HATIMAE ABDULNONDO AELEZA MWANZO MWISHO TUKIO LA KUTEKWA NA KUTESWA KWAKE

  Рет қаралды 7,887

Marhaba TV

Marhaba TV

Күн бұрын

Пікірлер: 27
@jumasaid2475
@jumasaid2475 8 күн бұрын
Pole ndio changamoto kiogoz mungu akufanyie wepesi mungu ndio silaha yetu m/kiti wetu mungu yupo pamoja naww
@Aisha-j2o5i
@Aisha-j2o5i 8 күн бұрын
Sis tunamlilia Allah atatusaidia inshaallah
@AbdullahKhamis-q8k
@AbdullahKhamis-q8k 8 күн бұрын
Watanyika niwajinga mnoo mwenzao anatekwa hawawezi hatakumsaidia
@PrivaAgust
@PrivaAgust 3 күн бұрын
Pole ndugu.
@greenwellnsyukwe4729
@greenwellnsyukwe4729 2 күн бұрын
Kwa kweli Mungu aliko huko anatushangaaa sana.
@MakameAly
@MakameAly 8 күн бұрын
Pole sana kiyongozi ila ww ndo kiyongozi wa vijana tupe amri tulipize matokeo 🎉🎉
@stevenjackson4985
@stevenjackson4985 8 күн бұрын
Unaenda kulipiza kwa nani
@nassorkhamis7091
@nassorkhamis7091 9 күн бұрын
Mhhhh hatari sana
@MursalJuma
@MursalJuma 3 күн бұрын
mungu yuko atalipa
@alexmatt9504
@alexmatt9504 8 күн бұрын
Pole sana kwa huo mkasa mbaya.
@Aisha-lj8bu
@Aisha-lj8bu 8 күн бұрын
Kunasiku hao Mungu atawanasa wakati kawezekana firaun watashindikana wao
@Aisha-lj8bu
@Aisha-lj8bu 9 күн бұрын
Polesana kiongozi wetu Allah atakusaidia upone haraka
@alfagindo7814
@alfagindo7814 10 сағат бұрын
Hao siku wakikamatwa ni kuwa nyonga na picha zao zisambazwe kila kona ya Tz na vyombo vya habar viwatangaze kuwa hawa ndo waliokuwa watekaji na watoa roho. Za wenzao. Tunaweza komesha huu mchezo wa hovyo, napata hofu hawa watekaji wanatumwa na nan!!! Iv Amiri jeahi mkuu anasemaje kuhusu haya maana 😢😢😢😢😢
@sulebest4457
@sulebest4457 8 күн бұрын
Eti.wanasema.tunakutesa.hakuna.anaetuona.Wapumbavu.sana.hawa.Munaamini.hivyo.hamuonekani.Nyinyi.Mmeonekanwa.vizuri.sana.mnajidanganya.na.sana.Na.Mtakwenda.kujibu.Adhabu.kali.zaidi.Pia.mnaona.mtaishi.muda.mrefu.Mnajidanganya.sana.Mkiambiwa.Na.nyinyi.Jiambieni.Amrimri Nyengine.Zipimeni..Alokutuma.Atakura.mbingu.na.Aridhi.pungunguzeni.Ubabe.Hamsalimiki.nanyinyi.Mtaiigia.kwenye.maisha.mabaya.sana.hapa.Duniani.wala.simuda.mrefu..Shida.hamna.Dini
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze 8 күн бұрын
Magaidi sanaa waongo tena wapi hawatowii msaada
@AbdullahKhamis-q8k
@AbdullahKhamis-q8k 8 күн бұрын
Ila Pole nondo
@jumahamadomar9124
@jumahamadomar9124 8 күн бұрын
Mambo baada ya ununio sasa mambo ni coco beach ndio kuzuri...Tanzania bwana
@SamsonSamsonkayanda
@SamsonSamsonkayanda 8 күн бұрын
Pole ila wote tutakufa Dunia ya nani?
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze 8 күн бұрын
Waongo woote ni magaidi hivi huyu ni MTU wapili akiomba misaada hawampatii dah basi hata kupiga cmu auhile gari waiwekee mawe isiweze kuondoka
@KhamisSalum-wz8cy
@KhamisSalum-wz8cy 8 күн бұрын
Sasa ipo haja tununue vya moto tuishi navo nyongani.
@MohammedAwadh-gq9si
@MohammedAwadh-gq9si 8 күн бұрын
Kuna tatizo kwenye maelezo ya Nondo ,kwa nini alikataa kupelekwa nyumbani,au hospital? Kwa nini uliwaambia wakupeleke ofisinikwenu?
@ommymehmed8880
@ommymehmed8880 8 күн бұрын
Haya
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 8 күн бұрын
Hii sauti ya "Nondo" haifanani kuwa ya kwake,lakini inawezekana ikawa ni sababu ya kipigo alichokipata. Waliompiga ni hao hao wanaofanya kwa viongozi wengine wa vyama vya upinzani
@rommyshabby3959
@rommyshabby3959 8 күн бұрын
Mara nying watu makini hua wanatumia udhaifu wa sehem kufanya yao inawezakana ikawa ndio hao hao pia inawezakana ikawa watu wengine kabisaaaa so hapa ni kujipa muda kila kitu kitakuwa sawa
@landomalekano6570
@landomalekano6570 8 күн бұрын
Hahahaaa...Inasikitisha Eti Kuna Utata Ktk Maelezo Ya Nondo...Ukitaka Eleze Vip?au Nawe Ktk Watekaji
@SULEIMAN-l8v
@SULEIMAN-l8v 8 күн бұрын
kajibu ilibidu apate pf3 nayeye hakua na cm wala shilingi ameona pahala sahihi ni ofisi za chama chake
KAKA WA MWENYEKITI CCM MKOA ACHINJWA
2:58
Wasafi Media
Рет қаралды 5 М.
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 97 МЛН
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
00:22
LeoNata Family
Рет қаралды 41 МЛН
MUME WA ALIYEFARIKI CHUMBANI NA MWANAJESHI  MSTAAFU TABORA AELEZA MAZITO
16:22
TUNAWAJUA WALIOMTEKA ABDUL NONDO - ZITTO
4:04
Wasafi Media
Рет қаралды 28 М.
SAID SOUD : SERIKALI YA ZANZIBAR IMEUA ZAO LA KARAFUU PEMBA
14:19
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 97 МЛН