Hatua kwa Hatua Jinsi ya Kuunga Dreadlocks | Mwongozo Kamili wa Dreadlocks

  Рет қаралды 4,971

kiluvia Dread Locs TZ

kiluvia Dread Locs TZ

Күн бұрын

Пікірлер
@BonheurFilah-g3i
@BonheurFilah-g3i 20 күн бұрын
Kazi nzuri
@Kiluviadreadlocs
@Kiluviadreadlocs 20 күн бұрын
Asante sana
@MaulidyNindi
@MaulidyNindi Ай бұрын
Saf abdur
@Kiluviadreadlocs
@Kiluviadreadlocs Ай бұрын
Asante sana karibu sana
@zamdanamwenje9415
@zamdanamwenje9415 4 ай бұрын
Asante kaka nimejifunza kidoti kizuri
@Kiluviadreadlocs
@Kiluviadreadlocs 4 ай бұрын
Okay kazi zipo zinakuja zaidi ya hizo kaa mkao wa kula
@sabinapeter2375
@sabinapeter2375 4 ай бұрын
Naomba. Unifundishe kutunza dread. Asili
@Kiluviadreadlocs
@Kiluviadreadlocs 4 ай бұрын
Okay kitu cha kwanza kuzingatia ni kuwa na vitu vitatu muhimu sana kwenye dread ni shampo steaming na liquid oil
@ShaoEmanueli
@ShaoEmanueli 4 ай бұрын
Nami nataka kujifunza kutengeneza dred
@Kiluviadreadlocs
@Kiluviadreadlocs 4 ай бұрын
Endelea kutufatilia utakua unajua zaidi
@TinaNyevu-li3ji
@TinaNyevu-li3ji 3 ай бұрын
Nami nataka kujifunza kutengeneza dred
@Kiluviadreadlocs
@Kiluviadreadlocs 3 ай бұрын
Sawa karibu sana kujifunza
@ShaoEmanueli
@ShaoEmanueli 4 ай бұрын
Nami nataka kujifunza kutengeneza
@AnnaRajabu-t8i
@AnnaRajabu-t8i 2 күн бұрын
Kakasindano zadred zinapatikanawap
@Kiluviadreadlocs
@Kiluviadreadlocs 2 күн бұрын
Tunauza moja 5,000 karibu sana
@HildaLubi
@HildaLubi 4 ай бұрын
Sijaelewa hapo kwenye kuunga dred
@Kiluviadreadlocs
@Kiluviadreadlocs 4 ай бұрын
Sehemu gan hapo hujaelewa hebu ni fafanulie
@estherobed8693
@estherobed8693 4 ай бұрын
Unaunga kwa bei ngap na uko wap
@Kiluviadreadlocs
@Kiluviadreadlocs 4 ай бұрын
Tunaunga kwa 120,000 boss wangu tupo mlandizi pwan
@estherobed8693
@estherobed8693 4 ай бұрын
@@Kiluviadreadlocs dread zenu??
@kagolibundala
@kagolibundala 3 ай бұрын
Sijaelewa hatua iliyofuata nimeona nywele inabanwa. Sijaona ulivyozivuta na kung'aa hivyo
@Kiluviadreadlocs
@Kiluviadreadlocs 3 ай бұрын
Sawa tutaweka video nyingine ambayo utaona kila hatua lakin pia ukijaribu kufatilia vzr hizo video zingine natumain utaona kile unachohitaji zaidi
@ShaoEmanueli
@ShaoEmanueli 4 ай бұрын
Lazima nywele iwe Haina dawa
@Kiluviadreadlocs
@Kiluviadreadlocs 4 ай бұрын
Nywele yoyote tu unatengeneza dread
@ChristinaFredy-qw4fs
@ChristinaFredy-qw4fs Ай бұрын
Natak nitengeneze mnapatikan wapi
@Kiluviadreadlocs
@Kiluviadreadlocs Ай бұрын
@@ChristinaFredy-qw4fstupo mlandizi karibu sana
@ShaoEmanueli
@ShaoEmanueli 4 ай бұрын
Nami nataka kujifunza kutengeneza dred
@ShaoEmanueli
@ShaoEmanueli 4 ай бұрын
Nami nataka kujifunza kutengeneza dred
@ShaoEmanueli
@ShaoEmanueli 4 ай бұрын
Nami nataka kujifunza kutengeneza dred
@Kiluviadreadlocs
@Kiluviadreadlocs 4 ай бұрын
Sawa hakuna shida ww endelea kutufatilia utajifunza mambo mengi sana
Jinsi ya Kubana Style Fupi ya Dreadlocks | Mwongozo Kamili Mwanzo Mpaka Mwisho
5:04
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
Easy Technique / How to Style Symmetrical Loc Petals Bun
13:42
Martin Unix
Рет қаралды 128 М.
Jinsi ya  KUWEKA STEAMING |Inajaza na kukuza nywele
3:40
FARIDA OTHMAN
Рет қаралды 39 М.
Natural looking Crochet on a Pixie Cut (no glue)
15:17
InspiredGlittterGlam
Рет қаралды 6 М.
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН