Nipo hapa 2024. Jamani mbona nyie mnapata likes mi sipati? Kama upo na wew 2024 nipen basi likes majemeni 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@JulesMwerera-qm2ki8 ай бұрын
Nani iko na fata uyu wimbo mupaka 2024 anipe like zangu hapa 🇨🇩🔥♥️
@alwymohammed2589 Жыл бұрын
it's 2024 and this song has the goosebumps as if it was released yesterday 💪
@Ohuruvincent4254 күн бұрын
Want to leave this comment so that when anybody likes it I come back listening to this song
@MaryMary-s4k29 күн бұрын
Wangapi bado wanaiatazama hii ngoma kwa xai 2024
@deulemwangolo10 ай бұрын
Hii ngoma bado kali ata 2024🎉🎉🎉🎉🎉 Harmonize ni mwamba
@KivumbiSudais10 ай бұрын
Hahaha shoga yangu
@Bekita-nz7bq10 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉Absolutely
@mpajibinaisa72389 ай бұрын
Unyama sana ise
@janethndial57598 ай бұрын
Saaaaaana❤❤❤
@BLAMOEMPIRE Жыл бұрын
it is in 2024, this song still touch some where on my heart ❤ ❤
@jedidahkanana58310 ай бұрын
True
@AssaneSANE-nw7jc8 ай бұрын
Tru
@oginadavid9086 күн бұрын
My favorite of Harmonize songs❤❤❤❤❤❤
@njiwanashim98144 жыл бұрын
Am around continuing to fall in love with this niambie thing .napenda huu wimbo saaana.Harmonize anaugua moyo kwa huu wimbo dah...❤️❤️❤️wake ya mpoo?gonga like.
@mugalavaibryton7 жыл бұрын
My people from +254 show your love for Harmonize...how many likes for him...Nmeipenda sana
@seiphkisela98277 жыл бұрын
kuna vitu una copy kwa mond mzee njoo na skills yako mwenyew broo video ipo poa ila wolper amesha kua maza angalau ungetafuta bint mdgo mdgo awe Queen
@mrsnam19107 жыл бұрын
+Seiph Kisela jipange aje kukuchukua wewe nahic kama unamfaa
@mahaiboniface72207 жыл бұрын
hahaha
@lydiawakoli68847 жыл бұрын
😃😃😃nmependa izo packs
@annannita88867 жыл бұрын
BRYTON MUGALAVAI tuko ndaaaaaani
@keepaway33395 жыл бұрын
"Wazuri ni wengi, ila uongo mwingi.Ukishavyona vya ndani basi ndio wankumwaga." This will never grow old, good music is hard to find but not in Harmonize.
@prettykazungu61043 жыл бұрын
Good music I like it
@marymartin92962 жыл бұрын
Maybe hata wewe muongo
@sharuuboy31352 жыл бұрын
True
@dianadachesa84222 жыл бұрын
Y me all the time akuna mtu analike comment yangu
@simonmwanza12699 ай бұрын
Ina shida iyo dada yangu
@GildamauricioMunhane3 ай бұрын
UV 8
@faithkioko56674 жыл бұрын
Ndio sababu Harmonize haliiba hii nyimbo kwa machungu, Ametoboa siri jana, nipeni like 👍kama muna mpenda harmonize
@zou74704 жыл бұрын
Kwel kbs
@marthakathusi96504 жыл бұрын
Aliimba sio iba🤥
@mariamnakubalimzeebaba74934 жыл бұрын
Kweli kabisa
@mariamsuma30034 жыл бұрын
@@mariamnakubalimzeebaba7493 nice
@mwanaishaalfan31453 жыл бұрын
Nakubali bro 💯💯💯🤝
@nancysam95417 жыл бұрын
LYRICS!!! 😘💋 Mujini Kipenzi, Silani Shilingi baby Kupendana zamani ndo wanavyosemaga Wazuri ni wengi, ila uongo mwingi baby Wakishaviona vya ndani basi wanakumwaga Ndo maana Ukichelewa dukani, mie kamoyo kananidundaga Nawaza asije mangi jirani, akakuonga kilo ya unga aah [Hook/Chorus] oooh Mbaya zaidi sina kazi, nakosa senti tano ya kipande Bora nikuweke wazi, yanini nikufiche Gambe Tumeumbiwa shida maradhi, ndo chanzo mpaka wengi wadande Niweke wazi nikipi kinafanya Unipende Niambie, Tell me baby love,oooh Basi niambie Vipi unanipenda ingali sina doo, Usije nitenda ukaniumiza Roho [Verse 2] Siku hizi magari ya wakongo, mapesa mara nyumba mbezi Usinichanganye na ubongo nidate kisa mapenzi Sijakuwekea Ndumba, umenipendea rhumba Vipi nikija kudunda oooooh oooh Usije mgezea Punda, ukaniachia Ngunga Wanakumendea Chunga oooh oooh [Hook/Chorus] Mbaya zaidi sina kazi, nakosa senti tano ya kipande Bora nikuweke wazi, yanini nikufiche Gambe Tumeumbiwa shida maradhi, ndo chanzo mpaka wengi wadande Niweke wazi nikipi kinafanya Unipende Niambie, Tell me baby love,oooh Basi niambie Vipi unanipenda ingali sina doo, Usije nitenda ukaniumiza Roho Umenipendea!!!! kipi mama,(basi sema ) Umenipendea ingali sina Doo
@mainagodfry54717 жыл бұрын
nancy sam by
@hafashimanaeric38492 жыл бұрын
Miml ninakupenda sana
@talesofbintu7 ай бұрын
Anybody watching this in 2024. I personally love this song. Harmonize bigup brother. Sky is the lower unlimit
@clintonaluda5825 ай бұрын
Same here manze❤❤❤
@AhazyStanley10 ай бұрын
Daaah sema Simba Alikua na Watu Aisee🥲🥲❤️❤️❤️Greatest song of all time ❤️❤️
@nenenatural7 жыл бұрын
I just love this humble and respectful Guy,any song from you I like with no doubt coz you are the best,Who else thinks #Harmonize is the humble one and the best in WcB??
@hassanovajunior69727 жыл бұрын
Arielle Grace Kh me
@nenenatural7 жыл бұрын
Hassanova junior wow that's good
@deniseshantyle61677 жыл бұрын
Arielle Grace Kh I like his songs much love from Uganda
@nenenatural7 жыл бұрын
Denise Shantyle glad to hear😍
@brendamwenesi25757 жыл бұрын
Am here supporting this humble guy Raji
@germainkambale19212 жыл бұрын
Kazi njema kabsa Nina raha . from DRC 🇨🇩
@_Wayiva_mukuta_jean7 ай бұрын
Nous serons toujours là 🇨🇩🇨🇩 2024 toza kaka, dungu zangu wa Tanzania na wapenda sana.
@sir_wiz78802 жыл бұрын
it's 5yrs now but still I can't quit coming here daily as if this song was released yesterday
@crementinajoseph33972 жыл бұрын
It's fire 🔥🔥
@abshirohassen5 Жыл бұрын
Same here
@crementinajoseph3397 Жыл бұрын
Same here 2 APril 2023
@happizoo97037 жыл бұрын
wallah huyu mmakonde kiboko kacheza na hisia zake kawimbo katam kavideo ndo usiseme chaaaaa huu mwaka muandae makabur tuuu 🔥🔥🔥🔥 #happizoo
@rahmasaid77477 жыл бұрын
very nacii👍👍👌
@azahally92167 жыл бұрын
happizoo hatariiiii
@salmabanda8547 жыл бұрын
hahaha duuu hiyo kali
@jeffmujungu25497 жыл бұрын
azah ally .
@azahally92167 жыл бұрын
jeff mujungu mambo
@hassanovajunior69727 жыл бұрын
mzee Baba umewakalisha bila kutaka daaah kwa level hizi wakakojoe tu walale hakuna jinsi much respect #HarmonizeGambe
@umarsaid99125 жыл бұрын
Mwenzenu hadi leo naikubali hii ngoma kama ww upo kama mm twende kazi ooh basi niambie
@emanuellorry39775 жыл бұрын
umar Said apo wameigiza tyu*****
@erasmsemmanuely16545 жыл бұрын
umar Said nambie
@mrjemus6214 жыл бұрын
umar Said Mmmm
@ZahraZahra-cx9xw4 жыл бұрын
👍
@eliudignatio93783 жыл бұрын
kati ya ngoma ambayo likuaga naipenda hii hap✔️yani👏💕❤️🌷 harmonize nilimuelewa sana kipndi kile ila xx anabutua to🙈😄😄😆
@sylvesterodera64837 жыл бұрын
Hii iko ndaaani ndaaaniiiiiiii ndaniiiiiiiiiiiii kabisaaaa ama namna gani my friend.... Kenyan? gonga like upite
@ramadhanatenya73527 жыл бұрын
thumbsb up.....wazuri ni wengi
@mapachatv34127 жыл бұрын
from German i do not understand the language lakin muzur sana... pumbavu zangu nipo zangu msasani apa nakunywa kahawa kwa babu jet..😂😂
@josephinecharles86157 жыл бұрын
😂😂
@gracechibuga74672 жыл бұрын
😂😂😂😂
@nostarnoxxlyrics75052 жыл бұрын
🤣
@nostarnoxxlyrics75052 жыл бұрын
The English translation makes it worse 🤣🤣🤣
@mussakitundu194 Жыл бұрын
😁😁😁😁😁
@dekaisack655611 ай бұрын
Who is still listening 2024❤
@Nellykerubo-hs3dt10 ай бұрын
Me
@penehafoshikongo68217 ай бұрын
It's you and me
@Customer_Mum5 ай бұрын
Meeeeee❤❤❤
@TizlaMatogolo5 ай бұрын
Am hire
@Zuukonde2 ай бұрын
Niko apa
@Thedonp_87 жыл бұрын
wakenya wenye tunapenda bongo....register
@raphamganga8507 жыл бұрын
Watanzania/Proud Tanzanians Mark Resister. Jitambulishe kwa kugonga like ama kuandika maoni hapa. Let's support our boy Harmonize and Swahili/Bongo Music.
@raphamganga8507 жыл бұрын
Wabongo/Tanzanians/+255 Gonga like ama andika / mark register and comment
@barrackamuti7 жыл бұрын
Diamond ft hadija
@sylasfelix17153 жыл бұрын
@@abdalanasoroabdala5941 sylas Felly
@khadijekhamis39702 жыл бұрын
Uliacha huyu ukachukua kajala na ye pia mumeachana sasa murudie muumba wako ila kuimba unaweza
@davidgetrud52207 жыл бұрын
niambie unanipenda ingali sina do haha this guy is very smooth
@Rehema-h6t2 жыл бұрын
Harmonize ulikuwa mzuri sana Zaman duu sio sasa kaka yangu umekuwa kibonge ila salut nakupenda sana brother 👌🔥🔥🇹🇿🇴🇲
@daudashery49924 жыл бұрын
Harmo hv kipindi ulivyokua WCB ulikua unatungiwa au ulikuwa unatunga mwenyewe mbona ngoma kali namna hiyo
@eunicemuthoni94934 жыл бұрын
Kabisa kaka
@brendanjeru97555 жыл бұрын
Harmo baba wacha tamaa ya hela...mrudie Jackie jmn ulimwengu twajua mlipendana Sana kweli.....From +254 Kama unakubali Harmo na Jackie nipe like
@aminaathuma31934 жыл бұрын
Ataanzaje
@zamaradmbwana56994 ай бұрын
Jackie kashaolewa bana
@kinjo70142 жыл бұрын
When I hear this song it awakens the deepest emotions... someone used to sing for me "wazuri ni wengi ila uongo mwingi baiby wakishavyona vya ndani basi wanakumwaga"I thought he was insecure with me but I later learnt what it meant
@sallyndulu1272 жыл бұрын
pole...these street don't trust any
@UwiragiyeHonoratha-ey2dw2 ай бұрын
From Rwanda,napenda nyimbo zote za wewe zinanifurahisha sana ,uko msani mzuri❤, sijui Kiswahili kakini najaribu kusikia ujumbe wa nyimbo ambayo unayocheza
@marywanjiru92945 жыл бұрын
This Harmonize songs will never grow old 😘😍😍 who's with me June 2019 ....nipee like✋
@RomanJLinus5 жыл бұрын
me
@moyAfrica5 жыл бұрын
@@RomanJLinus me too
@mutakijonathan10445 жыл бұрын
one of my best tanzanian song even when i dont understand swahili it always sounds new to my ears much love from UG
@davidkingston6175 жыл бұрын
Yanikumbusha mbali sana hii nyimbo...natamba nayo 2030 bila tafadhali
@stan49215 жыл бұрын
Me 2
@kevine97556 жыл бұрын
AWESOME......LIKE HAPA KAMA BADO WAIPENDA MUZIKI HUU LYRICS Hhhhmm Hhhhmm Hhhhmm Mujini Kipenzi Silani Shilingi baby Kupendana zamani ndo wanavyosemaga Wazuri ni wengi ila uongo mwingi baby Wakishaviona vya ndani basi wanakumwaga Ndo maana ah Ukichelewa dukani mie kamoyo kananidundaga Nawaza asije mangi jirani akakuonga kilo ya unga aah Oooh oooh [Pre-Chorus] Mbaya zaidi sina kazi nakosa senti tano ya kipande Bora nikuweke wazi yanini nikufiche Gambe Tumeumbiwa shida maradhi ndo chanzo mpaka wengi wadande Niweke wazi nikipi kinafanya Unipende [Chorus] Niambie Tell me baby love Ooh Basi niambie Vipi unanipenda ingali sina doo Niambie Ooh Basi niambie(Ooh Basi niambie) Tell me baby love Usije nitenda ukaniumiza Roho Hhhhm (aiy) [Verse 2] Sikuhizi magari ya wakongo mapesa mara nyumba mbezi Usinichanganye na ubongo nidate kisa mapenzi Sijakuwekea Ndumba umenipendea rhumba Vipi nikija kudunda oooh oooh Usije mgezea Punda ukaniachia Ngunga Wanakumendea Chunga oooh oooh [Pre-Chorus] Mbaya zaidi sina kazi nakosa senti tano ya kipande Bora nikuweke wazi yanini nikufiche Gambe Tumeumbiwa shida maradhi ndo chanzo mpaka wengi wadande Niweke wazi ni kipi kinafanya Unipende [Chorus] Niambie(Tell me) Tell me baby love(Tell me) Ooh Basi niambie Vipi unanipenda ingali sina doo(Tell me) Niambie Ooh Basi niambie(Tell me Ooh Basi niambie) Tell me baby love Usije nitenda ukaniumiza Roho Umenipendea!!!! kipi mama(basi sema ) Umenipendea ingali sina Doo
@samanthandiweni37984 жыл бұрын
Can't get enuf of this song I even asked Google to translate to English n the message is powerful 👌❤❤ am a fan of African music keep representing 🇿🇼
@josefonambala85344 жыл бұрын
Flechi
@aliahantoush12204 жыл бұрын
In English dia
@lameckjeremiah93653 жыл бұрын
This song takes me back all the way in 2017 when I firstly started relationship before the breakup I was singing the song to my partnership😭😭😭😭😭😭
@Blessy_kim3 жыл бұрын
Aki pole sana, ni maisha
@nangeshyknight97393 жыл бұрын
@Lameck Jeremiah...haha....that makes the two of us.but si ni maisha..bora uhai
@joykendi18293 жыл бұрын
😂😂😂
@anitxmxndzntmmd9nfmmama6443 жыл бұрын
U
@Beckycitizentv73 жыл бұрын
😂😂😂😂 partnership 🤣😭😭
@maryamalichengo20462 жыл бұрын
Hii ngoma inafanya nazidi nazidi kukipity kwa hali uliopitia ukiwa na huyu dada ...sijawahi ona mwanaume wa subra kama wewe...big up bro
@tishnambala64037 жыл бұрын
i loooove this jam.... love has no age.... mapenzi ni mapenzi... long live HARMONIZE AND WOLPER
@kamaumwangi31047 жыл бұрын
a good LOVE song.but LOVE with age I think is more perfect.not old chicks
@luckydiva67457 жыл бұрын
tish nambala hah wameachana au? inaumiza sana
@superakinyi11907 жыл бұрын
uko juu dogo
@sidemehoedorh8147 жыл бұрын
tish nambala yes you are right
@johnporter33747 жыл бұрын
umetisha
@bobotienookeyo42947 жыл бұрын
napenda sana diamond na team yake,huyu harmonize ni kabisa anafuata mafundisho ya diamond ,cheki ucheshi naye,styles and body movement during perfomances exactly diamond platnumz i love wasafi
@zipporahwanjiru4 жыл бұрын
Harmo alivumilia mengi kweli!!he finally got to speak about it.
@matopeboybomba57323 жыл бұрын
Akutaka pesa.
@kevinrajabamulo833611 ай бұрын
It's 5 yrs down the line this master piece has been always my favorite song since I was in high school and now am father ❤❤❤❤❤
@sirjohnnymor56057 жыл бұрын
I continue to fall in love with East African rhythms though I do not understand Swahili because of my West African heritage. You people are tansforming music in Africa and the world. Keep up
@MAJIPUTV7 жыл бұрын
John Morfaw Thank you
@olivemulwa45233 жыл бұрын
@@MAJIPUTV vh night D nah as addd ui
@ekymapenzi37752 жыл бұрын
This hit though 💥💥💥. Konde ni mnyama bana💯
@barnabemulumba85732 жыл бұрын
Best songs of year 2023 GENERAL ECHALDO WEYA FROM UNITED STATES OF AMERICA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@SadiqueJoao-tw8kj Жыл бұрын
@@MAJIPUTVkkkkkkkkkkkkkk ész
@sophynziwa240911 ай бұрын
Wolper is very beautiful ,2024 am still here not getting enough of this song❤
@ceciliabarron11347 жыл бұрын
I absolutely love Harmonize and Diamond music . Sometimes, I try to dance African style but my friends laugh at me . Can't wait to visit Africa soon, maybe then, and then I learn the moves 😉😉😉 much love to you all 😄😄😄
@dotojohn89642 жыл бұрын
😊😊
@florianntulo57312 жыл бұрын
Well come East Africa Tanzania, we have beautiful beaches and alot of natural attraction
@sarahgaitho50972 жыл бұрын
Welcome to Africa,kenya, Uganda,Tanzania being the best though you can learn swahili from Google on your free time.sending hugs from Kenya Africa
@elvismwalimu53152 жыл бұрын
Wow proud of you to🇰🇪🇰🇪
@mosesaura5432 Жыл бұрын
Love ❤❤❤u plus ur songs konde boy❤❤❤
@gaudenciamallya97792 жыл бұрын
Yaani uliweza,unaweza na utaendelea kuweza Harmonize Mungu akulinde na kukuepusha na manyang’au!🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@sakinayahya25337 жыл бұрын
from now on harmonize i'm your permanent fan,
@hashimmusa94857 жыл бұрын
and me too
@aumastella43067 жыл бұрын
me too
@FilbertKandege7 жыл бұрын
Me always...
@princeabdizo68497 жыл бұрын
Filbert Kandege
@aliathman90447 жыл бұрын
sawa hpo sakina
@stephenwachira66557 жыл бұрын
I really admire Harmonize...He's actually my inspiration
@cheedmarsad7397 жыл бұрын
nyimbo kali video kali,,evrythng on point,,kiba kashapata saiz yake aache kutusumbua sasa
@samiapeter94437 жыл бұрын
asije mangi jiran akakuonga kilo ya unga
@recholwesya88727 жыл бұрын
duh anatumia kidoge we
@hashimmusa94857 жыл бұрын
hata hapo kiba kashapitwa
@sureboy29937 жыл бұрын
at uyo pia sio saiz yake kiba make harmo ndo kashapanda kiwango chezea wcb me nadhan huenda hajazaliwa atakaekuwa linganishwa nae kiba make hajuwag asa tumsubir ambae hajuw mwenzake alinganishwe nae wasaaaaaaaf
@cheedmarsad7397 жыл бұрын
Aneth Lusuva vp
@mariageraldonhocanhoca92082 ай бұрын
Mimi Niko Mozambique, nimezalia Mozambique laquini nampenda❤❤❤
@msagumbunduki42877 жыл бұрын
Huu wimbo ni mzuri sana, nausikiliza kila siku
@cynthiairamwenya58066 жыл бұрын
Gud message
@rahmamuhidini24466 жыл бұрын
Naupenda
@nsabimanatotolucy41945 жыл бұрын
Na mimi
@aisharashid88965 жыл бұрын
Yko Kali
@mabalareuben70964 жыл бұрын
namimi napenda
@denismurimi21476 ай бұрын
Nani anaskiza hii Ngoma Hadi saii 🔥 I just love this hit ❤️💯🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@juliusokuto43176 жыл бұрын
When I just hear "Wasafiii", I take a comfortable seat because I know I'm now in the real entertaining world. These boys are just but in the world of their own.
@fanantismwanzia74452 жыл бұрын
🎈💯❣️❣️Harmonize tunakupenda apa Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@SulainahMasika10 ай бұрын
Who is still listening 🌺🌺🌺💖💖💖❤️❤️❤️🤝🤝🤝
@waitituwahu133910 ай бұрын
Me here ❤❤❤❤❤
@OduJakapiyo9 ай бұрын
Count me in
@Elias130839 ай бұрын
In😅
@everlotsusan85367 жыл бұрын
From kenya how many likes to that song. it is really inspiring song. Lots of lov from kenya big up!
@ibrahg45257 жыл бұрын
Na Mark register ya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nipe like if you love n support our brothers from 🇹🇿
@johngichinga21605 ай бұрын
I prefer him to diamond,,huyu jamaa ni mkali
@justinechepsergon5209Ай бұрын
So harmonize ni kipenzi wa kajala😊😊
@okellosaidi73757 жыл бұрын
that Lady is past you Hermonize, The Song is Lit. BIG up
@khadijawendomwachirenje35137 жыл бұрын
beat ya hii Ngoma inatia uchizi halafu mashairi Sasa jamani we mmakonde hongera jamani na gambe wako
@hassanovajunior69727 жыл бұрын
Khadija Wendo Mwachirenje hahahah Wa me nakuona nakuona unakula tu ubuyu hahah
@khadijawendomwachirenje35137 жыл бұрын
Hassanova junior naumung'unya Tuu hapa
@hassanovajunior69727 жыл бұрын
Khadija Wendo Mwachirenje nakuona nakuona Wa mie
@bensonjoseph45297 жыл бұрын
Khadija Wendo Mwachirenje
@mwaelias7 жыл бұрын
As time passes this song keeps growing on me. Great stuff from a great artist
@Bekita-nz7bq Жыл бұрын
Absolutely💯
@AliyHassan-q1m10 ай бұрын
Naupenda sana wimbo huu sitachoka kuisikiza
@beckykadero61607 жыл бұрын
on point....congrats @Harmonize
@joannesoduor91017 жыл бұрын
penda io becky
@beckykadero61607 жыл бұрын
kabisaa!!!
@humaratennistv7 жыл бұрын
I'm spanish and I don't understand Swahili but I like the flow I like the beats..I like the rendition, this boy is talented....ngoma safi kabisa, ngoma ilikubalika . viva la viva
@mussakitundu194 Жыл бұрын
Buena's trades mi amiga
@damianmosoka53564 жыл бұрын
Who else came here after harmonize talked about his break-up,
@damianmosoka53564 жыл бұрын
Nani????
@morristhuranira2234 жыл бұрын
Mimi here
@annmichelle65494 жыл бұрын
Mee
@mckenna81134 жыл бұрын
Tfjm
@cliffordmutuma3766Ай бұрын
Nikisikia tu hii ngoma nakumbuka hile miaka ya kuhustle since ilikuanga ngoma ya kuniamsha kwa alarm.. Mingu wangu
@obrambulawayo49687 жыл бұрын
Truely speaking this young talent will go places if only stays level headed and keep on working hard. Your talent is extremely out of question Harmonize, may God bless you young man.................more love from Zimbabwe.
@supaflychic1007 жыл бұрын
Obram Bulawayo so true brother
@petersonmbabu77757 жыл бұрын
Jawa-Byamungu Kwibe 8
@khamisyussuf58957 жыл бұрын
On my Inshaalah really proud of my homy all the best dear brother. We all by ur side.
@abdullahsabsrinasaiid5657 жыл бұрын
+khamis yussuf hapo xawa
@mzalendoapparell50847 жыл бұрын
oya oya niaje dogo bigup ni humphery mwenyewe
@justusjasi6693 жыл бұрын
This song won't ever get old as long breakups ,ups and downs beweldering in our lives. "Basi niambie usije nitenda ukaniumiza roho"
@sarahgaitho50972 жыл бұрын
It's 5 yrs but still my favorite song 😍😍I'm Kenyan loving Tanzanians sana
@puritymanguya52782 жыл бұрын
I hated him after he dumped wolper🤣🤣🤣
@sarahgaitho50972 жыл бұрын
@@puritymanguya5278 don't hate ppl because of their love affairs which you don't know the cause earth is hard,kwa ground vitu ni different, happy new year
@valentineachieng88942 жыл бұрын
🥰🥰
@sarahgaitho50972 жыл бұрын
@@valentineachieng8894 😘
@wanjiruwawanjiru4806 Жыл бұрын
Guys hii nyimbo mpaka sasa naipenda sana sana,,Ama hawa watu watarudia one day inshaAllah ila Wolper alikupenda sana harmonize
@halimambwego82877 жыл бұрын
Si kwa utam huu
@joycemichaellovelove22217 жыл бұрын
#Halima Mbwego 😂😂😂
@halimambwego82877 жыл бұрын
Hahaha
@hassanovajunior69727 жыл бұрын
Halima Mbwego woyoooo
@halimambwego82877 жыл бұрын
Oyoooo
@keziahanyonamungau58185 жыл бұрын
I don't just listened to the song, I love the song very much... I play it every day.
@ndumisocalvin54834 жыл бұрын
💜💜💜💜💜
@mwendevibes4 жыл бұрын
After Harmonizes' Jipoze concert story now I understand why he wrote this song. Wolper that was not good and the way they were my dream couples but Harmo take heart and take care of Sarah. I love you guys so much.
@millicentouma19314 жыл бұрын
hey adviser...
@leilasarai48522 жыл бұрын
Umenipendea ni ilhali sina doo????? I love the message, beats nazo...my favourite
@winniehoward44205 жыл бұрын
Will I ever get enough of this song? This guy, man!!!!!!!!!!!!!!!!
@annackyhangula75576 жыл бұрын
HARMONIZE, RICH AND DIAMOND U guys from TANZANIA we love ur music # NAMIBIA #
@DeqaWeli9 ай бұрын
Nani ameona 2024😂
@NemB9923 күн бұрын
Tembo ni mmoja East Africa , konde boy much love.
@catherinenyamae38989 ай бұрын
Still a hit in 2024
@benjaminsmith99257 жыл бұрын
i like this song, because I remember when I was thinking about my friend 👫 thanks 😌 harmonize!!😔
@keybonnefasi95537 жыл бұрын
amosibenjamin
@fatimbance784 жыл бұрын
Nice song! For me, this is Harmonize's best song.
@dannyjj12192 ай бұрын
Mimi hakuna dem hua ananiguza roho kama Wolper Eeish... Even composed na hanaga drama hata kidogo, very pretty and Mature sana
@linussankwasakwenani15555 жыл бұрын
Watching in September from Namibia we love you harmonise
@collinsmwanzia96264 жыл бұрын
Smart song....like it
@Jameskaundaofficial7 жыл бұрын
Hahahaha wangapi .wamtambua Hamo....#wasafi records.
wow im from South Africa i love the song, even though i dont get the language, very good song
@reginaldmwemezi41627 жыл бұрын
Thando Mdlalose The Song is about a Rich Girl who has fallen in love with a Poor Guy , So The Guy is Asking that lady, "Why do U love a Poor Guy like Me while there are Rich Dudes out there who Need to have You as their lover.... Now Go Back and Watch It again careful. Enjoy the Music Baby
@ericandrew9427 жыл бұрын
Thando Mdlalose ......swahili on point ebu nambie?
@thandomdlalose67947 жыл бұрын
thanks a lot
@soilihidjae34657 жыл бұрын
found Ali hadji comores
@ericandrew9427 жыл бұрын
AWESOME
@mariamchigobwe515Ай бұрын
Harmonize sijuhii bona alimuacha uyu mwanamke aki
@winnie_907 жыл бұрын
Harmonize and Diamond are my favourite artists....
@iddmwamori38694 жыл бұрын
KONDE BOY MJESHI TEMBO....🔥🔥🔥🔥🐘🐘🐘🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥✅✅✅
@dmkaburu7 жыл бұрын
Good stuff. I can't get over this song. Keep it up Harmonize.
@marymartin92962 жыл бұрын
Sitakuekea ndumba umenipendea rumba love that
@ekolelias74927 жыл бұрын
NYC songs!!!! Harmonize big up there God bless u
@tonyabwao62227 жыл бұрын
Sing along 🎶🎶🎵🎼 Mujini Kipenzi, Silani Shilingi baby Kupendana zamani ndo wanavyosemaga Wazuri ni wengi , ila uongo mwingi baby Wakishaviona vya ndani basi wanakumwaga Ndo maana Ukichelewa dukani, mie kamoyo kananidundaga Nawaza asije mangi jirani, akakuonga kilo ya unga aah PRE KORASI oooh Mbaya zaidi sina kazi, nakosa senti tano ya kipande Bora nikuweke wazi, yanini nikufiche Gambe Tumeumbiwa shida maradhi, ndo chanzo mpaka wengi wadande Niweke wazi nikipi kinafanya Unipende KORASI Niambie , Tell me baby love,oooh Basi niambie Vipi unanipenda ingali sina doo , Usije nitenda ukaniumiza Roho VERSE 2 Siku hizi magari ya wakongo, mapesa mara nyumba mbezi Usinichanganye na ubongo nidate kisa mapenzi Sijakuwekea Ndumba, umenipendea rhumba Vipi nikija Tunda oooooh oooh Usije mgezea Punda, ukaniachia Ngunga Wanakumendea Chunga oooh oooh PRE KORASI Mbaya zaidi sina kazi, nakosa senti tano ya kipande Bora nikuweke wazi, yanini nikufiche Gambe Tumeumbiwa shida maradhi, ndo chanzo mpaka wengi wadande Niweke wazi nikipi kinafanya Unipende KORASI Niambie , Tell me baby love,oooh Basi niambie Vipi unanipenda ingali sina doo , Usije nitenda ukaniumiza Roho Umenipendea.... kipi mama,(basi sema ) Umenipendea ingali sina Doo.
@gracevalentin32657 жыл бұрын
kik
@richardmayemba64867 жыл бұрын
mwaaaaa!
@topistermghoi75857 жыл бұрын
toine toine
@jumajingi81727 жыл бұрын
Sijakuwekea Ndumba, umenipendea rhumba Vipi nikija Tunda oooooh oooh........Here ni Vipi nikija Kudunda oooh oooh...but nice work