#MAMBONISAWA#HAPPY# SHALOM, nimekuja tena na wimbo mpya unaoitwa mambo ni sawa, najua upokusambaza injili ya ya Yesu hivyo nisaidie ku share ku comment na ku like, MUNGU akubariki sana
Пікірлер: 121
@bulozeregine47193 жыл бұрын
Mungu azid kukuinua happy maana nyimbo zako zinanibarik san
@jamesdonard20813 жыл бұрын
Wapi happy mringa ubarikiwe sana kwa kz nzr sana
@farajamusic9672 Жыл бұрын
Ameen kwakazi nzuri dada yangu,Mungu akubariki,Mambo ni sawa
@glorymnyipembulo25573 жыл бұрын
Waooh kawimbo kazuri, mambo ni sawa pamoja na Yesu. Mungu azidi kukutunza tuzidi kubarikiwa kupitia wewe., kwa kweli unanibariki sana.
@HappyMlinga3 жыл бұрын
Amen amen
@anyosisyepascal31553 жыл бұрын
Kazi nzr sana kutoka kwa Dada yng happy barikiwa mnoo
@HappyMlinga3 жыл бұрын
Asant sana
@binsaidimwanza3 жыл бұрын
Sasa kwake yeye awezaye kufanya mambo makubwa kupita yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu, kwake kutukuzwa kanisani na Kristo Yesu katika vizazi vyote, milele na milele. Amina. Kazi nzuri Sana Dada Happy Mungu wangu akubariki Sana Kwa Kazi hiyo
@HappyMlinga3 жыл бұрын
Amen Amen
@rachelkaaya37163 жыл бұрын
Ongera kwa wimbo mzuri sana mtumishi wa Mungu Mungu hazidi kukuinuwakatikaviwango vikubwa mno
@HappyMlinga3 жыл бұрын
Asant sana
@Kesiyammunga3 жыл бұрын
Wow ubarikiwe sana kweli kwa wimbo huu nzuri tena wenye kubariki moyo ❤️🙏🙏🙏😘❤️❤️
Waooooo dadayangu mwenyewe jaamn hongera ssna jaman MAMBO NI SAWA SAWA
@HappyMlinga3 жыл бұрын
Asant sana
@mgogosinger3 жыл бұрын
Waooooo!!! Another level of Revelation and Anointing: Keep up going my Sister....your Vocal is unique. Jamani tumpeni Saport huyu Mtumishi...hakikisha una- Subscribe Kwa channel yake..Mimi tayari nimeshafanya hivyo.
@HappyMlinga3 жыл бұрын
Thanks so much
@hagaifanuely77863 жыл бұрын
Amina aminaaa
@erickmeshac31353 жыл бұрын
Dada happy napenda sana nyimbo zako,una mtindo wa namna yako tuuu
@HappyMlinga3 жыл бұрын
Asant sana
@lydiasakinalydiasakina58003 жыл бұрын
Ubarikiwe dada. Mambo ni sawa kwa Yesu
@HappyMlinga3 жыл бұрын
Amen
@hgmediatz39853 жыл бұрын
Ameen. Mambo ni sawaa. Barikiwa sana
@HappyMlinga3 жыл бұрын
Haswaaaa
@binktvonline3 жыл бұрын
Bwana, Wewe ndiye Mungu aliye juu. Umenikomboa na ninakusifu. Umenibariki zaidi ya mawazo yangu na unaendelea kunibariki kwa njia ambazo siwezi kuelewa. Ninakushukuru na kukusifu. Ninakupa heshima zote na utukufu wote, milele na milele. Amina. Tafadhali ndugu zangu share wimbo wa Mungu uwende Bali Zaidi, please guys.
@HappyMlinga3 жыл бұрын
Amen Amen
@suzankamguna3 жыл бұрын
Safi sana,Mungu azidi kukupandisha Binti wa Yesu.
@HappyMlinga3 жыл бұрын
Amen Amen
@anissawinasi25793 жыл бұрын
Hongera sana Mungu akubariki zahidi
@HappyMlinga3 жыл бұрын
Amen Bwarikiwa wewe
@peterkabigi3 жыл бұрын
Amazing,Barikiwa sana
@tullahtweve88523 жыл бұрын
Hujawahi niangusha dear, kazi nzuri
@ezekielmakililo3 жыл бұрын
Sauti tamu,uandishi mzuri,ujumbe mzuri,melody kali,Mziki mtamu,mixing kali,Video nzuri.Kongole sana sister
@komandowayesu36423 жыл бұрын
Mambo ni 🔥🔥🔥💪💪💪💪💪. Barikiwa sana Dada yangu
@HappyMlinga3 жыл бұрын
Amen Amen
@tressorkizengajeremiah.c94103 жыл бұрын
Woooww, congratulations my lovely sister for the great job
@HappyMlinga3 жыл бұрын
Thanks
@costazia65073 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi 🙏🙏
@alexmlinda93993 жыл бұрын
Napendaga nyimbo zako
@mawazokiloloma55293 жыл бұрын
Hakika Uhuwimbo unabariki Hongera sana
@tukupasyamwakibolwa35643 жыл бұрын
Barikiwa kwa wimbo wa ukombozi 🕷️🕸️🕸️🕸️🕸️♥️♥️♥️♥️
@godympole3673 жыл бұрын
Waoh!!! Ukiwa Na Yesu 🙌🙌 Mambo Ni Sawa Sawa. Hongera Sana. Mungu azidi Kukuinua 🙏🙏
@HappyMlinga3 жыл бұрын
Amen Amen
@pboystriker45153 жыл бұрын
Dada yangu nyimbo zako uwaga Zina nikosha sana❤️❤️💉
@HappyMlinga3 жыл бұрын
Asant sana
@willyroggy16863 жыл бұрын
Kaz nzur dada... Blessings upon you.. 👏🏾
@HappyMlinga3 жыл бұрын
Amen Amen
@lydiapaul44593 жыл бұрын
Woooow hii moto sana mambo ni sawa pamoja na Yesu
@HappyMlinga3 жыл бұрын
Amen amen
@magrethsagini72573 жыл бұрын
Hongera sana kipenzi
@HappyMlinga3 жыл бұрын
Asant sana
@mwansasubrand91243 жыл бұрын
Nyimbo nzr Sana barikiwa sana
@SylviaMwangunga3 жыл бұрын
Hongera sana mama hujawahi niangusha mavocal wangu💪💪💪
@HappyMlinga3 жыл бұрын
Asant sana maa
@pastorwilsonchiusa29102 ай бұрын
MUNGU akubariki mno mjakazi wa BWANA
@mawazonendjo97653 жыл бұрын
Next level dada
@HappyMlinga3 жыл бұрын
Thanks
@laurentmenge6443 жыл бұрын
Wow👏😮 Beautiful song 🎵❤😍amakweli Mambo nisawa ubarikiwe sana kwa kazi nzuri
@HappyMlinga3 жыл бұрын
Amen Amen
@KibongeWaYesu3 жыл бұрын
Moto usio zima
@sistajoy13 жыл бұрын
Wimbo unabariki moyo mom🙏🏾🤍...Mungu akubariki kwa kazi njema!
@HappyMlinga3 жыл бұрын
Amen Amen
@hagaifanuely77863 жыл бұрын
Tunao endelea kisikiliza tujuane wapendwa🔥🔥💓💓
@ushindichoiraz39073 жыл бұрын
Ubarikiwe sana, mtu wa Mungu afanana na msingi uliojengwa juu ya Mwamba imara. Mambo ni sawa 🔥🔥 kwa Yesu
@bernadette62663 жыл бұрын
Mungu akubariki mama iyo nikweli ukiwa na yesu mambo ni sawa
@HappyMlinga3 жыл бұрын
Amen amen
@amanidaniel79073 жыл бұрын
Mambo ni sawaaaaa
@HappyMlinga3 жыл бұрын
Haswaaaa
@claudineeshtermatondomaton28363 жыл бұрын
congratulations 🎆🎆🎉👋👋👑👑🔥🔥🇨🇩🇫🇷
@TheGreats20103 жыл бұрын
More love for you from Finland
@NtanunuraWillsonBaru2 жыл бұрын
Ubalikiwe mtumishi wimbo mzuri sasa umepiga View ya kijani hapo sawa
@rivermtus2 жыл бұрын
Jamani jamani ❣️❣️mambo ni sawa kweli
@tumsifuraymond83262 жыл бұрын
Msingi juu ya mwamba
@King_Rapha_20233 жыл бұрын
Glory to Jesus The Christ of God ❣️❣️❣️❣️🥰🥰🥰after hearing this wonderful song I fell fire inside of me 💝💝 Yesu ni Bwana Kwa kweli 🤝Mambo ni Sawa na beat ni Sawa
@HappyMlinga3 жыл бұрын
Amen Amen
@Marylimo2 жыл бұрын
Hakika mambo ni sawa
@nehemia10453 жыл бұрын
Kaliiiii
@HappyMlinga3 жыл бұрын
Asant sana
@daudimhoha320 Жыл бұрын
Hakika.mambo.kwayesu.nisawa👍☑️
@onorinawashikala96453 жыл бұрын
amen mama🤩🤩😫
@hagaifanuely77863 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥nabarikiwa Sana na hi song
@HappyMlinga3 жыл бұрын
Amen amen
@apolinaayambaofficial74233 жыл бұрын
Imenibariki sana ihi 🔥❤️🙌🏾🙏🏾🙏🏾
@HappyMlinga3 жыл бұрын
Amen Amen
@julesbita64523 жыл бұрын
Asante sana 🔥
@edifique11n943 жыл бұрын
She so talented
@HappyMlinga3 жыл бұрын
Thanks
@nyambabazichantal32313 жыл бұрын
Amen
@HappyMlinga3 жыл бұрын
Amen
@kagolibijoux86953 жыл бұрын
amen
@furahaemilienne30643 жыл бұрын
Amen 🙏
@HappyMlinga3 жыл бұрын
Amen
@daudimhoha320 Жыл бұрын
Saw.kabisa
@daudimhoha320 Жыл бұрын
Hakika.mambo.poa👍
@viviannorbeth78303 жыл бұрын
Nabarikiwa🙏
@HappyMlinga3 жыл бұрын
Amen
@ev.clintonmasava33 жыл бұрын
POWERFUL SONG
@HappyMlinga3 жыл бұрын
Amen
@kesiashantale21813 жыл бұрын
Amen ❤️
@vannesaqueen13333 жыл бұрын
Hongera sana mtoto washangazi yangu, natamani tukutane mimi nipo marecani hapa