Tokea nilivo kuwa mdogo mpaka sasa hujawahi kutuangusha ❤❤🥰🥰✍️✍️✍️
@AyeshaAmir-q7q2 ай бұрын
❤❤❤
@SmartFx797 Жыл бұрын
EISH!!!!! The world will never get short of talents and surprises. Who knew another song bird like Zuchu would rise up from Tanzania?
@hammerQ954 Жыл бұрын
👏👏👏
@MzeeWaSwagga Жыл бұрын
Have you heard of Yammi?
@Neymasam9 ай бұрын
Yaan dem anasauti mzuri sanaaaaaa anaebisha agonge like nimjuwe
@yahyaubwahassan8547 Жыл бұрын
Kazi nimeikubali Sana Hussein
@hammerQ954 Жыл бұрын
Shukran sana home boi yahaya 👏👏👏👏
@RoseJoseph-b2e Жыл бұрын
Hamer mungu akubarik sana wimbo ni mzuri hujawai kosea
@hammerQ954 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🌹👏shukran sn
@ahmedally1626 Жыл бұрын
Hizi ndio mashairi mazuri kila leo unasikia sauti za kuumizwa watu ila hii ni best songs kwa mimi
@samiraabdallah7371 Жыл бұрын
Huchoki kuiskiliz jmn❤️💋❤️💋
@nahlahassan-fd6le Жыл бұрын
Huchoki vo nzuri❤
@hammytototundu9292 Жыл бұрын
Ni tamu sana
@MaryamAdam-t7w Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@zubeir7581 Жыл бұрын
Achilia mashairi mazuri ya huu wimbo ila pia uyu mdada anasaut ya kuimba
@Minister_Gabriellah Жыл бұрын
Wimbo huu mahaba ya kweli ,,,shukran sana ,,,Mola akawazidishie kwani ipo siku mtatambulika duniani kote ❤❤,,,,
@TwalibuAlbaamiryShoka Жыл бұрын
HamaQ hii style inafaaa kuendana nao usiacheee humu ganuni imenigusaa moyoni na hii masage umenikoshaa
@nundamalickofficial9538 Жыл бұрын
Hammer Q IS AMAZING SINCE DAY ONE....alafu HADIA SHE IS SO CUTE WITH A BEAUTIFUL VOICE.... BLESSED GUYS
@MayaOberoi-k2w Жыл бұрын
Tulo Isikia Na Kuwasikilizisha wenzetu zaidi ya Mara 6 tugonge like🤣😂😂😂
@SamNjugush-g6x Жыл бұрын
ata sauti ya zuchu haiwezi fikia hii
@immushkelly999live28 ай бұрын
Hamer q ni mmoja tu duniani-sauti yadhahabu daima isiyochuja.
@hammerQ954 Жыл бұрын
Tafadhali subscribe kusubiri kazi mpya na nzuri zaid 👏👏 shukran kwa ushirikiano wako👏👏👏
@salimbahmad Жыл бұрын
tuko pamoja mkuu all the best
@umikhamis4507 Жыл бұрын
Kazi nzuri ila hongera kaka nliskia umekuja zanzibar ummi wa dazahra nimekumiss kaka
@jamilathani Жыл бұрын
Tunasubiri zaidi
@hammerQ954 Жыл бұрын
@@umikhamis4507nakumis pia mdogo wangu nimekuja home nimekukisa ntakuja tena mwezi wa nane inshallah 🌹🌹♥️
@amanzylyene3464 Жыл бұрын
Kila la kheri ndg yng
@JohnGaster Жыл бұрын
Wwwwwooooo very talented guy keeepp it up broo good job thenk u xiko much
@oneandonlyhsn Жыл бұрын
Why is this song not blowing up, it's incredible. The music, the lyrics and the vocals are just incredible
@hammerQ954 Жыл бұрын
👏👏👏🔥🔥🔥🔥
@hemedhemed-ij7lm Жыл бұрын
Mashallah mungu akuzidishie na kipaji Chako akuepushe na mahasidi .wazanzibar oyeee
@hammerQ954 Жыл бұрын
🔥🔥🔥👏 Ameen Ameen Shukran sana 👏👏
@salimbazmul5806 Жыл бұрын
Watu na Vipaji vyao mashaa Allah❤❤❤
@princesskim238 Жыл бұрын
mashaallah wimbo mzur sana ❤️
@Mumewangu Жыл бұрын
Alie rudia rudia kuisikiliza anipe like
@abuushariff9484 Жыл бұрын
1:05 mambo
@abuushariff9484 Жыл бұрын
3:01
@Mumewangu4 ай бұрын
@@abuushariff9484 thnks
@legawayz6093 Жыл бұрын
Hammer Q kitambo fundi melody kari 👏👏👏 MAHABA 🔥🔥🔥 good 🎶
@petermwaura-yo9pr8 ай бұрын
Up come artist they very well ❤❤❤❤❤
@othmankombo43514 ай бұрын
Unajua kuring dadaaa
@JumuiyaNews Жыл бұрын
Why is this song not trending? This is one of the best composition. Keep it up guys. Mmefanya naanza kutamani Zanzibar
@bakedbymiha654 Жыл бұрын
MashaAllah nyimbo Nzuri 😍❤️❤️❤️
@aslithar2049 Жыл бұрын
Bro bwaga vitu kama hizi bro ajab kabisa all the way from Nairobi Kenya much much love
@FaithMusindi4 ай бұрын
Nice job ❤❤❤
@trendz_2548 Жыл бұрын
Kali sana. Seen it on tik tok straight to here ❤❤🇰🇪🇰🇪
@taufikmoe639010 ай бұрын
Nice Song Mashallah 😊
@Alnufais Жыл бұрын
❤❤❤nice song🎉
@jaankurban Жыл бұрын
You are amazing and you have a very nice voice my brother may Allah bless
@Gires-q3v6 ай бұрын
wimbo muzuli sana neupenda
@allyswedi7420 Жыл бұрын
Duh yani ni bonge moja la ngoma sema limekosa promo ya kutosha mtafute Alikiba mwambie aifanyie cover hii ngoma ni nzuri aise itakupa madili ya kutosha
@jumanzungu5925 Жыл бұрын
Kaka hii imeendaaah! Kali mno unapendezea Sana kwenye nyimbo watu wawili 🧨🧨🧨🧨🧨🧨🧨🧨🧨
@hammerQ954 Жыл бұрын
👏👏👏👏shukraan
@jumanzungu5925 Жыл бұрын
Nakufuatilia Sana kaka ongeza juhudi kwenye promotion and creation bro unajua Sana komaa na TikTok huko Huwa watu wanatoboa.
@joyk3075 Жыл бұрын
Impressive voices 😍😍😍🇰🇪🇰🇪
@ALPhilasoof Жыл бұрын
Amazing song love from the Netherlands 🇳🇱
@ahmedally1626 Жыл бұрын
Ina bembeleza haswa na haishi hamu especially nilipoona me perform kwenye wedding juzi i love it ❤❤
@BienMusic Жыл бұрын
Truly Legend This song itaishi miaka mia 💥⚡🙌🏽🙌🏽
@naifatnahodahassan6220 Жыл бұрын
Kw kwl mumetisha sana مشءلله❤ nimeipenda sana
@omarkipotwile9052 Жыл бұрын
Fundi wangu namba, nilimiss sana hizi melodies
@Mumewangu4 ай бұрын
Hama q huyo ukimuacha namchukuwa manake ana shingo ya upanga jamani
@gilbertluganjealex1753 Жыл бұрын
Congratulations you become a good star Amazing
@halimaracks5908 Жыл бұрын
Mashaa Allah nzuli Sanaa💓
@newsforyou9235 Жыл бұрын
The voices are so beautiful ❤
@AllyMtonange Жыл бұрын
Atali brother ngoma kali
@AnnaMuhojapetro10 ай бұрын
Nzurii sanaaaa❤❤🎉
@HelenaMgao6 ай бұрын
Mashalla 💗
@zashalakran5784 Жыл бұрын
Mashairi matamu sana asante Nyundo Q 🎉
@obedimwakagali7755Ай бұрын
Tulio toka kwa chadow kuja kusaka hii nyimbo tujuane mission imposible
@saidahshaban614 Жыл бұрын
Wangu Mie jamani nawapenda sana mziki nyororo❤❤❤❤
@fatmaabeid9668 Жыл бұрын
Yaani naisikiliza hii kila mda inaniliwaza😊❤🤩😍🥰
@meddyplutonium374 Жыл бұрын
Since day one I told you about perfection of dis song"definitely you made my day😂😂kongole comrade
@hammerQ954 Жыл бұрын
👏👏👏👏👏🔥🔥🔥
@mussahamisi3342 Жыл бұрын
Aseeeee yani sichoki Kira napoisikia jamani dah!!!
@HusseinMiraji-f4q3 күн бұрын
Somo umetisha sana
@salimsoyo8118 Жыл бұрын
Mkuu video safi sana ❤ hongereni
@ErnestSindikilambo Жыл бұрын
Waooo nyimbo nzur sn❤️❤️
@salamamwalimu6257 Жыл бұрын
Nyc lyrics..big up
@feisalalfalahi1778 Жыл бұрын
Lovely song brov❤
@hafidhsuleiman804 Жыл бұрын
What a song! This is a masterpiece...
@HarusiPesa-h7r Жыл бұрын
Mashallah shahiri zuri lakini ingependeza zaidi kwa mavazi ya kujistiri
@ShabanAlliy Жыл бұрын
Dah! Baba wawili umeuwa
@MohamedMaulid-we2xy9 ай бұрын
Napenda kazi yAko
@hammerQ9549 ай бұрын
Shukran Sana 👏
@georgejonas9774 Жыл бұрын
Haswaaaa kwelii mahabaa
@Deeblery Жыл бұрын
Noma kaka mkubwa🏆🚀🔥
@mungalihotheosiraj77964 ай бұрын
Can't hesitate to do that 🙏🏾
@fuadfashioner9191 Жыл бұрын
I real like this song 🥰 lyrics voice all about it 🔥
@din2526 Жыл бұрын
Nice to see you back bro 🙌 🙏
@salimbahmad Жыл бұрын
nice song mkuu hujawahi kuniangusha keep it up
@Ranigirl44 Жыл бұрын
wow mashallah nyimbo nzuri 😍
@rashidseif7420 Жыл бұрын
Kaz nzur tunategmea makubwa kutoka kwenu❤❤❤❤❤❤❤❤❤😗😗😗😗😗
@hammerQ954 Жыл бұрын
Subscribe mazuri yanakuja
@MariamuIbrahim-w4r6 ай бұрын
Hongera xan
@mzenjikichaa8695 Жыл бұрын
Fundi wakwetu ❤
@alphanpalaah4152 Жыл бұрын
hammer q ni mfalme asie ongeleka ila bro unajua sana 👑🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@hammerQ954 Жыл бұрын
👏👏👏🔥💪🏿
@lingsmelody Жыл бұрын
Umeua sanaa kaka mkubwa kingo big up sana
@ramadhanistimtheboy Жыл бұрын
Dohhhhhhhh mashallahh
@giddyyunky7025 Жыл бұрын
#mahaba 🔥🔥🔥
@khalifaalmugheiry9232 Жыл бұрын
Hii nyimbo itakuwa nzuri siku za mbele baadhi ya watu haijawafikia
@hammerQ954 Жыл бұрын
👏👏 kwa sapot zenu ndugu zangu tunaweza kuwafikia 👏👏👏
@khalifaalmugheiry9232 Жыл бұрын
@@hammerQ954 tuko pamoja nitawakilisha mie dj
@abdulzachariah Жыл бұрын
Mashallah....freshy sana
@salimbadanga1613 Жыл бұрын
Huyu dem anaimba sana
@salimbadanga1613 Жыл бұрын
Very hotest song i say. Big up hammer
@sharomaburudan Жыл бұрын
Watoto wa Pwan ndio tunaoelewa nn maana ya #Mahaba❤️❤️❤️❤️