HARMONIZE ALIVYOKUJA KITOFAUTI UWANJANI UTAPENDA DIAMOND NA ZARI WAKISHANGAA LIVE

  Рет қаралды 436,744

TemuTV

TemuTV

3 жыл бұрын

Welcome To My KZbin Channel TemuTV (Top Entertainment and Music Television)
Please Consider Subscribe And Turn on notification🛎
TemuTV is One of E.Africa's Most Watched KZbin channel Owned by stephano Temu Who listed on the list of most 50 Young Tanzanian Influencers 2018-9. I passionate create vlog, daily shows, Exclusive Interviews, sports news and podcast about telling African story of Entertainment from different celebrity.
Karibu TemuTV (Top Entertainment and Music Television)
TemuTV ni Miungoni moja ya channel za KZbin kutoka E.Africa Zilizotazamwa Sana. Channel hii Inamilikiwa na Stephano Temu Ambaye Alitajwa kwenye list ya vijana 50 wenye Ushawishi Tanzania Mwaka 2018-9. Je? Unapenda Radio?
Unapenda mziki? Hip Hop je?
Ama shabiki wa Simba Na Yanga?
Unamkubali nani zaidi? Alikiba New song itatoka link? Issue Ya Diamond na Harmonize? Rayvanny, Mbosso mziki wa Kondegang na king Music.
AMA Vichekesho vya Joti na mpoki😂
NDIYO NI TemuTV PEKEE
Tanzania, Kenya Na Uganda
Subscribe sasa Usipitwe.🛎
more from Stephano Temu
instagram @temu_TV
/ temu_tv
twitte @temu_TV
/ @temu_tv
facebook page @stephanotemuVEVO
/ temutv
WhatsApp +255715164818
chat.whatsapp.com/GDP6fpwqjP2...

Пікірлер: 148
@kubwimanagilbert1217
@kubwimanagilbert1217 3 жыл бұрын
Ametua kinyamwezi sana, jeshiiiiiiiiiiiii 🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🎸
@fauziatomno
@fauziatomno 3 жыл бұрын
Am the one who noticed how people reacted to Harmonize?they actually seemed to love him more than Diamond
@ibranksofficial723
@ibranksofficial723 3 жыл бұрын
exactly tembo is king👑 no doubts about it😘😘
@saidimngunge1291
@saidimngunge1291 3 жыл бұрын
uko poa
@saidimngunge1291
@saidimngunge1291 3 жыл бұрын
Ww
@siphiwosenkosiphiri9207
@siphiwosenkosiphiri9207 2 жыл бұрын
Ok
@faharisuleiman3580
@faharisuleiman3580 Жыл бұрын
And it made Him jealousy 😂😂and eventually quited out of the stadium 🤣🤣
@sumamelody6197
@sumamelody6197 3 жыл бұрын
Nyie machalii mond na harmo mna jua jinsi ya kuji brand
@piushappyness226
@piushappyness226 3 жыл бұрын
Jeshiiiii 💯♥️
@marykatunge2590
@marykatunge2590 3 жыл бұрын
BIG UP TEMBO🥰🥰
@ibranksofficial723
@ibranksofficial723 3 жыл бұрын
jeshi 💥💥💥
@stephanostephano6900
@stephanostephano6900 3 жыл бұрын
Harmonize anaga mambo ya kujipaka Poda yan KAJA kishikajishikaji
@mabelkamara8985
@mabelkamara8985 3 жыл бұрын
More love bro 🇸🇱🇸🇱
@mahmoodalghefeili5370
@mahmoodalghefeili5370 3 жыл бұрын
Jeshiiiiiii
@fadhiliali2874
@fadhiliali2874 3 жыл бұрын
Hormonize noma and simba lao
@seraphinepaultine1679
@seraphinepaultine1679 3 жыл бұрын
SEM stephano temu TV 😂😂😂😂😂wadaku kinoma hongeren kaz nzur😂😂😂👊👊💪
@elizabethmapunda6806
@elizabethmapunda6806 3 жыл бұрын
Safi mwanayanga mwenzangu
@annahobondi2098
@annahobondi2098 3 жыл бұрын
Wow lovely
@zulphamdetele9506
@zulphamdetele9506 Жыл бұрын
Noma sana
@stephanostephano6900
@stephanostephano6900 3 жыл бұрын
Mmakonde wapasue kichwa
@emmanuellwesho6337
@emmanuellwesho6337 3 жыл бұрын
Jeshiiii
@jihadabdi7754
@jihadabdi7754 3 жыл бұрын
Zari mzuri mashallah
@carolynemarauni4448
@carolynemarauni4448 3 жыл бұрын
Pogezi kondeboy 🏆🏆🏆🏆🏆
@emanueljames3198
@emanueljames3198 3 жыл бұрын
Noma
@tawerrashid1747
@tawerrashid1747 3 жыл бұрын
Jeshi
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 3 жыл бұрын
Nakubal
@erickmanyama9980
@erickmanyama9980 3 жыл бұрын
Ni nomaa
@lucashyela3425
@lucashyela3425 3 жыл бұрын
Duuuuii
@Zenajumanne-b3b
@Zenajumanne-b3b 3 жыл бұрын
Jeshiiiiiiiiiiio
@bakarimnundulu5035
@bakarimnundulu5035 3 жыл бұрын
🐘🐘🐘🐘🙏
@twamanjatwasinikasaisa4308
@twamanjatwasinikasaisa4308 3 жыл бұрын
Kontr boy napendaga vile unavyo kaushaga balaa yan hunaga shobo namtu😁
@paskomangee8409
@paskomangee8409 3 жыл бұрын
Countryboy aMekua chwa daa
@dailyentertainment9143
@dailyentertainment9143 3 жыл бұрын
Hawa jamaa (mond na harmonise) kuna kitu kinaendelea kibiashara zaidi Ila watu tunachukulia serious kama vile wanaugomvi Ila vitu vyao wanavyofanya nahis kabisa kuna kitu behind,,,
@coronasongs6821
@coronasongs6821 3 жыл бұрын
Ibrah kmbe ww simba
@shaddybmc8342
@shaddybmc8342 3 жыл бұрын
Gari anayotumia huyu mtu ni ya kawaida sana. Mweee
@frankmfyuji3982
@frankmfyuji3982 3 жыл бұрын
V8 ni ya kawaida hahaha umechochora ndugu
@saumuwere3325
@saumuwere3325 3 жыл бұрын
Ulitaka awe na gari ya mabawa ama nn?
@morematelial4758
@morematelial4758 3 жыл бұрын
Me pia nakubali
@eddydeyle4254
@eddydeyle4254 3 жыл бұрын
Hi
@isaaclugira8364
@isaaclugira8364 3 жыл бұрын
Let us wk
@mountstone8044
@mountstone8044 3 жыл бұрын
Madogo waliotoka kings music wanatia huruma sana.
@ruphinaprochess9454
@ruphinaprochess9454 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@justinconstatine7005
@justinconstatine7005 3 жыл бұрын
Nakubl xn hw watu wawil platnum & jeshi mziki wanajua kuubrand kinomanoma
@fessysamwel374
@fessysamwel374 2 жыл бұрын
Ooooooy
@oliverkyando9897
@oliverkyando9897 3 жыл бұрын
😃😃😃😃
@scandadaprow4662
@scandadaprow4662 Жыл бұрын
India
@naslyofficiel6896
@naslyofficiel6896 Жыл бұрын
Uko
@sijaliabdhallah1731
@sijaliabdhallah1731 3 жыл бұрын
Simba baba lao
@dieudonnenyembo510
@dieudonnenyembo510 11 ай бұрын
Jeshi njo mkali
@fetyalmasi8916
@fetyalmasi8916 3 жыл бұрын
Konde jeshiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
@JumaAli-hp2cy
@JumaAli-hp2cy 4 ай бұрын
Kevi
@adamlutege2192
@adamlutege2192 3 жыл бұрын
Abby love mawazo
@lilianfesto1295
@lilianfesto1295 3 жыл бұрын
Mh nouma
@shosemanjira9015
@shosemanjira9015 3 жыл бұрын
Pesa tamu kumamakeee
@mohamedmusa2279
@mohamedmusa2279 3 жыл бұрын
Yani watu wanaishi kama ambao hawatakufa.bouncer for wht purpose?
@hamiduhamdun1858
@hamiduhamdun1858 3 жыл бұрын
Sarah yupo wapi simuoni
@glorymhanga3917
@glorymhanga3917 3 жыл бұрын
Unataka atumie gari ya aina gani?
@neemagondwe926
@neemagondwe926 3 жыл бұрын
Hahahaa watu wana mpoti cry konde a.k.a jeshii kila raheli
@wemadarfuu7012
@wemadarfuu7012 3 жыл бұрын
Safiiii
@artistebombardo_h.12offici22
@artistebombardo_h.12offici22 2 жыл бұрын
Super artiste konde boy
@malongosalim6826
@malongosalim6826 3 жыл бұрын
Jeshi...🔥🔥🔥❤
@emmahonditi1286
@emmahonditi1286 3 жыл бұрын
Nauliza hivi "Tanzania hamna corona?"
@mageleonlinetv1474
@mageleonlinetv1474 3 жыл бұрын
We ulisikia wapi
@zaydothman9689
@zaydothman9689 3 жыл бұрын
We yana kuhusu nini kama sio mTZ
@farajajuddy3871
@farajajuddy3871 3 жыл бұрын
Mungu ana tulinda ndg!hakuna corona tz.
@mahersaid258
@mahersaid258 3 жыл бұрын
Ay mamb tusha ya sa au sisi mungu atulind na uwo ugonjwaaaaa
@johnmwangi5068
@johnmwangi5068 3 жыл бұрын
Corona ni hadithi tu kaka yangu
@sadickfrank6546
@sadickfrank6546 3 жыл бұрын
Joeboy
@elizabethwanjiru4145
@elizabethwanjiru4145 3 жыл бұрын
semeni hamuoni uyo mkisii amekaa karibu na diamond
@fadeking8067
@fadeking8067 3 жыл бұрын
Bana wee upendeleo utakoma zote twajua mond n baba Lao hizi vyombo vya habari kujifanyaa tuu
@AnselmiEmmanuel-tb9hg
@AnselmiEmmanuel-tb9hg Жыл бұрын
Simba is the best singer in Tz
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 3 жыл бұрын
Aka kajamaa kashamba...sasa hayo masuti wanaenda harusini
@grecedamiano7075
@grecedamiano7075 3 жыл бұрын
Kondee wee jeshi kweliii
@abdallahkivuma2348
@abdallahkivuma2348 3 жыл бұрын
Ex
@brayankaaya6260
@brayankaaya6260 3 жыл бұрын
kamandauyo
@Triple3M953
@Triple3M953 3 жыл бұрын
Watz nani raisi wenu? Mondi au Pombe
@linnusaloyce6559
@linnusaloyce6559 3 жыл бұрын
Wote wawili
@kapenboyd7827
@kapenboyd7827 3 жыл бұрын
Boom kunde gang
@lolipopkadia6491
@lolipopkadia6491 3 жыл бұрын
Tanzania celebs like competing over nothing, a lot of show off
@morematelial4758
@morematelial4758 3 жыл бұрын
Yangaaaa atabaki kuwa mkewetu tu
@alijuma399
@alijuma399 3 жыл бұрын
Mond na hamo mnachangamsha bongofrava inakua yamoto sana
@hamiduhamdun1858
@hamiduhamdun1858 3 жыл бұрын
Mwisho bongo flavour itakua Kama simba na yanga mwisho wa siku hakuna jipya ktk mziki ndio wauwa mziki wa bongo wanapo elekea sio pazuri mtazamo wangu tu
@alijuma399
@alijuma399 3 жыл бұрын
@@hamiduhamdun1858 hapana huo mtazamo wako nifinyu. Wao wanapambana kuufanya mziki kua biashara kubwa..kupitia hi yo wasanii wataheshimika nawatapata pesa! Na hakutakua tena nawasanii njaa kama zamani. Wasanii wazuri walikufa kwa njaa!
@knightlee4739
@knightlee4739 3 жыл бұрын
Tembo
@lemontheneutral768
@lemontheneutral768 3 жыл бұрын
duuuh
@sabrinakhamis416
@sabrinakhamis416 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 hupendez hata
@rehemamsuya2263
@rehemamsuya2263 3 жыл бұрын
Pesa shikamooo
@Ryoof-qo7if
@Ryoof-qo7if 3 жыл бұрын
Marahaba🤣🤣🤣
@sophiamgaza3800
@sophiamgaza3800 3 жыл бұрын
Haaaa simba Bsba lao
@sifasiraji3412
@sifasiraji3412 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@fredrickomollo7791
@fredrickomollo7791 3 жыл бұрын
Haaaa mpaka kaondoka
@zaijack4719
@zaijack4719 3 жыл бұрын
Noma sana
@japhetjames9995
@japhetjames9995 2 жыл бұрын
Huyu jeshiii kokokooo jeshiiiii anatisha modi adua uwajani
@starbongo853
@starbongo853 3 жыл бұрын
Kalibu kutazama nyimbo mpya ya Mbosso link kzbin.info/www/bejne/aXu0mWumfpaSY5o
@jacksonnetzmeshakigasinde8275
@jacksonnetzmeshakigasinde8275 3 жыл бұрын
Konde boy
@alibinali_
@alibinali_ 3 жыл бұрын
Eti utapenda vipi sasa hakuna maandalizi naona tu kawaida haha 😂
@stephanostephano6900
@stephanostephano6900 3 жыл бұрын
Asa unataka maandalizi gani wakati yy ameenda kuangalia mpira wala ajaenda kwenye show
@serafimossi154
@serafimossi154 3 жыл бұрын
Team SIMBA all the wayy🔥🔥🔥
@starridge3615
@starridge3615 3 жыл бұрын
Boss hukaa nyumba yeye kajieka huko mbele
@karimujuma6595
@karimujuma6595 3 жыл бұрын
Mshaanza kasumba hata Domo alikaa mbele ni uamuz tu sio Sheria
@methoditheodory7790
@methoditheodory7790 3 жыл бұрын
Ndo nini jombiii
@amiriamin273
@amiriamin273 3 жыл бұрын
Mshamba huyo
@minabuelysee8
@minabuelysee8 3 жыл бұрын
usani ni shida saaana ivi unajua kama wakina Messi,Cristiano nawengine kama hawana ulinzi wa ivo? tumtegemey Allah mwenyew atatulinda.Amin
@ezekielchiwango9792
@ezekielchiwango9792 3 жыл бұрын
Anatengeneza ajila hapo ....... Jifunze kuona jema kwenye kila baya
@akshaydavid159
@akshaydavid159 3 жыл бұрын
Hakuna Cha ajira hapo broo, hizo ni sifa Tena za kijinga.
@pilisadiki1972
@pilisadiki1972 3 жыл бұрын
Na king
@geofreymsengi9971
@geofreymsengi9971 3 жыл бұрын
Ajira hizo kaka
@seraphinepaultine1679
@seraphinepaultine1679 3 жыл бұрын
Jmn ee mbn first clip walivokuwa wanakuja uwanjani ibraa na skiibi wamevaa GSM lakn walivyofika ground wako na uzi WA msimbaz 🤔🤔🤔n mm tuu nmejiuliza au tupo wengi???🤔👆👆👆
@braysonmasasi3322
@braysonmasasi3322 3 жыл бұрын
Coutry wiizzy again
@wakahama3814
@wakahama3814 3 жыл бұрын
Domo anatia huruma
@Sifam634
@Sifam634 3 жыл бұрын
Diamond ni bosi,hawezi kushindana na wanuka mukojo
@zaydothman9689
@zaydothman9689 3 жыл бұрын
we ni maku
@wakahama3814
@wakahama3814 3 жыл бұрын
@@Sifam634 mshamba domo wako mpaka na we mwenyewe
@elibarickmayo7173
@elibarickmayo7173 3 жыл бұрын
WA KAHAMA lakini Domo ndiye aliyechonga kinyago ukumbuke
@dula7991
@dula7991 3 жыл бұрын
Zar anashangaaaa uwanja nzima hakuna alievaaa barakoa wakat wao Uganda kitu icho hakipo anataman asiondoke👈
@wakahama3814
@wakahama3814 3 жыл бұрын
Anashangaa alivoshangiliwa jeahiiii
@makarangaadonias5156
@makarangaadonias5156 3 жыл бұрын
Tuna mungu hatuna barakoa
@Ryoof-qo7if
@Ryoof-qo7if 3 жыл бұрын
Ibra kumbe ww simba
@pillkassimwakike2474
@pillkassimwakike2474 3 жыл бұрын
nifurahi sna
@felistanelson5373
@felistanelson5373 3 жыл бұрын
Huo niushamba
@justinconstatine7005
@justinconstatine7005 3 жыл бұрын
Duh jeshi utamkondesha mondi
@alexnyamahanga1222
@alexnyamahanga1222 3 жыл бұрын
Mashabiki mnashida nyie
@caristomwango937
@caristomwango937 3 жыл бұрын
Is he that big or they are just stunts??
@edinamaige2984
@edinamaige2984 3 жыл бұрын
Nimengudua msanii wa kibongo wanaombeana shida mtu akifanya kazi kwako ukaona ameweza kujitegemea inatakiwa ujipe bigapu Ila diamond nimeona Ana maana kabisa Tena again kabisa Yani unatoa msaada alafu unakiwazia Tena kumbe Ana hela uyo majitambo tu kweli harmonize member mond kakae
@kichakanyuki6463
@kichakanyuki6463 3 жыл бұрын
Yanga nnataka sifa muda sio wenu wana simba wanajilwa wangwana
@catherineamos7087
@catherineamos7087 3 жыл бұрын
😂😂
@rajabually7597
@rajabually7597 3 жыл бұрын
,,
@Fun-zd9fm
@Fun-zd9fm 3 жыл бұрын
Pesa ndio kilakitu
@irenewanini6716
@irenewanini6716 3 жыл бұрын
Hakuna1 mtu yuko na shughuri na yeye😂😂😂
@mutulehephsiba5961
@mutulehephsiba5961 3 жыл бұрын
Unnecessary attention
@cathelinemaurid898
@cathelinemaurid898 3 жыл бұрын
Bosi atabaki kuwa bosi tu conde hata aimbe duniani kote bado atabaki kuwa conde tu hawezi kumzidi dangoti ukweli utabaki palepale nyinyi ndo mnawachoganisha na video zenu
@sahdamhiza3473
@sahdamhiza3473 3 жыл бұрын
Uongo kabisa!!!!!!diamond yuko zake busy kuchek mech then unataka kuniambia kuwa anamshangaaah konde? Acha uxhambaaa😂😂😂😂😂❌
@godfreyherman3503
@godfreyherman3503 3 жыл бұрын
Vp meey mji
@sahdamhiza3473
@sahdamhiza3473 3 жыл бұрын
@@godfreyherman3503n😀
@alicewanjiku7191
@alicewanjiku7191 3 жыл бұрын
Pesa kindogo........😂🤣
@maryannonalo8872
@maryannonalo8872 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@jullostephen9090
@jullostephen9090 3 жыл бұрын
Wakenya mmeanza🤣🤣🤣🤣
@maryannonalo8872
@maryannonalo8872 3 жыл бұрын
Jullo Stephen Kabisa
@alicewanjiku7191
@alicewanjiku7191 3 жыл бұрын
Bure kabisa
@floridajonhmatata4365
@floridajonhmatata4365 3 жыл бұрын
😂😂
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 3 жыл бұрын
Nakubal
@sadickfrank6546
@sadickfrank6546 3 жыл бұрын
Joeboy
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 35 МЛН
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 1,3 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 69 МЛН
Diamond Platnumz Gets To See His Kids After 2 Years!! (Part1)
8:51
Diamond Platnumz
Рет қаралды 4,2 МЛН
SHUHUDIA CHIDI BENZI AKIMCHANA MAKAVU HARMONIZE "HAMNIWEZI"
10:23
DIAMOND APIGA SHOW HADI MAGUFULI KAMVULIA KOFIA KUMVISHA DIAMOND JUKWAANI
12:46
30 luglio 2024
0:15
Leonardograti
Рет қаралды 4,5 МЛН
Ouch.. 🤕
0:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 19 МЛН
Сделала Сюрприз Брату После 3 лет Разлуки ❤️
0:26
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 2,1 МЛН
Пёс - Парашютист 😍
0:42
ДоброShorts
Рет қаралды 1,4 МЛН