Watu waachane na mama jimmy vile ako.ako sawa ...she' s a good mother and wife .Tunakupenda hivyo tu
@joybahati948Ай бұрын
Baba Jimmy jifunze ata ku like comments za watu for encouragement yawa ata sisi we need motivation ndo tuendelee ku comment anyway I love the consistency ❤❤
@BlissDiarie_sАй бұрын
😅😅😅😅
@susanlikokhe4361Ай бұрын
U are very true 😢😢😢😢
@seyianseyian1811Ай бұрын
Uliona mama jimmy ana drive wewe
@KENYANQUEENOFFICIALАй бұрын
@@susanlikokhe4361nipitieni guys
@annem8066Ай бұрын
Andika kwa imani wamesoma. Wacha obsession ya likes
@Janekarambu2973Ай бұрын
Mama Jimmy unashinda ukiambiwa na boy child vile wewe ni mu cutie na ata hausemi asante aki... Please ujue sio kawaida kuambiwa hivyo, ni neema ya Mungu, learn yo appreciate him in the open just like he tells you in the open how cute you are, love grows and so people need to grow it, love you people
@valentinemulamba3760Ай бұрын
This man really loves his family.
@susanakinyi626129 күн бұрын
This family has though me to appreciate life and not complicate it😊
@musokescovia9630Ай бұрын
The way East Africans are enjoying these two and their cute youngins eeehh 😊😊🙌🙌 may God open doors for them. I'm much older than them yet learning a lot about marriage from them. ❤❤❤
@jobmichaelweringa5951Ай бұрын
It's not am a luhyia but I just love vile hii family iko. If all families cld like hii dunia ingekua very peaceful place. Mimi yngu n kuwaombea Baraka na let God be ur way
@Mountain_BobcatАй бұрын
Good content ❤ Mungu awazidshie na baraka
@Winny0312Ай бұрын
I wish there would be morning, afternoon and evening or every hour videos from this or mama Jimmy's channel 😂 I would be watching back to back...
@IrenesConciergeАй бұрын
Very healthy content not the usual KZbin shenanigans.
@julietnjoroge2498Ай бұрын
They need a reality show
@mwakiosalim2914Ай бұрын
We mzungu unanibambako tu sana ata ckuizi niliacha kuangaliako movie nawaanfaliako tu ntinyi❤❤❤❤❤❤❤
@jessibaraza9238Ай бұрын
😂😂😂nipitieako aki kwa chancel yangu
@LillianeBwireАй бұрын
😂😂😂😂ii kiluyaswahili tawe bane!!
@LillianeBwireАй бұрын
Hiyo translation 😂😂
@chocolatevivian830Ай бұрын
Blessings ❤❤
@KENYANQUEENOFFICIALАй бұрын
@@LillianeBwirenipitieni guys
@florencemuendo2739Ай бұрын
Mambo, wewe ni mcutie😊❤
@themutindasfarmАй бұрын
Watching all your Ads 😊 Upcoming youtubers let's gather there ..we all winning 😊❤😊😊
@mercyme3841Ай бұрын
This place is beautiful ❤; I can't imagine the feeling of dining here.
@EuniceWambui-x3mАй бұрын
Ati nyamaza naomba😂😂😂
@dearlychar3063Ай бұрын
😂😂😂I'm wheezing .."niko naomba"
@itscharity95Ай бұрын
😂😂😂
@siphirahmote3109Ай бұрын
Napenda sana mkienda fishing. Very enjoyable.
@mwaitsisharn6088Ай бұрын
Mama chimmy is so beautiful 😍
@Carolyneadhiambo-e6lАй бұрын
Hii family imefanya niona kumbe bado kuna wazungu wazuri
@JulianaBettАй бұрын
😮😮😮😮😮😮😮😮8pupp6o8p6op6oo66ou7o6poop7o
@carolinenerima9023Ай бұрын
Wazungu ni wazuri tu kutoka kitambo, ndio maana sisi waafrica kama mtu ni mzuri tunasema yeye ni mzungu!
@KenyanmamaАй бұрын
Weee!! si wote wengine ni wanyama of course wenye hamwajui Mungu, but ukiolewa na mwenye ako anajua God and Jesus, utafurahi @@carolinenerima9023
@preachtheword-pastorsamАй бұрын
😂😂😂😂I just love Cynthia
@albertbonface2152Ай бұрын
Wow! Nice editing. The transition from closing the door to driving the car was 🔥
@BRAINWORKSFILMАй бұрын
lazima thermos ingetokea kwa video ...... atleast roho zetu za waluhya zimetulia😅😅😅❤💯
@stephenkariuki1531Ай бұрын
Channel growing everyday
@lenahmoyi3458Ай бұрын
Me i watch this channel judt because jimmy and Cynthia r funny and fun to watch
@ireneivongo9191Ай бұрын
I love this couple , the humility and the love 😊
@peterkaigai2011Ай бұрын
I love this family
@christine53596Ай бұрын
True and simple 😊
@queensgambit5496Ай бұрын
Beautiful people. Keep uploading. Tunawapenda.
@isaacsinoya5889Ай бұрын
Good family, this is really good.
@gracenjenga-br6uqАй бұрын
Mama jimmy unaangusha gal child kwa maombi I thought by now umeshazoea camera,kua kama baba jimmy he is not afraid of anything
@prittyad9256Ай бұрын
Wakona different personalities and that's okay, ata adjust pole pole at her own pace...
@Kanini1021Ай бұрын
@@prittyad9256yeah exactly. She’s just adjusting. Give her grace. It’s not easy!
@ZolufaMas-ie4unАй бұрын
Tuma wapenda sana ❤🎉🎉🎉🎉
@purityrare188422 күн бұрын
It's fun....Next time mtapata fish mingi
@ConceptaWafulaАй бұрын
Kwanzia leo niko huku kama taree. I love you guys
@phylismuchemi8585Ай бұрын
I’m obsessed with this channel.. nawapendako❤❤
@markkemboi5301Ай бұрын
Baba Jimmy wewe ni a true mukhwasi
@RaheliMollel-v3dАй бұрын
Nawapenda sana
@Miraclebeibie06Ай бұрын
Walai mnakaaga maisha tamuu😂❤❤❤ Nawapenda guys ❤❤❤
@Nancy-c2bАй бұрын
God has blessed you beyond measure
@Malova-l6yАй бұрын
Ambia akuna Jimmy nawapenda sana mmmwaaaah
@albinosundwa7243Ай бұрын
This away from town life is Soo fulfilling
@BeckyBlessed-fk9heАй бұрын
Niko naomba nyamasa😂😂😂😂,,nawapenda❤❤❤
@RahmaHashniАй бұрын
Mob love from kenya ❤❤ nipitieni pia guys
@LilianKiboiАй бұрын
Blessed family i love you my people
@ellielaine254Ай бұрын
Nipitieni please 😢 nitawapitia pia tugrow pamoja
@disneyland-wc3uuАй бұрын
😂😂baba jimmy..hujanawa mkono😂😂😂😂
@lucymuokalucymuoka1946Ай бұрын
Ile mahaba inakuaga na wafrika wakuojewa na wazugu.. Bona nyinyi akuagi nayo.. Kudekezana kila mahali mara kiss.... Enwai nawapeda sana
@jilmacsafaris53Ай бұрын
WOW LOVELY PARENTS AND KIDS CYNTHIA AND JIMMY!
@shirungati6098Ай бұрын
Mama Jimmy na baba Jimmy na watoto, Mimi nawapendako sana❤❤
@malaikaanglelique5988Ай бұрын
Please maman be like Rose mu chine she is living in the countryside but she is very happy and God bless their family now they are building huge house
@carolinekavata4259Ай бұрын
Ety baba jimmy Niko naomba nyamaza😂😂😂
@Bree-t-cАй бұрын
Mama jimmy:mimi siamini hii maji wallai Baba jimmy:(innocently)itabidi ty uamini😂
@antybabybintrashid2333Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 alaf ànacheka kando ya camera
@patriciamaya8199Ай бұрын
❤❤❤good family love and happiness I love your urcontent
@elynesaddy9878Ай бұрын
Mama jimmy ubebange food mingi,,na vile unapendwa aki
@AliceNyaga-z5nАй бұрын
anabeba kidogo sana hata haitoshi wanakuka yote na baba jimmy hakunywi chai hata watoto
@antybabybintrashid2333Ай бұрын
@@AliceNyaga-z5nI think anogopa ibaki atupe I have that habit sjui kwann 😂
@paulinekabui649Ай бұрын
Baba Jimmy munafaa next time mukienda kenya mucome na seeda za sukuma and mboga za kienyeji
@agnesnjuguna2428Ай бұрын
Kindly carry an accompaniement , Drinks especially, hiyo ngano si mzuri kavu
@shirungati6098Ай бұрын
Mbona unawatch movie half? Hukuona chai, ala!
@antonyonyango1092Ай бұрын
KAZI nzuri sana,napenda chanel yenyu.
@jackiesfoodАй бұрын
I love Cynthia's voice.❤
@Lucy-g5n9gАй бұрын
Wow adorable 😍
@MaryNdungu-w2rАй бұрын
Team napitia kila mtu mwenye atani pitia ☑️ let's go 🎉🎉
@MercyKhasiala-e7cАй бұрын
done kuja kwangu
@waithiraGАй бұрын
Done nipitie pia
@Diana_Kenya21 күн бұрын
Done nipitie pia
@ladiannehommy1865Ай бұрын
Next time ba jimmy simamisha gari kado tu kiasi then omba ,,maoni tu yangu nawapenda sana be blessed.
@esthertula9388Ай бұрын
This channel has become therapeutic❤ thank you
@anotherintrospekt6596Ай бұрын
Baba Jimiiii 😂😂😂👍🏾👍🏾👍🏾👍🏾
@Makaveli-1960Ай бұрын
Mama chimy chunga mshipi isikunyonge buana We love you guys
@lillianatieno4119Ай бұрын
Aki nawapenda na ni nn ilifanyika wazungu wakachuako tu hi kiswahili ya walruya hivi surely 😂😂 anyway God bless your family baba Jimmy
@BrianWanjala-fd9zpАй бұрын
Congratulations 🎉🎉
@dandee7414Ай бұрын
Beautiful kids. They have a lot of energy
@esthernzisah3792Ай бұрын
Liwe liwalo😂
@happinessmariki7463Ай бұрын
A 🇹🇿. Nimefurahi kusikia KAZI IENDELEE. Kauli mbiu ya ma yetu kipenzi, MM SAMIA.
@FaithCheАй бұрын
Cynthia my favorite ❤❤❤
@OchandaMagdalinemusicАй бұрын
Wow nice family 👪 👏
@AliceNyaga-z5nАй бұрын
MAMA Jimmy usifunge masikio ndio unasikia😂 vizuri. Toa masikio nje after kitabaa 😂
@minayojane4449Ай бұрын
Cynthia anapenda the ping one
@josykitua505Ай бұрын
Liwe liwalo mugu diye atulindeko😂😂😂mnanibaba hata waiguru unicheka nikiwatch😂😂🇸🇦
@chocolatevivian830Ай бұрын
Blessings ❤❤
@NiahSuleiman-tq7deАй бұрын
New subscriber🎉❤
@agnetaawino3006Ай бұрын
Mama Jimmy unaglow ❤
@MaximillanMatuliАй бұрын
Nipitie nikupitie pia ❤
@BrendaMucheraАй бұрын
Leo tumetokamo nill😂😂😂
@neemam7977Ай бұрын
Mama Jimmy seems to not enjoy recording videos on baba Jimmy's channel. In her channel she very outspoken and all but in this channel she seems very reserved.
@razoajewelsАй бұрын
I noticed that and thought she should be supportive on his channel too. She rarely smiles on baba Jimmy's channel but very bubbly on her channel
@sofiasaid3260Ай бұрын
Well noticed.
@DANKINDATRAVELLERАй бұрын
@@razoajewels its nature of women from western Kenya. Lazima sauti ya mzee ikuwe juu
@OfficialHuddartАй бұрын
@@DANKINDATRAVELLERExactly bana and this people are trying to create a scene
@carolinam8499Ай бұрын
I always see it as a respect, she is letting her man be a man
@DeniseQahtaniАй бұрын
Amena mugu ape samage
@carolynewanjiku5607Ай бұрын
Finally i get to see cynthia on pants😂mama Jimmy can also put on some fr such out activities as long as its decent
@WinnsBondАй бұрын
Mama nipeeeko igine😂😂aki chimmy
@linetkhavugwi209Ай бұрын
Mama Jimmy na kikombe ya lisuvira 😅😅😅
@allyk592729 күн бұрын
Kids aalready wanaongea na mapua na me nmekaa huku Miaka na Whuue😂
@AbigaelMisigo-id5cmАй бұрын
Paaaas the chimmys' wanatsitsako kushikako samaki
@ErikaWanyonyiАй бұрын
Cynthia anaongea kama auntie's wake
@Victoriouslucky-lz6wcАй бұрын
Kwa wale mnakozoa kozoa mama Jimmy,she is Isiah's type not your type
@EmanuelMakioАй бұрын
Aki mama Jimmy ukikuja Kenya nikujieko na hio kikombe ya chai
@SaidaMohamed-jc5zkАй бұрын
Beautiful 😍 family🎉❤
@carolynekamotho5738Ай бұрын
Mama Jimmy mtu haulizangi mume wake anakula ngapi,mpe mingi ashibe....
@Makaveli-1960Ай бұрын
Hamchelewangi
@Janekarambu2973Ай бұрын
Sioni shida ya kuuliza especially if your husband is your friend, hakuna haja ya kutengeneza chakula mingi ya ku waste
@KENYANQUEENOFFICIALАй бұрын
@@Janekarambu2973nipitieni
@amorweke8418Ай бұрын
I love this energy 😂. Have been smiling all through ❤
@IrenesConciergeАй бұрын
Hii ndio authentic life, no money spent . Picnic plus breakfast and fishing.
@AliceNyaga-z5nАй бұрын
Kwani chai ni kikombe kimoja ya mama jimmy tu
@blackylampard640Ай бұрын
Keep grinding guys
@disneyland-wc3uuАй бұрын
Mama jimmy ana shy kuomba😂😂😂
@ekpeterson3206Ай бұрын
Mlikaa tu wafuasi wa yesu but mngeita yesu awaonyeshe mahali mtashusha nyavu zenu Hahaha
@matishomateso4639Ай бұрын
toka nimeolewa namme wangu ajawahi kuniabiya mimi nimzuri sijuwi wa Africa wanafeli wapi😂
@revzainabministries.2646Ай бұрын
I'm happy the kids are now speaking English 😅
@tm572Ай бұрын
Aki nawapenda❤❤
@MaximillanMatuliАй бұрын
Tm❤ nipitie nikupitie pia
@HarrySongaАй бұрын
Guys are you still in Kenya we need to see those tall building
@DANKINDATRAVELLERАй бұрын
Ati mlitoka nil hahahahaa
@JnatJaaaАй бұрын
huo mkono usiutumie kwa kulilia kitu haifai bbJimmy