Familia yangu, najua mnatamani kuona ninaachia kazi nzuri mara kwa mara! Mimi pia natamani kufanya hivyo! Kinachotusibu ni changamoto ya kukosa vifaa vya kazi. Hivyo kwa yoyote atakayeguswa anaweza kutuchangia chochote: CRDB: 0152391601800 World Remit: +255766135528 M-Pesa Number: +255 (0) 766 135 528 (Hakikisha majina yanayotokea kote ni; ADAM LEO MAPUNDA) Ukitaka kuwasiliana nami moja kwa moja: Whatsapp - +255652393960 Asanteni Sana🙏
@MauridiallyMauridiallyАй бұрын
Nakukubali cn mwanangu
@MariamDeus-s1kАй бұрын
Ww ni mwanaume sahihi sahihi sana kwenye ndoa yako kama una mke hongera kaka
@MercyFred4 ай бұрын
Napenda movie zenu Adams wow! Congratulations.
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
Thanks
@IsayaTarakwa5 ай бұрын
Kazi nzuri wanangu mwendelee kutupa tufurahie🎉🎉🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Shukrani
@ireneirene40245 ай бұрын
Kazi nzuri sn kaka jah bless you bazuuu
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Thanks
@MourineMbise5 ай бұрын
Wawoooooh uko vizuri broo pambana na mungu akutangulie
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Amen
@MariamRiziki-o8x5 ай бұрын
Haya pia mm sijachelewa😢😢😢😢naombeni hizo likes zangu jamani Adam family😂😂😂😂from 🇰🇪
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Enjoy
@KatavalyKambale5 ай бұрын
Kazi nzuri🎉🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
Asante
@Aisha-f2g5 ай бұрын
Adam na huyu dem uwa mwaigiza vizr ❤ toka 254
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Shukrani
@ShukuruKakozi5 ай бұрын
Wakwanza Leo Naomba like 10 tu
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Thanks
@SuzanaMlewa5 ай бұрын
@@AdamLeoStudiospplpp pplp0lppp
@Officialdekhan5 ай бұрын
Duu wamekupa izo izo 10😂😂😂
@ginafaruque53355 ай бұрын
Adamo Léo unakoseya sana sija mpenda ki ukweli ❤❤❤
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
Pole
@PeterMhando-u2d5 ай бұрын
Adam bigapu sana vituvyako vingi vipo kwenyeuhalisia aise uko vizuli sana kwenye kuigiza👏👏👏👏👏👏
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Asante
@AgnesMINANI3 ай бұрын
Kutoka Burundi nkupenda Adam unafanya kazi nzuri maua yako🎉🎉🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
Shukrani
@AgnessAntony-f4u5 ай бұрын
Hongera kaka kwa kaz nzuriiii
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Asante sana
@AngelKimambo-z3r4 ай бұрын
Kaz nzur sana bro.
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
Asante sana
@minanietienne-sz8xu3 ай бұрын
Kazi nzuri mno Mr Adam
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
Asante
@SIJAONANYIKA3 ай бұрын
Muvi nzuri hongereni
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
Asante
@CharoJohnson5 ай бұрын
Weeeee adamu usimuumize mwenzio jmni mtot ni mungu anatoa hakuna tasa dunia hiiii ombeni mungu ata mm sikua najua nitapata mtot mbona raha wacha kumkosea mungu anawapangia nyie😮😮😮😮😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤kueni na subra
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Kabisa kabisa
@liylahahmed8295 ай бұрын
Balaaa zitooo🎬
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Shukrani
@LoiceKatana-ci1tx4 ай бұрын
Kazi nzuri Adam🎉🎉🎉❤
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
Shukrani
@tiemahajimuindi80175 ай бұрын
Always good, production with very good, seasoned actors
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Thanks
@rahmalove5314 ай бұрын
Filam tam ❤❤❤❤🎉
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
Shukrani enjoy
@nesaahaji13295 ай бұрын
Hongera kaka ninzuri sana🎉🎉
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Shukrani sana
@nishamwenendi-vh4wk5 ай бұрын
Kazi zuri ila hiki kipande cha adamu kuongea na mama ake ungejitaidi ukafung vifungo vya shati kwa maadili ya kitazania ❤
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Sawa sawa
@Officialdekhan5 ай бұрын
ampo serious
@karlschrader40265 ай бұрын
Mbona umemtaja mkeo “Yule mwanamke”?? Ulivokuwa unaongea na mama ako
@Deny8594 ай бұрын
Nikiwa Mozambique 🇲🇿 kua nafuatilia sana kazi zako nzuri kaka Adam Leo
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
Asante
@RizikiZiki5 ай бұрын
Adam Nami leo nimekua wakwanza 😂😂😂😂nilikua nime miss kaziyako❤❤❤
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Shukrani
@Salama-df2uu5 ай бұрын
Mm hata sitaki like kabisaa😂😂
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Enjoy
@VeronicaKalinga-r9d5 ай бұрын
kaz nzuri kaka Adam 🎉
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Asante
@emmilebahati82452 ай бұрын
Big up hogera Adam nasamini kazi zako ni Jimmy toka Congo bkv
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Shukrani
@AghHh-v3f4 ай бұрын
Kaka Adam Achakuwa Unafugasura 😮😮😮 ❤❤❤ nakufata sana kutoka 🇧🇮 🇧🇮 🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
Shukrani
@saidiabdalahshabani9415 ай бұрын
😂😂😂😂pole snaa Adam kwahayo yanayokukuta
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Asantee
@Roth1114 ай бұрын
Kutoka Kenya nawarch kutoka Saudi Adam nakufuatilia Sana na video zenu munafurahixa🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
Shukrani sana
@frenkamosi-sz1gr5 ай бұрын
Kazi nzuri kaka
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Shukrani
@PriscarMbodze5 ай бұрын
Waaah hii nayo hatar aisei 🤣❤❤❤ Naikubali 🎊 🎊
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Enjoy
@AggieNkyale5 ай бұрын
Kazi nzuri
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Asante sana
@LucyLackson5 ай бұрын
Adam nakuita mara 3 hauna kazi mbovu.❤❤🔥🔥🔥
@فاطمهكينيا-ذ8ش5 ай бұрын
Kazi yako Adam ni nzuri sana
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Asanteni sana
@RichardKigeso-i2y3 ай бұрын
Kubal mr adam
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
🙏
@tiemahajimuindi80175 ай бұрын
Mpe hongera the lady acting as Mama Adam...she is a very good and compelling actress as a mother...❤
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Okay
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Okay
@jacksonmigiro58735 ай бұрын
@@tiemahajimuindi8017 tunaisubiri sana
@JohnjobMilimo-nx9kh5 ай бұрын
iko very good
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Thanks
@AnnaMwanry5 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉na enjoy
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Shukrani
@SakinaDamiani-e9h5 ай бұрын
Hot ndugu mungu akubles
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
Amen
@msaniimusicgroupsantym26405 ай бұрын
dzuri sana 🎉❤
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Shukrani
@sikudhanimohammad76925 ай бұрын
Waigizaji wapo vzuri sana. Especially alocheza nafasi ya Mama Adam
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Shukrani
@NduluLubinza4 ай бұрын
Pole dada niliyapitia nami
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
Pole sana
@ottomanmorand80875 ай бұрын
Mawe juu ya mawe🎉
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Shukrani
@AzizaMdee5 ай бұрын
Big up kwenu hakika ni zaid ya mafunzo
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
Shukrani sana
@SamouOman5 ай бұрын
kazi nzur adamu napendaga move zako
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Shukrani
@HawaOmari-xh5lg5 ай бұрын
Namtaka sana mkwe wa aina hii jmn
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
Shukrani
@sarahasekile38645 ай бұрын
kazi mzur adam.ya pili isichelewe utamu ukapoa kaka
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Sawaa
@SymphorienMasudi-p5y5 ай бұрын
Mwalimumku ukoewani weninoma eeenakufata APA Congo Lubumbashi
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Asantee
@jacksonmigiro58735 ай бұрын
Jambo admu , baamid Iko ya kuendlea
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Itaendelea
@khadijak-f7n5 ай бұрын
Mm🎉🎉zibuamirija yakizaz 😂
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Shukrani
@sylvia39995 ай бұрын
😂😂😂 Adam nenda ukaone doctor 😂😂😂 mafunzo kweli❤❤❤
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Kabisaa aisee
@MussaPonda-l4e5 ай бұрын
Naicheki movie huku nakula makande sina neno is so good
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Enjoy
@MtuHuru5 ай бұрын
Me wa 3 nipeni like zangu
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Enjoy
@evelynoscar51044 ай бұрын
Much respect brother adam
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
Thanks
@AlliMohamedi-kp8jd5 ай бұрын
Hongera Adam huna baya
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Asante
@SharifaHuseni-qs1me5 ай бұрын
Kaka Adam kama kawaida hunaga vitu fake bigup sanaa 🎉💕
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Shukrani
@MjaryaToto4 ай бұрын
Uko p San bro
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
Shukrani sana
@STANLEYKINYILI5 ай бұрын
Kenya Watching
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Thanks
@AminaAssii-o3f4 ай бұрын
Hao mama wakwe zetu wa Sasa utafikiri Wana funyo Sina wafukunyua 😂😂
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
Kabisa
@Linetmokogoti5 ай бұрын
Enda mpime muone sida ni nani ako nayo❤❤❤
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Kabisa
@neemaneychricious64935 ай бұрын
adam duh unachofeligi sasa ukishauriwa unaondoka nalo hilohilo uliloambiwaa mbna hujisimamii mwenyew kwo unaish kwa mawazo ya watu au maneno ya watu hahahaha but nampenda snaa fifi
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Haahaha shukrani
@FurahaKulapha5 ай бұрын
Adam huyo mkeo nmrembo 🥰
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Asante
@user-sarah1sarah5 ай бұрын
Adam Mung akusameee 😢😢😢😢😢
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Amen
@tato89795 ай бұрын
Sijachelewa leo naomben like zenu
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Enjoy
@NasmaMudy4 ай бұрын
Kuview tyy kulike aaah
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
Thanks
@MariamRiziki-o8x5 ай бұрын
We mama kwani Adam ni mwenyezi mungu unakosea ukisema ivo mama😢😢😢😢😢😢😢
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
HAMU MBAYA |2| Full Movie | Love story❤️😘 kzbin.info/www/bejne/q2GvmKOcl8SHkMk
@halimadamasi27705 ай бұрын
Mm sitak hata like jaman hapa nikuangalia movie na kujifunza 😢😢
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Enjoy
@FaustinaAngelo-d4d5 ай бұрын
Amina
@RuthNgugime4 ай бұрын
😅 tamaa ilimuua fisi
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
Umeona eh
@RehemaIbrahim-wn4ef5 ай бұрын
Kaka Adam karibu makande😂😂😂
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Asante
@fatumasuleiman32405 ай бұрын
Mama kiboko wew jaman
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Nomaah
@HabonimanaFelix5 ай бұрын
Ebwana eeeee badirisha location iyo nyumba tumesha icoka
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Pole mkuu
@agnesspeter-uu1xp5 ай бұрын
Wajengee kama umechoka
@Sophieshaliz695 ай бұрын
Filamu njema hii filamu isikose likes kama zote jameni 🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Shukrani
@debabahasani43945 ай бұрын
🎉
@ahmedksa64425 ай бұрын
Bila kuchelewa
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Thanks
@موسيمحمد-ه5ظ1ف5 ай бұрын
Basi kaka Adam we ndo mwenye tatizo ulikataa watoto hao uliowapa mimba sai kiboko chakuchapa😂😂😂
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Hahah jamani
@EvenLubimbi5 ай бұрын
Mama mtata huyu🤣🤣🤣
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Mnoo
@SmilingDrum-lz4cr5 ай бұрын
Nice
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Thanks
@LylahMrombo5 ай бұрын
😭😭😭aki nasubiria 2😊
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Sawaaa
@halimaali37195 ай бұрын
Mimi pia niko jamani 😂😂😂 halima 🇰🇪 kenya
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Shukrani
@elysefuraha45885 ай бұрын
❤❤❤ FROM 🇧🇮
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
Thanks
@rebeccakadzo80575 ай бұрын
Mama mkwe hatari 😂😂
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Nomaa
@halimadamasi27705 ай бұрын
Inauma saana 😢😢😢
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Mno
@BethMuthoni-jv6fr5 ай бұрын
Adam Nami leo nimekua wakwanza😂😂😂😂😂
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Enjoy
@DamasAmos-ue2gh4 ай бұрын
Adam iyo imeenda nimekuelewa
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
Shukrani
@mirnababy50125 ай бұрын
Leo nimewai kutazama utamu❤
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Endelea kuenjoy
@Baitha-i3c5 ай бұрын
Aliyetoka kwenye group nakuja kutazama huku agonge like hapa 😂😂 ila mama mkweee
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Noma
@nikalegona1455 ай бұрын
Kwan kuna group?
@Baitha-i3c5 ай бұрын
@@nikalegona145 ndyo dear lipo
@sikudhanimohammad76925 ай бұрын
Kumbe kuna group na hamsemi jamani?
@MariamDeus-s1kАй бұрын
Adam matumain kama una mke una mapenzi ya dhati hata kwa mkeo unanifunza kitu kikubwa sana honger lakin Amanda hatumuon vp
@LovenessJames-j9o5 ай бұрын
Jmn kama kuolewa ndo ivi kaah jmn uyu mama mkwe😢😂
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Nomaa
@TumainMbuba5 ай бұрын
Mambo vip mrembo
@افلينافلين-ي9ك5 ай бұрын
Mbona nikama moto utawaka apa😂😂
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Nomaa
@FaustinaAngelo-d4d5 ай бұрын
Yaan ngoja tusubir
@QuenDidah-n5w3 ай бұрын
Siku nyingine dadangu mtu akikwambia mbona huzai nawe pia muulize kati ya mm na mwanao ninani anae pandia mwenzie juu apo ndo atajua ninani hazai kwaheri na sitaki like
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
Hahaha yaani
@zuheorsalim77595 ай бұрын
Fifi hapo cha msingi huo mzgo kampe yule rafiki yakr 😅
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Hahah
@alikhamic41775 ай бұрын
hi mov inafanana na ile mke na dada ulio hekti kipofu umeitoa karibu miaka mitatu
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Hapana ngoja iishe hii utaelewa
@fettiemaganza14845 ай бұрын
Ila Adam kichwa chako kiligomaga kabisa kuamua mpk uamuliwe na watu😂😂😂
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Yaani sielewiii🤣🤣
@BijouxBulose5 ай бұрын
❤❤
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
❤️❤️
@zulfajamal31665 ай бұрын
Huyo mama angekutana na mimi kichwa kibovu ndo angejua km nilizaliwaa hospital au chooni
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Jamaniii
@McT-m1m4 ай бұрын
Kuna mtu anamlaumu adamu kuhusu kugunga vishikizo hebu kuweni sirias hapo kuna ubaya gani mimi kiti ambacho huwa napenda kumpa ushairi kwenye mvi nikupeyana mate tu kwa sababu huwa tunaangalia na familia
@AdamLeoStudios4 ай бұрын
Sawa shukrani
@IsakaKiyalo-s3v5 ай бұрын
Usichelewe kutuletea ya pili
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Tayari HAMU MBAYA |2| Full Movie | Love story❤️😘 kzbin.info/www/bejne/q2GvmKOcl8SHkMk
@lawskuli98764 ай бұрын
Inapotokea kutopata mtoto kawaida ya wanaume walio wengi ni kufikiri ni wanawake ndio wenye matatizo.
@AdamLeoStudios4 ай бұрын
Umeona eh
@HamisiForogo5 ай бұрын
Adam mimi nimebakiza Christmas nane tu dah ngoja nichangamkie fursa