HATIMAE ALIENUSULIKA KUTEKWA AFUNGUKA MAMBO MAZITO

  Рет қаралды 19,513

BONGO 24 NEWS

BONGO 24 NEWS

Күн бұрын

Пікірлер: 17
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 10 күн бұрын
Tarimo mshukuru Mungu wako bado ana kazi na wewe. Mungu ni mwaminifu sana
@GotardHaule-v2o
@GotardHaule-v2o 10 күн бұрын
Kabisaaa ani
@GOMAGOMA-o2e
@GOMAGOMA-o2e 10 күн бұрын
Mimi kilicho niwacha na mshangao ni watu walio kuwa wakishuhudia bila kuliza ama kusaidia 😢aiseee watanzania bure kabisa hamna ummoja nyie
@latenitepiano
@latenitepiano 9 күн бұрын
Wasio julikana leo wame julikana na ku onekana wazi mchana kweupe peeh! Wenye ndugu zao walio potea na kuuawa katika mazingira ya ku tatanisha, wahusika wamojawapo ndiyo hawa! Mungu awape nini tena? Ana waumbua mchana kweupe kabla ya ku rudi kwa “YESU KRISTO”, Amen 🙏🏾🥹
@melichmahingule2896
@melichmahingule2896 10 күн бұрын
Sauti yake iko wapi?
@dezideliusrubambula9565
@dezideliusrubambula9565 10 күн бұрын
Bilakumuona akiongea mwenyewe hatuwezi kusadiki manenoyako.
@felixmsale9244
@felixmsale9244 9 күн бұрын
Walinzi wa Hoteli walikua wapi ?Namba za gari hazijatolewa na mmiliki wa gari ni nani?kama polisi wana ushirikiano picha za watekaji zitolewe kwenye magezeti.
@SamsoniLugwisha
@SamsoniLugwisha 6 күн бұрын
Ee hii ndio tanzania ya amani
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 10 күн бұрын
Mungu ahsante kwa kumsaidia huyu kijana Tarimo
@piusprospa8832
@piusprospa8832 9 күн бұрын
hii kitu nisawa na kitambaa chepesi kilicho mwagiwa mafuta ya taa yakiwa yana tambaa kuanzia mwanzo wa kitambaa kuelekea mwisho mafuta yakiloanisha kitambaa chote na moto ukilipuka basi TANZANIA tumeisha make nchi hii haina msmamizi
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 9 күн бұрын
Watanzania Amkeni Amkeni kamu mkizubaa Mtaisha nyote Taratibu
@FortunataNguma
@FortunataNguma 8 күн бұрын
Alienusulika ndio nini Rudi shule ukajifunze kiswahili .sijui nani anawapa kazi ata kiswahili ujui
@RamadhanMohamed-u2t
@RamadhanMohamed-u2t 10 күн бұрын
Yote uyongo daws kila raiamta nzania awe na bindi hiyo ndioyo ndio dawa
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 10 күн бұрын
Hotel ya hovyo haina usalama
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 9 күн бұрын
Hii Hotel inastahili ifungwe kabisa
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 8 күн бұрын
​@@stefanomasolwa8979 uwezi jua........
@RamadhanMohamed-u2t
@RamadhanMohamed-u2t 10 күн бұрын
Kilamwananchi mtanzania tuwe na bunduki yake Ili tuheshimiane
Ndumo ya aini gũthaata, Murang’a
2:20
Inooro TV
Рет қаралды 1,8 М.
Новости дня | 24 ноября - вечерний выпуск
4:52
Euronews по-русски
Рет қаралды 4,7 М.
ТЮРЕМЩИК В БОКСЕ! #shorts
00:58
HARD_MMA
Рет қаралды 2,6 МЛН
ТВОИ РОДИТЕЛИ И ЧЕЛОВЕК ПАУК 😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 6 МЛН
SIRI YA HUBA  { 30 }
16:56
Rk Movies
Рет қаралды 223 М.