Hongera sana kwa wote mlioshiriki hawa MR MASHIRI my school met.Greatings from Sweden
@lewiskombole29172 жыл бұрын
Enzi hizo thiz dudes were my legends and still they're
@francyfanuel12862 жыл бұрын
Who is watching this in 2022....aisee nimechelewa sana
@charlesmayela98869 ай бұрын
2024
@smoothlikebutta0915 жыл бұрын
from a tanzanian in america, i like what you guys are doing. come rap in greenfield, ma soka bashment 09!
@lewiskombole29172 жыл бұрын
Thiz fellas were and still realistic MC's
@shikikitabunda11774 ай бұрын
How comes these guys were speaking such good English in those days...
@betronbernado72214 ай бұрын
Very true nafikiria ivyo gan
@Kasika-hi6hf28 күн бұрын
Ala! Wee hujui watu wa zamani were so good in English kuliko Sasa? Mtu wa form 4 ya 1990's huwez compare na some of graduands wa sasa
@Kasika-hi6hf28 күн бұрын
Halafu hao kina Dolla soul ni watanzania wamarekani, ata hawakai Tanzania
@youngdira15845 жыл бұрын
Waasisi wa huu mziki 👍
@CoachHafidh2 жыл бұрын
Hili ni vhimbonla wana HIPHOP HALISI💥💥
@arnoldmbuya15793 жыл бұрын
This is a GEM
@josephnewton63136 жыл бұрын
e banna eeh bonge ya memory!blessings
@websterkinte82709 жыл бұрын
Wawili kwenye hii makala sasa hivi ni wabunge wa Jamhuri ya muungano na mmoja amekuwa hadi naibu waziri kwenye serikali iliyotoka madarakani "Maisha safari" Juma Nkamia,Saigon,Balozi, Sugu,Soggy Dog,Hayati Father Nelly,Ziggy lah, Inspector Haroun,Taji Liundi n.k kumbukumbu nzuri....Kunta...Kinte.
@King_Of_Everything Жыл бұрын
👊👍✌️.
@RaiderTube5 ай бұрын
Documentary ya mwaka 1999 miaka 25 iliyopita boys wako kwenye Game, na kuna wengine mpaka leo wako relevant, Taji Liundi, Balozi, Inspector Haroun Babu, Sugu, Saigon, Soggy, then wanakuja kina Young Lunya wanajiita magoat wa hiphop, 1999 Sugu ndo alikua most Famous kwa hawa wote, Game limetoka mbali, Gangwe Mob, Salehe Jabir, Sugu, Kwanza Unit, kina Bonie Luv, KBC, Master J, Pfunk... Mikka Mwamba, Jay moe, mwana fa, ay, king crazy Gk, Prof Jay, Jay Dee, Faza Nelly, ...
@luisjackmosses637210 жыл бұрын
kitambo flani with the dopest mceez spiting the knowledge
@pesangwasalim52583 жыл бұрын
Daah kitambo sanaaa
@tgeofrey11 ай бұрын
legacy
@innocentkimata72746 жыл бұрын
Daaah kitambo sana hiyo katikati ya miaka ya 90 enzi hiyo kina sogy bado wapo shule na x plastaz ndo mastaa enzi hizo
@hansonlz3 жыл бұрын
Imam abbas 🙏
@selemansalum10 жыл бұрын
saigon,de la soul baloz,soggy d,imaam abbas nk jaman sio siri 2metoka mbaliiii sn,kila la kheri ktk safari yetu.....
@hansonlz3 жыл бұрын
Enzi basata ni basata
@paulmwalupindi16484 жыл бұрын
Baroz saign wajomb anglie hip hop inaloend babu dar umetok mbali
@alizonatheostell59996 жыл бұрын
REAL HIPHOP NI UTAMADUNI
@ce-08 Жыл бұрын
kabla ya tamaduni kuna watu walikuwepo kipind hivyo hakuna viitikio kabisa
@websterkinte82709 жыл бұрын
Shabani Kisu mkuu wa wilaya....Kunta...Kinte.
@charleskaozya99248 жыл бұрын
uyo dogo alie lia kama kijibwaa saa ntakuwa nalingana nae