallah
@khalfaniibrahim201
@khalfaniibrahim201 2 жыл бұрын
Mashaallah
@nasirmohamed1589
@nasirmohamed1589 8 ай бұрын
Ongelea na haki za mke kwa mume make mke pia ana haki acha kuongelea wanawake tu kila siku
@RashidjumaSaid-gc5qq
@RashidjumaSaid-gc5qq Жыл бұрын
😮
@farhadhassansaid8830
@farhadhassansaid8830 3 жыл бұрын
Sheikh wangu, yani unampa ruksa mke kwenda sehemu alafu unakaa masaa manne badae aunamuuliza yupo wapi kumbe kaunganisha sehemu nyengine nilimuuliza mbne huku niambia hapo jibu niliyopewa ni imekuwa issue hiyo ni kweli sheikh wangu, alafu mpaka dadake aliwai kuja nitukana na kunikejeli mpaka niliamuwa nifute namba yake
@imansaid8020
@imansaid8020 3 жыл бұрын
Pole sana farhad
@farhadhassansaid8830
@farhadhassansaid8830 3 жыл бұрын
@@imansaid8020 shukran sana @Iman Said, yani swala la ndoa kabla hujaingia inakuwa mnaongea uzuri tu ila kadri siku,miezi,mwaka na miaka inavyoenda ndipo utajuwa ni nn maana ya kuoa ama kuolewa manake hapo unaeza ambiwa maneno ya kukejeliwa ama kuongeleshwa za ovyo
@imansaid8020
@imansaid8020 3 жыл бұрын
@@farhadhassansaid8830 daaa mtihan je mkeo ni mtu mweny dini kimwonekano
@farhadhassansaid8830
@farhadhassansaid8830 3 жыл бұрын
@@imansaid8020 ndio ni watu wa dini, ila unajuwa tabia na dini ni vitu viwili tofauti manake dadake wife kasoma madrasa ya kiislam na dini ila yy ndio mkorofi yy ndie aliniambia mmbo ya kunikejeli na mwisho kuniambia laiti angelijuwa hangelikubali nimuoe dadake ambae ndio mke wangu ila mm niliamuwa kufuta namba yake kuepuka issue flani manake hiyo siku alivyoniambia maneno hayo sikumjibu kitu chochote kile na sms zenye tulichat niliscreenshot nikamtumia wife azione na yy venye dadake alinijibu manake aliniita mnafiki na bahili wakati mm nipo na dadake ambae ni mke wangu ss yy ananijuwa uzuri ama dadake
@omarymuhidini9758
@omarymuhidini9758 2 жыл бұрын
Saw
@jamillahkheir6536
@jamillahkheir6536 2 жыл бұрын
Takbiiiiirrrr
@user-ji6kb4qj6n
@user-ji6kb4qj6n 3 жыл бұрын
Zote point nzuri.lkn ukisema una darasa za watsap za KUFUNDA.pengine kufunda bwana harusi lkn mwari??haiwezekani maana kuna mambo lzm uwende deep.
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Mh
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
matumizi hakuna udi anautoa wapi lotion hakuna mavaz hakuna vip atapendeza tatizo hamjui kununua hata nguo ili mkeo apendeze kilichobaki kusifia wasichana wa nje
@mutomubaya
@mutomubaya 3 жыл бұрын
Lakini kuhusu tabia hazinunuliwi. Kwa nini kina dada hawaelimishani kuhusu njia kama hizo Sheikh anazozitaja kuhusu mambo ya ndoa?
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
@@mutomubaya sasa mambo ya ndoa yanafahamika pia kuna vitu shekhe kataja na wanaume vitu hivyo hawanunui hata kidogo unadhani ndani kutapendeza kutanukia mkeo atapendezaje hali yakuwa hununui ukiona mwanamke kapendeza ujue ana kazi yake anajishuhulisha wengi hatukai bila kazi utanuka shombo bure wanaume wenyewe wako wapi
@farhadhassansaid8830
@farhadhassansaid8830 3 жыл бұрын
Yani sheikh hii ndoa sai mm naona sio ile ndoa nilipokuwa na mke wangu mda wa nyuma kwa kweli yani mke anakujibu na ukimwambia anakujibu venye anataka yy
@Namanda425
@Namanda425 Жыл бұрын
Tafuta ushauri kwa kadhi
@icepackgiffted7780
@icepackgiffted7780 2 жыл бұрын
Mbona ma 3mason tena
@icepackgiffted7780
@icepackgiffted7780 2 жыл бұрын
Wacha kuiga nyndo wacha kukopi sasa ume kua comedian
@mamamuu8217
@mamamuu8217 3 жыл бұрын
Uyu shekhe anatoa mawaidha mazuri , lkn mawaidha yake kama ! Ninyamaze Mie 🙄🙄🙄
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 3 жыл бұрын
Wapo wanawake wlikuwa hasikii wanatoka bila ya ruhusa ndiyo hivyo
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Mtihani Wallah
@yasalaam590
@yasalaam590 3 жыл бұрын
😃
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Naam
@omaniomani643
@omaniomani643 2 жыл бұрын
Hijabu hatununuliwi sheh
@halimakassimngare4873
@halimakassimngare4873 Жыл бұрын
uko wapii....waitaji hijab? wasliana nami.
@aishaomarry6996
@aishaomarry6996 2 жыл бұрын
Halafu wanawake wenzangu pia mupungze sauti za vicheko zipo juuu
@hassandinhoosmail6378
@hassandinhoosmail6378 2 жыл бұрын
Sio wanawake tu, na wanaume pya wanacheka.🤣
@adamhashim3352
@adamhashim3352 3 жыл бұрын
Daa tulimmis huyu jamaa
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Mashaallah Tumemrudisha Kwa kasi
@TeamKRX
@TeamKRX 3 жыл бұрын
Kaenda wapi kwani alikuwa jamani nijibuniv
@farhadhassansaid8830
@farhadhassansaid8830 3 жыл бұрын
Sheikh wangu, yani mm nipo na mke ila venye ananijibu mpaka huwa nashangaa tu manake kabla hapo alikuwa hayupo hivo
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Pole
@imansaid8020
@imansaid8020 3 жыл бұрын
Farhad nakushauli mchunguze kwaz labda kuna kitu umemkosea, kisha mkanye, kama imeshindikana oa mke wapili kama unauwezo!! Mwenda atatulia Inshallaah!!
@farhadhassansaid8830
@farhadhassansaid8830 3 жыл бұрын
@@imansaid8020 kwa kweli Iman yani huyu ni mke wa pili manake nilioa wa kwanza nikaachana nae kisa yy anataka mmbo ya Dunia tu hamna kujipanga mmbo ya maisha manake alikuwa na watoto pacha msichana na mvulana ilipoikia ya kufikia nikaamuwa tu talaka ifwatie huyu wa pili nae shida yake ukimkanya kama venye unaniambia bac inakuwa issue na kama itakuwa mwaongea bac hapo ni kimya kama dakika tano alafu kuniambia badae na siku ya pili bac hamna kuongeleshana kawaida tena mpaka mda wa siku tano ama nne ama mpaka yy atakapo taka kukuongelesha ndipo juzi ilifikia kuniambia nisimletee so toka hiyo juzi hadi wa leo hayupo online tena
@farhadhassansaid8830
@farhadhassansaid8830 3 жыл бұрын
@@imansaid8020 Iman kuoa mke wa pili aisee naona nitapata presha bure kama wa kwanza ni hivi je nikija ongeza wa pili itakueje manake mume anaoa ilimtulizane na kujadili mmbo ya maisha na kesho yake mkija pata watoto mjue kukaa leo hii kama issue ni hivi utaongeza wa pili kweli
@imansaid8020
@imansaid8020 3 жыл бұрын
@@farhadhassansaid8830 kwa kweli inaumiza ila tafuta mwenye dini, nakuambia uongeze wa pili kwa sababu sisi wanawake tuna viburi sana!! Na hasaa akijua unampenda!!
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
Kma mnaataka kulelewa ndio maana hatakuheshim hata chemb maana yy ndio kachukua majukum yako
@rajabhamza4628
@rajabhamza4628 3 жыл бұрын
Mashaallah
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@peterbigambo3149
@peterbigambo3149 Жыл бұрын
Mashaallah
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 23 МЛН
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 97 МЛН
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 581 М.
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 19 МЛН
MAISHA YA NDOA KATIKA UISLAMU NO 1  #SHEKHE NASSOR BACHU
40:01
Madrasatulfurqani Tv
Рет қаралды 4,4 М.
HAKI ZA MUME KWA MKEWE 1/4 - SHEIKH NASSOR BACHU
31:35
MUZDALIFAH
Рет қаралды 29 М.
Hizi ndizo Haki za Mume na Mke katika Ndoa ya Kiislamu. Baba Kiruwasha
51:15
MKE KITULIZO MUME ACHEKELEA
16:20
MWALIMU DIMOSO ONLINETV
Рет қаралды 41 М.
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 23 МЛН