HARUSI TUNAYO HATUNA? - ST. STEPHEN USHIRIKA CHOIR KITENGELA

  Рет қаралды 47,272

MBEGU NYINGINE PRODUCTIONS

MBEGU NYINGINE PRODUCTIONS

Күн бұрын

Harusi tunayo hatuna? Huu wimbo ambao ni utunzi wake mwalimu Ochieng Odongo mwenyewe ni wa kusherehekea harusi yao na Alice Aseyo iliyofanyika tarehe 27/4/2019. Kupitia kwaya hii wanaomba baraka na ufanisi katika maisha yao ya ndoa.
LYRICS :
HARUSI TUNAYO
1.Bwana na bibi harusi tembeeni kwa pamoja mmeshikana mikono leo ni siku yenu. Leo mmefunga ndoa mbele ya watu wa Mungu Baraka za Mungu Baba kweli mmepokea.
Harusi tunayo hatuna? Harusi tunayo (kweli) x2. Ni shangwe shangwe (ni shangwe), ni shangwe shangwe (ni shangwe) ni shangwe shangwe jamani siku ya leo x2.
2.Ona vile watu wengi wamejitokeza kweli ili wakashuhudie vile mnapendana. Msizisahau kamwe ahadi mlizotoa msitengane daima muishi kwa upendo.
3.Japo changamoto nyingi zitawaandama nyinyi lakini kwa sala zenu hamtatikisika. Msiwakubali watu wale wenye nia mbaya kuja navyo vishawishi vya kuwatenganisha.
4. Vyakula tutavikula na vinywaji tutakunywa tukiisherehekea siku hii ya leo. Nyimbo zile tamutamu tutaimba na kucheza kwa shangwe pia na mbwembwe nderemo na vifijo.
5.Ona vile mwapendeza mmenga’ra kwelikweli hebu ringeni kidogo leo ni siku yenu. Mkacheze bila woga msiwe na wasiwasi tunawatakia mema katika ndoa yenu.

Пікірлер: 23
@JulianWambui
@JulianWambui 4 ай бұрын
My Choir back then year 2004-2007
@wakivuio
@wakivuio 4 жыл бұрын
Awesome. Mungu abarikii ndoa zote na wale wote walio na mipango ya harusi. Hakika harusi tunayo
@josephmuia8529
@josephmuia8529 3 жыл бұрын
true
@lawrencembogo632
@lawrencembogo632 3 жыл бұрын
Shangwe ni shangwe Jamani,,,,, Lyrics are top notch!!!
@doriskendi2676
@doriskendi2676 2 жыл бұрын
Aruusi 🙏🙏💕tunayo kabisa
@julieambani4183
@julieambani4183 4 жыл бұрын
Mbona ulioa sasa and I can see priesthood in you,really love this song by ochieng' odongo bravo bro!!
@alimabh4214
@alimabh4214 Жыл бұрын
😂😂😂😂 pia matrimony ni wito
@emilianaosakan2868
@emilianaosakan2868 3 жыл бұрын
Awesome, keep it up your are amazing
@stephenmukwata1737
@stephenmukwata1737 3 жыл бұрын
Great 😘😘😘
@danielmrombo
@danielmrombo 4 жыл бұрын
Hongera
@pamojawan7548
@pamojawan7548 2 жыл бұрын
Encouraging song
@priscillahnduta5050
@priscillahnduta5050 3 жыл бұрын
Rapogi si western is kitngela
@kogalojowi6680
@kogalojowi6680 4 жыл бұрын
Ochieng Odongo the music enigma in Catholic Church.
@kevinmomanyi8359
@kevinmomanyi8359 3 жыл бұрын
Awesome👏👏👏.
@lisperwayua5490
@lisperwayua5490 3 жыл бұрын
Very nice
@judykemunto3208
@judykemunto3208 4 жыл бұрын
Best ever music composer
@nataldemedicci3907
@nataldemedicci3907 4 жыл бұрын
Very beautiful
@veedelicacies-1
@veedelicacies-1 4 жыл бұрын
Nice work
@sosterstephanonjuguna8844
@sosterstephanonjuguna8844 4 жыл бұрын
Kazi safi
@elikanamuriuki6199
@elikanamuriuki6199 3 жыл бұрын
When i see in a Catholic Choir Song, i know it time to sit, listen and watch. Did you start as a Choir member at the University of Nairobi? I think i used to see you at St Paul.
@mbegunyingineproduction
@mbegunyingineproduction 2 жыл бұрын
Yes you are right
@benardnzioka617
@benardnzioka617 4 жыл бұрын
Good work blessings
@mbegunyingineproduction
@mbegunyingineproduction 4 жыл бұрын
Welcome bro and be blessed. Kindly share with your friends
Maria Hoyee! - St. Stephen's Ushirika choir Kitengela
7:55
MBEGU NYINGINE PRODUCTIONS
Рет қаралды 45 М.
NAKHUSIMA - ST MARKS NZOIA CHOIR
7:45
MBEGU NYINGINE PRODUCTIONS
Рет қаралды 61 М.
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 45 МЛН
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,5 МЛН
小丑妹妹插队被妈妈教训!#小丑#路飞#家庭#搞笑
00:12
家庭搞笑日记
Рет қаралды 30 МЛН
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 7 МЛН
NYIMBO ZA KUTOA SADAKA LATEST MIX /CATHOLIC
23:58
Alex Mutua Journalist
Рет қаралды 695 М.
Zawadi Zetu - St. Stephen's Ushirika choir Kitengela
6:34
MBEGU NYINGINE PRODUCTIONS
Рет қаралды 118 М.
SHUKRANI ZANGU - ST. MATTHIAS MULUMBA -TINDINYO SEMINARY CHOIR
5:19
ST. MATTHIAS MULUMBA - TINDINYO SEMINARY CHOIR
Рет қаралды 1,4 МЛН
The prodigal Son (Baba Nimerudi) - St. Augustine's Kapcherop Choir
8:13
MBEGU NYINGINE PRODUCTIONS
Рет қаралды 174 М.
Mt. Kizito Makuburi - Wewe ni Mungu (Official Music Video)
9:29
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 9 МЛН
NI MAMA- by st Gregory the Great choir Noonkopir parish kitengela(Official vedio)
8:00
St Gregory The Great Choir Kitengela
Рет қаралды 10 М.
Our Lady of Lourdes Nyabururu Girls National School
1:01:33
Bruno Epuret
Рет қаралды 740 М.
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 45 МЛН