Mueshimiwa konde we noma kabisa wakuache tu umeshakamaliza yaani talent yako sijuwi niseme nini, ila wimbo wako mzuri Sana Steven from south Africa 🇿🇦🇿🇦
@isacklungu5 ай бұрын
kuazia Leo nitakuwa shabiki wa harmonize what a song🔥🔥🔥
@JøzJosvas5 ай бұрын
Ili dude kweli.
@ReginaLubajaАй бұрын
Yaani kila tukishenyetwa😢nakuja kuangalia hii nyimbo Dah 😫 yanga yangu nakupenda hivyo hivyo 💛💛💛💛💛💛
@IlhankhatibuАй бұрын
@@ReginaLubaja 😂😂😂😂
@ReginaLubajaАй бұрын
@Ilhankhatibu haichekeshi😒🥹
@AnthonyDenice5 ай бұрын
wa kwanza kutoka unganda nipeni like zanguuu🙌🙌🙌
@Lyricskenya0015 ай бұрын
wa kwanza kutoka kenya nipeni likes banaa❤❤ tukisonga #harmonize
@bravogidi36665 ай бұрын
Lot's of love from Kenya for Miamba wa Soka Young Africans .. mungu aibariki Yanga
@PASCHALPETER-gp8ek5 ай бұрын
Wametoa nyimbo nyingi ila zote zimezimwa na ngoma 1 jeshi🔥🔥🔥🔥🔥
@nsengiyumvajules26375 ай бұрын
Team ninayo ipenda ni Young Africa na Harmonize kanikubalisha zaidi. From +257
@BrayanKayanda-up1ym5 ай бұрын
Nimerudia zaidi ya mara kumi kuangalia hii ngoma kali sana aisee Konde Boy una kipaji kikubwa sana aisee
@FrancisMakome-zq7oh5 ай бұрын
mimi nimerudia 239
@mashabikiwaharmonize5 ай бұрын
Kama unamkubali HARMONIZE weka like na kama wewe ni YANGA weka like pia
@A-BEN-19985 ай бұрын
Harmonaze wewe ni bingwa kweri❤❤❤
@JloveOfficial5 ай бұрын
Namkubali harmonize lakin siikubali yanga hata kufa leo nipo tilear kuliko kuwa shabiki wa yanga
@bonifacehaule53705 ай бұрын
🐘 jeshiiiiiii
@kinthermedia3 ай бұрын
@@JloveOfficialpp
@mtwaziruta3903Ай бұрын
@@mashabikiwaharmonize mtashenyentwa mpaka kieleweke
@RosePetro-ck8pt5 ай бұрын
Konde boy,umetisha sana,utulivu mkubwa sana ktk hii ngoma nzur iyoooo
@sharomkalimani66905 ай бұрын
Kaaliiiiiiiiiii sana!!!...Yaani me Kutoka Kenya Lakn Naskia Kuishabikia Yanga Tayari🎉🎉
@aishabakari80405 ай бұрын
Tunao rudia jamni tujuwaneee 😂😂 🤸🏻♀️🤸🏻♀️🤸🏻♀️🔥
@dgochuibra5885 ай бұрын
mi simba ila uongo dhambi jamaaa kaimba vizur ,🔥🔥🔥🔥🔥
@_Wayiva_mukuta_jean2 ай бұрын
Mimi apa ni mkongo 🇨🇩 nime geuka kuwa yanga kupia harmonize.
@matridaboniphace65575 ай бұрын
Tuliorudià mara mbili kusikiliza gonga likeeeeee yangaaaa 💛💛💛💛💛💛💛
@WhiteMediaKenya5 ай бұрын
Kenya tunekubali Yanga yote sote 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ElastoElia-nb4xo5 ай бұрын
Umeua Mzee me nimnyama lakin hii ngoma ninoma 🙌
@edwinemoit3905 ай бұрын
Aaaaaaah kumamake uvumilivu umenishinda huu wimbo mkali mtani
@wandoabenjamen70034 ай бұрын
Sawa ila punguza ukaliwa maneno
@hassanaliamin11045 ай бұрын
Mimi ni Simba official lakini nimeipenda hii nyimbo,,,tujuane wanasimba tulikuja TU hapa kwaajili ya hili goma
@israclassic57775 ай бұрын
Huyu mwamba anajua kuimba sio mchezo. Wimbo ni mkali balaa halafu hajatukana mtu wala kutaja timu nyingine kwa kejeli. Konde boy Harmonize nini umemeeee. Like za Konde boy hapa wanangu.
@fatimahants15265 ай бұрын
@@israclassic5777 bila kupinga song imepikwa
@imaculathamhagama74245 ай бұрын
Tulioamka na kuja kuutazama goma le2 ❤
@Dogophinoofficial_988k5 ай бұрын
Nimefika mkongo wa Congo like zangu ajili ya harmonize tz❤😮🎉
@RayNittu5 ай бұрын
Ngoma imetulia kinoma kinoma.Harmonize umetisha.
@isackhabel15595 ай бұрын
Huu wimbo ukiimbwa unasikia mwili unasisimka ni hatariii sanaaa ❤❤❤❤❤
@robertchazya23515 ай бұрын
wimbo una motovate kupambana, big up
@churchillramsey29215 ай бұрын
From Kenya here🎉..Mucch love Konde Music..Yangaa!!
@DennisRonoh-s6l5 ай бұрын
Imeenda shule ❤.❤... Nairobi Kenya twakupenda
@MnasyBoy5 ай бұрын
Hii ngoma ni ya Moto konde unajua sio Siri bombo claaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@ndiiyolazaro11255 ай бұрын
Wanaomkubali konde boy na Yanga ngonga like hap tujuane 💚💚💚💛💛💛
@fatimahants15265 ай бұрын
@@ndiiyolazaro1125 bonge la song
@_Wayiva_mukuta_jean3 ай бұрын
Siku zote nipo kwajili ya harmonize, sauti ya harmonize ni tamu kama asali❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@MarkoSilwamba-k6t3 ай бұрын
❤❤❤❤❤🎉😂😮Kabisa😊😅😮😢🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@nyamwalyaigembya72305 ай бұрын
Mimi ni simba damu damu, Ila hili goma mwanangu Tembo ameua sana
@FEiSAL_Tech5 ай бұрын
KENYA'S Let's Gather Here 👇
@johnkay53772 ай бұрын
I love how harmonize is paraphrasing the line up so easy musically, this guy is very talented
@gloshyjm23755 ай бұрын
Mimi sio Yanga wala Simba ila bonge la wimbo🔥🔥🔥ka melody na lyrics sasa👌
@IbrahimJuma-zs5jz5 ай бұрын
From Malawi I love yanga and I love harmonize following
@peterchabaja27395 ай бұрын
Ivi jamaa ang izi nyimbo huwa ukila mibangi ndyo unatunga au mana dah...your a very pure talent Tena blessed from heaven...keep it up harmonize,,jeshiii
@daudijumarajabu24585 ай бұрын
Konde unajua sana mimi ni Simba lakini kwa hili chupa acha nimwage makopa tu❤
@simonbanda995 ай бұрын
Zambians 🇿🇲let's show Triple C (chama) some love
@AirtelZnzbr-ur1ff2 ай бұрын
Kama umeangalia izi game mbili za yanga alafu umekuja kusikiliza aka ka song gonga like hapa
@xboxgamer-easleygaming-ke5 ай бұрын
Ile creativity konde ametumia kuutoa huu wimbo iko on a very different level ❤❤❤
@brianxenga22495 ай бұрын
kali sana jeshiiii 🔥 watching live from Nairobi Kenya 🇰🇪
@allug92062 ай бұрын
Leo hii nyimbo ndo imeleta maana ngoma kali sana😂😂
@janetymatola66395 ай бұрын
Wewe uogopi jeshiiii Yanga oyeee ukatae 7kubali tupo juu
@lindiboy28125 ай бұрын
Bado wadau mpaka ipande no 1
@EliezerLyimoАй бұрын
Kumbe bado ni trending😂😂
@twicedone2545 ай бұрын
Not a football fun but now am here because of Konde boy....wapi likes za yanga💯💯🥳🥳🥳
Tukubali tukatae harmo kwa uandishi melodies ameua ....this guy is a genius tanzania you have a gem
@mandelatitus85945 ай бұрын
Mimi mkenya lakini napenda huyu jamaa vile alieezea vile Yanga inasakata kambumbu... napendezwa... i love you guys Harmonize on fire🔥🔥🔥🔥
@mathiasbosire79275 ай бұрын
Mimi ni mkenya but napenda yanga. Wapi likes zangu watu wa yanga😊😊❤
@sahraabdallah7242Ай бұрын
Hii nyimbo naipenda sana ata tufungwe kila siku me bado naipenda sana
@mohd-f5tАй бұрын
Dah kama mimi
@JoyceFortunatus-r8vАй бұрын
Hata mm sihami yanga nayipenda sana
@SalomeMkosamala-m4iАй бұрын
Tupo wengiiii💚💚💚💚daimaaaaa
@STOPPA_BOY_RAPPER.5 ай бұрын
MUCH LOVE FROM KENYA🥰🥰💯💯 LIKES ZA KONDE ZIKAM
@JoynerReyson-cy6yd5 ай бұрын
Kwa hapa konde kaimba jamani Yanga ni timu kubwa na pia wasanii wake ni wa kubwa pia ukiona hivyo lazima UOGOPE Big up my brother Yanga Raha sana Mimi sihami Kwa kweli ❤❤❤❤
@fatimahants15265 ай бұрын
@@JoynerReyson-cy6yd good 👍 song ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@AliNyae-k4m3 ай бұрын
Mkali wao kondeboy
@TozDa-gk9ej5 ай бұрын
Kazi nzuri kaka kwenye uwandishi tu wakupetuzo yako hakika we ni talented jeshiiii
@JumaMigezo5 ай бұрын
Alie irudiaa kuiyangalia hii nyimbo zaidi ya mala moja kama mim aweke LIKE 💥
@GabistolsKaps5 ай бұрын
Zambians 🇿🇲 who love harmonize gather here
@karemiddy2 ай бұрын
Tulio ludi badala ya yanga kufungwa na azam tujuane kwa like ❤❤❤
@hindusullu39002 ай бұрын
Syo na azam tu mpk na tabora hahahaa😂😂😂😂
@issaali13215 ай бұрын
Mie ni Simba Wala simkubali monde boy lkn hapa nimekupa hongera yako broo.
@JoelKahuya5 ай бұрын
Mm ni Simba ila harmonize jmn dah! Hongera kwa radha kali
@hajidakalembo71382 ай бұрын
Leo tr3.11.2024 tujuane tulioangalia
@boazmwaitenya55035 ай бұрын
Daaah,! Yan konde kaua Kwa nyimbo💛💛💚💚🖤🫶
@hezrajotieno6805 ай бұрын
Yanga Wananchiii🔥
@amisibilly50845 ай бұрын
Umeupiga mwingi saana hamo yani ndo nyimbo yangu ya party kwa sasa❤❤❤❤
@_Wayiva_mukuta_jean3 ай бұрын
Uhu wimbo kwangu ni kama dosi la dawa ❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@a.nasongo31525 ай бұрын
Kenyan premier league clubs could learn something from our TZ brothers. Absolutely beautiful.
@chemosi2544Күн бұрын
I am a Kenyan supported Yanga because of Harmonize
@azariadegiant51872 ай бұрын
Tuliokuja kuchungulia baada ya vipigo vya mbwa koko kwa yanga like hapa😂
@ShottojumaNdakama5 ай бұрын
Shabiki wa Simba lakini kwa wasaniiii konde nakubari bosi wangu ❤️💕🥀🌹🌷🐘🔥🔥
@vermskasama2234 ай бұрын
Love from Zambia 🇿🇲 ❤! Keep shining Cletus Chama
@AgnessEdmund-nn8of5 ай бұрын
Aweeeeeee🎉 chama la wana🌟🏆💚🔥
@nellyephraim38325 ай бұрын
Ngoma kalii na usimba wangu nimeielewaa
@rajabually53725 ай бұрын
🎉🎉umetish mm ni yangaaaa
@_Wayiva_mukuta_jean3 ай бұрын
Mimi sio mtanzania lakini kupitia uyu wimbo wa tembo harmonize nimekua shabiki number one wa yanga, mimi ni mkongo 🇨🇩🇨🇩 yanga bingwa 🔥🔥🔥🔥🇹🇿
@johnmathew40515 ай бұрын
Umeshindikana 🙌🙌🙌 🎉🎉🎉
@Nuru95682 ай бұрын
Tulokuja hapa baada ya vipigo viwili mfulullulizo😂😂😂tujuane
@MirajiMshami2 ай бұрын
Mnyama kama Mnyama
@richardmaxwell39914 ай бұрын
Nimerudi tena ku comment, huyu jamaa ana andika bana, hii melody ni Priceless
@AbdullahiIddi4 ай бұрын
Asante harmonize kwa kutuheshimisha wananchi
@fatimahants15265 ай бұрын
Umetisha yanga Africans bingwa
@japhetlewa11102 ай бұрын
Top notch!! Asikudanganye mtu ....hapa Konde Boy kagonga ndipo! Kazi safi sana!!!!
@BadoMartense5 ай бұрын
Ngoma nzuri aiseeee ❤
@saliminiyazidi99205 ай бұрын
sawa mm ni mwana Simba ila kwa wimbo harmonize katupiga teke la shingo kama unakubaliana na mm weka like
@EmmanuelMwaipopo-r8p5 ай бұрын
Bonge la wimbo mwanangu
@HamisiForogo5 ай бұрын
@@saliminiyazidi9920 we umesema kweli Mia Mia upo sawa baraaaaaa wimbo umeeeeenda
@ZAITUNIIdi5 ай бұрын
Yaan amejua kutuwez na huu wimbo mi simba lakn nimejikuta nausikiliza
@EmanuelAndrew-nq5oc4 ай бұрын
Mpaka saiv nausikiliza jamaa katumaliza ingawa mm ni mnyama damu ila hapa kaua
@ElizabethPatrick-qw4se4 ай бұрын
Kubali yaishe mwaisa
@ismailnguno447126 күн бұрын
Mimi Simba ila hii ngoma kali sana.Well done.Beautiful song
@SelemaniWaziri-pm5sl26 күн бұрын
Kulikuwa Kuna haja gan ya kusema wewe simba 😂😂
@MorineRodgers24 күн бұрын
Hanga Inyo ilove❤ konde boy❤
@ChrismasKivunje5 ай бұрын
Mimi nisimba🦁🦁🦁 ila kwahili goma harmo sarut hakika umejuaaaaaa
@lazarojoseph75415 ай бұрын
Ww ni shabiki real sio shabiki maandazi
@JumanneMayoka5 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤very nice broo
@yedwinjj2 ай бұрын
Hii nyimbo Harmonize alijua kuiimba vizuri bana🎉🎉🎉🎉
@Shokolokobango93855 ай бұрын
Konde gang ambao sio yanga ila tumekuja hapa tujuane jaman
@dickMassawe5 ай бұрын
Oy Wanayanga tuishushe komasava ikae hii Ngoma 1 on trend
@_Wayiva_mukuta_jean3 ай бұрын
Harmonize naomba haki yangu, kwanini nakupenda kiasicho?❤❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@JereRobson5 ай бұрын
Konde bwoy never disappoints, sending love from Zambia
@ZubedaOmary-z2e2 ай бұрын
Ww wamebahatisha tuuuuu❤❤❤❤
@richardmaxwell39914 ай бұрын
Hii ngoma imeandikwa bana, imagine wachezaji 30+ na benchi la ufundi wote wametajwa...one of the best.. top melody
@krrishlexАй бұрын
Hv yanga unaifungaje😀😀😀
@wyron1855 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪❤️🔥Full support toka Kenya
@janethagatha81555 ай бұрын
Harmonize asie yumbayumbaa na team 😊❤
@peterlujuo16405 ай бұрын
Ngoma imeenda hii 🔥🔥
@richvannyrichie5 ай бұрын
Uwezo Sanaa #Konde geng for Every body..
@RoyKabaisa5 ай бұрын
Yanga bingwa love from Burundi
@MonicaEmmanuel-x5fАй бұрын
Shida ilianzia hapa kazi kucheza tu mziki apira haa mshika mawili Moja umponyoka