Hii simulizi tamu sana kwakweli ❤anko jay ubarikiwe sana sana🎉🎉🎉🎉
@susansamira8137Ай бұрын
Mambo poa kaka Ankojay ubarikiwe mnooooo kwakutuletea Binti halima❤❤❤
@TheresiaMnunga-cg1sdАй бұрын
Top fifty 🎉 ❤❤ Wakati wa Mungu ndio wakati sahihi ❤
@Sumaiya-h7m1pАй бұрын
Tamatiiiiiii asante ankol na hongera kwa mtunzi sumaiya❤❤❤❤❤❤
@TeklaNdekejaАй бұрын
Majuto ni mujukuu fei hukujua kumpiga teke chura e🤣🤣 acha salima ale maisha baada ya dhik faraja simuliz tam san❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙌🙌
@HappyDabuyaАй бұрын
Asante sana king of voice ❤❤❤❤❤
@SamontollTollАй бұрын
Asant San ank j jmn na mm nimewahi Leo wawoooo ❤❤❤
@christinahaule-p8iАй бұрын
fatina na fatuma mtu na mdogo wake wameshea mume mmoja ni kama Halima na mdogo wake pia wamechangia mume mmoja hii dunia ina mambo sana ❤❤❤ halima enjoy maisha ashirafu ndio mwanaume bora
@Kize-j4bАй бұрын
Jamani tusifichane kati ya kazi nzurii za ankojay hii nimoja wapo makopa kwa ke na tusimsahaumwandishi sumaiya mwendo katuweza makopa kwao jamaniiii ndo tumeimalizaa ivyooo acha kubania data mpooooo♥️♥️♥️♥️💕👍🖐️🖐️
@LeilaAdijaАй бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉jey❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@mozabayabanda4248Ай бұрын
Anko Anko wewe tumesubili mpaka tumefika ubalikiwe sana Anko jay mungu akubariki❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@RayOthmanАй бұрын
Nmejifunza vtu vingi jamani asante anko kwa sauti nzuri zilizotofauti na asante anti sumaiya mwendo kwasimulizi pambe🎉❤❤🎉🎉🎉❤🥰
@RakaPkАй бұрын
Wooh jamani wale wa vipolo wenzangu leo tunainjoi na simulizi yetu tamu ubarikiwe sana anko ❤❤🎉
@tonnysonny84312 ай бұрын
Simulizi tamu sana hongera sana anko Jay kwa sauti tamu😍😍
@MamahetuChikuti-mp5ljАй бұрын
Atimae siku imefika ahadi imetimia viporo tumalizie salama tumesubiri Kwa hamu sana,Asante Ankoo J
@MariahMariahmamboАй бұрын
Nmeshkuru sana my dear anko Jay ubarikiwe na kheri zake mwenyezi Mungu zikuzunguke kila uingiapo❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@AffectionateHorse-ws9mpАй бұрын
Hongera sana Anko Jay. Kazi yako nzuri. Be blessed
@nismaali2982Ай бұрын
Feisari njoo muone halima wetu huku alipangalo mungu mwanadamu hawezi lipangua❤❤❤🤲
@zenaathumani8144Ай бұрын
Nikweli kabisaa mungu ni mkumbwa 🙏🙏🙏
@catherinekadimaАй бұрын
Amen amen
@SummySummy-d7eАй бұрын
Asante somo mamy sumaiyya kwa kutuandalia hii simulizi ya halima pia asante anko jey kwa kutusimulia🎉 kikubwa zaidi nikwamba simulizi hii niyakipekee sana na yaheshima unaweza kuskilza popote bila shida hatkam upo nanani man ipo perfect mno ila nimejifunza mambo mengi sana asanteni na tuko pamoja 🙏🙏🙏❤
@LilianOduori-l5lАй бұрын
Wow 🎉🎉💃💃💃💃💃 thanks Ankojay 💐❤️❤️
@SaraA-r8wАй бұрын
Hatimae tarehe imewadia chukua maua yako 🌹🌹🌹❤❤❤❤❤
@binthassan9191Ай бұрын
Katika haya maisha yule anae mtukana na kumdharau ndio huwa mungu anamteremshia baraka za kila upande
@AngellaNdambukiАй бұрын
Wa 94 waaah nimechelewa kiasi❤❤❤❤
@FatmaHassankhamisiАй бұрын
Asante anko jay 🪑🪑🪑🎧🪑🎧 hongera sana kwa simulizi nzuri 🎉🎉🎉🎧🎧🎧
@avelinabaluhya28042 ай бұрын
Hi Sumaiya Mwendo,hongera sana kwa ubora kila kukicha♥️🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹👋👋💪
@OmanOmz-qg5ljАй бұрын
Nawatakia ijumaa Karem ndugu zangu wote nawapenda sana t ❤❤❤
@sephrinewarenga2745Ай бұрын
Kazi nzuri kaka,listening from Kenya much love
@monicahndirangu6764Ай бұрын
Mzigo huu wa maana pongezi Kwa ankojay🎉🎉🎉 halima iendelee
@khadija.kkhadija.k7885Ай бұрын
Anante amko kwa utam wa simuliz❤❤❤ tumejifunza kupitia hii
@mwanamisikifogo869Ай бұрын
Sijachelewa kusema ukweli na imani harusi tunayo ya halima na mwamba wetu brown ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉mm nitakuwa mpambe wa halima.mungu awabariki nyote .
@TeklaNdekejaАй бұрын
❤❤🎉🎉sFikisha mauwa🌹🌹🙌
@DianeKaneza-u7oАй бұрын
We love you more our mpambe😂
@mwanamisikifogo869Ай бұрын
@@TeklaNdekeja nimeyapokea love ❤️
@mwanamisikifogo869Ай бұрын
@@DianeKaneza-u7o I love you too 😘 ❤️ 💓
@violethezekiel2512 ай бұрын
Simulizi hii fupi ila tamu sana, barikiwa sana Anko jay.
@victoriaedfonss727Ай бұрын
😂😂unajua anko jay umetutesa sana na huu mzigo Yan me niwakuiota halima kweli 🔥❤️
@Kize-j4bАй бұрын
Uncle Jay umetuzungusha weee mwisho wa siku umetutolea makopa kwa Jay 💕💕💕💕♥️
@elizabethkatoko8867Ай бұрын
nakwambia aki I think amesahau pia sisi wa viporo ni mashabki pia🙆
@zawadtwahirusuleyman1392Ай бұрын
Cjachelewa sana❤❤
@khadijahamisi6558Ай бұрын
Hatimaeee jamanii😂😂😂😂nilikuwa naiwazia balaa🤣🤣asantee anko j🥰❤😍🥰❤
@JacklineKwamboka-j9jАй бұрын
Asante kwa kuturetea Harima akaria vire wananikondorea majo ona sasa🎉🎉🎉❤❤❤
@NancyOman-t2qАй бұрын
Anko kama anko aisee twakupenda Sana endelea kutupa vtu vzr zaidi
@WinniePretty-t1vАй бұрын
Halima Mungu akusaidie 🙏 ulipitia magumu sana
@madawakemikali776Ай бұрын
Weeeeeeeeeee wa kwanza leo msinitanie
@lilianeerica3318Ай бұрын
Mimi nakupongeza kwa kuwa na waandishi mahili kabisa maana hapa sijaona muandishi mbovu wote wanaweza sana sana sana🥰🥰🥰🥰🔥🔥🔥🔥
@rahmaayoub7519Ай бұрын
MaashaAllah Mabrook Anko j
@MoshiMoshi-qy8dqАй бұрын
So sweet and happy ending nimependa ❤❤❤🎉🎉🎉
@MildredaSelula2 ай бұрын
Ahsante sana Anko
@ZakiyaAlsukriАй бұрын
Asenti sana kwa simulizi nzuri sana halima
@lisazainabu3626Ай бұрын
Woyyyoooo wa family Nasi tumefikiwa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@fatmasalum8334Ай бұрын
Leo tunapewa kipolo asante anko❤❤❤🎉🎉🎉
@BonifacioAntonioAntonio-tv9msАй бұрын
Chukua hongera zako bb❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@AminuhaminahАй бұрын
Asant san ankojy pamoj nakipenz chet sumaya mwendo ❤❤❤❤❤
@saumukambi8562Ай бұрын
Hongera sanaaa hujawahi kusimulia mzigo mtamu Na mzuri wa mafunzo❤❤❤❤❤❤
@josephineuwizeye8250Ай бұрын
Much love from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@Mwanajumakhamisi-m2rАй бұрын
Jaman watu hawalali dhuu huku Binti halima ❤❤
@Lucy-vp8pmАй бұрын
Wao leo nmekua wa 39 ❤❤❤❤kwako ankoj ubarikiwe sana kutuletea mwisho wa halima wale tumefurahi mzigo kushushwa like hapa wapenzi wenzangu wa ankoj
@Zainabuiddy98Ай бұрын
❤❤❤❤❤asant anko jey
@RahmaJecha-ro6wjАй бұрын
Asant sana shukran anco jay kwa kiporo kitam❤
@fatumamberwa1968Ай бұрын
Wa 55 sio mbaya twende na halima ❤
@nahimanahawaАй бұрын
Hatimae team viporo tunaimalizia binti halima
@nindymuruga4798Ай бұрын
Hongereni kwa kazi nzuri🎉
@ZaiZainabu-o4p2 ай бұрын
Asante ancojey mung azidi kukubariki 🙏
@FatmuIbamАй бұрын
Hatimae tumeletewa 😂😂😂 haya tuenjoy na bint halima
@susansamira8137Ай бұрын
MashaaAllah hii simulizi nzuri. Sana na yenye mafunzo haki imenigusa Hadi moyoni
@victoriangasaАй бұрын
❤❤🎉viporo njoon huk hat kama mmechelewa we njoo tu😂😂😂hakijachacha kiporo😂😂😂
@patiencembekelu240Ай бұрын
Asante kwa simulizi hii ya binti Halima tamu yenye mafunzo sana daa Halima pongezi sana Roho yako safi ndio maana Mungu amekukirimu neema na ukapata mapenzi ya dhati kwa mume wako Ashraf .God bls ur union i love u both🙏
@AnnoyedIslandRetreat-pr6stАй бұрын
Kikumbwa kwanza ni kumshukuru mwenyezi mungu kwa kutupa afya njema na uhai.. Anko mwenyezi mungu akupe afya uzidi kutuchangamsha
@nelly-r6vАй бұрын
Asante sana ankojay kwa story tamu sana❤❤❤
@ShanitahIfsuАй бұрын
Nimejua kimoja kwakila Kibaya tuna fanya majuto nihapa duniani 😢much luv from Uganda 🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪
@zenaathumani8144Ай бұрын
Asante sana sana ankojy mungu akubariki 😂😂🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
@zenaathumani8144Ай бұрын
Watu Wanoko wanoko malipo yao yapo hapa hapa Duniani sada ngoja alipie matendo ya bado mama yake 😂😂😂😂
@TeklaNdekejaАй бұрын
Ukwel kabisa daud daah
@zenaathumani8144Ай бұрын
Ndio mkome kwakumtesa halima wetu😢😢😢😢
@zenaathumani8144Ай бұрын
Nikweli kabisaa ankojy asante sana sana simulizi hii ya halima ni moto wa kuotea mbali kweli kweli 🙏🙏🙏❤❤❤❤🎉
@AnnoyedIslandRetreat-pr6stАй бұрын
❤❤❤❤❤❤Vipi mashabiki wa ankojay.. Asante sana kwa simulizi taaaaamu ya halima.. Team kujiamini mpoo? Vipi anko binti lisa ya mwisho jaman weeeh yaani watupa mambo hadi bac tu mawazo yanaisha
@MaSI-p5oАй бұрын
Simulizi tamu isio nakuchosha kusikia akisante sana ankoly j kwa simuliz zako za kipekee hongeraaaaa
@sabinamasangwa293Ай бұрын
Hiiii jamn nikajuwaaa mm kwanza but sawa ahsantee anko wetu
@NadzuwaGofwaАй бұрын
Waooo hatamae muzingo ndio huno hapa .Asante sana Ankojay mungu akubariki kwa kazi nzuri na akuepushe na shari za walimwengu inshaallah
@OmanBahla-i5gАй бұрын
Yahalima nayo nikali ila mnatuboa mwishoni simulizi uliyoimaliza nikafutahi niee tu mkweli ni ya Binti Samira na Binti mina hakika zimenikosha mno nafasi pale ankoJ 💯🌹🌹🌹💋💋💋♥️♥️♥️🔥🔥🔥🙏🙏🙏
@NancyMmbone-gh9kgАй бұрын
Wenye viporo hoyeee,, hatimae tim halima tuko na amani🎉🎉🎉❤❤🇰🇪🇰🇪 Wacha tu she here keee😅😅anko jay barikiwa sana twaku like
@ndutakangaruaАй бұрын
Shukran sana Mwandishi wetu Bi Sumaiya Mwendo Kwa Simulizi yenye mafunzo na burudani kemkem shukran pia kwako mtayarishi na Msimulizi wetu kipenzi Anko J
@JujuShabaniАй бұрын
Eeeh jamani 😂😂😂watu hawalali
@winniemfalme3543Ай бұрын
Jamani Jamani kwani munalala huku😂😂😂🎉🎉
@TeklaNdekejaАй бұрын
SUMAIYA MWENDO hongera 🌹🌹 nimependa kazi y🔥Hakka dunia nikigeugeu! Nyie sada na mama halima dunia imewageuka kpgo cha ubwa mwizi walicho kua wakkishusha kwa halim kimewakuta😂jy asante
@FatumaJumanne-p4dАй бұрын
Yaan n utamu kolea 😂😂😂
@Kellyperry947Ай бұрын
Wa mtumba ndio naingia😅😅😅
@TeklaNdekejaАй бұрын
@@Kellyperry947 ndo mapumuziko
@TeklaNdekejaАй бұрын
@@Kellyperry947 eti wa mtumba😂😂
@furahangoty50592 ай бұрын
Mungu amjua kumfuta machozi Halima , tamati ya mtu hupangwa na Mungu yote aliyopitia ilikuwa ni mafunzo kwake
@sacityzen1153Ай бұрын
Woow wachanisikilize
@GubraCity-dm5sxАй бұрын
🤸🤸🤸anyone jy lop you mchunu kuachia halima
@lulededale9948Ай бұрын
Jaman nilitaman niwe wa kwanza ila ndo nimechelewa ❤
@ruqyhkhames6446Ай бұрын
Asante Sana anko kwasmlizi nzr. Mngu akuzishie kila la kher ❤❤❤
@Evelynmoreen36552 ай бұрын
Amakweli Mungu akikupangia maisha mema hata wakupige vita lazima Mungu atimize ahadi zake,hongela sana HALIMA kwakupata Mme bola na mwaminifu♥️ ❤❤❤❤
@khadija.kkhadija.k7885Ай бұрын
Fungu lako kwamungu aliishi
@Evelynmoreen3655Ай бұрын
@@khadija.kkhadija.k7885 hakika
@chantalmavandu4950Ай бұрын
❤❤❤❤❤ bravo again
@wertqwe8326Ай бұрын
Anko asante kwa kutumalizia hii simulizi ya bint halima achatusikilize huku tukitafuta fulusi kwa warabu
@jinaanhkareem3650Ай бұрын
Hongera Sana sunaiya mwendo vigongo si mchezo mafunzo ndio usiseme
@PendoSamson-w2lАй бұрын
Subira yavuta heri 😂❤❤
@swabrinamwaka2437Ай бұрын
Hatimayeee😂❤❤
@rachelmtoi7857Ай бұрын
Wow niliisubili kwa hamu hatimae❤❤
@CathyPeter-ln3pwАй бұрын
Asante anko j kwa simulizi kali kabisa 🤞🏻👏👌🏿
@EddaFredyАй бұрын
Halima kabanabana weee hatimae kaachia kwa ashilafu😂😂😂😂
@OmanBahla-i5gАй бұрын
Nibarafu wa moyo wake kaachia mzigo kwa ridhaa yake hata maumivi huwa madogo kwa wingi wa upendo
@MwanatumuJumaa-rj4fgАй бұрын
Hatma ndio ulowaunganisha
@RahilAishaАй бұрын
Asant san ak jey tunainjoi San kupitia wewe mungu ukupe umuri murefu❤❤❤❤
@FaithPeter-j4wАй бұрын
Wee nimeigia kama kawa chukui maua 🎉🎉🎉🎉🎉
@DianeKaneza-u7oАй бұрын
Asante sana kwakutumbuka sisi waviporo jay
@Selewa28Ай бұрын
Binti Halima ni kiboko, hongera Anko Jay. Halima wajina wangu ❤❤❤❤❤❤❤
@aminachiziaminaАй бұрын
Nitammu sqna hii ya halima yani imenigushaa mie sana asante sana mwandishii na msumulizii baybyy
@popod177Ай бұрын
❤..viporo community😂😂
@AnnahMsaudizАй бұрын
kazi nzuri hongera anko.
@LyaMohammed-uc4dpАй бұрын
Kweli Ankoooo Simulizi Ya Halima Imeukosha Moyo Wangu 💜