God bless you my sister, This song has comforted me a lot, my faith is always in Jesus 🙏
@HappyMlinga2 ай бұрын
Amen amen
@ZilphaMtoro2 ай бұрын
Nimetoka TikTok wangu wangu adi apa akii wimbo ni mzuri unabariki sana Mungu akubariki Mtumishi wake akuinue viwango vya juu hakika huyu ni YESU kwa maisha yangu🎉❤❤
@HappyMlinga2 ай бұрын
@@ZilphaMtoro Amen amen
@komandowayesu36422 ай бұрын
Na tutatoa tu kwa Jina la Yesu
@HappyMlinga2 ай бұрын
@@komandowayesu3642 amen amen
@machozibachinge86262 ай бұрын
Yesu peke yake ndo anaweza yote ❤
@HappyMlinga2 ай бұрын
Hakika
@MRJ13082 ай бұрын
Ubarikiwe sana kwa wimbo mzuri
@GT3000-c1p2 ай бұрын
Bonge moja la wimbo 🔥🔥❤️💪🏾 Mungu akubariki sana 🙏🙏
@HappyMlinga2 ай бұрын
Amen
@RAIVONMWAKALANJE2 ай бұрын
❤❤❤❤❤🎉 utukufu kwa bwana yesu
@claupabrafamily11932 ай бұрын
Wow wow wow, Good song
@claupabrafamily11932 ай бұрын
God bless u @happymlinga
@JosmalisawaLumona29 күн бұрын
Iyi ni ngoma kweli, inanibariki sana
@nyambabazichantal32312 ай бұрын
Wow Amen mungu akubariki sana Dada happy mlinga.
@HappyMlinga2 ай бұрын
Amen
@francoisendunga2 ай бұрын
Tuimbie moja ya kibembe basi 😊
@HappyMlinga2 ай бұрын
Haya
@JeanetteKikonde2 ай бұрын
Mungu ni mwema anaweza yote yaliyo shindika
@HappyMlinga2 ай бұрын
Hakika
@taybeck65642 ай бұрын
Nice music mtumishi wa Mungu kazi yote ni Yesu❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@HappyMlinga2 ай бұрын
Amen
@juliusmakula16592 ай бұрын
Amina,ubarikiwe Happy Mlinga
@HappyMlinga2 ай бұрын
Amen
@ElizabethSalama-pg1bq2 ай бұрын
Wow, Wimbo mzuri sana
@HappyMlinga2 ай бұрын
Asant
@SifaVano2 ай бұрын
Ubarikiwe sana dear wangu❤❤❤🙏
@HappyMlinga2 ай бұрын
Amen
@arthemonbizimungu57702 ай бұрын
Mambo yote yesu kabisa ,asante dada angu kwa kazi nzuli
@HappyMlinga2 ай бұрын
Amen
@Yusufu9402 ай бұрын
Wimbo wa matumaini 🎉🎉
@HappyMlinga2 ай бұрын
Amen
@frolakiliba70942 ай бұрын
Ka wimbo katamu hongera sana mdogo wangu
@HappyMlinga2 ай бұрын
Amen
@DuniaSelemani-x7k2 ай бұрын
Amen Amen Ubarikiwe sana nakutazama toka Houston Texas USA 🇺🇸
@HappyMlinga2 ай бұрын
Amen amen
@kingdavid88002 ай бұрын
Hakika ni Yesu Tu!!!!🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤Be blessed my ccy 👏👏👏👏
@HappyMlinga2 ай бұрын
Amen amen
@RAIVONMWAKALANJE2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 ubalikwe sana
@HappyMlinga2 ай бұрын
Amen
@daudimhoha3202 ай бұрын
Huyu.yesu.nimwema.hakika.nimungu.anawapenda.wote
@daudimhoha3202 ай бұрын
Kazi nzuri..my.frend..yesu.nimshindi.wetu.haleluyaaa