Hanscana: Nisher Alituchukulia Poa/ Aliona Hatutatoboa Kabisa

  Рет қаралды 35,469

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Kuna Vitu Vingi Sana Vinafanyika Kwenye Game ya Bongo Fleva na Moja Kati ya Vitu Vikubwa VinavyoPush Ngoma za Wasanii ni Video Ambazo Wanazifanya.
Director @hanscana_ amezungumzia Safari yake ya Maisha wakati alipoanza kutengeneza Music Video na Wasanii mbalimbali mpaka kuja kuanza kushoot vichupa akiwa na wasanii wakubwa Africa Mashariki.
Akizungumza kwenye #EXCLUSIVE Hanscana ambae alianzia kazi zake Arusha anasema alikuja kutusua baada ya mkwanja alioanza kupewa na @vanessamdee @juma_jux Pamoja na Msanii @diamondplatnumz na hapo akaanza kununua vifaa na kutafuta sehemu nzuri kwa ajili ya kuishi.

Пікірлер: 50
@stephenakech7817
@stephenakech7817 Жыл бұрын
Kamwambie Hanscana nilipndelea kazi yake ndiposa nikamwita mwanangu Hanscana Hawi.Much love from +254
@qeenraysaid4076
@qeenraysaid4076 6 жыл бұрын
Nisher anajua kuliko Hanscana. Sema Nisher hashoboki na media
@hellyinechriss5146
@hellyinechriss5146 8 ай бұрын
Fact
@newwaymusictz8410
@newwaymusictz8410 2 жыл бұрын
Vi Camera vidogo vidogo ambavyo havina maana ndio vimekuweka hapo...Respect the Legend...
@GKVISUEL
@GKVISUEL 5 ай бұрын
Kweli sana
@Manyara-Jr
@Manyara-Jr Жыл бұрын
NIMESIKIA INTERVIEWS NYING ZA HUYU JAMAA.. JAMAA ANA MOYO SANA ANA LOVE YA HATARI SANA
@yohanamsafii3404
@yohanamsafii3404 6 жыл бұрын
Nakukbali kinyama mzee upo vzr bro
@mtoroonetv9621
@mtoroonetv9621 6 жыл бұрын
Nakubali Director mwenzangu
@wizzyfernando8655
@wizzyfernando8655 6 жыл бұрын
Nisher #1
@RamsohLatinho
@RamsohLatinho 5 жыл бұрын
Safi saña, unajua kujielezea na story yako inaweza kuwapa vijana wengi motisha.
@zefaso_24
@zefaso_24 3 жыл бұрын
Asanteh brother kwa elim hii ina hamasisha kwa vijana walio na ndoto za kuwa ma Director 🙏🙏
@Ab113tech
@Ab113tech 6 жыл бұрын
Nice Bro keep up the good content una inspire all of us upcoming ones !
@mcdave7914
@mcdave7914 6 жыл бұрын
*Big up my bro Hanskana*
@ramsobeca9578
@ramsobeca9578 6 жыл бұрын
good nisher akubali tu
@latifamtanda6312
@latifamtanda6312 6 жыл бұрын
Ongera sana dogo
@saimoniflavourmkanza420
@saimoniflavourmkanza420 4 жыл бұрын
ok blood nakubali kazi zako sanaaaa
@badboy2577
@badboy2577 6 жыл бұрын
Wajaribu lakini video zako zinakosa Idea.Sai uko chini sana.Ulikuwa ukisaidiwa na Dir.Kenny wa zoom production sai ameingia mwenyewe kwenye game na wewe chali.Alaf usijifananishe na Nisher wala kumsemea vibaya coz Nisher ni Dir mkongwe na ni award winning Dir. Yaani humuwezi video zake ni za Hollywood.Wewe mwenyewe ulifundishwa na Dir. Khalfani na Dir khalfani alifundishwa na Nisher.so still hata wewe ni mwanafunzi wa Nisher
@thoyarashid5782
@thoyarashid5782 6 жыл бұрын
Hanscan ako poa sana
@bennybenson777
@bennybenson777 6 жыл бұрын
Naanza na video hii ya interview; Nyimbo Za kutambulisha maelezo ya Hanscana ni ndefu sana mpaka inaboa. Video za Hanscana zina shida moja; umbali wa maandishi kwenye video zake huwa ni mdogo sana, mara nyingine maandishi huingiliana, na pia style ya maandishi (font size & design) haibadiliki sana. Maelezo yangu hayatoshi kusema hayupo vizuri. Hanscana yuko vizuri sana....na aendelee kuvumilia dharau za mtoto wa GeoDave.
@creativeportrait3496
@creativeportrait3496 6 жыл бұрын
Inspired 🙏🏽
@ottimoney
@ottimoney 6 жыл бұрын
godfather wabongo uyo #fimbo
@pabilysamy317
@pabilysamy317 6 жыл бұрын
nyimbo ndefu sana afu sehem nyingn ata sio ya kuweka nyimbo, mpangilio mbaya
@helenaxavery8906
@helenaxavery8906 6 жыл бұрын
duuh kumbe Mdogo tuu nkajua mtu mzito
@wakwanza1832
@wakwanza1832 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣angekuwa mzto tungembebaje sasa.
@annaelias4922
@annaelias4922 6 жыл бұрын
Jux aimbii njaa ndo maana mshiko upo yule anatoa kipaji nje tu pesa ni mambo yakando
@isserplem8360
@isserplem8360 4 жыл бұрын
Uko POA sana
@djofficialtz4994
@djofficialtz4994 5 жыл бұрын
nice
@tcranktwalbu972
@tcranktwalbu972 5 жыл бұрын
Best ulilipwa shingapi
@diocresfaustini9658
@diocresfaustini9658 4 жыл бұрын
NishxxNo 1 ww acha bwebw
@mropeamadeus5445
@mropeamadeus5445 6 жыл бұрын
Nisher Yuko juuu mpe heshima yake acha kiburi dogo
@mrnobody-qg6ed
@mrnobody-qg6ed 8 ай бұрын
Dogo anafanya kawaida sanaaaa afu anajikuta yani
@pat-bog3831
@pat-bog3831 3 жыл бұрын
Yani video zako Hazipingwi niko Drcongo Nami nimekujua kupitia Hii navy kenzo
@devidalex7373
@devidalex7373 Жыл бұрын
namkubal sana uyu mwamba
@bensonfrank643
@bensonfrank643 6 жыл бұрын
BEST DIRECTOR WE HAVE IN BONGO LAND!! 🙌
@frankjully5457
@frankjully5457 6 жыл бұрын
no that is not true
@creativeportrait3496
@creativeportrait3496 6 жыл бұрын
Inspired 🚀
@mr_alberttz1445
@mr_alberttz1445 6 жыл бұрын
Introduction nyimbo nzima duh
@rashidbusanya7166
@rashidbusanya7166 6 жыл бұрын
Watu mnatoboa tu nimebaki Mimi duuh
@mr_alberttz1445
@mr_alberttz1445 6 жыл бұрын
Badilikeni kwenye introduction inaboa
@amryzubery1051
@amryzubery1051 6 жыл бұрын
ww hansikana usionge sana katika video unatisha sana
@Busilana
@Busilana 6 жыл бұрын
Albert tz1 peleka Mbele
@stevewanga957
@stevewanga957 6 жыл бұрын
Hii introduction yenu ndefu mpaka yaboa
@leonardmavele183
@leonardmavele183 6 жыл бұрын
steve wanga hii inatoka kwnye chanel yao,ila km clip ndef snaa usiangalie ndo ushaur wng
@ottimoney
@ottimoney 6 жыл бұрын
steve wanga #unaumwa
@stevewanga957
@stevewanga957 6 жыл бұрын
Otimary Mvile umekua dokta
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
Bongo vlogs TV 😂😂😂
@creativeportrait3496
@creativeportrait3496 6 жыл бұрын
Inspired 🙏🏽
@creativeportrait3496
@creativeportrait3496 6 жыл бұрын
Inspired 🙏🏽
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН
HANSCANA - LALA REVIEW
12:18
LOCATION WITH HANSCANA
Рет қаралды 11 М.
AKILI YA HESABU YA LEONARDO YAMSHANGAZA HANSCANA🙌🏻🙌🏻
1:01
Laughs On Leonardo
Рет қаралды 29 М.
A DAY IN THE LIFE OF Director NISHER
5:14
NISHER ENTERTAINMENT
Рет қаралды 16 М.
Ushamba - Behind The Scene - Part 1
23:09
Harmonize
Рет қаралды 73 М.