Harmonize Alivyotoa Msaada (K/KOO) PART 1

  Рет қаралды 54,941

Harmonize

Harmonize

Күн бұрын

Пікірлер: 185
@antharsanchez8961
@antharsanchez8961 6 жыл бұрын
Mungu akupe zaidi hii ni inpiration ya hali ya juu sana kama nitoe machozi but umegusa maisha ya watu direct ......one love @harmonize
@donjazzywaxer856
@donjazzywaxer856 6 жыл бұрын
Mkono yenye hubariki mungu lazima afungulie baraka wapi likes za harmonize
@fleuryndabazaniye7664
@fleuryndabazaniye7664 6 жыл бұрын
Harmonize mimi mtu shabiki wako sana wa Burundi nchi jirani, nasema hivi Mungu akubariki sana kwa kitendo unacho kifanya, God bless
@hasanmsonga729
@hasanmsonga729 6 жыл бұрын
Fleury NDABAZANIYE kabisa mungu amjalie kiukwel
@khuzeimaabdul4275
@khuzeimaabdul4275 6 жыл бұрын
Kwahili mwenyezi mungu akupe imani zaidi na zaidi upende na kusaidia watu.nakuombea moyo huo huo
@fredricklyimo3238
@fredricklyimo3238 6 жыл бұрын
oi oi oi....umetisha sana mzee baba,salut sana man,nilikua sikukubali hata kidogo,ila nimeshangaa leo najikuta nakuchek na kuona unatoa misaada,ndio nimeanza kukuelewa leo kwa mara ya kwanza,na nitazidi kukuangalia katika safari yako ya matunda TEAM HAKUNA KUKATA TAMAA
@BidayoTV
@BidayoTV 6 жыл бұрын
Mungu akubariki sana kaka, haya ni maisha tu najua wengi wanaweza kukubeza au kukuona unajionyesha lakini ukweli ni kuwa thawabu yako nikubwa sana kwa aliyekuumba. Nimejizuia nisiseme lakini nimeshindwa kbs. Umekuwa mfano mzuri wa kuigwa, Mara zote si wengi tunaokumbuka tuliko toka ila umeonyesha ijasili mkubwa sana. Have a nice music trip
@manyangumashala466
@manyangumashala466 6 жыл бұрын
Bidayo TV 8
@beckergushu4512
@beckergushu4512 6 жыл бұрын
Swadakta akhiy jamaa umefanya jambo kubwa sana na la maana sana ila ushauri wangu tu ni kuwa next time utafute utaratibu fulani mzuri zaidi ili watu unaowasaidia uwe umewasaidia ndoano za kuvulia samaki na sio samaki. Ubarikiwe sana sana kwa kuwakumbuka wanaosota juani.
@snasirsaid2153
@snasirsaid2153 6 жыл бұрын
SUBHANNALLAH ALLAHH NDIE ATAKAE KUKUBARIKIA ZAIDI NA ZAID AMIN AMIN AMIN WANGEPATIKANA WATU KAMA 100 KAMA WEWE BASI TANZANIA HANGEPATA MTU YEYETO ANA SHIDA , YARABIY AWATIE NA WALIO VIONGOZI MATAJIRI WAWE NA WAO KAMA WEWE AWAHURUMIE WALIO CHINI KUWA INUWA KIMTAJI NA WAZEE NA WANAWAKE WALIO NA FAMELIYA AMIN YARABIY BASI NA VIONGOZI WENGINE IGENI MFANO HUO JAMANI DUNIA NI KUPITA TU 🤲
@refereetrainingcamp8982
@refereetrainingcamp8982 6 жыл бұрын
Ahsante sana Hamonize kwa hatua hiyo kubwa sana uliyo fikia, Ni wachache sana wanao weza kufanya hivyo. Good bless You
@princesalumu981
@princesalumu981 6 жыл бұрын
Vzur sn,ni mfano wa kuigwa kuludisha kidg ulichopata na kugawana na mashabiki zko,, Thumbs up bro👏👏👏👏
@averlinadickson6918
@averlinadickson6918 6 жыл бұрын
Dah, hadi machoz yananitoka, mwenyezi Mungu ampe maisha marefu Hamoniz
@charlinelamy8017
@charlinelamy8017 6 жыл бұрын
Harmonize god bless you je suis haïtienne j'aime tous ce que tu faire ça me faire pleurer de tout coeur
@kimbyjuma2259
@kimbyjuma2259 6 жыл бұрын
Mola akuzidishie imani na huruma na azidi kukuruzuku hakika mola anakupenda umegusa wengi na huu mfano mola akutangulie kwa kila jambo lako
@erickgasto131
@erickgasto131 5 жыл бұрын
amonaizi mungu akubaliki sana minibaa medi nimechoka kukesha kushikwashikwa matako nawateja nakukubali sana nisaidie mtajinifanye biashala zamchana nambayangu ni 0753822796
@Sheby89
@Sheby89 6 жыл бұрын
safi sana kaka harmonize kwa musahada uliyutowa mimi niko south afriqua lakini ni mefurahisana
@shadodecaprio1504
@shadodecaprio1504 6 жыл бұрын
safi sana broda mungu akulinde saana umefundisha waatu wasisahau watokapo JAH BLESS
@qwaraypaschal3704
@qwaraypaschal3704 6 жыл бұрын
Hongera sana kaka kwa kuwawezesha vijana na amin ulichokifanya si kidogo zaid wenzako waige huo mfano
@fatumaabdallah5246
@fatumaabdallah5246 5 жыл бұрын
kila unapotoa kwa moyo mweupe mungu anakuongezea zaidi ya hapo allah akupe nguvu uzidi kusaidia leo na kesho inshaallah
@edgarshirima_99
@edgarshirima_99 6 жыл бұрын
Kitu kizuri sana brother umefanya.God will increase you more #stayblessedharmonize
@abdirashidobado5281
@abdirashidobado5281 6 жыл бұрын
noble act harmonize for giving back to the society, may ALLAH grant you even more. am big fun from Kenya
@jamalmzungu92
@jamalmzungu92 6 жыл бұрын
Harmoniz mungu awabariki sana huo ni mfano mzuri🙏🙏🙏💪
@martinkones9593
@martinkones9593 6 жыл бұрын
Konde boy endelea hivohivo kongole sana. Naona unasaidia wanaojisaidia kweli mkono mtupu haurambwi keep it up and God will bless you
@bbcc45
@bbcc45 6 жыл бұрын
Mungu hakubalik cn hakupe maisha malefu nimependa cn hulichokifany dah nitazid kukuombea mungu hakuzidishie hili hutasidie wengi zaid we ni wamfano wakuigwa kbc mika yote kaka
@anisalutufyo3051
@anisalutufyo3051 6 жыл бұрын
wewe ni watofauti sana mungu akubariki sana maana ni mara ya kwanza katika fan hiyo kufamya hivyo kurudi kwao
@oyanflavourtv3256
@oyanflavourtv3256 6 жыл бұрын
Nimependa saana kiongozi mungu azidi kukuongoza ktka maisha yako
@winniemwaikambo8832
@winniemwaikambo8832 6 жыл бұрын
nmelia sana mungu akupe moyo uo usichoke
@nrecords7222
@nrecords7222 6 жыл бұрын
Nimekupenda bure harmonize wang nlikuwa nakuchukia bure kumbe unaupendo waajabu hvyo, mungu akudhidixhie upate mafanikio ktk kaz zako.🙏🙏🙏🙏
@allychikoko1849
@allychikoko1849 6 жыл бұрын
Mpaka nimelia Vizur brother mungu akuongoze ktk safari yako ya utafutaji amina
@jenjoseph7270
@jenjoseph7270 6 жыл бұрын
mungu msaidia hamonize kwa moyo wa huruma muongezeeriziki
@24hrsentertainmentwithsauc97
@24hrsentertainmentwithsauc97 6 жыл бұрын
Safi sana mmakonde ulichofanya kinagusa sana...
@reyxwazaharati1126
@reyxwazaharati1126 6 жыл бұрын
Hubalikiwe cn kaka mungu hakuongezee liziki zaid huzid kutufikilia zaid Inshaallah
@mbexdavid5887
@mbexdavid5887 6 жыл бұрын
be blessed Harmonize@appreciate this
@dogojb4165
@dogojb4165 6 жыл бұрын
mungu akubariki zaidi ya apo harmoniz Im so proudy about that god will bless you Im the one who is you fans keep it up napatikana amercan thanks for help those people cz akuna mtu aliye umbwa maskini ao tajiri
@elibarikinassary4444
@elibarikinassary4444 6 жыл бұрын
harmonize mungu akuzidishie mafanikio yako
@asiaramazan3275
@asiaramazan3275 6 жыл бұрын
sawa konde boy nilikukosa kidogo sana yan sema big up nilikuona kwa mvali
@jacklolenjackson5511
@jacklolenjackson5511 6 жыл бұрын
Dah pamoja Sana hamornase kwa kuwakumbuka wajomba hapo K koo Mora atakujalia
@aminadaudi4680
@aminadaudi4680 6 жыл бұрын
Daah mungu akubariki sana wee kaka tena mungu akufungulie milango ya mafanikio zaidi ya hapo
@mursilmursal
@mursilmursal 6 жыл бұрын
Wajua kutumia pesa kweli umeitumia kwa jambo la kheri kusaidi watu M.mungu amjalie kwa maana wengine wanapeleka katika jambo la shari
@kufredavid1645
@kufredavid1645 6 жыл бұрын
Love this! Proudly African
@mwanaherimohamedy6978
@mwanaherimohamedy6978 6 жыл бұрын
Alipotoka anajua, mungu akubaliki kwa hili inshallah
@athumanomary1438
@athumanomary1438 6 жыл бұрын
Ewe mwenyez MUNGU ewe mwenyez MUNGU ewe mwenyez MUNGU tunakuomba enderea kumpa mafanikio makubwa zaidi na nuru ya upendo zaidi
@agathacosmas391
@agathacosmas391 6 жыл бұрын
kaka MUNGU Azidi kukubariki ktk kazi yako ya mziki yani umenifurahisha kuwakubuka watu wenye maitaji nakukubuka maisha uriyo pitia
@sitelachalamila7355
@sitelachalamila7355 5 жыл бұрын
wajinga sananyie munafuraia musichokijua hahahahaha watazani munguawaponye naumasikini mulionao
@kipukatz
@kipukatz 6 жыл бұрын
wcb 4 life gonga like kama unamkubali harmonenga
@kazafnash5681
@kazafnash5681 6 жыл бұрын
God Bless You BRO And Mak You Big Than Big 💚💛♥️🤜🤛👌👌
@irenezephania5438
@irenezephania5438 6 жыл бұрын
Hngera ni vzr kukumbuka ulipotoka Mungu a taongeza ulipopunguza
@eunicesaumu7486
@eunicesaumu7486 6 жыл бұрын
Kenyan watching from Saudia Arabia Masha be blessed brother
@HonestSulleTz
@HonestSulleTz 6 жыл бұрын
Nicely good bless Broo Harmonize
@cedricnitunga468
@cedricnitunga468 6 жыл бұрын
natoa machozi ya furaha jameni, nimegusua na kitendo.. blessings KondeBoy
@Dannybahati30
@Dannybahati30 6 жыл бұрын
dah,,,,, si wengi wapaji,,, ubarikiwe Kaka,,254 nimewakilisha
@Sheckvanny
@Sheckvanny 6 жыл бұрын
Respect brother
@elysabethhussein3661
@elysabethhussein3661 6 жыл бұрын
Ata sijuwi nikuombey dua gani kwa Mungu lakin Allah akupe myaka mingi yakuishi na Amani tele
@younggniassmohammed8642
@younggniassmohammed8642 6 жыл бұрын
Elysabeth Hussein amina
@younggniassmohammed8642
@younggniassmohammed8642 6 жыл бұрын
Mungu akuzidishie kwa ulivyo Fanya na isiwe mwisho kama unauwezo zaid toa mungu atakulipa mala mbil ya icho
@elibarikimasawe9659
@elibarikimasawe9659 6 жыл бұрын
Na mungu Pia ata barikiwa kazi ya mkono yako
@moorenkazilihavi8333
@moorenkazilihavi8333 6 жыл бұрын
mungu akuzidishie harmonize
@festovenas502
@festovenas502 6 жыл бұрын
Mungu akubalik konde boy pamoja
@elivtv.baseafrica3988
@elivtv.baseafrica3988 6 жыл бұрын
arimonezy mpaka machozi yamenitoka .mwenyez mungu akusimamie ufike mbali
@ismailmtoro150
@ismailmtoro150 6 жыл бұрын
safi hamo mungu akubarik
@issataslima6280
@issataslima6280 6 жыл бұрын
sinabudi kusema asante saana kaka huo ndo uwepo wako naamininlazima uongezewe kwakuwa mungu alisha sema ukitoa atakufungulia
@dotomohd9156
@dotomohd9156 6 жыл бұрын
Duh sinalakusema tu endelea kuwa naupeo wambali mungu atakufikishambali
@fauzishma8033
@fauzishma8033 6 жыл бұрын
Hongera sana kaka Allah akupe moyo huo huo wa kutoa
@princessamore9317
@princessamore9317 6 жыл бұрын
Harmonize mungu akubariki Sana
@Atetesamuella
@Atetesamuella 6 жыл бұрын
Harmonize when u will came back in #Rwanda ? i like your sound soooo much
@janatamoe3466
@janatamoe3466 6 жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@xamaraawiboy3144
@xamaraawiboy3144 6 жыл бұрын
Hormonize good brother
@jackieemnl6468
@jackieemnl6468 6 жыл бұрын
barikiwa sana ht mm imenigusa sana
@stanislasmwengwa8350
@stanislasmwengwa8350 6 жыл бұрын
Bro mungu akubariki brother niko inchi marecani
@amirimasunda1780
@amirimasunda1780 6 жыл бұрын
Konde boy Jehovah bless you always brother
@africaworld5min937
@africaworld5min937 5 жыл бұрын
sud africa alakini nina ishiwa mungu akufunguliye milango zote uwone mukonowake
@omanare8754
@omanare8754 6 жыл бұрын
Pia apite majumbani kuna watu nyumba zao mbovu hawana pesa na maisha yao magumu
@fatemaqasem6390
@fatemaqasem6390 6 жыл бұрын
Mungu Akubariki Jamani
@dianangailo9878
@dianangailo9878 6 жыл бұрын
Wachache sana wenye mafanikio wanaokumbuka walikotoka , mungu akuzidishie
@frozen4rozen475
@frozen4rozen475 6 жыл бұрын
Mimi ni ngumu lakin video hi imenitoa machozi Sana yani jamaa anajua jinsi tunavo angaika mitaani alicho nacho ametoa awezi kumpa kila Mtu bro big up na endelea na moyo uo uo tunatoa Sana jasho ili tuishi
@dezimondimuhamedy9495
@dezimondimuhamedy9495 6 жыл бұрын
Thanks, That's a great help. can we sing a song and you Clb
@fatihiaanwar8879
@fatihiaanwar8879 6 жыл бұрын
umenitia imani mungu akubariki
@deblackmalkia7334
@deblackmalkia7334 6 жыл бұрын
Allah akulipe maradufu ulipotoa azidixhe Inshaallah
@athumanomary1438
@athumanomary1438 6 жыл бұрын
Ewe mwenyez MUNGU enderea kumuongoz hii yote neema yako na ndio muongoz wako ewe mwenyez MUNGU mkuu
@smartjuicetv1191
@smartjuicetv1191 6 жыл бұрын
god bless ndio maana unafanikiwa kaka if unevutiwa nawewe fanya hivyo kam harmonize
@scoviarenatus2466
@scoviarenatus2466 6 жыл бұрын
mungu akubariki san harmonize
@josephmremi1320
@josephmremi1320 6 жыл бұрын
saluut sana broo konde boooy nakukubal
@gabililta
@gabililta 6 жыл бұрын
Mungu Mzidishie huyu kijana wako.
@athumanomary1438
@athumanomary1438 6 жыл бұрын
Ewe mwenye MUNGU wanadamu wachache unaowapa mafanikio na wakatoa shukuran kwako ewe mwenyez MUNGU ewe mwenyez MUNGU tunakuomba enderea kumsimamia kumrinda kumuongoz kuimarisha afya yake na zidi kumpa mafanikio makubwa zaidi ewe mwenyez MUNGU mkuu
@aminadaudi4680
@aminadaudi4680 6 жыл бұрын
Athuman Omary aameeeni
@richardmichael7708
@richardmichael7708 6 жыл бұрын
Saafii saana harmo kwa kukumbkaa ulikotokaa
@lameckhassan8404
@lameckhassan8404 6 жыл бұрын
God bless you Harmo🙏🙏🙏
@derckmanirakiza7714
@derckmanirakiza7714 6 жыл бұрын
Mungu Akubariki sana ndugu
@jdzongo1601
@jdzongo1601 6 жыл бұрын
can you translate for some of us who dont speak swahili , underlined translate in english please , from congo
@shabaniramadhani4109
@shabaniramadhani4109 6 жыл бұрын
njooo na arusha kindergarten boy.
@oookkk3965
@oookkk3965 6 жыл бұрын
Kaka nakupenda bur
@nehemiajoseph5347
@nehemiajoseph5347 6 жыл бұрын
safi sana nawengine wataigwaaa
@francisangesisye6637
@francisangesisye6637 6 жыл бұрын
Be blessed Konde BOY
@lukakuboy1398
@lukakuboy1398 6 жыл бұрын
Harmonize BG up kwa kukumbuka ulipotoka
@chris_jabari
@chris_jabari 6 жыл бұрын
Dah, 😿hongera sana bro
@AbdulAziz-zb3hm
@AbdulAziz-zb3hm 6 жыл бұрын
From usa 🇺🇸 bruh keep it up Allah bless you 🙏
@johnmatiko6134
@johnmatiko6134 6 жыл бұрын
Mwenyez mungu akuzdishie kjana by phaz nko Tarime!
@athumanomary1438
@athumanomary1438 6 жыл бұрын
Mwenyez MUNGU yupo pamoja nawe
@nyamburalemis7341
@nyamburalemis7341 6 жыл бұрын
God bless you Harmonize
@clementsapanjo9159
@clementsapanjo9159 6 жыл бұрын
saaf sana kaka mungu akubariki
@TamuzaKale
@TamuzaKale 6 жыл бұрын
KONDE BOY WE NOUMA!
@hadijamiroso3679
@hadijamiroso3679 6 жыл бұрын
mungu akubariki sana
@johnsonalphonse8581
@johnsonalphonse8581 5 жыл бұрын
Konde boy# 4everybody keep it up
@emmysteyia8972
@emmysteyia8972 6 жыл бұрын
harmonize God bless you
@neemamohamedmaryakamaryaka4686
@neemamohamedmaryakamaryaka4686 6 жыл бұрын
God bless you
@mbodzebemasika7477
@mbodzebemasika7477 6 жыл бұрын
mnajua mjini kuna wajanja hapa kuna mtu amejitwika biashara ya mtu angalau harmonize amuone..mjini ujanja
@MOMBASARAHA
@MOMBASARAHA 6 жыл бұрын
Mungu azidi kubariki
@enochlewa6187
@enochlewa6187 6 жыл бұрын
sure broh
harmonize Alivyotoa Msaada (K/KOO) PART 2
11:54
Harmonize
Рет қаралды 477 М.
Harmonize - Sherehe Behind The Scene Part 1
17:35
Harmonize
Рет қаралды 21 М.
Зу-зу Күлпаш 2. Бригадир.
43:03
ASTANATV Movie
Рет қаралды 464 М.
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 23 МЛН
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 18 МЛН
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,6 МЛН
Harmonize - You Better Go (Lyrics Video)
3:18
Harmonize
Рет қаралды 1,6 МЛН
Alikiba - Mahaba (Official Lyric Video)
3:18
Alikiba
Рет қаралды 32 МЛН
Harmonize - Sherehe (Official Music Video)
3:19
Harmonize
Рет қаралды 1,3 МЛН
Harmonize Live Performance In Tunduru Ruvuma
4:04
Harmonize
Рет қаралды 35 М.
Harmonize - Nitaubeba (Official Video)
4:21
Harmonize
Рет қаралды 26 МЛН
Harmonize - Ujana (Official Music Video)
3:38
Harmonize
Рет қаралды 1,6 МЛН
Harmonize - Sherehe Behind The Scene Part 2
12:16
Harmonize
Рет қаралды 16 М.
Harmonize New Song Coming Soon
1:30
Harmonize
Рет қаралды 47 М.
ИРИНА КАЙРАТОВНА - ВСЕМ САЛАМ! (MV)
3:28
ИРИНА КАЙРАТОВНА
Рет қаралды 86 М.
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
6:07
Ozoda
Рет қаралды 25 МЛН
Sanzhar - Сен жылама | Official Music Video
2:53
Sanzhar Zhumasitov
Рет қаралды 782 М.
Diana Ismail - Сені кездестіргелі (Mood Video)
2:51
Bagalau
3:29
Әсет Есжан - Topic
Рет қаралды 177 М.