Hamna andiko lolote duniani ambalo Yesu amewaamrisha watu wamwabudu 17. January 2024

  Рет қаралды 5,780

Abass Online Tv, Daawa Kenya

Abass Online Tv, Daawa Kenya

Күн бұрын

Пікірлер: 30
@MwanaidyMwambez
@MwanaidyMwambez 10 ай бұрын
Mwishowe atasilimu tu inshaaAllah
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 10 ай бұрын
Bishop hafahamu maana yake ni kuwa kama kuna watu walimuaudu yesu walikosea
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 10 ай бұрын
Wakati mungu yesu yupo tumboni mariam alikuwa anamuabudu mungu gani wakati mungu wao alikuwa tumboni
@BariisSamatar
@BariisSamatar 10 ай бұрын
MANSHALLAH ALLAH HAFID our sheikhs hero ❤i love you for ever
@innocentndikumana8928
@innocentndikumana8928 10 ай бұрын
ayibu kabisa bwana bishob sirimu kabra awujakutwa na mauti
@hassadube225
@hassadube225 10 ай бұрын
Bshop ni jahili walai
@MuhashamKhalil
@MuhashamKhalil 10 ай бұрын
Assalam aleikum,wallahi sheikh Anwar umembana ipasavyo alipo azimia kukutoa katika mada nakudai kwani yesu ni nani hivyo ndivyo walivyo wakristo na mukiendelea na mtindo huo watarudi mezani kufikiria mbinu nyengine,njia hiyo hiyo itawaweza
@hasinaalrahbi6681
@hasinaalrahbi6681 10 ай бұрын
Sawa kambana lakini Angela.nafasi ya kuongea azidi kujichanganya. Humpi nafasi ya kuongea
@fatimahrashid2356
@fatimahrashid2356 10 ай бұрын
Hapana sio kuwa hapewi nafasi nivile hustadhi anuar huko na mbiyo sana Bishop ni muzee anafaa apelekwe pole pole hata namuhurumia ana tetea batili 😭😭
@ShummyHassan
@ShummyHassan 10 ай бұрын
Kweli ustadh anuari ni kukimbizwa tuu kwani ana sahau " kuwalingania bil hikmati wal maw,itha tul Hassana ama hikma huyo hakunaga kwake?
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 10 ай бұрын
Ukristo kama ushetani maneno mengi ubishi mwingi ili wapate sadaka
@BariisSamatar
@BariisSamatar 10 ай бұрын
Raha sio Raha
@saminfinity4981
@saminfinity4981 10 ай бұрын
Yoh5:23 ili watu wote wamheshimu mwana kama vile wanamheshimu BaBa.asiyemheshimu mwana hamheshimu Baba aliyempeleka
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 10 ай бұрын
Gichui atetea tumbo lake
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 10 ай бұрын
Wakristo hii pia bado hamuoni kama yesu hajaagiza aabudiwe?
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 10 ай бұрын
Salam aleikum warahmatullahi wabarakatuh
@fatimahrashid2356
@fatimahrashid2356 10 ай бұрын
Masha Allah 👌💞💞
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 10 ай бұрын
Namuuliza GiCHUI Kwani mtu Akiabudiwa huwa Mungu? Mimi leo wakatokea watu wakaniabudu nitakuwa Mungu?
@sophiajuma6798
@sophiajuma6798 10 ай бұрын
Masha Allah
@HusseinLimbe
@HusseinLimbe 10 ай бұрын
Mimi ni Muislam ila sio siri mwalimu wetu wa kiislam unakosea sana Unatakiwa umpe nafasi huyo bishop aongee chochote hata kama anaongea batili Ukiwa unamkatiza katiza hutendi haki Sisi ndio tupo kwa haki mwache ajikanyage na maandiko yake ukweli utabaki ukweli tu Wabillah taufiq
@hamzayesu2017
@hamzayesu2017 10 ай бұрын
Ni kweli ilitupate kuona mwisho wa ujanja
@finiasezra7072
@finiasezra7072 10 ай бұрын
Ama kweli waisilamu mnatumia nguvu ili muaminike, kwanini msifundishe kweli ili muaminike, kwanini mnataka bibilia iseme unavyotaka wewe? Au wewe unaweza kunionyesha ndani ya kitabu chako panapozuia yesu asiabudiwe? Nipe nami nisilimu, nami nimekubana
@ShummyHassan
@ShummyHassan 10 ай бұрын
Ni kweli mwalimu wetu anwar hapatiani nafasi kabisa hata rasul saw aliendewa na mabishop na aliwapatia nafasi alikuwa anaongea na wao kwanjia ya taratibu hata wengi walivutiwa hata kusilimu. Ama uwalete walimu wengine wamfunze kama sheikh luvanda na walimu wengine tofauti.
@abdallaabdalla998
@abdallaabdalla998 10 ай бұрын
But I think Anwar anaongea sana anatakiwa Ampe nafasi
@BariisSamatar
@BariisSamatar 10 ай бұрын
❤ALLAH hu AKBAR ❤
@sammyngunjiri3897
@sammyngunjiri3897 10 ай бұрын
Dawa ya Anwar ni Ndacha😂😂peke yake
@hawakiza6067
@hawakiza6067 10 ай бұрын
Assalam alaykum Muhubiri wa kiislam Mbona huwapi nafasi wakristo kusoma Bibilia yao Iga wahubiri wenzio kama kina Ramadhan kuri Na kina salim Unatunyima nyama ya kusikiliza Unaongea sana wewe huwaach wenzio
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 10 ай бұрын
Hata yesu wa tongareni aliabudiwa na India hata ng'ombe anaabudiwa wapi kasema mumuabudu
@BashirMahero
@BashirMahero 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂Bishop 😂😂😂😂
@Sal.0
@Sal.0 10 ай бұрын
HAKUNA kitabu cha ARAMAIC cha itwayo 'INJEEL' katika ANY BIBLIA. NENO 'INJEEL' is an ARAMAIC NAME of the Single BOOK, GIVEN to Nabi ESA, son of Marium. NENO GOSPEL, is an ENGLISH WORD, and the GOSPELS in the BIBLE, are writen in ENGLISH. The SWAHILI Bible translators of1952, have INSERTED the WORD 'INJEEL' instead of the correct WORD of 'GOSPEL', from the English Bible, in 1952! Therefore, the GOSPELS , acc to MARK LUKE, JOHN AND MATHEW are NOT the ARAMAIC BOOK called the INJEEL that 2ss GIVEN to ESA! 5he43fore 0l3as3 ro NOT make the MISTAKE of calling the Mzungu 'GOSPELS', as 'INJEEL ZA YESU'!
Yay😃 Let's make a Cute Handbag for me 👜 #diycrafts #shorts
00:33
LearnToon - Learn & Play
Рет қаралды 117 МЛН
How Much Tape To Stop A Lamborghini?
00:15
MrBeast
Рет қаралды 237 МЛН
ТВОИ РОДИТЕЛИ И ЧЕЛОВЕК ПАУК 😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 6 МЛН
Siku ya mwisho mjini Iten, Mtu Mmoja aamua Kusilimu, Maswali yachacha... .24 November 2024
1:40:32
Dada asilimu  katika Muhadhara... Ali Karanja, AbsiRizaak  29 October 2023
46:07
Abass Online Tv, Daawa Kenya
Рет қаралды 2,2 М.
Haiwezekani Yesu Kuwa Mungu....10 November 2024
1:01:50
Abass Online Tv, Daawa Kenya
Рет қаралды 2,4 М.
Mwalimu Evans Ajaribu kukwepa suali la Utume wa Yesu, 14 October 2024
41:58
Abass Online Tv, Daawa Kenya
Рет қаралды 1,9 М.
muhadhara mkubwa mumias. tfdhli subscribe
1:24:15
Juma salim Chirungenge
Рет қаралды 723
"Ni Nani mwandishi wa kitabu cha Matendo"  swali dogo lililomwangusha Kauli...10 October 2024
1:45:53
maswali na majibu by francis ndacha
2:12:41
PRESENT TRUTH LOUDCRY MINISTRY
Рет қаралды 13 М.
Pastor Ndacha vs Ex-Pastor Ibrahim WOKOVU (Part 2)
1:39:36
Ibrahim XP
Рет қаралды 16 М.
(OFFICIAL VIDEO) VITA INAYO ENDELEA DUNIANI
1:25:20
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 76 М.