Рет қаралды 4,275
LYRICS :
رمضان يا شهر التقى
E mwezi wa ramadhani E mwezi wa uchamungu
أقبل ونعم الملتقى
karibu kwetu na nifuraha kubwa kukutana na ww
أقبل فأنت لنا الهدى
karibu kwetu na ww kwetu sisi ni uwongofu
أقبل وأنت لنا الوِقا
karibu sana kwetu na ww kwetu sisi ndio kinga
يا شهر قرآنٍ إذا
E mwezi mtukufu wa quran mwezi ambao
ما هلّ نورك أشرقا
kwakutufikia kwko nuru yako imezagaa
معدودة أيامه
siku zake ni zenye kuhisabika
طوبى لمن فيك ارتقى
bahati ni kwayule ambae ndani yako amepanda daraja
يا خير ضيف قادمٍ
E' mgeni bora ulotukusudia
زدنا إليك تشوّقا
kwa kuja kwako tumezidi kukutamani
شهر عظيم قد أتى
mwezi mtukufu umetujulia
ليعلّم النفس النقا
kwa lengo lakuifundisha nafsi usafi na twahara
شهر الصيام كذا القيا..
mwezi wa kufunga mwezi wa kusimama usiku
مِ لكل قلبٍ منتقى
kwa kila moyo ulochaguliwa na mwenye zimngu
طربت به أرواحنا
kwakufika kwa mwezi huo nyoyo zetu zimefurahika
وتنفست بعد الشقا
na zimepata afuweni baada ya shida na tabu
في مثله كم ربنا
katika mwezi kama hunu ramadhani mara ngapi mwenye zimngu
أعطى وكم ذا أعتقا
amefunguwa vipowa vyake
na wangapi amewaacha huri shingozao
والحق جل جلاله
Na Allah alie tukuka utukufu wake
في مثله كم قد سقى
katika mfano wa mwezi kama huu amezinywesha nyoyo ngapi kinywaji cha imani
فارحم إلهي ضعفنا
basi e mola wetu tuhurumie udhaifu wetu
وافتح لنا باب التقى
na utufunhulie na sisi waja wako mlango waku kuogopa
بالمصطفى وبآله
kwa baraka za mtume Muhammad na kwa baraka za Aali zake
وصحابه مترفّقا
na baraka za maswahaba zake katika hali ya kutufanyia upole sisi waja wako
كلمات
سيد
صالح الأهدل