HASHIM IBWE AWACHEKA YANGA MAYELE KASAINI SIMBA AMEPEWA OFA NONO SASA WANATETEMA MSIMBAZI 😂

  Рет қаралды 159,068

DTZ MEDIA

DTZ MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 94
@PhilomenaSteven-tq2tx
@PhilomenaSteven-tq2tx Жыл бұрын
Aende tu yanga itabaki atuna mda wa kumbembeleza mtu mwache aende tu yanga itabaki daima mbele nyuma mwiko 💚💚 💛💛💛💛💛
@linusales
@linusales Жыл бұрын
WEWEEEEEEEEEEE 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mariamMilha-st3qu
@mariamMilha-st3qu 2 ай бұрын
Aca upumbavu kirasiku Simba hawana jipya utigichoka muchezaji wenye hawana nithamu wao wachukuwe kirasiku muyishie makombo yetu hatuna mupango nauyo malewahanatena kazikwetu tuko na Mudadhir Azizi ki nawengine kibao peraka uyoucafu🤪🤪🤪🤪⚘️
@zaniamohammed2258
@zaniamohammed2258 Жыл бұрын
Hii njiti ya kiberiti kumbe kichwani hamna kitu daa shida kwelikweli !!
@deborahcharles4916
@deborahcharles4916 Жыл бұрын
Mbona kwa fei mwilumuwa na mgogoro shukuru samia
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr 8 ай бұрын
Wabongo waliwezwa sanna na mzee moi walikuwa hawana ujanja blaablaa zao peleka sentro kwanza
@yusuphjilala846
@yusuphjilala846 Жыл бұрын
Mkirudi tu tunawashughulikiaaaa😃😂😃😂😃😂
@BishiraMunga-ey6jx
@BishiraMunga-ey6jx 3 ай бұрын
Mayele.ni jinaadamu sijaona jipya kwake
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr 9 ай бұрын
Uktaka kuwajuwa wabongo uishinao ughaibuni mfano kenya .wabonho wanachukiwa sanna kumbe ilikuwa ni sawaa tuk
@beatbyrich2891
@beatbyrich2891 Жыл бұрын
Simba ni Timu inayofeli sana miaka yote, hawawezi kuleta chao kilasiku kuchukua watu wanashindwana, simba iwekwe katika mradi wa DP world please wekeni simba nayo iwe sehemu yao.
@vyoxerhama2417
@vyoxerhama2417 Жыл бұрын
Imekuuma Sana kula kokoto, umesahau Mbuyu Twite😜😀😀🙄
@yohanalukindo3737
@yohanalukindo3737 Жыл бұрын
Unaweza ukafa na mawazo mana unaandika ujinga Feisal yupo Simba?
@mariamMilha-st3qu
@mariamMilha-st3qu 3 ай бұрын
Kawayida Simba kupenda watu walifeli hadushangayi mayele kwenda simba makacoka woooooote kwa simba mayele hatumutaki hatumwitaji hooooooooooshi🙉🙉🙉🙉🙉🙉🙉fei hana lolote uyo nifala shogi mupigiye debe uyo mukosa adabu🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪
@AyoubShemkol
@AyoubShemkol 3 ай бұрын
Inaumasan
@mbaroukrashid6201
@mbaroukrashid6201 2 ай бұрын
Nyamaza wewe mwenye azam ni bakhresa ,bakhresa ni simba
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 3 ай бұрын
Huyu jamaa mfupi naye anajiongelea tu hovyo. Hivi nani anateseka na mayele?
@CrosumuAlly
@CrosumuAlly 3 ай бұрын
Kweri
@MotibaMashana-hv3tf
@MotibaMashana-hv3tf Жыл бұрын
Ibwe acha kudandia na kuzungumzia timu za we nzio
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr 9 ай бұрын
Azam .mbona mulitia .mpira keapani tuniss
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr Жыл бұрын
Ao. Kina. Fesal. Ubora. Wao. Uko. Wapi. Mbona. Taifa. Stars. Yupo. Timu. Inafeli. Deli.
@Upendo-xx6dn
@Upendo-xx6dn Жыл бұрын
Mwache atoketu kwaza atutaki atuzeekee apo kikosin
@PhilomenaSteven-x9h
@PhilomenaSteven-x9h 3 ай бұрын
Mayere kwenda simba aituhusu sisi top scorer Aziz magoli 21 arafu mayere sio mchezaji wetu alishatutoa mapenzi kwake toka aongee utumbo wake wala amshtui mtu 😂😂😂😂😂
@YaaMnyad
@YaaMnyad Жыл бұрын
Hahhaaaaaa mitandao bhana ilimladi tu iingize pesa kwa mambo ya kijinga kijinga
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr 8 ай бұрын
Ukitaka kuwajuwa wabongo kama ni watu blblaa nyingi waulize wakenya tu
@athanaslupwepwe8707
@athanaslupwepwe8707 3 ай бұрын
Mtufanyie kweli kwa Maelezo na Feitoto
@FRANKOSWARD-tv6qr
@FRANKOSWARD-tv6qr 3 ай бұрын
hamna kinacho shndkana pesa tuu
@ahamadially8351
@ahamadially8351 Жыл бұрын
Nyie makolo mwaka huu mtaliwa matundu ya kujisaidia maana mnatufatulia mabingwa 😅😅
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr Жыл бұрын
Muliwaleta. Wengi. Hapa. Ngojeeni. Mufunguwe. Usajilii. Kwa. Ujinga. Wenuusoka. Halikuwi. Kwa. Mataani. Ngooo. Sema. Mnajijambua. Wenyewe. Tuuu
@AbisinaRashidi-wg5jt
@AbisinaRashidi-wg5jt 3 ай бұрын
Hawa kuma wa yanga namaanisha mabwabwa washasahau kwamba wao waliteseka miaka minne kuma nyoko nyie
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr Жыл бұрын
Wabongo. Mnamaneno .mengii .kuliko. Vitendo. Hatamnapokuwa. Ugenini. Mnakuwa. Kero. Kwa. Wenyeji. Mwishowake. Mnaishua. Zirooo. Tu
@BaraWill
@BaraWill 3 ай бұрын
Wee vp wapi ukaona mchezaji yeyote mwenye kujali masilahi ya timu chamsingi ni mshiko kwanza acha hzo
@jeremiajuma960
@jeremiajuma960 Жыл бұрын
km mayele nae ameanza kusumbua muacheni aende zake kwn yng ni kubwa kuliko mayele mwambieni achague mwenyewe
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 Жыл бұрын
Tunamtaka Chama kwa being yoyote aje huku awe dobi maana amezeeka kama Joash
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 Жыл бұрын
​@@marcokaroje8980You are on the way!
@priscakwannhamfungimipakam9231
@priscakwannhamfungimipakam9231 Жыл бұрын
Tulieni dawa iwaingie alaaa
@ahmedmukolwe43
@ahmedmukolwe43 Жыл бұрын
Nilifikiri una akili kumbe wewe ni nuguu idiot
@abdullahabdul9246
@abdullahabdul9246 Жыл бұрын
Huna chochote wewe fesal ndio Bora .katika mpira ni mchezaji wa kawaida tu
@abdullahabdul9246
@abdullahabdul9246 Жыл бұрын
Huna chochote wewe fesal ndio Bora .katika mpira ni mchezaji wa kawaida tu
@edwardmaguluko6541
@edwardmaguluko6541 Жыл бұрын
HICHI NACHO KUMBE KIOUNGA
@JosephMbawala-pr4bz
@JosephMbawala-pr4bz Жыл бұрын
Duu msemaji unajitaidi kupamba timu ila azamu inagundu haipambiki dogo
@AbisinaRashidi-wg5jt
@AbisinaRashidi-wg5jt 3 ай бұрын
Utopolo wanateseka kuma mae zao
@jumannendayigeze2899
@jumannendayigeze2899 Жыл бұрын
Hata akienda popote yanga itabaki imara tuu
@bongofasta1694
@bongofasta1694 Жыл бұрын
😂😂😂
@jwisetv4833
@jwisetv4833 Жыл бұрын
Jidanganye
@emanuelkilinga9196
@emanuelkilinga9196 Жыл бұрын
Huogopi goli nne, tano? Usifanye mchezo
@twahirburhan3726
@twahirburhan3726 Жыл бұрын
YAAANI ATOKE YANGA AENDE VIGAGULA FC!? AKITOKA YANGA MAYELE AKITOKA YANGA LABDA DUBAI AU OMAN AU UBELGIJI
@Mumewangu
@Mumewangu Жыл бұрын
Ni maoni yake
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 Жыл бұрын
@@Mumewangu mbona maoni yako hayaoneshi kuwa haujui lolote?
@KanjibaiAbeid
@KanjibaiAbeid 3 ай бұрын
Simba wamchukue mabululu
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr Жыл бұрын
Anaeiheka. Yanga. Kwa. Kuwa. Mayele. Kwenda. Simba. Ni. Mpumbavu. Halisi. Hajijuwi. Kitaaluma.
@MariamNzowa-k2x
@MariamNzowa-k2x 2 ай бұрын
Je chama naye ajijuw kitaaluma
@mahirmauly3664
@mahirmauly3664 Жыл бұрын
Uwongo umezidi
@ManzabaySalim
@ManzabaySalim Жыл бұрын
Mabwabwa wengi kumbe
@simonndunguru1629
@simonndunguru1629 Жыл бұрын
Mayele ni muelewa hawezi kufanya utoto. Huyu mchafuzi anawacheka Simba. Sifa za mdomoni hazina Njaa. Kweli AZAM nao wakijisifu?
@nkairforce5819
@nkairforce5819 Жыл бұрын
Elew yule amekujaga kutafuta hela so hilo sio jambo la kushangaza ata
@flova7022
@flova7022 Жыл бұрын
Feisal aliondoka kwenu coz of pesa jichanganyeni...
@mbembelatv
@mbembelatv Жыл бұрын
Siku nyingine usiropoke ropoke, mpira ni hela sio kelele zako
@aisha.abdallah.3979
@aisha.abdallah.3979 Жыл бұрын
Kabisa bora ht akacheze nje yani aache mshahara minono aende kwa makolo.
@frankmalema5350
@frankmalema5350 Жыл бұрын
Waswahili wanasema ukiona moshi jua moto utawaka si muda kaa kwa kutulia
@joshuamwambene2874
@joshuamwambene2874 Жыл бұрын
😊😊😊
@christopherkomba7782
@christopherkomba7782 Жыл бұрын
Azam ibwe kumbe choko
@yusuphjilala846
@yusuphjilala846 Жыл бұрын
Unamhoji chiziiii😢😴😢
@personpeter2221
@personpeter2221 Жыл бұрын
Mayele bado anamkataba na yanga hata iweje hawawez kuwauzia simba ata cku1
@saidkabwana1831
@saidkabwana1831 Жыл бұрын
Unajua kwamba kuna ruhusa pia ya kununua mkataba ulio salia kutokana na mkataba unasema nn???
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 Жыл бұрын
Tanzania imejaa ma wagonjwa wa akili, Huyu jamaa vipi? Imbecile?
@saliminyusuph6122
@saliminyusuph6122 Жыл бұрын
Simba mnateseka Sana na MAYELE. MAYELE anamkataba wa mwaka na Yanga.
@Mumewangu
@Mumewangu Жыл бұрын
Unavunjwa zipo timu nyingi zimemfata. Nae asema amekuja kutafuta pesa tu
@simonndunguru1629
@simonndunguru1629 Жыл бұрын
Simba ni tamaa za fisi Wao ni porojo za kutikisa kiberiti.
@flova7022
@flova7022 Жыл бұрын
Mayele Yuko yanga Kwa mkopo ..mwana ukoo mwenzangu..take this note, mayele will soon flight to S/A, turkey or moroco if Yanga aren't financially serious
@kibaikiramadhani1475
@kibaikiramadhani1475 Жыл бұрын
Kumbe ww bwabwa anaeongoea hapo ni mtu wa simba?
@abdallahsalum9316
@abdallahsalum9316 3 ай бұрын
Mayele Hana mkataba na yanga muongo, mayele alikuja yanga Kwa mkopo na hakuwa Mali ya yanga.
@nkwaloninga
@nkwaloninga Жыл бұрын
Polen
@safarivahocha8077
@safarivahocha8077 3 ай бұрын
Simba hawana Uwezo wa kumsajili Mayele. Afu Mayele mwenyewe ni mshabiki mkubwa wa Yanga.
@ZuhuraMohamed-ny1jr
@ZuhuraMohamed-ny1jr 3 ай бұрын
Mayele alishasema yy n mshabki wa as vita sio yanga au umesahau?
@MgangaMasudi
@MgangaMasudi 3 ай бұрын
Yanga mama2
@chrislameck1436
@chrislameck1436 3 ай бұрын
We n mke wake ?😂
@cyprianboniphace-oz5lw
@cyprianboniphace-oz5lw 3 ай бұрын
Angekuwa shabiki asingeondoka
@WensiNovatuc
@WensiNovatuc 3 ай бұрын
Ndo anakuja huyo 😅😅😅
@alexsuleiman3795
@alexsuleiman3795 Жыл бұрын
Acha dawa iwaingie kenge nyie
@vitalismakyaohamnakitu1714
@vitalismakyaohamnakitu1714 Жыл бұрын
Panua ikuingie nyoko ww
@nkwaloninga
@nkwaloninga Жыл бұрын
Simba😂polen
@tumwitikemanda7601
@tumwitikemanda7601 Жыл бұрын
Mayele sio mpumbavu hivyo anaakili
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 Жыл бұрын
Nashangaa sijui ana maana Makolo waangalie channel hii hasa kichwa cha habari hii
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
NA WEWE ULIEANGALIA NI KOLO?? NGURUWE MLA MIHOGO WEWE
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
​@@marcokaroje8980NA WEWE NI KOLO?? AU.
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
KWANI WANAO SAINI SIMBA NI WAPUMBAVU?? TUNDU WEWE.
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 Жыл бұрын
@@salimmalaka256 mimi ni mwananchi hai ambae uzushi dhidi ya makolo ni mwiko sisi tunajitosheleza kila idara ndiyo maana hata wakili wetu ameteuliwa kule duniani (FIFA)sijui kama unamfahamu ana kitengo ambacho kinawaumiza viongozi wenu, kwa heri
@khaiyamsimu-ko7rk
@khaiyamsimu-ko7rk Жыл бұрын
😂😂😂😂Bora baleke kuliko mayele
@davidwatson6821
@davidwatson6821 Жыл бұрын
Hamna kitu hapo
@christopherkomba7782
@christopherkomba7782 Жыл бұрын
0:02 0:02
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 39 МЛН
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 10 МЛН
UCHAMBUZI SAKATA LA FEISAL SALUM, JE, ANAKWENDA SIMBA AU HAENDI?
14:01
KISA CHA DEREVA LORY,ALIVYOKUTANA NA FREE MASON USIKU WA MANANE SAFARI ZA KONGO
38:52
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 39 МЛН