Asante sana Father, baadhi ya mambo niliyojifunza. 1. Ekaristi Takatifu ni Yesu mwenyewe. Mungu Kweli na mtu kweli. 2. Ni nafsi ya Mungu mwenyewe anaumia, anatamani kupendwa kama tunavyopendwa na ndugu zetu 3. Kisiwepo kitu chochote ambacho kitatutenga na uwepo Mungu, iwe ni mateso, mauti, wakuu n.k 4. Kutenda dhambi ni kumzuia Yesu kuingia ndani ya mioyo yetu. 5. Thamani ya Ekaristi Takatifu ni kubwa kuliko chakula chochote. 6. Ekaristi ni chakula ambacho kinatupeleka mbinguni, katika kuwalea watoto lazima tuwalee katika kukua kwenye imani, sio kuwahangaikia tu kupeleka shule, kuwapa chakula lakini hawana Neno la Mungu. 7. Ekaristi Takatifu sio kitu cha hiari kama ni kitu cha hiari kwako basi kuna dhambi imechukua nafasi. 8. Tusifiche uovu lazima tuukemee kwa nguvu zote. 9. Yesu hakuja duniani ili wadhambi tuendelee kutenda dhambi bali tuache na kuichukia dhambi.
@VenasLujinya223 ай бұрын
Ahsante sana Baba Padre Kwa Mafundisho ya Kuhusu YESU WA EKARISTI TAKATIFU. Mungu atujalie Tuondokane na Maisha ya Kidunia. Tumkaribishe Yesu Akae mioyoni mwetu. Kuna mambo ambayo nimejifunza Hapa.🙏 Mwenyezi Mungu Atusaidie tuishi Ahadi zetu za Ubatizo.🙏🙏🙏
@MasaluSitta-f7fАй бұрын
Hongela sana Baba padre,Kwa mafundisho mazuri yako na wakatoriki wenge wanatakiwa kujifunza Kwa namna hii Ili wapate kujua kua wanacho kiamini ni Cha kweli kupita dini zote🙏🙏
@AllyMaliva2 ай бұрын
Father Kulwa Mungu akupe baraka na nguvu katika kuinjilisha neno lake kwa nguvu na moyo namna hii na akupe afya na maisha marefu!
@agripinaitote-xl1lz7 ай бұрын
Kristo! Asante sana fr ni wazi wakatoliki wengi hatujakaa ktk nafasi zet kama mkristo .tumekalia lulu lakini ni wachache wanaolitambua.Kwa Huruma yake Mungu atufunulie macho ya ndani kama wale wafuasi wa Emau.MUNGU AKUBARIKI
@patrickngua22224 ай бұрын
Mungu akubariki father
@SoniMwenebonjwa5 ай бұрын
Asante sana padiri jonh kulwa ,ubarikiwe KWA SOMO lako utuombee ILI tuwe nanasfi safi ktk maisha yetu ya kiroho,
@TasianaMboya2 ай бұрын
Mungu atukuzwe milele katika Ekaristi Takatifu sana
@katalikocharlotte16783 ай бұрын
Aksante padri kwa mafundisha haya matamu sana😊
@JoyceNdunguru-lg1ug5 ай бұрын
Mungu akubariki sana FR.Asante kwa mafundisho mazuri,.Sifa kwa Yesu Kristo
@atondatunza6 ай бұрын
Asante padre kwa maubiri matamu tumebarikiwa sana.najivunia sana I wapo nayaona kwenye mitandao m’a Padri wetu Kutoa Injili .kanisa katoliki tujipongeze na Mungu atusaidie sana.Tumsifu Yesu kristu wa Ekaristi Takatifu.
@williamsonkileo73076 ай бұрын
Point of correction ni Yesu Kristo na Aio Yesu Kristu..
@JoyceNdunguru-lg1ug5 ай бұрын
Lugha tu,,KRISTU na KRISTO ni sawa .
@RenatusBarabara7 ай бұрын
Asante sana Fr. Injiri ya moto inayochoma kama upanga. Mungu akutunze sana.
@ernestmatundiri2341Ай бұрын
Tunakushukura fr. kwa mafundisho haya
@GraceNyakoa-uv8nc4 ай бұрын
Amen Asante padre
@stellambunda1617 ай бұрын
Mungu akubariki fr ,nabarikiwa na najengwa sana na mafundisho yako juu ya Ekaristi Takatifu. Mungu atuwezeshe na viongozi tuyatende ufundishayo.
@theresinasmuhinda16066 ай бұрын
Barikiwa sana Fr. Kulwa hakika wewe ni Biblia inayoishi. Hilo andiko ....karipia, onya himiza... nmeliona kwako Baba. Nimekupenda bure.
@GraceElisha-v6l6 ай бұрын
Barikiwa zaidi na Mungu,uendelee kutufungua mtumishi wa Mungu!!!
@leocardkipengele50296 ай бұрын
Asante sana Fr. kwa ujumbe huu, Mungu atusaidie kuishi mashauri haya ya injili
@stellanamukunda35156 ай бұрын
Asante sana kwa mafundisho haya. Tuiabudu na kuiheshimu ekaristi takatifu. Amina
@rosekalindo6 ай бұрын
Asante sana Baba,Mungu aendelee kukuweke ili uliponye kanisa 🙏
@MarysianaPeter7 ай бұрын
Asante mungu kwa ajiri ya mtumishi wako huyu mungu na uzidi kumtumia kwa ajili ya roho zetu zipate uponyaji
Asante sana Baba umenibariki kwa fundisho hili juu ya Ekeristi Takatifu. Utuombee sisi wakosefu.
@nchimbilusda72597 ай бұрын
OMG,,, sikujua Hilo , Asante sana Father, kwa elimu hiyo wengi haijawafikia, hawaelewi kabisa Nami pia sikuelewa, Sasa umenifungua, 🙏🙏🙏
@Habiba-yb2hb4 ай бұрын
🙏🙏wagalitia 1:8❤❤❤ Ahsante Baba sema Tuponeeee
@imeldakapinga18697 ай бұрын
Asante Baba kwa mafundisho, ni mazito hadi nafsi inasisimuka na mifupa inatetemeka, kuna mahali kabisa waumini tunakengeuka, tunakosa hofuu ya Mungu ndani mwetu kwasababu ya kiburii tuu. Eee Mungu tusaidie🤲 utuhurumie sisi na dunia nzima.
@Habiba-yb2hb4 ай бұрын
Ndivyo ilivyo Father ❤❤ tuambie tuponeee maana wakristo wengi ndio wanaomtukana Kristo nakumfanya kitu kisicho faaa na atokeo yake amekuwa laumu lakini hakika imeandikwa wamekwisha kupata thawabu yao Bwana atuhurumie
@blandinakimbe89106 ай бұрын
Baba barikiwa saana ,,Mungu tusamehe,
@ziporakamalakamala59034 ай бұрын
Asante FR
@AmanNdabatunga-l7b4 ай бұрын
Asanté sana@❤baba!
@vairethmhoza6 ай бұрын
Akhsante sana baba Mungu wetu alie juu na mwenye kuogofya Akutunze Hakika
@DamianJustine-hs6dk7 ай бұрын
Asante sana pdr.John Kulwa kwa mafundisho yako Mazuri.
@ceciliamagalabajimmy43917 ай бұрын
Ee Bwana sistahili, sistahili ee Bwana uje moyoni mwangu. Lakini sema neno tu na roho yangu itapona. Asante Baba kwa neno lenye uzima.
@AngelinaEdward-v8e5 ай бұрын
❤❤❤ AMINA ASANTE
@donathamarenge87346 ай бұрын
Kweli Baba Padre zinaa inaonekana kama ustaarabu fulani siku hizi kumbe ni upuuzi mtupu na kujilisha upepo! Mungu akupe maisha marefu father.
@evaristcosta43157 ай бұрын
Baba nashukuru kwa mafundisho mazuri kuhusu Ekaristi takatifu Mungu akubariki sana
@dianaelvas437 ай бұрын
Asante baba kwa mafundisho mazuri
@FridaRichardMagezi6 ай бұрын
Asante baba! Mwenye sikio na asikie🙏🙏
@Poplicious16 ай бұрын
Asante Sana Father Kwa Mafundisho Ya Ekaristi Takatifu 🙏
@TheresiaKapandila6 ай бұрын
Asante Fr kutulisha kiroho
@gracebuhatwa63597 ай бұрын
Asante Sana father kulwa sikujua niliona mazoezi tu.
@patrickmsekwa49477 ай бұрын
Safi sana Mzee kulwa kwa fundisho kubwa na zuri
@nikoletaugi32477 ай бұрын
Asante sana Baba kweli tuponyuma
@leonaldpaul45067 ай бұрын
❤️❤ mafundisho mazuri sana ya ekaristi takatifu
@MariaSalus7 ай бұрын
Asante baba paroko,tunaomba rehema ya Mungu,kwa kuiudhi nafsi hii
@BALBINAMHEMA7 ай бұрын
Asante sana baba
@violethbosha16667 ай бұрын
Baba mungu akupe maisha
@gracemkosa18947 ай бұрын
Baba asante sana.
@MarthaMhongole7 ай бұрын
Asante baba
@godykibiki88526 ай бұрын
Asante sana kuna kitu kimeingia kichwani mwangu
@RoseJoachim-mz1kn7 ай бұрын
Amina yesu atupe hekima ya kumjua zaidi kuliko chochote
@ernestmatundiri23416 ай бұрын
Asante baba kwa kutuelimisha kuhusu ekarist takatifu
@frankmazinge31996 ай бұрын
Asante SANA Baba Padre Kwa Mafundisho Ya Hali Ya Juu Kuhusu EKARISTI TAKATIFU.
@MeshackMinyota6 ай бұрын
Tatizo ni sakaramenti ya kitubio na kipako cha mafuta wanajua kesho Kuna maungamo Kwa padree
@Josephatharuna7 ай бұрын
Ukweri ni huo juu ya ekarist mungu akupe neema ya kueneza neno lake.
@Shemahonge-ku7xx6 ай бұрын
😭dah nimekuerewa sana ubarikiwe Kuna vitu nilikuwa nafanya bira kuerewa haya yote nikuchukurie biblia kamakitu chakawaida ubarikiwe sana maombi yetu yanaachakujibiwa kwakutokuerewa
@katalikocharlotte16783 ай бұрын
Amina
@JoyceNdunguru-lg1ug5 ай бұрын
Wakatoliki tuna cha kujifunza hapa,, Mungu atusaidie sana.
@FrahaKibona6 ай бұрын
Asante kwa neno zuli ungeshuka mpaka vijijini watu wajue utisho wa MUNGU Asante sana.pd
@edenusmrosso92257 ай бұрын
Ekaristi Takatifu ni Yesu, na Yesu ni Mungu na kama ndo hivyo Mungu lazima apigiwe magoti na kwa Mila zetu tu mkono wa kushoto ni ishara ya utovu wa nidhamu unapoutumia
@KelvinWaleo7 ай бұрын
Wewe yesu co mungu, ni mwana wa mungu acha uongo
@JoyceNdunguru-lg1ug5 ай бұрын
Yohana 1:1....
@lamecklaurentius89366 ай бұрын
Naam. Call spade a spade. Nimebarikiwa sana na mahubiri haya.
@enatanonga30487 ай бұрын
Asante sana pdr Kulwa kwa mafundisho mazuri
@ernestmatundiri2341Ай бұрын
😢😢😢
@beatricenangale54396 ай бұрын
Huyu Fr. Analifafanua neno kiukwelikweli lilivyo, na kuwajenga wakristu kweli, jamani tujitahidi kumjua sana huyu Yesu Kristu. Maana huwa tunamuumiza sana
@saramassoy15936 ай бұрын
Mapadri wangekuwa wanatulisha neno kama huyu tungekuwa na hofu ya Mungu, tungebadilika,
@SusanMugassa6 ай бұрын
Paroko wa kanisa gani hili? Asante sana kwa mafundisho mazuri yametugusa sana kutukosoa yale tunayoyaishi pasipo kuiheshimu Na kuijua Ekaristi takatifu!
@Adelina.Kagina6 ай бұрын
Ni mlezi na mwalim wa seminari ya Segerea.
@josephlango55916 ай бұрын
@@Adelina.KaginaPadre Kulwa alirudi Jimboni kwake Tabora. Tumeyamisi mafundisho yake
@viddamgeneka88816 ай бұрын
Amen!
@LucyLuca-p6l5 ай бұрын
Mithali 28:9 asanteeee Baba
@erasminamaina83336 ай бұрын
Kweli baba ekaristi ni muhimu sana
@RoseMallya-dd6uu6 ай бұрын
Ni kweli kabisa,.
@JosephinaPhilipo6 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@neemamwaiteleke55755 ай бұрын
HUU NI UPANGA UKATAO KUWILI KWA KWELI..... EE BWANA YESU KRISTO, TUNAOMBA HURUMA YAKO TUWE WATENDAJI WA NENO!
@RoseKimishabhalemi-oz9bn6 ай бұрын
Ukweli padri un alitukana sana lishetani lakini jua sasa liko linakuwinda usiku na mchana maana hayo uyasemayo umelipiga mkuki kifuani gandamiza hivyohivyo tuko pamoja baba.
@RoseKimishabhalemi-oz9bn6 ай бұрын
Huyu padri wa wapi amejaa roho wa Mungu namna hiii!!
@josephlango55916 ай бұрын
Alikuwa Mwalimu Seminari ya Segerea lakini kwa sasa yuko Jimbo la Tabora
@paulfrancis18973 ай бұрын
Asante baba kwa mafundisho yako mazuri,umenifungua akili sana.MUNGU AKUBARIKI SANA
@alexmastila66046 ай бұрын
Farther kulwa nayakunali saana mafundisho yake
@ibrahimmwananjela52167 ай бұрын
Kama mafundosho yangekua yanatolewa hivyo kuanzia ngazi ya jumuiya wakatiriki tungekua nanidhamu katika kanisa
@LinathGodfrey5 ай бұрын
Mungu azidi kukutangulia na tuendelee kupata ukweli kupitia wewe
@ernestmatundiri23416 ай бұрын
Homilia ya hali ya juu kabisa kwani ekaristi takatifu ni ukombozi wetu
@violethbosha16667 ай бұрын
Kwani mkono wa kushoto siyo mkono? Basi ulimi tusiutumie
@PelicanPassion4 ай бұрын
kzbin.info/aero/PLLIq_8q2k3n_hlpbDg0xgBbSO-iTkDtDu&si=mVQJ_0Tv5oKo7DX_ Tazama link hii uone Muujiza mpya kabisa wa Ekaristi takatifu.