Hapo kitoto cha elfu mbili 🔥🔥🔥 Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪twakutambua💪💪💪
@Oflovetz3 ай бұрын
Jeshiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hajawai kukosea kabisaaa mzee baba umeuwaa hatareeeeeeeeeeeeee
@JeanLunda-nv5fd4 ай бұрын
Nakukubali Sana tembo Conde boy jeshi wewe ni noma Sana 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@RoxyAndre4 ай бұрын
Bombo claa nahomba namimi like hata 5 jameni, mbona tunakuwa hatupendani Sisi mashabiki wa konde?
@JohnNguse2 ай бұрын
Turudishie likes zetu zimepita5😅😅
@charlesalonzo41812 ай бұрын
😂😂😂😂@@JohnNguse
@BarakaSimon-xy9mp4 ай бұрын
Daaah nyimbo hiii ni uhalisia kabixa kwa maisha ya ujana haswa karne hii ya 21 chqngamoto nyingi zinazokwamisha vijana kufikiq malengo tunayojiwekea.. Good harmonize
@micksonnyamwez964 ай бұрын
Kabisa palipo na umaskini kuna usalit mwingi sana
@BarakaSimon-xy9mp4 ай бұрын
@@micksonnyamwez96 😂😂
@micksonnyamwez964 ай бұрын
@@BarakaSimon-xy9mp ukweli ndio uwo
@BarakaSimon-xy9mp4 ай бұрын
@@micksonnyamwez96 hata ikiwa nazo watasema kibamia bado atatafutwa asiye na ela atakusaliti
@BrianWafula07902 ай бұрын
Moshi uoo moshi uoo nikiuona moyo unadunda tena🔥 More love from Kenya 🇰🇪
@GasparBusinessКүн бұрын
Kutoka Congo jamani 👉💪🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@naerrahboy4 ай бұрын
Nakupenda sana harmonize Wewe ndie king of music brother ❤️🤠💖🙏🙏🔥🔥👊👊
@gloiresadiki4 ай бұрын
Harmonize mimi ni shabiki yako wa kwanza kutoka marekani🇺🇲🇺🇲🇺🇲 Indianapolis 🇨🇩
@atyangsarah76314 ай бұрын
😂😂😂
@cleophashellen84 ай бұрын
😂
@Oflovetz4 ай бұрын
Huwezi kua shabiki zaidi yangu bro
@AbdiKihinda4 ай бұрын
Afadhali yako hujaomba likes
@John_Msambya4 ай бұрын
😂😂😂😂
@BizeddOfficial4 ай бұрын
ujana ya harmonize sio wimbo tu; ni safari kupitia hali ya juu na chini ya ujana. inanasa hisia hiyo ambayo sote tunaijua vizuri sana-haraka ya kukimbiza ndoto zetu, msisimko wa uhuru mpya, na vuta nikuvute ya mara kwa mara kati ya kutaka kulinda maisha yetu ya usoni na kuishi kwa leo. harmonize huleta maishani ukweli wa ujana, ambapo tamaa na majaribu hugongana. anazungumzia kuhusu msukumo wa kufanikiwa, kutafuta pesa, kufikia ndoto hizo kubwa tulizonazo sote. lakini basi kuna vikengeusha-fikira-nyakati hizo ambapo tunajaribiwa na kile kilicho sawa mbele yetu, iwe ni karamu, kujumuika na watu warembo, au kukubali tu shinikizo la kuishi sasa. katika ujana, harmonize anachimba sana, akiuliza kwa nini tunahisi haja ya kuwa nayo yote mara moja. kwa nini vijana wanakuja na msukumo huu mkubwa wa kupata kila kitu, hata ikimaanisha kuhatarisha mipango yetu ya baadaye? wimbo ni zaidi ya nyimbo na maneno ya kuvutia; ni tafakari ya nini maana ya kweli kuwa kijana-uliojaa nguvu, ndoto, na kishawishi cha mara kwa mara cha kujiingiza katika maisha ya sasa. ni ukumbusho wa changamoto zinazokuja na vijana, na kutuacha tutafakari jinsi tunavyosawazisha matarajio yetu na usumbufu wa maisha. harmonize - ujana (sauti rasmi) stream/download: ziiki.media/uj... zinazozalishwa na; kimambo uzalishaji na; Kampuni ya dk Ltd jiandikishe kwa maudhui rasmi zaidi kutoka kwa harmonize: / harmonize255 kufuata harmonize instagram: / harmonize_tz twitter: / harmonize_tz facebook: / harmonize255 tiktok: vm.tiktok.com/... sikiliza harmonize youtube: / harmonize255 audiomack: audiomack.com/... muziki wa apple : / harmonize spotify: open.spotify.c... boomplay: www.boomplaymu... chaneli rasmi ya youtube ya harmonize. jiandikishe kwa video za hivi punde za muziki, maonyesho na zaidi. kwa kuweka nafasi na zaidi barua pepe: harmonizemanagement@gmail.com piga simu: +255 652 892 317, +255 658 135 762 #kondeboy#ujana #harmonize
@kimwisemanke4 ай бұрын
❤
@raheemsaleh144 ай бұрын
Salute for supporting the movement
@BizeddOfficial4 ай бұрын
@@raheemsaleh14 thanks
@ns-tw4yg4 ай бұрын
None of them is above you in Tanz when it comes to real music... Respect Harmonize ✊🏿🇬🇳🇩🇪
@ambokilemussa35182 ай бұрын
There is Bellei bro
@pditanzania77643 ай бұрын
Ujana maji ya moto, hekima kwanza vijanaaaaaaaa. Nguvu katupa Mungu kwa ajili ya kazi na Utukufu wake tu. Dhambi tupa kule, tuwe na kiasi aiseeeeeeee❤
@fransisshirima49873 ай бұрын
Hakika umenena Vyema
@Barnizeboy4 ай бұрын
Leo nimewahi 🔥💥💥🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪
@GideonKidege4 ай бұрын
Huu wimbo umenifunza kweli viti za Dunia zinaweza kukufanya usiendele mbele kabisa
@CyplianSambagi2 ай бұрын
😂😂😂ujana upoje
@carolinavictor5944Ай бұрын
Tembo ametisHA
@lively66614 ай бұрын
Representing Nairobi 🇰🇪🇰🇪 jeshi
@enigma941628 күн бұрын
Kila siku lasima ni skie hii song bana Alf song mtaje is my favorite songs wllae, naipendah yaani like nicheza mara ten kila siku ❤
@Joseracalitto27 күн бұрын
Harmonize Jeshii mziki mzuri sana iko na ujanja ujanja kiasi 😅😂😂🎉🎉🎉 shout out to you
@stevensilungwe414 ай бұрын
Nakubali niukweli . Zambia 🇿🇲 tupo hapa
@beatman4014 ай бұрын
Kwangu mimi#officiel lyrics ya Ujana Iko verynice kuliko hii,kwasababu inaedana na maneno ya mziki 🤔🤔🤔Daaah ,pissii ziko nyingui sana,from🇰🇲🇰🇲🇰🇲Comoros ❤❤We
@alvinslota_ghahiji24774 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪team harmonize mbaka mwisho
@Olaambatare-yf9vs3 ай бұрын
Konde cku zoteeeeeeee
@sammymutiso67583 ай бұрын
BOMBOCLAN🔥🔥🔥🥰🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Kwetunews4 ай бұрын
From USA 🇺🇸 Nataka like za wana Kondegang world Wide
@Bekita-nz7bq4 ай бұрын
Hizo hapo❤❤
@lucyjohn42164 ай бұрын
Wapi ❤❤❤❤from kenya..weka like hapa
@kayblack20254 ай бұрын
Kay Black % kali m'y brother wangu 🔥🇹🇿
@JIRANIOFFICIAL4 ай бұрын
Mimi pia ni Mwanamziki na kama gomma ni kali wacheni tusemezane ukweli...umepoa sana mwanangu Hermonize 🎉🎉
@SHUKURUIBRAHIM-s9yАй бұрын
0:50 ❤❤❤❤❤ Moshi huooo na mikeka ndo imetuharibu vijana
@Fantastic.-gm1eo4 ай бұрын
Nyimbo inaelimisha na inaburudisha kwa wakati mmoja hii ndio talent sas
@JulesCesar-f9r4 ай бұрын
Asante sana Harmonize, hatujui namna Ujana unaenda kuwa. Imani kwanza!!
@thomaskarama35214 ай бұрын
Ujana ni Maji ya moto lazima tutamani😅😅😅🎉🎉🎉🇨🇩🇨🇩 Lubumbashi tuna kupenda kk
@Godfreykaimenyi4 ай бұрын
Wakwanza fromm norway representing 254 kenya
@crskincareproducts455Ай бұрын
Ujana ni tamu aisee❤❤
@jaey0234 ай бұрын
1:35 Kitoto cha elfu mbili huku nyuma kilivyo nawili 🔥🔥🔥....nipitieni@Jaey p Shawn
@kenkandwara2043 ай бұрын
Mitihani ni mingi aisee..😅
@geoffreymulyungi41252 ай бұрын
Hapo sasa
@sheilaschelken9267Ай бұрын
Nawirii not nawili mwalimu wako alaumiwe 😂🙋♀️😂
@msholozizuma54284 ай бұрын
Mimi ndo Shabiki wa Hormonize No1. apa🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦 🤔Harmonize anajua kuimba sna
@Zezeta-yr3hy4 ай бұрын
Kama unaskiza huu wimbo ukisoma comments nipee likes hapa 😂😂😂
@missdee66874 ай бұрын
Why are you talking about me😂😂😂😂
@JULIAHKEMUNTO-yl5ul3 ай бұрын
Imagine ata naiwatch sai😅❤😂
@MagrethPeter-qx4cq3 ай бұрын
Nakubali sana hii Ngoma
@PitaCharles-o5o3 ай бұрын
Naikubal can hii ngoma
@GRANCEBOSSMUMBERE-z8gАй бұрын
Ase brown ❤namupenda uyokk
@afrihension4 ай бұрын
My favourite artist in Tanzania. Sending love from Kenya.
@abdulmpole2178Ай бұрын
Nannume utendii chaaanii nkatii Aaamuuu 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@TonieMwangi-b6b4 ай бұрын
hapa Kenya Harmonize tu... nipeeni like kama mngependa afanye collabo na Bien moto kubwa🔥🇰🇪
@eliassmith37044 ай бұрын
Mutazamaji wakwanza ndo mim nipe like zangu 🤟🤟🇧🇮
@SaidiMussa-fn6fn4 ай бұрын
MUTAZAMAJI NDO NINI
@meddy-killerofficial24174 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@laplanete68993 ай бұрын
@@SaidiMussa-fn6fn, The viewer Nini hujui? The blacks change ...
@DAMUCHII_OFFICIAL4 ай бұрын
Nakukubali sana Big Brother 🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪
@witnaofficial4 ай бұрын
Balaa sana kabisa daaah video Kali hizi
@IanxyiIanxyiIanxyiIanxyi-q7y3 ай бұрын
Kevoo from Kenya amazing song wewe ndiye boss wa kutunga nyimbo kotee nchini
@azimioalbertongellangella8970Ай бұрын
Leo hakuna cha mm wa kwanza au wa mwisho wote tuwaonmbee wenzetu wakariakoo. Pray for kariakoo🙏🙏
@HappyChemistryExperiment-pn1fm4 ай бұрын
Mimi wa Kwanza Leo Nipeeeni.Likes zangu Please 😮😅
@Officialhidja4 ай бұрын
2000🎉
@djblack404 ай бұрын
😂😂😂😂
@Doublevboy4 ай бұрын
Unaomba like kama vile umeimba wewe😂😂
@jaqlon66804 ай бұрын
We n wa 2000's ama😂😂😊
@TheQuickTimesNews4 ай бұрын
Nakubusu
@IsabellaLuciussy4 ай бұрын
Hapo mwisho kwenye kimakonde dah umeua sana
@NixShammah-ty9cw4 ай бұрын
Manix shammah Toka Kongo I love you konde❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@PAULAFRICAGOSPELARTIST-w3g3 ай бұрын
Watuuuuuuu njooni muone Tembooo kaua tena na bonge la hit Tembo round n vumbi utawalisha ❤❤❤❤❤❤❤
@NgupeTeppi3 ай бұрын
Bombo claat representing from 254🇰🇪
@petermbogo22544 ай бұрын
Harmonize siku hizi anafeli sana...kutoa Audio then badae Video ndio anafanya nyimbo zake haziingii kwenye trending number 1. Kiwa niko sahihi nipeni maua yangu🎉
Shout out to harmo all the way from Nairobi Kenya 🔥🔥🔥 loving the song
@KalekyeMwaniaАй бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉 much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@RayRay-hw9koАй бұрын
Moshi huwo moshi huwo moyo unadunda...❤❤❤🇰🇪🇰🇪
@laxmajor4 ай бұрын
Konde boy 😍🙌🙌🙌🙌
@GONGALIFESTYLE4 ай бұрын
Harmonies AKA Tembo Ndiyo msanii mkali Tanzania 🇹🇿 na ndiye peke yake Anaye mnyima Domo usingizii keep up Homies
@EnockLubengo4 ай бұрын
We're are you Zambian come here kuna sherehe🎉🎉🎉🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
@flavianmushi3 ай бұрын
Aiseeeee kuna ndoa nyingine tam Sana unaweza kuhisi nitauni kumbe ndiooo upendo unaendelea kuwa mkubwa kuliko tulivyo dhani hawafiki mbali kutokana na kawaida ya wasaniii❤ KUNA vitu vingine kwenye maisha vinakuja kama bahati alafu inakuwa ndio bahati yewe🎉alafu mnavyo jua mziki ndio watu watazidi makasiriko
@DominicJohn-be6ux3 ай бұрын
From kenya!!! Huyu kaka kweli mnyamaaaa!! Temboooooo
@Wabasheleabedi4 ай бұрын
Me wabashele ❣️❣️
@juressemayoghagalbi67004 ай бұрын
Wakongo muko 🇨🇩 mulete liké zetu
@PascalKambale-y4f4 ай бұрын
❤🇨🇩
@fortclassic63614 ай бұрын
Harmonize kalogwa au KZbin wanaichezea tumezoea akitoa Ngoma ipo trending number one au two dah
@hadija8463 ай бұрын
SHIKAMOO HARMONIZE KONDE JESHI🎉❤❤❤❤❤ NYIMBO NI TAM SANA
@NyawaMaganga-b1g2 ай бұрын
Kali kabsa dogo mungu akutie nguvu kazi n kazii
@SALEHAMURI-sz5rm4 ай бұрын
Jeshiiiiiii 🎉🎉🎉🎉🎉 nice video 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
@Joseph-ngei4 ай бұрын
Tempo 🐘🐘 all the way from+254🇰🇪 hit the button ❤
@DrGiddie4 ай бұрын
Ujaaaaana, this song hits differently
@Joshua-l7v6r16 күн бұрын
❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂
@emapatrick3 ай бұрын
Ujumbe murua, beat ni Ile yenye vionjo vya kiafrika, big up and keep the music more African"
@SammyOmoke-h5s2 ай бұрын
I love this song,,,Moshi hiyo,Moshi hiyo nikiuona moyo unadunda Tena...
@coolp37274 ай бұрын
Views nazo hii ngoma nayo tuiachie tu imeamua kukuwa best of the year
@madalitsokumbali72934 ай бұрын
Malawians lets gather here🔥🔥🔥🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼
@ThoccoMeke3 ай бұрын
We here 🔥
@JenovicLutumba4 ай бұрын
Les Congo valide tu es fort frère 🇨🇩✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿🇨🇩
@PacifiqueOnesphore-j1x4 ай бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@DjeniMussela-o5i4 ай бұрын
Ila harmonize mi chabiki wako number one kutoka Congo 🇨🇩☝️
@MrpMbinhoАй бұрын
Kwann usizingatie maadili kila nyimbo jaman kama kweli unataka tuangalie na wazazi❤❤❤ au nimekosea kama nipo sahihi naomba like🎉❤
@espoiraklonda86644 ай бұрын
Ni kali sanaaaa🇨🇩🇳🇴
@iragi_erick4 ай бұрын
I ngoma ni noma kweli❤❤❤
@pilimwanza81174 ай бұрын
Watu weeeeeeeeeer❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ bonge la video
@PitaCharles-o5o3 ай бұрын
Mm kiukwel konde boy naikubal sana
@VivianKigen-l3rАй бұрын
Representing 🎉 Kenyans 🇰🇪🇰🇪🎉
@sheilaschelken9267Ай бұрын
Pullooo😂❤254 for life 😅
@AminaTapwale-e5t3 ай бұрын
Harmonize ❤❤❤❤forever....unajua we jaman ujawai niangusha kwenye nyimbo zako
@KelikenyaАй бұрын
Milioni kumi sio mbaya .....10M please come bless my star Hermonize
@sbboymkaliofficial91084 ай бұрын
Wakwanza ku like na ku comment naombeni like zenu hapa kijana mwenzenu
@johnndegwa674 ай бұрын
Watu wamearauka, hahaha upoo
@itsernest54 ай бұрын
Representing kuria nyabohanse village jeshii💛❤️💚🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@PlanB2544 ай бұрын
Nipeni maua yangu from 254..konde to the world
@mrishoally553 ай бұрын
Mimi sio mpenzi wa muziki ila hii ngoma ujumbe umetufikia vijana bila huyu mwamba kuchoka, Asante harmonize
@AKJPakykeyJeunePatron3 ай бұрын
Bombo claaat tulikuwa tunaisubiri kwa hamu tulifikiri nayenyewe itachelewa kama sherehe lakini siyo hivo kumbe unatupenda tunakupenda pia❤❤❤
@BrianFahari3 ай бұрын
Kama kawaida fire 🔥🔥 yaweyau
@davisalphonce70013 ай бұрын
Mim huyu aisee, shisha hizo shisha hizo nikiziwaza moyo unadunda tena😮😮😮
@gkasali14692 ай бұрын
Nairobi Kenya....This is a vibe
@passythesky2 ай бұрын
Kweli huu ni Tembo ,love from Uganda 🇺🇬 😍 💖. I must travel to Tanzania and go to the club and dance on this best song of the year
@kencool37743 ай бұрын
Noma sanaaa 🎉🎉❤my brother have done it again ,,🇰🇪 👏
@petergwetsani11504 ай бұрын
King 👑 is here 🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼
@Neu_Alka4 ай бұрын
Kama uko hapa before 1 million viewers like hapa❤❤🇰🇪