Jumamosi hii, Hamisa Mobetto alikuwa mmoja wa mastaa waliohudhuria Harambee ya Tokomeza Zero iliyoandaliwa na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo
Пікірлер: 135
@reemiiomar93865 жыл бұрын
Watakukubali tuu mamadee love u from +254
@marymayeye79475 жыл бұрын
Madam Hero, jeshi la Mtu moja Mobettostyle kanyanga baby girl
@saumuhassan63655 жыл бұрын
😂😜😜 Habari wanayo
@husnauthman76095 жыл бұрын
Tenaaa
@salimaamir55615 жыл бұрын
Wamenyooka bila shaka penda sana micha wetu
@saumuhassan63655 жыл бұрын
@@salimaamir5561 penda mingi mingi 😍😍😍😘💋mobetto wetu
@husnauthman76095 жыл бұрын
@@salimaamir5561 sanaaaa yaaan
@oliviapure53285 жыл бұрын
oh my gosh Hamisa is beautiful so elegant so fine love you to the moon and back
@tamaraeliz71145 жыл бұрын
That's good Jokate proof them wrong. Say Yes young generation they can Lead.
@sophiahmedza9295 жыл бұрын
Big up Missa. Your dreams are valid and your going far. A star will always shine even without the help of moon or sun. Go Gal go 😍😍😍😍
@kasiryehalimah19595 жыл бұрын
Madam hero it's yo tym to shine darling
@saumuhassan63655 жыл бұрын
Love you Madam hero 😘💋😍😍 pambana my dear, songa mbele mama.
@zuenasalim71365 жыл бұрын
Saumu Hassan haliw saum mambo
@saumuhassan63655 жыл бұрын
@@zuenasalim7136 Safi tu mpenzi uko powa
@rozinahamisi845 жыл бұрын
Safi sana madam hero wanao kuchukia watapata tabu sana dah huyu miss 2018 pia ana roho safi in shaa Allah Allah akujalie uongoze hadi 2019
@asinathasinath50905 жыл бұрын
Madam hiro🔥🔥
@happymwaseba94935 жыл бұрын
Hamisa nakupenda sana na wataisoma kimyakimya hongeta sana jocket
@sakinaomar3015 жыл бұрын
Looking smart Hamisa
@beatricenicholausiwasa76015 жыл бұрын
MUNGU AKUNGOZE KATIKA KAZI YAKO JOKETI ❤❤❤❤❤❤
@faridayahya12315 жыл бұрын
Love u so much my princess hamisa mobetto 😍😍😍
@matonyaalbaho70345 жыл бұрын
Mchawi mkubwa mchafu mkubwa huyu
@KhadijaKhadija-mk6jf5 жыл бұрын
mchawi ulipaa nae kuwanga etiye maan haiwezakan umjue hivo
@neymarkimaro92055 жыл бұрын
+Khadija Khadija ...mbavu zangu hilo jibu atalifikiria wiki nzima
@joharishabani28933 жыл бұрын
@@matonyaalbaho7034 mtaongea sana. Ambao sio wachaw mbona hawajali. Watu. Mchaw ndio anajali watu mtajibeba na nafis zenu chaafu. Wapuuuuz nyinyi.😏😏😏😏
@rheanmutimanwa34715 жыл бұрын
Mama dee love you 💕💕
@neymarkimaro92055 жыл бұрын
yani inauma pale unapo comment humpendi afu unajikuta ni ww tu comment nyingine zote wanamsifia ...wabongo bhana unamchukia mtu wakati hali kwako afu maisha yake yanaenda kuliko yako tujifunze kuiga maendeleo na sio kushinda kukosoa watanzania wenzetu ...sasa unampenda zari wakati hajawai hata kutoa mchanga au kokoto kwa msaada hawa wanaochangia tunawakosoa ..this is tz
Neymar Kimaro sana alafu hata wasipompenda ye hajali mpambanaji mobeto
@nicaelvictor9155 жыл бұрын
😂😂😂😂
@agnessjohn84045 жыл бұрын
Neymar Kimaro umeona eee
@ukhtymwanah14555 жыл бұрын
😂😂😂Wata jibebaa
@kuluthummbegakulu75645 жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤love sns inapendeza kusapotiana
@mwanatz59805 жыл бұрын
Maashaallah nzuri hii.
@mwangiloise71645 жыл бұрын
I loooove the dressing
@neymarkimaro92055 жыл бұрын
keep it up madame hero...🔥🔥🔥🔥
@KhadijaKhadija-mk6jf5 жыл бұрын
Joket na hamisa nawapenda Sanaa jaman
@pueblo1485 жыл бұрын
kajoket kamefurahi kuwaona wenzake jamani
@dgt63035 жыл бұрын
Mwacheni huru basi jamani cyo mwenzenu tena aaaaah
@uwimanaraoul68245 жыл бұрын
#Hamissamobetto penda sana ww😍😘😘😘
@mwanajumaomahundumla65045 жыл бұрын
Umoja ni nguvu💪✌💛💚
@benedetajohn56285 жыл бұрын
hongera madam hero
@dianamadege17035 жыл бұрын
Hamisa oyeee
@rehemahussein7485 жыл бұрын
Great job Hamisa
@mymunamymuna48075 жыл бұрын
Tanzanian swtheart Tanzanian mama dee
@rehemahussein7485 жыл бұрын
@@mymunamymuna4807 always a strong woman #madamHero
@agnessjohn84045 жыл бұрын
uko vizuri madam hero
@gracedelence91635 жыл бұрын
💪💪💪 madam iro ndi ndi bala kujali wanfikiria nini
@tahrinkessy71195 жыл бұрын
Good 😍😍
@mozaalfarsih.83295 жыл бұрын
Wacha waseme tunakupendea nn mobetto wng😙💋
@tumainikezilahabi45995 жыл бұрын
Hamisa wambiee wenye wivu wajinyongee
@zuwenaabdallah70675 жыл бұрын
😄😂first view,first like &first comment 😂😂
@rachelkem16985 жыл бұрын
madam hero go go mama
@roseshiombo14505 жыл бұрын
Huyu Hamisa huweka vigodoro Muone sahizi vle shape upo tofauti
@khadijaomar32995 жыл бұрын
😂😂😂😂
@zubeydashosy12365 жыл бұрын
😂😁😁😁vishep vya kuedet n kun Tait zina mfano wa sheP nadhan ndio anavaa😹😹
@neydtz68265 жыл бұрын
Rose Shiombo haha
@roseshiombo14505 жыл бұрын
Zubeyda Shosy Aki ni tabu 😂😂😂😂Sijui wakitulia na muonekano wenye mola aliwabariki nao ni Haramu kwao
@evaharun92635 жыл бұрын
Rose Shiombo ata akiweka asipoweka we unaumia nn
@aishaabdul13605 жыл бұрын
Madam hero unafaa kuwa mwana siasa
@marinamooh40555 жыл бұрын
😍😍👏👏
@beatricenicholausiwasa76015 жыл бұрын
tunakupenda HAMISA
@neydtz68265 жыл бұрын
hamisa we ni jeshiiii
@aminaabdallah36445 жыл бұрын
😘😘😘
@khadijahamis97875 жыл бұрын
Kajaymondi tu jaman
@anushikasharma8665 жыл бұрын
Anafanana na mm jamani slim h
@maryhermsen99245 жыл бұрын
Madam hero
@sheluizonola68905 жыл бұрын
Misa wanao kudharau we waache tutaelewana tu!
@matildamkombachepa20955 жыл бұрын
Diamond utajuta Kwa Hamisa kama unavyojuta kwa Jokate
@binthassancollection.63085 жыл бұрын
Wa 4 😀😀😀
@hadijaabdallah54775 жыл бұрын
Jojo yupo simple lkn kapendeza lkn fendnd hiyo mipoda😁😁😁😁😁😁
@KhadijaKhadija-mk6jf5 жыл бұрын
😘😘😘👏👏👏👏
@manalibaby41925 жыл бұрын
Kpendeza
@hadijaabdallah54775 жыл бұрын
Wallah angalieni akisogeza koti ndo mtacheka khaaaa hamisa acha kufake team yake acheni domo mfyuuuuu
@reympemba22875 жыл бұрын
good
@hadijaabdallah54775 жыл бұрын
Huyu dada anavaaga sponj tuacheni team juo ndo ukweli maana hapo kanyata hata nguo haijamtoa kama vile anavo vaa vigodoro na anojiskia kichefchef atapike nimnawishe mfyuuuu
@nasramohamedi40955 жыл бұрын
Kabisa yaan umenena mamy!
@hassanovajunior69725 жыл бұрын
Nguo kama imetundikwa😂😂😂
@salimaamir55615 жыл бұрын
Mtakubali umpendi micha ila kila kona upo kumuangalia mutanyooka Mungu ndio mtoa rizki c binadamu we na boss' wako bado shanga za kiuno mana wigi na kikuku tayari ashavaa na bado unajipya
@zuweinaalhabsya87735 жыл бұрын
Nguo yake kama imetundikiwa ila wewe hata chupi ya kuvaa hauna usishindane na Misa sio saizi yako huyo utazidi kumwona yuko juu kila siku. Wivu utakuuwa hapo uko bando halikutoshi unalitumia kwa kibahili lisiishe
@aishamattar63815 жыл бұрын
@@salimaamir5561 wape
@neymarkimaro92055 жыл бұрын
+Alhabsiya Zuweina ..❤❤❤❤ pamoja sana
@hadijaabdallah54775 жыл бұрын
@@zuweinaalhabsya8773 mnalipwa nyny😀😀😀😀😀
@lilianmasukila9045 жыл бұрын
Mfyuu
@akellolydia70095 жыл бұрын
What iz gd there
@alisaalis92185 жыл бұрын
Ghai hata hauko smart
@abigaelmathayorongena73645 жыл бұрын
Kinyago cha mpapure.....joketi watafuta kulogwa na hyo mshirikina
@mathewshedrack42895 жыл бұрын
Sapoot ndo inatakiwa ivo
@rodsemziry41425 жыл бұрын
Kujishauaaaa!!!?ulitaka upokelewe?alafu wengine mnaenda kumsumbua DC
@marymayeye79475 жыл бұрын
Tembea kama shigo na Puwa juu kanyaga
@lilianmasukila9045 жыл бұрын
Angekua zari angejaza umati wa watu
@shiksshiks84945 жыл бұрын
Hehee kwahilo wigi unakaa bibi
@josephkalele57675 жыл бұрын
Kimalaika kifupi
@maryammarym44375 жыл бұрын
Penda misa
@fatmaalawy15945 жыл бұрын
Hakipo
@bidiiyako68035 жыл бұрын
Ni kweli Hakipo... hahahaha...
@fatmaalawy15945 жыл бұрын
Mbn hapo kishepu hakioo
@maatumkhatibmohamed69845 жыл бұрын
kipo likizo Leo😂😂😂😂
@changanikisesa70215 жыл бұрын
Your a class lady Hamisa
@esthermaneno25075 жыл бұрын
shoga leo vigodoro umevisahau wapi?
@jescajulius80235 жыл бұрын
esther maneno hahahahaha
@happygeorge33605 жыл бұрын
Leo vigodoro vimeachwa mifupa tupu
@matildamkombachepa20955 жыл бұрын
Hamisa wewe ni kiongozi kwa muonekano wako
@fredickaugustin14335 жыл бұрын
Huyo muchawi mutafuta kiki
@asumiissa3065 жыл бұрын
Hata kuandika hujui
@solangekubota94875 жыл бұрын
Kisarawe imeingiliwa😮😮
@marymayeye79475 жыл бұрын
Uyu Mchawi ni wetu hawe mwenga twapenda hivo hivo
@elvinnyanchama52625 жыл бұрын
Nonsense si uwe mchawi pia
@uwimanaraoul68245 жыл бұрын
Naona saizi utakuw umelazwa kwasababu ya ugonjwa wa moyo
@uwimanaraoul68245 жыл бұрын
#Hamissamobetto penda sana ww😍😘😘😘
@husnauthman76095 жыл бұрын
Madam hero
@rodsemziry41425 жыл бұрын
Kujishauaaaa!!!?ulitaka upokelewe?alafu wengine mnaenda kumsumbua DC
@evaharun92635 жыл бұрын
rodse mziry acha maneno ya kashifa alikwambia anataka apokelewe chuki tuu ndo mmezoea afu unajishaua unampenda mungu wakati walioko tu duniani unawachukia ovyoo
@neymarkimaro92055 жыл бұрын
+Eva Harun nimekupenda bureee mana hilo neno limemfaa na kumtosha ...afu na yeye ni mwanamke kama alivyo huyo dada so ajitazame mala mbili mwenzie yuko mbali
@evaharun92635 жыл бұрын
Neymar Kimaro yaan umeona ee mtu hata hamjui yupo kakazana tuu utadhan ye ana hekima kupita maelezo