Zahir una roho safi Sana.. Mungu aendelee kukupa maisha marefu.. Huyu kaka akija kuoa.. Akipata mtoto wa kiume ampe jina lako jaman😘😘😘😘😘
@veronicamasanja98093 жыл бұрын
Uwe makini ktk kupata mke wengi watakuja kwa maslai yao binafsi ukizingatia umeshaanza kupata msingi
@shantellemwanakombo37033 жыл бұрын
Ameen
@hawaheri58333 жыл бұрын
@@veronicamasanja9809 walahi anaharaka na wanawake atakuja kulia huyo we muache wanawake hapo wanaesabu pesa tu wnawake wananja tu hao
@rayasaid37343 жыл бұрын
Vizuri sana Suleiman una mtanguliza mungu kwanza kwa kila jambo,Allah atakupa mwenzako mwenye kher na wewe,mchukue mwanao witness umtoe kwenye udhalili,kazi za ndani sio nzuri,anaweza kusomea chochote hapo Dar.
@sharifafatawy98743 жыл бұрын
Huyu jamaa nimchapakazi,yupo vizuri asaidiwe mtaji abadilishishe maisha yake.
@@jamilaabdallah3955 angalia kwenye hiyo habari namba zinazopita chini ndo upige
@qwqw16653 жыл бұрын
Pole kaka mtangulize mungu utayapita yaloyo magumu🙏🙏🙏🙏🙏
@qwqw16653 жыл бұрын
Mm nasema hivi kwamba zahiri naomba huyo kaka asije akaenda pekeyake huko lazima aende. Natuyoyote ndio usia wangu huo 🙏🙏🙏🙏
@emerencesifa61313 жыл бұрын
Kweli kabisa😍
@azizahamisi73493 жыл бұрын
Iyu ndio sw
@kawtharalbarwani13373 жыл бұрын
Nikweli kabisa
@amockkalinga15203 жыл бұрын
Kaka anajitambua Sana pole kwa yote uliyoyapitia kaka angu
@GfgGgh-v5z8 ай бұрын
Maa Shaa Allah nawapongeza sana wale wote waliojitokeza kumsaidia huyu kaka na imaan ana furaha huko alipo mtangazaji pia hongera sana kwa kazi yako nzuri Allah awabariki sana japo naiona leo hii interview
@jumaselemani27203 жыл бұрын
Daaah aisee hii stori unaweza ukaitengenezea muvi na ikauzika
@mamanbinwashadrack22573 жыл бұрын
Umeona eee
@burundishallsmile1day1093 жыл бұрын
👍🏾
@wemakalamu35383 жыл бұрын
Umeongea ukweli kabisa
@jumaselemani27203 жыл бұрын
@@mamanbinwashadrack2257 yaaah
@sidratybinkhamis28373 жыл бұрын
Sanaa
@fatmaomary39813 жыл бұрын
Asante kk Zahir kwa kazi nzuri
@doreenchaula35353 жыл бұрын
Kweli huyu Kaka nimtu safii nime mpendaa bure anajua kujieleza na nimkweli sana, Zahirahir we ni Kaka mwenye moyo Safi Mungu aku zidishie
@teddyoscar68763 жыл бұрын
Ushauri wangu wasije wakamdai pesa,weshamweka jela miaka 20 keshalipa kila kitu hapo ni wajuane tu na mwanawe inatosha mana kasota gerezani kwa ajili yake,huyo selemani atafute mke akipata na Mungu awajaalie watoto basi atunze familia yake, huyo witness ameshakua mkubwa, kosa alilifanya shangazi yake huyo mwanamke.
@aminakunja2772 жыл бұрын
Kifo cha uyu kaka suleiman kimenifanya nipitie tena interview zake zote za nyuma dahh nimeumia adi nimelia lkn uyo Kuna namna tu ya kifo chake nasikitika tena kuusu familia Yake ajaiyona Miaka 20 anakuja kuniona familia anakaa kidogo anauawa dahh 😭😭mungu ampunguzie adhabu ya kabri na ampe kauli thabit marehem suleiman ila dahh nilitamani sana aishi aweze kufuraiya maisha Yake lakini mungu pia akupenda Inshalaah mungu ndo muamuzi kamwe kulaumu siwezi🙏😭
@mhjgkgjfjzuzu95452 жыл бұрын
Nayaoneka alikuwa mcheshi kweli. Allah ampe kitabu chake kwa mkono wa kulia
@damariszuckschwert94892 жыл бұрын
Ukiangalia kuna vile mambo yamesukwa. Kwa sababu huyo afisa elimu alitumia cheo vibaya tu kumfanyia uonevu. Huyo bint kama alikuwa underage hakutakiwa pia kuwa anafanyishwa kazi za maid alifaa kuwa shule. Siyo ajabu wamegundua atafuatilia haki wakampangia njama auwawe.
@reginamluviji94052 жыл бұрын
kwani kauawaaa
@swadatimmbaga743510 ай бұрын
Mwaka gan? Huyu Alfarik 😢😢😢
@SmilingPlanets-yx9rm10 ай бұрын
Ameuwawa!??
@ashakileo49803 жыл бұрын
Safi kaka zairi Kazi nzuri mungu awe nawewe
@faridamohamed46773 жыл бұрын
Masikin anajua kushukur🤝
@chabakakilumanga22063 жыл бұрын
Nakipenda sana hiki kipindi. Hongera sana Maximum TV
@assiakhadijz41673 жыл бұрын
Wallahi kila nikisikiliza taarifa za huyu kaka machozi yananitoka Allah amjaalie subra
@mimahmimah15953 жыл бұрын
Wallahy tena ni mkaka mstarabu amepitia mengi magumu Allah amfanyie wepes
@assiakhadijz41673 жыл бұрын
@@mimahmimah1595 amiin
@assiakhadijz41673 жыл бұрын
@@mimahmimah1595 nimependa hata anavo ongea yani anajiamini
@mimahmimah15953 жыл бұрын
@@assiakhadijz4167 sana anatia huruma wallahy
@assiakhadijz41673 жыл бұрын
@@mimahmimah1595 yani ningelikuwa na uwezo bc ningemsaidia ila ndio ivo umasikini
@rokiroki18253 жыл бұрын
Zahiri ALLAH akulipe kher haki unaitafuta pepo tena pepo ya fridaus
@reymaabintabdillah37273 жыл бұрын
Kaka zahir mm naomba tuwe wapambe kwenye hii ndoa mungu atie baraka zake
@valenakomba44533 жыл бұрын
Huyo binti tayari anamiaka 19, kwa hiyo hahitaji ruhusu ya mama.
@YOHANAMKUNGA-f8d Жыл бұрын
Pole Sana kapitia wakati mgumu sana
@irenewile3 жыл бұрын
Zahir anamuonea huruma mwanaume mwenzake kuwa hajafanya mapenzi miaka daahaa,,huo ni Upendo wa Agabe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mwanaherhussani7425 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@charlesmatesorehani50123 жыл бұрын
Zaili wewe Mungu akurinde sana kwa kazi nzuri kaka 🙏
@fatumaothman88843 жыл бұрын
kaka Zahih naomba hizo pesa zizuie wewe, ili zifikie malengo hata ya kununua pikipiki kwanza, aanze kazi mwenyewe na a save ili apate zaidi ya kununua bajaji, ikiwa atabaki na hela yeye mwenyewe wasiwasi wangu atazitumia iwe tatizo jengine tena, hapo nimemsikia kuhusu kanunua nguo, nguo kama anazo tatu tuu zinaatosha kabisa kwa vile ana malengo yake ya maisha. hana haja ya mahusiano kama hajakaa sawa kimaisha, asubiri kwanza asichanganye madawa. HAYO NI MAWAZO YANGU BINAFSI
@kadejahh40363 жыл бұрын
Mawazo mazuri sa fatuma pesa Bwana ukiwa nayo mkononi mie pia niliwaza ni bola ajijenge kwanza
@aminaally20143 жыл бұрын
Mimi nashauri musiwe munatangaza kiwango cha fedha zinazopatikana kwa sababu kuna watu wahuni wanaweza kumumpotezea malengo au kumuibia
@zainabwage46583 жыл бұрын
Kwel
@leylahbillah48763 жыл бұрын
Kwel kabisa
@sabrinasab29103 жыл бұрын
Kweli kabisa
@azizahamisi73493 жыл бұрын
Kweli
@credo78373 жыл бұрын
Kwel maan wahuni wamejaa humu
@roseatieno66913 жыл бұрын
MASHALLAH MASHALLAH . ZAHIR WETU UBARIKIWE SANA KWA KUMSAIDIA MWANAUME MWENZIYO .
@felistersmejumaa51883 жыл бұрын
Mashallah hadi raha jamani Zahir barikiwa hki kama sio ww na media yko bac baba huyu asinge mjua mtoto wake angetoka jela maskini akawa na mawazo kibao tu xna
@afanamb45043 жыл бұрын
God is good ,good work zahir,keep it up
@mwanahamis54873 жыл бұрын
Vunja bei Uko Wapi Jamanii ugempa mtaji Huyo Kaka Au ajira
@credo78373 жыл бұрын
Heri ya ngamia kupenya katik tundu la sindano kuliko tajiri kuingia katik ufalme wa mbinguni
@swaumujuma63333 жыл бұрын
Mashallah litaisha kwa uwezo wa Allah inshallah 🤲🤲🤲mungu awabaliki maxmam tv🤲🤲
Pole sana husband material jaman utapata mwanamke mwingine
@sadamohammed61773 жыл бұрын
Dhahiri nakupa tena hongera kwa juudi na upendo na nguvu nyinyinazofanya kusaidia watu wenye matt natamani nikuine siku moja
@empresssonia19373 жыл бұрын
BRO ZAHIR LETA NUMBER YA HUYU JAMAA NAPENDA WATZ SANA MM NI MKENYA🇰🇪 ILA SAI NIKO DUBAI NATAKA MTU MATURE MWENYE ANAJIELEWA KAMA HUYU JAMAA💙
@Zanzibar00013 жыл бұрын
mtafute kwa namba zake Hpo Juu za tigo pesa mtaongea vzr
@Zanzibar00013 жыл бұрын
au tafuta vedio yao ya awali namba utazipata
@princesssimi49053 жыл бұрын
Yaani zahir anafanya kazi nzur sana na team yake
@linnahndelwa63513 жыл бұрын
Nakupenda sana zahir mungu akutunze naendelea na huo moyo kaka
@sabrinasab29103 жыл бұрын
Hongera kaka seleman
@aishaibrahim56073 жыл бұрын
😪😪😪😪so sad jmn ila mingu nimwema sana
@semenirudovick19893 жыл бұрын
Nampendaga fabi Yuko smart
@mamajd2693 жыл бұрын
Wow . 😭 Mungu awabariki MaximumTv
@sharinv88643 жыл бұрын
Leo nimewai no 2 wacha nisikize ndipo nicomment zahir una bidii asante sana brother.
@hadijaharerimana16873 жыл бұрын
Zahir huyo mama aliyemfunga unaweza mpata ili ajue alichotenda sio haki kaka wa watu alifungwa bila hatia maskini wa mungu kuna watu wana roho mbaya hatary huyo mama ataenda chomwa moto kama mbwa....::siku ya kiama
@mauamnobwa74123 жыл бұрын
Hongera bro umechangamka
@Tariqxxtenations3 жыл бұрын
Zahri ongera kwa kazi nzuri
@fatmasalim82933 жыл бұрын
Mungu mkubwa brother 😍😍😍🇴🇲👌
@mdomaniomanmbonamnarudiasi86373 жыл бұрын
Safi San kaka zahiri kwakazi zuri mungu akubariki uwe namoyo huohuo kaka
@aminaabdallah91173 жыл бұрын
Anaongea point huyukaka alisema nayy spare awezekusaidia wengine km yy hongerasana😍
Huyo mamah anakaa anamaisha magumu japo Kua aliolewa,huyu Jamaa anakaa mpambanaji wangekua mbali Sana kimaisha
@theafricaiknow66153 жыл бұрын
Kweli kabisa
@zainakuzenza7593 жыл бұрын
Hongera baba wit kwa kuwa mkweli umekusaidia na utakusaidia maishani
@z.nalnabhani71943 жыл бұрын
Jamani maxmam tujiandae na harusi
@samsungj7pro64gb53 жыл бұрын
MashaAllah walhadulilah jamnj kka furaha km zote❤
@madinaomar6793 жыл бұрын
Mashaallah, sijatoa kitu lkn nimependa shukran zake
@rosemzava51493 жыл бұрын
Baba kama ww mpo wachache sana mungu akupe maisha marefu baba mwenye busara na hekima🥰
@kadigatanzaniya47923 жыл бұрын
Kaka zahir mm nimeshatuma mchango wangu ila sijampigia cm nilikuwa sina salio
@ukhutymamuu74703 жыл бұрын
Allah akuzidishie ulipo punguza In shaa Allah 🙏
@arqamibnarqam.71853 жыл бұрын
@@ukhutymamuu7470 Amiina yaa rabby!!!
@tanialucas45793 жыл бұрын
Mungu akusaide
@emmanuelyairwise63913 жыл бұрын
Mungu akulinde sanaa
@aayeshakhan99623 жыл бұрын
Mungu amusaidiye apat atazakiwanja kisha kaka zahir umujengeye kama bibi na mama zabibu kwasababu kupanga nivigumu kupata pesa zakuripa
@souvenirweber71693 жыл бұрын
Huyo shangazi hovyo mwenye kutumia madaraka vibaya anatakiwa ajue alichofanya kuonea raia miaka 30 nisawa na kuua mtu.
@salhamrisho81383 жыл бұрын
Mashallah maboork nimependa hii
@namirihamisi38993 жыл бұрын
Ila songea asiende kama huyo mtoto ni wake atakuja tu haina haja ya kuwafuwata wao umfuwate yy nani muache akae na huyo mtoto na pili mtoto ameshakuwa mkubwa ana maamuzi yake.
@burundishallsmile1day1093 жыл бұрын
Nashangaa🤔
@neemageoffrey35863 жыл бұрын
Kweli kabisa, Kaka wa watu amepatashida Sana
@tinachacha15023 жыл бұрын
😭😭😭naumia xn mungu yumwema xn uyumungu niwawote jamani
@z.nalnabhani71943 жыл бұрын
Suleiman ni muelewa sana,anaeleza vizur
@loner_wolf3 жыл бұрын
Mungu atakusaidia bro, hongera kwa busara zako za kutaka kumjua mwanao.
@fatuma5208 Жыл бұрын
MASHALLAH. ZAHIR.MUNGU.AKUTANGULIE.
@hadijaharerimana16873 жыл бұрын
Aisee safi sana ..
@fariarizaq75283 жыл бұрын
Mashaallah huyu baba anawogea ukweli kabisa Allah akubariki sana inshaallah
@khadejarajab80073 жыл бұрын
Baba anajua kujieleza hapindishi hata moja hongera sana
@abuumareja85053 жыл бұрын
Uyo jamaa muajirini apo kwenye iyo maxmamu TV nimutangazaji mzuri sana
@BMT20233 жыл бұрын
Maximum Respect ✊
@sharifaabdullah68253 жыл бұрын
Mungu mkubwa alhamdulilah😘😘
@مريمحمد-و5م3 жыл бұрын
Mashaalla
@ramlajuma15983 жыл бұрын
Mashaallah 😊😍😍
@binaljabirmshihirzanzibar83693 жыл бұрын
Tabaraqaallah 😍😍
@katayaloveness55293 жыл бұрын
Masha Allah
@sumaiyaochu8753 жыл бұрын
Mashallha mtoto ana masuali yakikubwa
@calisterbosibori1513 жыл бұрын
Mungu akubariki sana.nakuombea maisha mema
@arafamussa8403 жыл бұрын
Pole kaka allah akufanyie wepec na ufanikiwa ktk maisha yako pia allah akujaarie mke mwema atakae mama bora
@SihabaAbdallah-li6dx9 ай бұрын
Aminn
@mdzainb37223 жыл бұрын
Huyu mtto kajazwa maneno na mama kwahiyo baba kuwa na amani utapata mke utapata watoto wazuri maana naona majibu ya huyu mtto sio sawa kivileee
@ains11223 жыл бұрын
Madamu mwanae hata waweke vikwazo vipi atie bidii amuone, japokuwa mtoto wa zinaa, na daima hunasibishwa na mama,kidini ya kiislamu huitwa mtoto wa kitanda, na unasibishwa na mama na sio baba
@fesalchambuso80233 жыл бұрын
Umeonaee eeeh 😰
@mdzainb37223 жыл бұрын
@@ains1122 kumuona atamuona lakini huyu mtoto hata hana ile kumfuraia baba wala pole hana eti siwezi kukuona mpaka uende kwamama kweli daaa mtihani ila kikubwa afanye vile wanavyotaka yani akienda huko utasikia atoe fidia mmmmmmmmmh na wakati katoka jela
@mdzainb37223 жыл бұрын
@@fesalchambuso8023 mmi huu uongeaji tu wa huyu mtoto ndo umenitia shaka zaidi na kupelekea kuwaza hivi ila sijui
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@fesalchambuso8023mtt balaa
@mwanamuhsin43203 жыл бұрын
MashaaAallah jmn damu nzito kuliko maji Allah awajalie kk zahr hakika mnafanya kz kubwa
@ramadhanidaudihaji21743 жыл бұрын
Hongera Sana kwake 🤜🤛✌️
@khalossalim37233 жыл бұрын
Vigezo na masharti vizingatiwe kwa wifi yetu 😂😂😂
@mwanaherhussani7425 Жыл бұрын
😂😂😂mchujoo
@Shuu.A3 жыл бұрын
Zahir asimuamini huyo mama mana shetani akienda pekeake anaweza kumsingizia ubaya wowote amtafutie matatizo mapya kama aliweza kumfanyia ya mwanzo hashindwi na sahivi yeye na watu wake sio watu wazuri wamenharibia maisha huyu kaka
@neemageoffrey35863 жыл бұрын
Kwa kweli ni shetani, hata mwenzie alipofugwa hakuwahi kumtembelea huko gerezani kwa miaka yote hiyo
@salamanauthartanzania63013 жыл бұрын
Mashaallah kaka Zahir ALLAH Atakulipa inshaallah
@mussamivache49863 жыл бұрын
Baba anaupendo sana na mtoto wake😍 natamani ningepata baba kama huyu naumia sn nimetelekezwa mimi pamoja na wadogozangu baba ajali chochote kuhusu sisi wakati anajua mama alisha faliki😭😭😭
@liliankemuma94753 жыл бұрын
Pole Sana, Mungu ndiye Baba wa wote
@sidratybinkhamis28373 жыл бұрын
Polen sana mungu atawalipa zaid
@zeddydaqueensy46123 жыл бұрын
Inshaallah Allah ampe wepesi
@philbertmyinga63443 жыл бұрын
Pole sana ndugu yangu
@bintkijangwa43053 жыл бұрын
Maa sha Allah kwakweli kaka nimekupenda bure
@amour55353 жыл бұрын
Kaka zahri huyu kaka asiende pekeake na pia. Lazima afike kituo cha polisi apate kampani ya usalama kabsaa 🙏🙏🙏Ahsate wote Alhamdullah
@muzafarsharif94653 жыл бұрын
Yap waeza mpoteza tena ..wazo lako zurii
@khadijahali48373 жыл бұрын
Hapo kwenye maombi 🤗🤗🤗🤗
@aminasuleiman64023 жыл бұрын
Hiv hawa watu wanao dislike tuwaelewe vip mm wananichefuaa😒😒😒😫😫