Hongera mheshimiwa kwa kutambua mchango wa walimu wako wadau wote tunalo la kujifunza
@barakaabel482 Жыл бұрын
Safi kabisa! Kwa kutambua mchango wa walimu! Hakika Mwalimu ni kiungo muhimu sana katika jamii
@DanielSinavangi Жыл бұрын
Inapendeza Sana kuwakumbuka watu muhim katika maisha yako🙏
@AbdullatifMbago-cn3pc Жыл бұрын
Bado nina Imani kubwa sana na wasukukuma juu yakuongoza hii nchi
@jonasmbala1326 Жыл бұрын
Huo ndio uongozi bora kuwatambua waliokufikisha hapo ulipo Barikiwa sanaa
@abdirizakibrahim1975 Жыл бұрын
Mimi nimemuona kijana Huyu na wengine wachache ni wazalendo wa kweli katika Taifa letu hawa wakipa matarala makubwa hawa iiiiiii ujanja ujanja kwishaaaa panya wote watarudi mashimoni
@Abdul-s6c Жыл бұрын
Duh..For sure. Tulipiga soda nyingi pale
@shungumwaisanila7193 Жыл бұрын
Safi sana Muheshimiwa
@MohamedMbaraka-b2d Жыл бұрын
Wakwanza nipe like zangu
@VotanVotan-gb3hd Жыл бұрын
Heshima Yako
@YulithaYoram5 ай бұрын
Hii siku nilihudhuria kwenda kumuangalia Christian bella siku hiyo alikuwepo😅
@Abdul-s6c Жыл бұрын
Lister man..nakumbuka alikukabidhi mashine Abel Gwaharage.
@Abdul-s6c Жыл бұрын
Mate umepiga mwingi. Muhangwa kazeeka.
@richardhosea8827 Жыл бұрын
Nshomile hafanyagi kosa hiyo zawadi wazee wenzake kijijini watamkoma
@bajagihaji8923 Жыл бұрын
Kiongozi umetenda wema kwa hiyo zawadi
@yusufmohamed8874 Жыл бұрын
Bodyguard
@johnsteven8528 Жыл бұрын
Tuambieni kuhusu katiba nasiyo kupongeza
@nyembobea7285 Жыл бұрын
Ukiambiwa ndo utamaliza matatizo yako au agenda yako madaraka nachuki dhidi ya ccm