Eeeeh Mungu nijalie na mm siku moja nije nijiunge na EPA yangu kundi pendwa ❤️❤️❤️ hii nyimbo kuna watu watatu kila nikisikia huu wimbo natowa chozi fr. Uyo wa kwanza, wa pili na yule brother alo imba kibembe kule mwisho OMG 😢 nawapenda nyooote kundi langu pendwa ❤️❤️❤️❤️ mbarikiwe sana