Subhanallah bado tunajifunza na pia tujifunze kumshukuru mungu kwa kutupa afya na kuugua si kufa
@nsubilimwampeta99202 ай бұрын
Prof. Mungu ana mpango na wewe...you're the chosen one, believe me.
@paulajoho2223Ай бұрын
Ameeen!Ameeen! "Glory be to God"
@lilianemmanuel91582 ай бұрын
Mungu ni mwema Sana alipokutoa ni mbali Sana amekutendea miujiza sana
@tajiertaj59562 ай бұрын
Sina chakusema zaidi yakumshukuru Mungu kwakila jambo ❤🤲🙏
@WATANDA-b3v2 ай бұрын
Dah Aisee pole Sana brother utapona , Ukishaamka ndio safari ya KURUDI kwenye hali Yako ya kawaida.
@wilbroadgrarcian12592 ай бұрын
Na utukufu wa MUNGU umedhihirika Mungu atabaki kua Mungu
@fredstarch51842 ай бұрын
Kabla haujamuomba mungu utajiri cha kwanza yatupasa tuombe tuwe na afya njema / mungu yupo pole sana my king my dady jay mungu yu nawe muda woteeeeee,🙏🙏🙏🙏
@twiseghekisilu88452 ай бұрын
Wagonjwa wote wangekuwa wanaangaliwa km hivi vifo vingi vingepungua lakini umaskini ndo unatuua kwa haraka!Mungu mwema kila wakati
@MengiMeng-fd7sq2 ай бұрын
😂😂😂😂😂nimecheka sanaaaaaaaaaaa
@Zuu6732 ай бұрын
Ninacho amini kula kitu kinasababu,pia kifo kinasababu
@rahmaabdallah45142 ай бұрын
Hata yeye kama siku ingekua imefika hakuna angeweza kuizuwia..... familia ngapi za matajiri mabilionea hawapo tena wengine wanazikwa huko huko ulaya
@judyngowi3912 ай бұрын
@@rahmaabdallah4514kabisa
@Zilizopendwa_60s2 ай бұрын
Pesa ndio zinamfikisha hiyo hatua sio Bure ndugu ...hata wewe ukiwa nazo unaweza fanyiwa hivyo...haijalishi ni zake au zakuchangila ila ni pesa...lakini pia usisahau ya kuwa siku ya kufa pia hahitaji pesa
@Sunsetkenya2 ай бұрын
Mungu akutangulie Prof. You will walk again inshallah.
@kateahmed58522 ай бұрын
Jay mti mkavu shupavu Mungu akujaalie Afya njema brother
@JacobMutiso-t9p2 ай бұрын
Pole sana professor.. Mwenyezi akuponye ..
@Nanah182 ай бұрын
Pole sana Bro, ila pia mshukuru sana Mungu, Mke umepata, sio kwa uzuri wake tu, ila pia katika shida na raha anakuthamini sana, kuna watu wakipata mitihani wenza wao wanawakuwa watu wa kuwaumiza zaidi badala ya kuwa faraja
@mandelasamson8401Ай бұрын
Kumbe kweli Prof, ulipitia Mungu ni mkuu siku zote
@SimulizitulivuuАй бұрын
Pole sana jaamaa... Madaktari waheshimiwe na wapewe Hela ndefu sanaa
@vuvuzelajordankhasindu2963Ай бұрын
Jay, Mungu yuko na Sababu ya kukupitisha kwenye haya yote na kukupa uzima na afya. Wewe uliletwa kwa hii dunia kuwa Mwalimu kupitia kwa muziki. Rudi Studio full mzuka ukafunze ulimwengu. Kipindi ulikuwa Bungeni, wengi walikosa mafunzo yako. Pole sana. Peace.
@dainamo-tz7715Ай бұрын
Pro.Mungu usimwache Mungu Najua Maneno haya ushaambiwa Sana na Wengi lakin Amejionesha kuwa yeye ana Nguvu!!!!!❤
@mwangasonimwanga5850Ай бұрын
Mungu yupo sijui mungu atuonyeshe mifano gani ili twamini ee mungu nipe nguvu nikutumikie wewe tu katika maisha ya duniani
@naff63022 ай бұрын
Pole sana Legend....twakuaminia sana hapa Kenya 🇰🇪
@mudymbarouk82792 ай бұрын
Pole sana ndugu yngu M/mungu atakuimarisha zaidi
@ScopionScopion-zj9cd2 ай бұрын
pole bro bado unamaisha mungu Nimkubwa malefu pole sana
@vagrant_tz2 ай бұрын
Daaah pole sana kaka Hakika Mungu ni mkuu🙏🙏🙏
@rukiakyaka18272 ай бұрын
Namuomba M/Mungu akupunguzie uzito wa maradhi Inshaallah
@Stellastella-yi5vu2 ай бұрын
Ni Mungu pekee, Mungu asante kwa miujiza yako
@simonibonifasi31312 ай бұрын
Pole sana kaka mungu akusaidie upone
@ezraernsti1925Ай бұрын
Kaka Nakuita kwa mara yapili Kaka Jose Mungu anampango mkubwa sana nawewe
@paulinaobiria96492 ай бұрын
Mungu wetu ni mkuu, wewe ni mzima kwa uweza wa Mungu
@edwinojiambo38992 ай бұрын
"Upper Cut Chembe kidevu lazima ukae." Mwafrika ni mungu hivi hahitaji mungu mwengine/ Hivi sijui LA kusema, maneno sina ila sifa, my mentor. Ya Dunia ni mengi, I hope utapona. I wish you well
@samwa9496Ай бұрын
Umwone Mungu mbele Yako muda wote achana na maisha ya dunia
@calistergwerino87612 ай бұрын
Kweli kabla hujafa hujaumbika.Mungu akupe maisha marefu
@JumaShaban-f8m2 ай бұрын
Mungu akulinde
@nenolauzima52812 ай бұрын
Jay wa Mitulinga...mwanamsolopagsnzi!..Mungu akujalie siha njema
@happinessmwisse1152Ай бұрын
Ushukuriwe eeehee .Mungu wetu sote
@sivickeykagomadog4472Ай бұрын
Mungu akuzidishie afya bora kabisa, tunazidi kukuombea
@AfricaMusicTv440Ай бұрын
Mungu ni mwema
@homeandaway28112 ай бұрын
MKE WA PROF.J APEWE TUZO ,ASIMAME ATOE FUNZO KWA WANAWAKE ,UVUMILIVU WAKE NI MKUU, KAMA SIO MUNGU SIJUI
@yusufwazili53592 ай бұрын
Mungu aendelee kukulinda,,umepitia wakati mgumu ila fanya sana ibada kaka
@patrickymkoma35582 ай бұрын
Mungu akupiganie
@SLVESTA072 ай бұрын
Doh God is good Prof 🙏🙏🙏
@chidi_don2 ай бұрын
Dah bro pole sana
@devissyprian15262 ай бұрын
Mtumikieni Mungu enyi wanadamu tuachee dhambu mwanadamu si kitu kufumba na kufumbua unakufa na kunyauka
@hhurbert2 ай бұрын
Dah pole sana brother
@Monelclassic1112 ай бұрын
pole sana baba jay
@ShaxNyika2 ай бұрын
Pole sana brooo🎉🎉🎉
@urban_selectАй бұрын
Pole sana legend,
@wavinonoclassic12742 ай бұрын
daah ogopa sana kitu kinaitwa maradhi kama sio yeye vile, mungu atusimamie sana
@edithaeugeni96952 ай бұрын
Dahii iposiku Mungu ataishangaza Dunia kwakukupa uponyaji wa mojakwa moja nijambo la Muda tu nakutokukata tamaa
@aftatv41872 ай бұрын
Madaktari wote waendelee kubarikiwa na Mungu🤲🏾🌍
@maximillianmayani51192 ай бұрын
Mungu ni mkuu sana endelea kumtumainia kaka
@CyprianKiti2 ай бұрын
Mungu anatibu Zaid na kuponya be blessed
@NereyMsangi2 ай бұрын
Pole sana mkuu
@eliasjuma46352 ай бұрын
Mungu Mwema sana Broo,Utakua Sawa muda sio mrefu the heavy weight Mc
@happinessrichard85242 ай бұрын
Mungu akupe afya njemaaaaaaaa
@EstaGervasi2 ай бұрын
Mhi kweli uliumwa San pore San mungu yupo pamoja na wewe
@CharlesClaudio-uf9nv2 ай бұрын
😥😥😥 pole sana kaka
@TatuRamadhan-dl1ce2 ай бұрын
Pole Sana kaka
@ManDculture2 ай бұрын
Usichelewe tafuta siku nzuri mapema tuite artist wote sio chipukizi wala wasanii wakubwa kisha chinja ng'ombe walau mbili ifanyike dua ya shukrani kaka hali ya hiyo clip na ulivyo sasa sio jambo la kawaida. Allah mjuzi🤝🏻🙏🏻
@zidatv11222 ай бұрын
Mungu akipanga uishi utaishi na utaponana
@salimbilali5174Ай бұрын
Mungu Tu wallah
@Zapata882 ай бұрын
Pole xana mwanalizombe
@josephatjosephat42692 ай бұрын
Mwenyezi mungu mkubwa sana
@diti48992 ай бұрын
Mungu akutie nguvu kaka
@SULTANSAID-y6mАй бұрын
Pole sana kaka yetu
@SameerNasr2 ай бұрын
Neiy
@DorisNgimbwa2 ай бұрын
Madaktari mungu awatunze
@Donrugi2 ай бұрын
Mungu ni mwema 🙏
@NolaTz2 ай бұрын
Mungu muweza wa yote am
@patrickymkoma35582 ай бұрын
Pole sana
@francolazaro86462 ай бұрын
Daahh
@nsungaedwin34642 ай бұрын
Pole sana Champion
@adoniemanuel9082 ай бұрын
Kweli madactaei wamepambana ipasavyo ila mkono wamungu ndio umetemda kazi
@FadhiliKasegese2 ай бұрын
Jamaniiii, daaah Mungu Mkuu sanaaa
@AnethQueen2 ай бұрын
Good is all time bor❤
@BunguMasterMkomaoАй бұрын
Kaka mkubwa mungu tuuuu🙏
@PendoMarco-x3uАй бұрын
Mungu mkuu
@davidntowanga77172 ай бұрын
God
@allymwilu80892 ай бұрын
Daah Prof umepitia magumu sana ila mungu bado yu nawe na watanzania hatukuchoka kukuombea bro kuumwa ni moja ya ibadan ila hii kaka ilikua kubwa kuliko
@muzafarsharif94652 ай бұрын
Duh maradhi ni sumu Allah ampe afya arudi kama zamani😢
@happykulanga66962 ай бұрын
Mungu mkubwa, heshima na utukufu apewe Mungu.
@paulajoho2223Ай бұрын
"Hakuna Mungu kama wewe Bwana" Hakika kweli umetenda kwa Pro J.. Sifa na utukufu tunakurudishia wewe..