HARMONIZE na ZUCHU wamepatana? DAIMOND ameruhusu hilo? watashiriki Jukwaa moja kwenye MUZIKI WA MAMA

  Рет қаралды 13,650

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

#harmonize #zuchu #diamondplatnumz
Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 33
@sponsor7882
@sponsor7882 4 ай бұрын
Siji😊😊
@saadabakar7750
@saadabakar7750 4 ай бұрын
Answer SIJI kwa herufi kubwa😂😂
@joesplatnumz
@joesplatnumz 4 ай бұрын
Wasanii wote hawajareact walioalikwa sio zuchu tuu mzee babaaz
@SalmaAthuman-hp3en
@SalmaAthuman-hp3en 4 ай бұрын
Kwanza harmonize hawezi kukurupuka na kumualika zuchu bila uchafuni kukubaliana harmo ni kijana anaejielewa halafu hiyo nyimbo ya zuchu haihusiani na mwaliko wa keeho acheni kukoment negative wabongo😂hata hivyo zuchu asipoenda atapunguza nini kwa mfano
@michaeljm-dz7nh
@michaeljm-dz7nh 4 ай бұрын
Kwani zuchu ndonini?😅😅
@issahpaul4510
@issahpaul4510 4 ай бұрын
Yani wachambuzi wetu wamezoea negative comments. daaaa kwani lini watacomment positive 😂🙌
@shabanJuma-fe6wf
@shabanJuma-fe6wf 4 ай бұрын
Hakuna msanii asiejielewa kwa sasa
@ce-08
@ce-08 4 ай бұрын
Huyo kaenda kuwakilisha tu kundi sio kwamba mambo yapo sawa
@Lizawansima
@Lizawansima 4 ай бұрын
Kweli zuchu upewe mau wayako unatikisa dunia kwakweli.mama
@johnsilomba902
@johnsilomba902 4 ай бұрын
Wewe Achaizo Kwani Ujui Kama Diamond Yupo Inje Ya Inchi
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 4 ай бұрын
Mmmh Kwa hyo??akil yko fupi
@gastonerobert2026
@gastonerobert2026 4 ай бұрын
Alienda kwa miguu
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 4 ай бұрын
Me niliwah kusema hapa mond na harmo baada ya kupatana hawajagombana Tena hiki kingne kilichokuwa kinaendelea kiki tu,,so hakuna lolote
@SalaliKasereka-ex1ld
@SalaliKasereka-ex1ld 4 ай бұрын
K❤❤❤z
@MOVIERECAPHD-sq7ph
@MOVIERECAPHD-sq7ph 4 ай бұрын
sijiiiiiiiii
@EmmanuelMurhula-jb8cb
@EmmanuelMurhula-jb8cb 4 ай бұрын
Wa bongo muna penda sana negative sana
@issahpaul4510
@issahpaul4510 4 ай бұрын
Jamani imeandikwa confirmed. Sasa Kwa nini zuchu areact wakati kakubali mwenyewe mwaliko 😂 ila wabongo bana
@barakakusa7606
@barakakusa7606 4 ай бұрын
Zuchu haendi huko nyie msikubali kudanganyika
@michaeljm-dz7nh
@michaeljm-dz7nh 4 ай бұрын
Atumtaki zuchu kwanini yeye Ananini
@badeuxGerard
@badeuxGerard 4 ай бұрын
​@@michaeljm-dz7nhkwani zuchu Ali muambia kistuli amualike?😂😂
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 4 ай бұрын
​@@michaeljm-dz7nhww kama nani mijitu mingine bhana
@joesplatnumz
@joesplatnumz 4 ай бұрын
Zuchu hataenda huko hata kma amealikwa huoni ametoa wimbo 'Siji'😂😂😂😂
@ce-08
@ce-08 4 ай бұрын
😂😂😂
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 4 ай бұрын
amumjui dai nyie...tena mnachekesha kinoma
@sabinashabani1165
@sabinashabani1165 4 ай бұрын
Atokee asitokee kaziinaendelea tu
@ericnzaro9138
@ericnzaro9138 4 ай бұрын
Zuchu akija niiteni mbwa. Niko pale
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 4 ай бұрын
We mbwaa2 kwa sababu m2 mwenyee akili uwezi jifananisha na mmbwaa we boyaa
@ommyw25
@ommyw25 4 ай бұрын
Hakuna kipia
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 4 ай бұрын
Amesha toa nyimbo eti siji😂😂
@ChibuMitindo
@ChibuMitindo 4 ай бұрын
Zuchu hawezi kuja kwa konde toto😂
@sundaysenga7608
@sundaysenga7608 4 ай бұрын
WAANDISHI WA ONLINE TV NA ANDAZI NACHAGUWA ANDAZI MAMA SAMIA KUWEPO PIA NI ATTENTION???
@Forester__
@Forester__ 4 ай бұрын
harmonize hana endorsement kwaio ana target uchaguzi 2025 kwa kutoa albamu kumsifia Mwishimiwa rais but bad enough ambapo unashindwa kuelewa harmonize hana washauri wanaofikiria 2035? Maana akija rais mwingine au uchaguzi ukipita bas na albamu yake imepita coz hakuna rais baada ya Mwishimiwa Samiah atakaetumia albamu ya harmonize tenaaaaa, labda atakua anatoa kila baada ya kupata rais mwingine, harmonize ni mpumbavu na mashavu yake kama puto
Players vs Corner Flags 🤯
00:28
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 55 МЛН
小丑在游泳池做什么#short #angel #clown
00:13
Super Beauty team
Рет қаралды 43 МЛН
Minecraft Creeper Family is back! #minecraft #funny #memes
00:26
Harmonize - Single Again (Official Music Video)
4:11
Harmonize
Рет қаралды 33 МЛН
Conor Coady On His Football Career |  Inside The Game Ep 10
2:24:23
More Than A Game ⚽️
Рет қаралды 225 М.
Eski traktörlerde yaşanan sorun #traktör #tractor #old
0:21
TÜRKİYE TARIM
Рет қаралды 7 МЛН
Дал газу #dirtbike #питбайк #xmotos #kayo #4t #2t
0:31
Funny ways to decorate your car #funny #car #creative
0:33
Rudy Willingham
Рет қаралды 9 МЛН
Замочили борзых обочечников на BMW x6
0:35