Hakuna jambo la kumshinda Mungu..It is 2023 and the song is still a blessing
@alphamangwela9393 Жыл бұрын
Who is still 2023? I swear old is gold🎉
@jackmeshack3 жыл бұрын
ninaposikiliza wimbo huu nakumbuka kipindi unatoka mama yangu alikua mjane aliposikia ujumbe huu alipata nguvu ya kutulea asanteni sana kwa huduma ni zaid ya miaka 16 Mungu awazidishe had yesu ajapo awakute na huduma hii Muhubiri 9:11
@danielmathias1603 жыл бұрын
Amen.
@meshackphance4785 Жыл бұрын
Daah huu wimbo niliuangaliaga mwaka 2010 nikiwa mdogo na leo naangalia tena 2023 nikiwa mtu mzm
@Officialjidaa-sn9cs Жыл бұрын
Ata me
@wainainagideon20686 ай бұрын
2010 juzi sana
@bethwellangat2824 Жыл бұрын
The real meaning of Gospel songs.. aic changombe may The Lord God continue to protect you.. mumebariki wengi wengi zaidi . You also have harvested many souls to Christ. I just love you aic changombe .. ❤❤
@RuisFidely-b6j2 ай бұрын
Hii nyimbo toka mdogo naisikia inapigwa ....nzur sana
@lucymwaluma26224 жыл бұрын
This song used to be my favorite 10yrs ago! Guess what it's still the best 😉,just played it right now.
@AugustineMutobera6 ай бұрын
Uyo madam amemaliza 🎉🎉
@TamraMjata-vr8nk6 ай бұрын
MUNGU awazidishie kipaji amen
@young_brother277 ай бұрын
Daaah!😢 nikiusikia huu wimbo nakumbuka mbali sana mpaka natamani miaka irudi nyuma nikutane na wale marafiki zangu wa utotoni😢😢😢😢
@jojimendeАй бұрын
Namupenda uyu Alie imba kutoka wa kwanza kutoka wa Kwanza kaupiga mwingi
@ElibarikiElibariki-mk1et6 ай бұрын
Napenda sana hizi nyimbo haziwe chuja ata siku moja
@eugenielumanya74385 жыл бұрын
Amen mubarikiwe sana waimbaji kwl akuna chakumshinda Mungu.
@priscaraphael12603 жыл бұрын
Hakika hakuna Jambo gumu mbele za mungu barikiwa sana
@NyamiziJohn6 ай бұрын
Kwel kabisa hakuna analoshindwa bwana hongera dada kwa kalama yako nzuriii
@Sharon-ii7ks18 күн бұрын
Kwa hakika hakuna jambo la kumshinda mungu, nauskiza leo huu baada ya mungu kuutuliza vita kati ya israel na Lebanon ambapo tupo,mungu ni mwema ametulinda tangu mwaka uliopita vita ilipoanza
@rhinaregina58066 жыл бұрын
Amen I think we was the first to watch those songs, when I get United States
@jennferclement5358 жыл бұрын
naupenda sana huu wimbo kila nikiusikiliza hunifaliji sana
@lilianelias54685 жыл бұрын
Napenda kutazama na kusikiliza hii nyimbo kwelikwelu na kila mara
@brightonemmanuel44095 жыл бұрын
Umenigusa sana huu wimbo
@matildajoseph7706 Жыл бұрын
Mungu azidi kuwasimamie katika kazi njema mnayoifanya kwa ajili ya wokovu wa watu
@ruthjoel6954 жыл бұрын
Watching in 2020 and so blessed
@BahatiMalima4 ай бұрын
Nyimbo inayoishi milele Hakuna nabarikiwa sana i miss sana AIC chang’ombe
@jojimendeАй бұрын
Watu wana kipaji mungu awatnze sana
@jennferclement5358 жыл бұрын
neno gani lakumshinda mungu hakuna yote yana wezekana kwa mungu
@josphinejoseph-m4x7 ай бұрын
Napenda hizi nyimbo sana zinanibarikigi sana
@floramwaijele93223 жыл бұрын
Naomba hi wimbo wapenzi..na Mungu awabariki kila siku
@jovinusponsian86343 жыл бұрын
💞💞💞 hakuna jambo lakumshinda mungu.
@FreddyLemapoorme9 жыл бұрын
huu wimbo hunibariki sana
@madinaabduly4836 Жыл бұрын
Nabarikiwa sanaaaa...!!!
@chazkoillah26525 жыл бұрын
Nabarikiwaga sana na hii nyimbo
@edinanyagani90752 жыл бұрын
Sauti adimu jamani nawapenda Mungu awe nanyi
@LameckSilinu6 жыл бұрын
Mungu anaweza yote mbarikiwe sana.
@estherkyevu553510 жыл бұрын
I'm really blessed through your song, may God bless u
@merrypaul20556 жыл бұрын
Nawakumbali cna haya watu
@dancankasanga7264 жыл бұрын
Great men and women of God.. it's like already in heaven realms... I love this moments
@bupemtafya67985 жыл бұрын
Kitu gani Cha kumshinda Mungu hakunaaaaa
@priscadaniel49644 жыл бұрын
Hakuna najua hata corona litapta tu kwa mungu hakuna kinacho shindikana
@bintdavid76724 жыл бұрын
Ameen dear kwa Mungu yote yawezekana
@suleamber27774 жыл бұрын
Amen Nyimbo kama tutazisikiliza hadi kuzikwa kwetu Mungu awabariki
@eliudntabusi9712 Жыл бұрын
Raha sanaaa
@deolynemollel4274 жыл бұрын
2021 am here again ❤️❤️🙏
@sarunisitei44575 жыл бұрын
mungu awabariki sana wana changombe choir
@maigekulwa27804 жыл бұрын
Kaz nzuri sana amen
@faithndinda95232 жыл бұрын
Na hawa masaloist don't get old......
@jojimende20 күн бұрын
Kazi nuzr
@elizabethshayo18295 жыл бұрын
Hakuna kinachoshindikana kwa mungu😘😘
@setukibasa6173 жыл бұрын
Hakika hakuna la kumshinda Mungu ,Mwanzo 18:14
@ioyceshekar14946 жыл бұрын
hakuna, hakuna, Mungu juu juuu mbarikiwe sana wapendwa
@efron9972 ай бұрын
Miaka 15 iliyopita ndiyo nilikuwaga na nakusikiliza huku wimbo, na sasa ni 2024 bado haujapitwa na wakati.
@arafashaban67627 жыл бұрын
nice song
@RehemaKazimili-k2h7 ай бұрын
Duh!kitambo sana
@rechosimon90397 жыл бұрын
amen dada isacki barikiwa sana
@adammsuya97165 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana
@christinarobert92076 жыл бұрын
Barkiwa sana watumishi wa mungu
@lilianelias54685 жыл бұрын
I love song
@marrywistone31155 жыл бұрын
Na barikiwa Sana amen
@fedricksanga43892 жыл бұрын
Nice song
@kabitonelson10114 жыл бұрын
Greatest chong of all time.
@paulmboje26773 жыл бұрын
Ni jambo gani gumu la kumfanya Mungu wetu anyoshe mikono yake " hakuna"
@robsondalink620610 ай бұрын
My sunday ❤❤❤
@FrankMaasai5 ай бұрын
Nyimbo hizi zina muda lakini ubora wake upo palepale.
@emmahkiwelu9843 жыл бұрын
Always on hit
@joyjackson38672 жыл бұрын
Nothing is impossible before God
@allymohamed4111 Жыл бұрын
Someone watching in 2023 give me the likes
@gwakisaphilipo24453 жыл бұрын
Hakuna mtu kua masikini
@dedelubwele97822 жыл бұрын
Salut a toutes les choristes que Dieu du ciel vous bénisse,je vous aime , envoyer moi le nom de la chorale
@peterlutusyo3589 Жыл бұрын
AIC CHANG'OMBE VIJANA KWAYA
@Sesilia1988-tn7ox Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏
@amosmpeko52838 ай бұрын
Who is still here 2024
@consolatambita47475 жыл бұрын
DEC 2019 BADO HUU WIMBO UNAENDELEA KUNI BARIKI.
@joelogila56318 жыл бұрын
HUU WIMBO NI WA KUNIBAMBA SANAAA
@kennedyalex80044 жыл бұрын
Jambo gan la kumushinda mungu
@vickymlela56492 жыл бұрын
Hakika hakuna jambo la kumshinda mungu
@joelogila56318 жыл бұрын
hakuna neno cha kumshinda Mungu wetu
@ednahable13 жыл бұрын
Kwa Mungu yote yawezekana. Amen.
@nellyntinga51386 жыл бұрын
flora mwenda
@tysonuisso54134 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢 rip uncle
@siblinamutua Жыл бұрын
Hakunaaaa
@glorykamenya25436 жыл бұрын
Kweli hakuna cha kumshinda Mungu
@lightnessjoel22124 жыл бұрын
Aminaaa mbarikiwe watumishi wa mungu
@florencemasanja14422 жыл бұрын
🙏🙏 mungu awabariki.
@mariamohamednjovu47134 жыл бұрын
My favorite song
@robsondalink620610 ай бұрын
2024❤❤❤
@k4sammy15 жыл бұрын
more Power! LADIES
@emilymwabwalwa60527 жыл бұрын
ukiamin hakuna Sinaloshindikana
@aurelybonny37976 жыл бұрын
kessy sammy
@joangarama77624 жыл бұрын
Hakuna jambo gumu kwa Mungu
@fredyanania14016 жыл бұрын
nikweli kabisa
@HizronZamu11 ай бұрын
Ameni
@julianabudigila60236 ай бұрын
Hakuna jambo la kunitesa
@teddykayuki11697 жыл бұрын
nikweli hakuna bila yeye aliyejuu
@Eskin-Nanyaro2 жыл бұрын
Watching in 2022
@esther393714 жыл бұрын
Quiero tener esta musica de alabanza a Dios. Dónde los consigo? Me encanta isaackrp !! Bendiciones hermanos, que idioma cantan?
@Mteshify8 жыл бұрын
Es swahili
@lulanjamd3886 Жыл бұрын
They are singing in Swahili
@happinessmuhanza20054 жыл бұрын
hakuna LA kumshinda Mungu
@fedricksanga86233 жыл бұрын
Well
@ElibarikiElibariki-mk1et Жыл бұрын
Hakuna wakugusa moto wenu
@happybenard64285 жыл бұрын
Amen Amen
@alphayomogunde78283 ай бұрын
Lakini tuseme ukweli kuwa msome Biblia zenu vyiema, Sabbath day kutoka 20:8-13.
@marykioko89293 жыл бұрын
My testimony every day
@princiokechukutzmuckarts79976 жыл бұрын
amina
@kaselagueye31853 жыл бұрын
Rien n,est impossible à Dieu,n,importe quel situation !