Mbele yetu wametangulia nyuma yetu sisi anaemini mwalimu atakutana na mama lwakatare njia moja Kama wachungji kondoo tumebaki peke yetu aseme Amina
@gabrielmlay53314 жыл бұрын
Poleni Sana wanafamilia wa WCC tumepokea Kwa masikitiko makubwa kifo cha mpedwa wetu Pastor Peter Mitimingi,Tuna mengi ya kumkumbuka.Maana hapa hatuna mji ufunuo Sisi no wasafiri na wapitaji Makao yetu yako mbinguni Kwa Babaaa.Amemaliza kazi.
@idrissatuppa39974 жыл бұрын
Huyu jamaa kwa kweli nilikuwa nnamuelewa.M/mungu amuweke sehemu stahiki.😱
@jamsonpeter39174 жыл бұрын
Sidhani Kama kwa Tanzania hata Africa mashariki kama kuna spea ya mtu huyo Mch Dr Mitimingi. Mahubiri yake yakujenga ndoa uwezi kuyapata kwingine kokote nasikitika Sanaa 😭😭😭😭😭😭 RIP my preferred Pastor
@miriamasubwa15524 жыл бұрын
Am sorry,nini imeua mchungaji,jamani,so painful, God of Israel
@aishachambo32934 жыл бұрын
Jamson Peter Kweli kabisa
@mamystanley92314 жыл бұрын
RIP Peter mitimingi mbele yako nyuma yetu
@jamsonpeter39174 жыл бұрын
Amen
@mwanahawaayoub66474 жыл бұрын
Daaaa inauma sanaaa nuru ya mungu imuangazi milele yote amen
@rahmaijumaa80464 жыл бұрын
Siwezi kusema jinsi nimeumia mwalimu wangu umefanya ndoa yangu imekuwa imara kweli nimeumia sana MUNGU akupumzishe sehemu salama
@leesailen30674 жыл бұрын
Mwalimu Wangu ulinifundisha kidacho cha tatu st Therese ulikua mkali kipindi cha dini wanafunzi wako tunakulilia baba 😭
@glorynorbeth62734 жыл бұрын
Daaaah wanaondoka watumishi wa Mungu tunabaki tusiotaka kutii maagizo ya Mungu sijui tutahubiriwa na nan, R.I.P mitimingi
@joycekasakisya77554 жыл бұрын
Hakika umenena vyema,, Mungu atuhurumie😭😭😭😭😭😭
@obadiamwelela544 жыл бұрын
yesu ni mwaminifu hata kuacha yatima atawapatieni ROHO MSAIDIZI ATAKUA MWALIMU WETU ZAIDI ATATUTIA KATIKA KWELI YOTE YEYE HADANGANYI KAMA WACHUNGAJI WA UONGO NA MANABII WA UONGO yohana 14:16, yohana 16:13-14
@susanraphael58944 жыл бұрын
groly umewaza kama mimi
@hellenashely21674 жыл бұрын
Eeee Mungu turehem watumishi uliyo tupatia Tanzania na nnje ya tz wanatuacha ww ndo ujuae mwanz na mwisho wetu 😭🙏🏻
@noelamilambo95954 жыл бұрын
😭😭😭 jamani nilikuwa nikiskiliza maubiri yake nazidi kuomarika kwenye mahusiano Mungu unatuchukulia watu wa kutusaidia kiroho tutabaki na Nani??? Ee yesu shujaa wa msalaba tuhurumie sisi na Dunia nzima😭😭😭😭
@farajtimoth87964 жыл бұрын
Daaaaaa😭😭😭😭Mungu ailaze roho yake mahali pema pepon Amina!!
@josurecharles4284 жыл бұрын
MUNGU atukuzwe kwa yote. Ila kibinadamu imeniuma Sana MUNGU naamin amempokea masihi wake AMEN😭
@ashakasikile26984 жыл бұрын
Hani Niliona Kama donto nika mwambia Mungu basi naniwe nime ota sababu hikiwa kweli daaaah Likini tujipe moyo maadiko yana sema Mungu ata twaa waliyo wake mapema, sasa mm ndo sihelewi Kama huu domwishoo au? 🙏🙏🙏🙏 Pumuzika Papa Amen😭😭🥺
@lilianmuhochi11524 жыл бұрын
Daddy I'm very sad that I didn't even say goodbye. Thank you for loving me and let me call you dad. You are always my greatest big DADDY ever. I love you 💖
@praysonmmbaga83014 жыл бұрын
Kazi yako uliyofanya kwa ajili ya Bwana ni kumbukizi ya milele na changamoto kwetu Baba na Mwalimu Wangu.. Vitabu na mafundisho yako yote ni changamoto yetu umetupatia rasmi. Pumzika kwa amani.. Imani yaniambia ni sehemu salama sana. Hakika kuishi ni Kristo kufanya ni faida, nakaza mwendo nifike mbinguni!
@scolanalle75034 жыл бұрын
Poleni sana wanafamilia wa warehouse christian centre Mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu
@marthambeth87564 жыл бұрын
Hakika umetuumiza baba tutakukumbka daima Lala salama jembe la yesu
@esterfred39804 жыл бұрын
Watu wamebaki njiapanda tumaini lao kwa Sasa ni wew tuu mungu mungu ampumzishe kwa aman
@eliudbahema34014 жыл бұрын
too sad......used to follow his teachings.....Oh Mungu wetu......Dunia tunapita tuuu
@neemaneema57244 жыл бұрын
Jaman hata siamin nilikuwa nampenda hatari mungu wa mbinguni muweke panapostahiki
@elizabethebambo62864 жыл бұрын
Jaman, pumzikaa kwa aman Babaaaa
@tuliafidelis20674 жыл бұрын
Inaniuuuma Lakin Mimi Ni Nani Hata Nipingane Na Maamuzi Ya Mungu? R.I.P Mwalimu Na Mchungaji Wetu.
@abigaellcharess63704 жыл бұрын
Upendo ndiyo pumzi yetu 😭😭r.i.p mchungaji
@florangido2024 жыл бұрын
Tumshukuru MUNGU Mbinguni ndiyo makao yetu Duniani tunapita RIP Mchungaji Mitimingi
@florajoash1734 жыл бұрын
Mungu wangu mchungaji simjui lakini nilikuwa nafwata mafundisho yake kila siku na mafundisho take imenisaidia sana katika relationship yangu , Mungu ailaze roho take mahali pema peponi😭😭😭😭🙏🙏🙏
@grandmaempiresecret4 жыл бұрын
Jamani Kama utani vile laza roho ya marehehemu mahari pema ,Kama mpenzi wa vitu vya asilia karibu na subscribe Channel yangu🙏
@jacklineadolf12554 жыл бұрын
Dah Mungu ailazd roho yake mahal pema peponi😢😢
@florahmichael35404 жыл бұрын
Pumzika kwa amani mtumishi wa Mungu
@gauedwin19604 жыл бұрын
My condolences to Mrs patience mitimingi n the family of WCC and Tanzania at large..sleep well man of God Mitimingi😭😭😭 it is well🙏
@bikozikomo94964 жыл бұрын
Rip ,ama kwel angekuw anajua ,alvokuw ananyeshew na mvua mazara yake ,labda tungekuw nae leo daa ,,w love u BT God does more
@kyodiaamisi4664 жыл бұрын
Tanzania kumetokea nini? Mbona wachungaji ote wanakufa?hmmmmmm
@judithcherono25954 жыл бұрын
Pole sana huyu namfutilianga sana you tube and Facebook Rip man of God
@hadijamasanja40684 жыл бұрын
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
@innocentsylvester22944 жыл бұрын
Jamani hivi nikwer mbona sielewi?? Na mtumishi buyu hivi nikwer amefariki? Mungu wangu tuhurumie sisi wakosefu!
@lugendondayanse49104 жыл бұрын
Imani yangu ni kwamba umepumzika tu baba, ,
@pendaelmollel18474 жыл бұрын
Daah!!!!! Ama kweli kifo hakina macho yoyote yule kinamkumba .
@vero574 жыл бұрын
Poleni sana
@jessydaktari52094 жыл бұрын
Rest easy papa...you have left your footprints with glory...blessed be God
@catherinmutheu53374 жыл бұрын
Sad. Rip
@stevstepha77234 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭 pumzika kwa aman 🙏
@matswelopelemphela96764 жыл бұрын
Mungu anaondoa walio wake duuuu yesu tukumbuke nasisi katika ufalme wako R.I.P baba.
@sheysarahnjeno93264 жыл бұрын
Apumzke kwa Aman
@witnessmaliki1034 жыл бұрын
Rest in peace 😭😭
@farajachesco9854 жыл бұрын
Yaan kama vile ndo Mitimingi ndo ameondoka 😭😭😭 yaani mipango ya Mungu si kama ya wanadamu.
@Strawberryamhirp4 жыл бұрын
It is pain oooh God let him rest in peace 😭😭😭😭😭😭😭😭
@Strawberryamhirp4 жыл бұрын
Shine on your way 🙏🙏🙏🙏
@Strawberryamhirp4 жыл бұрын
My plan was to come and meet him live in tanzania.......
@rosenelima86184 жыл бұрын
Poleni sana kwa familiar,rest in peace mchungaji
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
💔🕊️🕊️🕊️
@mussabulugu63194 жыл бұрын
Vitabu vinasema ucmtegemee Mwanadam make wakat wowote anarudi kwa muumba wake
@hanankhalifa83094 жыл бұрын
Inna lillah waina ileyhi rajiun...hakuna atakae bakia ila Allah.
@abdukadiliissa80764 жыл бұрын
Hanan Khalifa duh! Huyu si muislamu bana hii kauli sio sahihi kumpatia yeye Hanan
@hanankhalifa83094 жыл бұрын
@@abdukadiliissa8076 najua ila neno hilo linatumika kwa wote nil ivyo fundishwa mim na ninavyowaskia walim n mashekh wetu.
@abdukadiliissa80764 жыл бұрын
Hanan Khalifa hapana Hanan Aya inazungumzia sifa za waumini ambao wakipatwa na musiba yani mitihani au mabalaa wanasema inna Lillah wainna ilaih Raajiun .
@abdukadiliissa80764 жыл бұрын
Hanan Khalifa sasa ukisema kwa kila mtu sio makusudio ya Hii Aya
@ey30224 жыл бұрын
YOHANA 11:25 [25] Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi Yohana3:16 [16] Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. Mitimingi ata ishi Milele coz Alimwamini YESU.
@josephmushi8194 жыл бұрын
Jamani kaanza mama lwakatare kafata mitimingi tukae tayali mungu kaanza kuchukua walio wake
@ayshamahariq66654 жыл бұрын
Polen wafiwa wote 😢😢
@aloycekiwia86134 жыл бұрын
Hivi ni kitu gani haswa kinachukua hawa Public figures kwa speed kubwa hivi.!!?? Tusishabikie tu kuwa ni kazi ya Mungu.!
@childrengospelmissiontanza14744 жыл бұрын
Hata wewe utaondoka,hakuna anayeishi Milele,wanakufa wengi kila sk mahospitalin hata ilo hujui we umeona public figure tu?
@upendohalisi804 жыл бұрын
Aloyce umeona eeh!! Sijawahi sema au kumsingizia aliyetuumba kuwa amependa kuwachukua, tathimini maisha yako je yanaendana na aliyekuumba au unachanganya matikiti na matango pori?. Tatito tunakariri kapumzika kampumzika wapi huko.
@witneskilinda50344 жыл бұрын
Walio hai wanajua kwamba watakufa, wafu hawajui neno lolote wala hawana ijara tena, kumbumbuku lao limesahauliwa👉Muhubiri 9:5
@magdalenasirikwa68034 жыл бұрын
Misiba ya sasa hivi inatisha sana jamani .kiama kinakuja
@pendomashalla20044 жыл бұрын
R.I.p
@robertkabalo76124 жыл бұрын
Tangulia mwalimu mwema rip 😭😭😭😭
@siloamnetwork4 жыл бұрын
Mungu awatie nguvu..Amen.
@christinewomanoffaith54794 жыл бұрын
Duh,roho inaniuma mimi
@basilisamsaka84694 жыл бұрын
Inasikitisha sana inauma sana,mafundisho yake hakuna wa kuyafikia.
@leylaeliace72834 жыл бұрын
Rip safari ni yetu sote
@sharifachacha66824 жыл бұрын
R.i.p 😭😭😭😭😭😭😭✋✋✋nimetuka sana
@rehemshehoz87044 жыл бұрын
Am kwel dunia mapito had huy bab wawat kafariki kifo hakn hurum kbs
@ireneirenehaonga76774 жыл бұрын
R.i.p pastor
@annikhaoya4704 жыл бұрын
Mbona lakini mungu 😭😭😭 ooooh no
@bakalikitambazi92154 жыл бұрын
Jaman,usimlalamikie mungu
@teddymwageni17634 жыл бұрын
Kila nafsi itaonja mauti ,Mungu mrehemu
@happychua10314 жыл бұрын
Hakika hiii dunia haina urafiki na mtu
@graceeza90984 жыл бұрын
Daa miti mingi kweli haupo nasi .😭😭😭
@blandnamasala85134 жыл бұрын
Kapumzike kwa mbele yetu nyuma yako
@jenfan87814 жыл бұрын
R. I. P mchungaj
@chrispinsway52104 жыл бұрын
Dah jaman MUNGU atusaidie NI KUGUMU SANA KWA SASA
@anastaziamasaka33814 жыл бұрын
Pumzika kwa Amani Mchungaji wangu Peter Mitimingi
@monicahjared24124 жыл бұрын
Pumzika kwa amani#upendo ndio pumzi yetu
@penanauae3164 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭
@ezephania74 жыл бұрын
Vita umeipigana Dr mchungaji Peter , daaah Basi Tena ila upo mbinguni
@brigithadidas51284 жыл бұрын
Hapo pa mbinguni kwa kweli sio letu ilo tumuachie MUNGU mwenyewe.
@boniphas_charles4 жыл бұрын
😭😭REST IN PEACE
@irenejoseph66844 жыл бұрын
😭😭😭
@judithkongani52834 жыл бұрын
Rip
@sharifachacha66824 жыл бұрын
At nini???? makubwa!!!😭😭😭😭
@pasteremanuelchisungatundu95244 жыл бұрын
Kizuri hakidumu pumzika mwalimu wa ndoa
@ahlamnasser57034 жыл бұрын
Sad, Rest in peace
@juliussonga53534 жыл бұрын
Kulikoni Tanzania?wachungaji mnaondoka?maneno ya kutiana moyo na kufariji tutapata wapi?
@wivinaschalion97954 жыл бұрын
Baba wa sindano ndo ivo cndano tutachomwa na nani
@paulinamhando79514 жыл бұрын
Sasa kafar link mbona taarifa ngeni
@revocatussigilo83154 жыл бұрын
Eeeeee!!?????. Kama ndoto vile🥵😭😭😭
@theresiaemmanuel83524 жыл бұрын
Daah r. I p
@peacemuhoza86574 жыл бұрын
Rest in peace
@Labelle1194 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@sekelandiga98124 жыл бұрын
du so pain pumzika kwa aman
@chiefmajai93454 жыл бұрын
Mungu alitoa na huyohuyo ametwaa maamzi yake ya tukuzwe
@jeanettegloria62444 жыл бұрын
RIP daddy
@chrispinboniface33294 жыл бұрын
Kila nafsi itaonja mauti,,, R.I.P
@asiakibonge46994 жыл бұрын
R.I.P mitimingi
@wegesar78864 жыл бұрын
Mbona viongozi wa dini wanakufa wataisha
@samsonmaliga39664 жыл бұрын
kwaher baba yangu umemaliza kazi.
@vanessastafford51204 жыл бұрын
Ndio jiulize, kwa ni sasa. Msisahau kutulia nyumbani
@childrengospelmissiontanza14744 жыл бұрын
Wanakufa katika Bwana,wamemtangaza Kristo hata dk za mwisho,hawawez kujifungia au kutishika na ibilisi kisa kuogopa Corona,hakuna woga katika Kristo na hata iwejw hakuna atakayeish milele,Bwana ameona Utii wao wamekubal kufa kumshuhudia Yesu wanayemuamini,Wapo Mbinguni wanafurahia kazi walizotenda Duniani.Wewe jifungieeee uone kama utaishi milele hapa Dunian,na we ipo sk utaondoka hujui saa yako ikifika utakuwa wapi
@harmonizeeetz64614 жыл бұрын
DIAMONDPLATINUMZ AMWAGA PESA KWA MASHABIK BOFYA HAPA KUONA ZAIDbongokicks.blogspot.com/2020/05/diamondplatinumz-agawa-vibunda-vya-hela.html
@maishanajamiitv16404 жыл бұрын
Bonyeza Link hii ili kupata makala nyingi kzbin.info/www/bejne/jKarlqGsga-giNk
@leoncepaul88134 жыл бұрын
Jaman mi sielewi mitimingi nae kafariki au
@najatmngazija15474 жыл бұрын
leonce paul Ndio kafarik
@mariammussa25404 жыл бұрын
@@@lucyluambano8274 Acha uongo alilazwa mhimbili na wallah hakuongoza ibada....kusema uongo ni dhambi ....innalillah wainna illahil rajiun mwendo umemaliza baba Peter Mitimingi pumzika kwa aman.....nitayaishi mafunzo yako amiin
@lucyluambano82744 жыл бұрын
Mmh kumbe sorry Basi ni maneno ya watu. Nasikia alizidiwa jana gafla tu usiku
@leoncepaul88134 жыл бұрын
@@najatmngazija1547 dah jamani inasikitisha sana
@leoncepaul88134 жыл бұрын
@@lucyluambano8274 kweli kifo hakina hodi jamani dah imeniuma san mi nishazoe mahubiri yake duh
@africatravel5124 жыл бұрын
Kwanini siku hizi vijana wengi hawataki kuoa? kzbin.info/www/bejne/m527ia1je5xqh8k
@samueljr91054 жыл бұрын
Pastor alikua mgonjwa au ilikuaje jameni? mtu anijibu