Hali inaendelea kuwa tete katika mji wa goma nchini DRC Congo, mashambulizi yakizidi kati ya wapiganaji wa M-23 wakikabiliana na wanajeshi wa Congo pamoja na maafisa wa kulinda amani katika taifa hilo
Пікірлер: 91
@AmiriHaruna-simba2 күн бұрын
Daaaaa tukOpamoja illa kageme
@daprince75457 күн бұрын
Ndio maana Donald trump anawambia viongozi wa Africa hawana ubinadamu wana nunua silaha na kuua raia kwa maslahi yao. Africa Tuko na viongozi wenye roho za kinyama
@vumbisnap7 күн бұрын
Ata viongozi wa america na nchi zingine mbali mbali pia wakona silaha za kuua raia kwa maslahi yao. Sio africa pekee
@daprince75457 күн бұрын
@vumbisnap tuongee swala la viongozi wa Africa, sote ni wamoja shida ni viongozi ndio wako na sera za kuchukia kabila lengine. Nahali wakoloni ndio walio sababisha. Viongozi wangekua na utu basi amani ingekuepo
@vumbisnap7 күн бұрын
@@daprince7545 sawa basi tuongee. Sio wote ni wamoja. Shida sio viongozi lakini they are part of it. Sio viongozi pekee ndio wakona hizo sera ni sisi raia ndio tunachukiana. Kuna zingine wakoloni walianzisha na zingine sio wakoloni. Viongozi wanaweza kuwa na utu lakini sisi kama raia kama hatuna basi itatusaidia aje?
@daprince75457 күн бұрын
@vumbisnap viongozi wamejenga chuki kwa raia, ukabila, kiongozi anasimama mbele za umma na matamshi ya ukabila. Kiongozi akipewa madaraka kazi ya kwanza anapeleka mgao kwa kabila lake. Tayari viongozi wametubadika chuki.
@vumbisnap7 күн бұрын
@@daprince7545 sio viongozi ni raia ndio wakona chuki na ukabila wenyewe kwa wenyewe na wanachagua viongozi wakitumia hio chuki na ukabila. Kuna msemo kwa kimombo ambayo husema charity begins at home haisemi charity begins from leadership
@TheSphere297 күн бұрын
Kenyans have forgotten that EAC was trying to resolve this matter until SADC came and brought these problems at the request of Tshisekedi. We even withdrew our soldiers and now look at the crisis deepen
@vumbisnap7 күн бұрын
Kenyans don't care about this, unless its us who are the ones fighting in goma. So its not right or fair for you to say "kenyans' in your statement. Niko sure ata ukiuliza mtu random hapo kazini juu ya goma anajua goma ni maandamano😂
@TheSphere297 күн бұрын
@vumbisnap I've spoken with quite a number of people on this. Kwani where do you work 😂 And btw Kenya has an interest. We even had troops there.
@vumbisnap7 күн бұрын
@@TheSphere29 speaking with a number of people doesn't equate to us caring about something. I've spoken to a number of kenyans regarding the Kendrick Lamar and drake beef doesn't mean they care about it. I work on outer ring road. What interest do you and I have? And are we the ones who sent those troops?
@freddylugard7 күн бұрын
The problem lies in Kinshasa,they dont care about the Eastern part of their country and I can't blame them Goma is 1600km from the capital,you can't rush any signicant reinforcement in a short notice.
@jumashedafa7 күн бұрын
Suluhu ya hii vita ni congo kuingia vitani na rwanda
@paulkaranja30997 күн бұрын
Rwanda na waasi watatoa raisi wa congo haraka
@josafko22597 күн бұрын
Kweli kabisa,Rwanda wamekosa nidhamu kwa DRC,kwa kuingia kwenye ardhi ya DRC
@LillianeBwire7 күн бұрын
They can't they are from 'Rwanda'
@margaretnjoki13497 күн бұрын
what kind of blame game is this? DRC blames Rwanda then Rwanda blames South Africa. the effects is deeply felt by congolese
@mtumishidoublek15047 күн бұрын
MUNGU TENGENEZA AMANI JAMANI.
@Nehemiah.17 күн бұрын
WHY IS KAGAME SO AGITATED? IF YOU ARE NOT BACKING THE M23 WHY DO YOU CARE SO MUCH ABOUT WHAT COUNTRY DECIDES TO HELP THE CONGOLESE PEOPLE?
@dkwanjajr.jr.24737 күн бұрын
Tutsis in DRC should be respected, theyve been sidelined for so long, they also have rights to exist, those are Kinyarwandans, they have their origin in Eastern Congo, when Kinshasa desided to maginalise them what do you expect, they have to Rebel,,,, M23 viva, much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Nehemiah.17 күн бұрын
@@dkwanjajr.jr.2473 IT'S NOT TRUE. I KNOW VERY WELL WHAT HAPPENED BECAUSE THERE IS NO ANY MOUNTAIN/PLACE CALLED MULENGE FOR WANYAMULENGE IN DRC, BUT MULENGE MOUNTAIN IS FOR BAVIRA.
@NtunganeEric7 күн бұрын
Pule kbx, who's wrong btn the one helping people from being killed by their own government and another help government in killing its own people
@emilynicholas40037 күн бұрын
@@dkwanjajr.jr.2473 why can’t they go back to Rwanda where they came from. If you are allowed temporarily to be in a place respect the government and do not be used to fight the people you found
@Kenyan_Duke7 күн бұрын
atapitia wapi ndo.afike Africa ya Kusini
@johnjplusfood21357 күн бұрын
Kwanini mnaiandama sana Congo Muwaache wakongo watulie kwa amani Mali hizo walipewa na Mungu,Mungu ndiye aliamua wakongo wapewe huo utajiri... Muwache wafurahie amani
@edwinmayoya58237 күн бұрын
Lord have mercy on your poor children of Congo..🙏🏽
@naomymose18666 күн бұрын
Do we have capital to help kama hatuna za dawa?
@patriote68387 күн бұрын
I'm Tutsi Congo I support M23 ❤
@emmanuelbahati93247 күн бұрын
Tutsi is rwandese plz
@Janice-x6c7 күн бұрын
We want peace in Afrika not stupid Leaders whose after Our Land
@malkiawaubembe.7 күн бұрын
You are stupid in congo there's no tribut tutsi , so respect yourself you are not Congolese you are 100 percent RWANDA
@rickrossmwanafrica7 күн бұрын
Wild dog 🐶
@MikenashMugisha7 күн бұрын
I like 👍
@FloryKing6 күн бұрын
Pole sana congo
@robertmarwa27507 күн бұрын
Kagame you belong to jail.
@sebapop4027 күн бұрын
It's u that u will go to jail
@KENYANQUEENOFFICIAL7 күн бұрын
@@sebapop402 nipitieni guys pale kwangu🎉
@GatiGetangita7 күн бұрын
Kagame don't dare S.A unless you're prepared
@jontecaros31947 күн бұрын
SA ni maembe tu
@jozemwas22997 күн бұрын
Very true
@jozemwas22997 күн бұрын
Kagame atachapwa sana na south Africa ajaribu
@erickanyugo32537 күн бұрын
Im surprised they're not blaming Gachagua. 😂😂😂
@alicelogel79357 күн бұрын
Who is he?
@aishasaidi17847 күн бұрын
Shida ni nini musyoka mkaelewana mkasikizana matatizo mkataba kama waafrika na mkaishi kwa amani kama viongozi kuliko kuua raia ambao hata hawana hatia wanatu wanahangaika tu wanajeshi wanapigana si pia wanafamili ruto zile ng'ombe zako huwa zina adapt watu zitume huko congo
@jontecaros31947 күн бұрын
M23 wanapigania haki yao. 1. Wametengwa na serikali ya DRC 2. Wako mbali na DRC headquarter 3. Just make Eastern DRC a country
@zainabumarando9443Күн бұрын
Du
@ChrispinosIndombela4 күн бұрын
Drc kaa ngumu komboa inji yenu
@jacklinezombo58067 күн бұрын
Kila mtu sio yeye jmn wacheneni na WA congo jmn Kila mtu na nchi yake nini mbaya jmn kama ni mali niyao sasa wivu tamaa unaua watu wasio na hatia jmn
@Mike-es8dv7 күн бұрын
I think president of Rwanda is not doing it, this are mugiki from Congo(Congolese)
@naomymose18666 күн бұрын
Kenyans from Haiti come home is burning to help our neighbors n brothers
@HerryJulius4 күн бұрын
Kupata amani congo ni rwanda ivamiwe kijeshi kagame akamatwe ashitakiwe kwa fadhili mauaji congo
@Bosswellcarlos3 күн бұрын
Ramafosa his Parpet nonsense
@Watt-er8or7 күн бұрын
The big question should be, who is giving weapons to M23 and for what purpose..
@loyal-z4q7 күн бұрын
Firstly you have to think why M23 exist (do you know many thousands of refugees who spend 30years in camp in Rwanda while their resources are still consumed by FDLR who also committed Genocide against Tutsi
@patopatrick2587 күн бұрын
If u knew the purpose, u can support M23
@KENYANQUEENOFFICIAL7 күн бұрын
@@patopatrick258nipitieni guys pale kwangu🎉🎉
@dkwanjajr.jr.24737 күн бұрын
Tutsis in DRC should be respected, theyve been sidelined for so long, they also have rights to exist, those are Kinyarwandans, they have their origin in Eastern Congo, when Kinshasa desided to maginalise them what do you expect, they have to Rebel,,,, M23 viva, much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@VitalOtieno7 күн бұрын
We need to be empowered here in kenya so we can form our m27 come 2027 ruto must go
@duncanbrian40917 күн бұрын
Nkt
@EnglandFrance...7 күн бұрын
May God Almighty judge you, Kagame, for all the atrocities that you are committing in the DRC under the name M23, which does not exist.
@emmanuelbahati93247 күн бұрын
Kagame anakama m23 sio rwandese namwenyewe anashuhudia wakiuwawa ama kukamatwa wanasema ni ma rwandese wy ???
@dkwanjajr.jr.24737 күн бұрын
Tutsis in DRC should be respected, theyve been sidelined for so long, they also have rights to exist, those are Kinyarwandans, they have their origin in Eastern Congo, when Kinshasa desided to maginalise them what do you expect, they have to Rebel,,,, M23 viva, much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@MusoreFreddy-w8c7 күн бұрын
Kenyan mukikosana mnaongea lakini inchi iliyotawariwa wa faransa wapiii congo kubali mzungumuzo jamani
@MimiKaka-h8j2 күн бұрын
kagame kuma la mamaaako
@HUSSENWAZIRI-z7z4 күн бұрын
In afrika number one Egypt second south third nigeria
@naomymose18666 күн бұрын
M23 is mseveni23or what M means?
@FanuelySule7 күн бұрын
Can manage to fight with South Africa
@hudsonjoseph88747 күн бұрын
How can African countries with the leadership invest and get engaged in warfares while the massive number's of the citizens still are languishing in pathetic living standards.
@boosternet87857 күн бұрын
Rwanda is locked country not like S.A
@StevenMaina-s5d7 күн бұрын
C america watumie drones drones kumaliza m23
@hallymahmohamed35167 күн бұрын
Stop blaming kagame if you don’t know why the fight is going, Congo government should style up and open their eyes! Wait till the west comes to pick the uranium to make electric cars and in return sell to them like the uranium is not from goma! Congo government knows very well what they are doing and yes I support m23 since they are fighting for what they own and infact that’s the richest region in Congo which the west wants to prey on since they have weak ass leaders..