HAYA HAPA MAGOLI YOTE 31 TULIYOFUNGA MZUNGUKO WA KWANZA LIGI KUU YA NBC 2024/25

  Рет қаралды 168,357

Simba SC Tanzania

Simba SC Tanzania

Күн бұрын

SUBSCRIBE NOW:
🌐 Site: simbasc.co.tz/
📱 App Store - apps.apple.com...
📱 Play Store - play.google.co...
🔵 Facebook: / simbatanzania
📸 Instagram: / simbasctanzania
𝕏 Twitter: / simbasctanzania
🎶 Tiktok: / simbascofficial
About the Official Simba SC KZbin Channel:
Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi

Пікірлер: 149
@HalimaismailySaid
@HalimaismailySaid Ай бұрын
Ubaya ubwela inshaallah mungu atusaidie mwaka huu ubigwa uwe kwetu mungu tenda miujiza yako wana simba tunakuomba kwa pamoja❤
@HamzamashakaMashaka
@HamzamashakaMashaka Ай бұрын
❤❤
@ZumrahIdrissa-j6l
@ZumrahIdrissa-j6l Ай бұрын
Amiiin
@AbdallahPeter-b4s
@AbdallahPeter-b4s Ай бұрын
Amin
@AnthonyNyanda
@AnthonyNyanda Ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏🖐️🙌🤚👏
@iddiramadhan
@iddiramadhan Ай бұрын
Amiinna Rabillah Allah miinnah 🤲
@ChristopherMwandoba
@ChristopherMwandoba Ай бұрын
SIMBA SPORTS CLUB BINGWA MSIMU HUU ❤️❤️❤️❤️ UBAYA UBWELA 🔥🔥🔥🔥🔥
@SalmaSalmaissaissa
@SalmaSalmaissaissa Ай бұрын
Naombeni kuuliza ili tuwe bigwa inabidi tuwe na point ngapi
@FAUSTINAULEDI-ln5fi
@FAUSTINAULEDI-ln5fi Ай бұрын
​@@SalmaSalmaissaissa74 kama sijakosea
@Noooonat-o5s
@Noooonat-o5s Ай бұрын
​@@SalmaSalmaissaissaKuwa bingwa inabidi tuwe na point nyingi kushinda timu nyingine yoyote mpaka ligi inaisha.Hakuna idadi maalum ya point
@PiethaAdroniko
@PiethaAdroniko 27 күн бұрын
😮
@bashirumkoloka2482
@bashirumkoloka2482 Ай бұрын
I love you simba sports club ❤❤
@KastaniManjaule
@KastaniManjaule Ай бұрын
A simple meaning of Ubaya UBWELA, Simba nguvu Moja Haya magoli NI zawadi ya Happy New year 🎉
@Abuushaymaatz
@Abuushaymaatz Ай бұрын
Wale mlio kuwa mna mchukia Mkwala na kumuona wa kawaida, angalia vzr moments za magoli yote
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 Ай бұрын
ubaya ubwelaaa❤❤❤❤❤❤ naipenda sana simba yanguu
@angazashalohanga6114
@angazashalohanga6114 Ай бұрын
Daah Digital platform mmetisha kwa hili..mmefanya ubunifu mkubwa sana kuweka magoli yote yaliyofungwa mzunguko wa kwanza..Big up Admin 🔥
@SabraSabraabeid128
@SabraSabraabeid128 Ай бұрын
simba bingwa❤❤❤
@elibarikjapheti1760
@elibarikjapheti1760 Ай бұрын
15 down 15 to go
@C0405-x4j
@C0405-x4j Ай бұрын
Ubaya Ubwela 🦁💪
@DaudTereja
@DaudTereja Ай бұрын
Tunajivunia Kwa na simba hiii
@HarunGamal
@HarunGamal Ай бұрын
we i'll never walk alone
@Minjum-j5m
@Minjum-j5m Ай бұрын
Na m.mungu tufanye tena vzur msimu wa pili utakaoanzaaa 2025 inshaallah❤
@IsakaLwinga
@IsakaLwinga 8 күн бұрын
Ubaya ubwela; Simba nguvu moja 🦁💪💪💪
@pascowapili6087
@pascowapili6087 Ай бұрын
Ubaya ubwela simba nguvu moja
@SharifaNgulipa
@SharifaNgulipa Ай бұрын
simba nguvu moja
@ZaiLisa-c2h
@ZaiLisa-c2h Ай бұрын
Hapa Bado tu kupewa kombe ubaya ubwelaaa Simba nguvu mojaaaa 🦁🦁🦁🦁
@Benzeema_graphics
@Benzeema_graphics Ай бұрын
Na bado tunatengeneza timu 🎉
@yukapagospelsinger2280
@yukapagospelsinger2280 Ай бұрын
Goli la mechi ya mashujaa linahisia Kali Hadi machozi
@JackMsuya-j6q
@JackMsuya-j6q 29 күн бұрын
Kaka umeonaee ht mm linanitoaga 😢😢
@Izackfanuel
@Izackfanuel Ай бұрын
Ubaya ubwela hadi raha
@HellenGadiy
@HellenGadiy Ай бұрын
❤❤❤ hii ndo Simba yetu
@JuliasMasawe
@JuliasMasawe Ай бұрын
God blessing my Simba team
@Minjum-j5m
@Minjum-j5m Ай бұрын
Love youuuu my team Simba sports club❤❤❤❤❤
@marthamsacky6973
@marthamsacky6973 Ай бұрын
Asante Mungu kwa Mema yako ❤❤
@MpokiDonard
@MpokiDonard Ай бұрын
Simba raha sana .I love you SIMBA
@lvdimpozdacute7739
@lvdimpozdacute7739 Ай бұрын
Mungu atujalie tuchukue kombe msimu huu🎉🎉
@HusseinAdamu-m8x
@HusseinAdamu-m8x Ай бұрын
hatariiiiii
@franccoz94
@franccoz94 Ай бұрын
GOD BLESS SIMBA SC
@EGM-TZ
@EGM-TZ Ай бұрын
From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Guys 🎉🎉🎉🎉
@ZilaboAmbonisye
@ZilaboAmbonisye Ай бұрын
Noma sana🦁Nguvu moja
@MahaSaeed-hf3gs
@MahaSaeed-hf3gs Ай бұрын
Hatariiii na nusuuuuu ndo ubaya ubwelaaaaaa 😅😅😅😅😅😅 wengiiii wanaumia jinsi tunavyopigwa na baridi huku juuu😊😊😊😊😊😊
@BetsonDickson
@BetsonDickson Ай бұрын
The bad is coming again Simba nguvu moja 🦁💪💪
@fizzoh.update_tv
@fizzoh.update_tv Ай бұрын
#UBAYA UBWELA
@PhilibertMchina
@PhilibertMchina Ай бұрын
I love simba ubaya ubwela
@EsterMbawala-u6k
@EsterMbawala-u6k Ай бұрын
Simba is best ❤❤❤❤❤❤😅
@Officialbugah25
@Officialbugah25 Ай бұрын
❤❤❤❤😅❤❤❤❤😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@abeydalsherawjralsherawjr1672
@abeydalsherawjralsherawjr1672 Күн бұрын
Ubaya Ubwela 🔥 wakikatili sana mwaka huu Simba bingwaaaaa
@hadijamaiga948
@hadijamaiga948 Ай бұрын
Mi naangalia uku natabasam tu🦁🦁
@ZIGUAGIANT
@ZIGUAGIANT 22 күн бұрын
Ahoua ni fundi wa penalty! 🙌🙌🙌
@innocenthaulee
@innocenthaulee Ай бұрын
Ubaya ubwela❤
@HabibuMbilu-g7k
@HabibuMbilu-g7k Ай бұрын
Ubaya ubwela
@ShadadiAmri-e6c
@ShadadiAmri-e6c Ай бұрын
Ee Mola 2jaalie Simba 2pate kuchukua kombe msimu huu kwa uwezo wako najua 2tashinda2 akuna kinacho kushinda mola we2 inshallah SIMBA nguvu MOJA UBAYA UBWERA
@ismaahofficialmedia943
@ismaahofficialmedia943 Ай бұрын
❤ simba
@saidmiraaj9579
@saidmiraaj9579 Ай бұрын
Naomba pia andaeni yale yaliyopaswa kuwa magoli tukanyimwa kadhalika na zilizopaswa kuwa penalty tukanyimwa ili watu waweze kuona lau isingelikuwa maamuzi ya marefarii tungelikuwa mbali zaidi.
@MethodMagowa-p7d
@MethodMagowa-p7d Ай бұрын
Simba Sc 🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁💪 Ubaya Ubwelaaaaa....!!!! Sisi tunatamba tu mjini
@MagrethEmmanuell
@MagrethEmmanuell Ай бұрын
Haikua rahs Simba kuimarika tena Asante MO
@KisiwaKhalid-m5y
@KisiwaKhalid-m5y Ай бұрын
Ubaya ubwelaaaaa Asante mungu kwakutufikisha mpaka apa tulipo natunaomba tuendelee tulipo ishia duu la kwanza
@macheakelefu4685
@macheakelefu4685 Ай бұрын
❤❤❤❤❤
@MohammedySaidy-m8x
@MohammedySaidy-m8x Ай бұрын
Simba ❤
@bukayosaka-qr8oc
@bukayosaka-qr8oc Ай бұрын
Lile goli la ngoma vs kagera alionyesha mkono, Mpka leo najiulizaga alijuaje kuwa tutashinda tano????
@MahaSaeed-hf3gs
@MahaSaeed-hf3gs Ай бұрын
Hata mm
@KhadijaYahya-f6b
@KhadijaYahya-f6b Ай бұрын
Alikuwa na maono ya kupiga 5 dhidi ya kagera
@joycesamweli1219
@joycesamweli1219 Ай бұрын
Kila mtu ana maono kwenye kazi yake
@ElishaJastin
@ElishaJastin Ай бұрын
ubaya ubwela
@ImaNmweli
@ImaNmweli Ай бұрын
Naiombea simba yangu ichukue ubingwa
@saidasaidy7711
@saidasaidy7711 Ай бұрын
Inshallah
@EliudObeth-h1g
@EliudObeth-h1g Ай бұрын
Ubayaaaaa ubwelaaaaaa
@EnathaEmily
@EnathaEmily Ай бұрын
Ubayaaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉ubwelaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤simba nguvuuu mojaaaa❤❤❤❤
@MTEMELUSAKANYAESPOIRE
@MTEMELUSAKANYAESPOIRE Ай бұрын
Ubaya ubwela ushindi kwetu Happy New year
@renatuskusekwa1192
@renatuskusekwa1192 Ай бұрын
Happy new year Simba SC,
@MarikJuma
@MarikJuma 8 күн бұрын
UBAYA UBWELA🔥🔥🔥
@King_Shark360
@King_Shark360 Ай бұрын
Ni nzuri ungeweka na number za magori ila congratulations 🎉🎉 alf tutafutie save za pin pin camara bro
@NicolausJumanne-e6v
@NicolausJumanne-e6v Ай бұрын
Amina sana Simba 🎉❤😅
@J4Mnyama26
@J4Mnyama26 Ай бұрын
Naipenda simba
@Mohd-wl1tc
@Mohd-wl1tc Ай бұрын
Simb nguvu moja simba ulaya pasi milioni
@Irene-i6r
@Irene-i6r Ай бұрын
I love you simba
@JanethB-w7n
@JanethB-w7n Ай бұрын
Nguvu Moja🥰🦁
@PaulPeter-nk5ss
@PaulPeter-nk5ss Ай бұрын
waheshimisha nchi ❤❤❤
@neemamjema1067
@neemamjema1067 15 күн бұрын
Mnyama❤❤❤❤
@becude5046
@becude5046 11 күн бұрын
Wanasimbaaaaaaa❤❤🎉😂😅😮😢
@simonmadiba2053
@simonmadiba2053 10 күн бұрын
Simbaaaaa nguvuuuuu mojaaààaaaa
@biancabelair8394
@biancabelair8394 Ай бұрын
Kilelen mpaka ubingwa upatikane ubaya ubwela💪❤️
@Mateso-g6v
@Mateso-g6v Ай бұрын
Simba nguvu moja
@amanizo96
@amanizo96 Ай бұрын
Tume anza na mungu 🙏 tutamaliza na mungu
@GodfreyMoshi-j9e
@GodfreyMoshi-j9e Ай бұрын
Kila.lenye heri my team forever nguvu mojaa
@HusnaSalumu-m7v
@HusnaSalumu-m7v Ай бұрын
Tunajivunia kuwa na simba
@salimdibundile4872
@salimdibundile4872 6 күн бұрын
Admin umenifurahisha sana Umepiga za CAFCC na NBCPL Nna bustani nzima ya kukupa maua yako admin
@Diogenes_talented_generation
@Diogenes_talented_generation Ай бұрын
Mmejua kutufurahisha hakika
@Seif-f4j
@Seif-f4j 12 күн бұрын
Huu mwaka watajutia sana tumekuja kivingine ubaya ubwela atakaekuja mbele yetu ameumia Sisi ndo ubaya ubwela😂😂😂😂😂😂😂😂😂 I love you simba sports club❤❤❤❤❤
@AndrewAristaricko
@AndrewAristaricko Ай бұрын
Ubayaaa ubwex❤
@HusseinHussein-j1n
@HusseinHussein-j1n Ай бұрын
Kuanzia mechi ya tarehe 5 ni ushindi mpaka watasema
@DanielChaula
@DanielChaula 7 күн бұрын
God is good
@josephvenus3259
@josephvenus3259 Ай бұрын
Ubaya Ubwela🎉🎉🎉
@becude5046
@becude5046 Ай бұрын
Kabisha
@emmanueldaniely6544
@emmanueldaniely6544 Ай бұрын
Mnyama mkali kwenye level zake
@JoshuaRaymos
@JoshuaRaymos Ай бұрын
Msimu ujao wapinzan watakoma
@RamadhanMohd-q8l
@RamadhanMohd-q8l Ай бұрын
Ni ubaya ubwela
@charleznicholas416
@charleznicholas416 Ай бұрын
Kwa hii Tabora,,, nyuma mwiko walipakatwa apa 😂😂😂
@hamzarobert2372
@hamzarobert2372 6 күн бұрын
Munajilamba tu wenyewe tarehe 8 sio mbali😂
@buzakwaya255
@buzakwaya255 Ай бұрын
nomaaaa
@becude5046
@becude5046 Ай бұрын
Myama anaguruma wanasibaaaaa
@FatherLoggo-i9i
@FatherLoggo-i9i Ай бұрын
ila cmba ina fans yan hu mzgo umeopstwa cy mda mrfu ila vws sas
@cosmasbasili
@cosmasbasili Ай бұрын
Jamaica huyu Ahoua anajua kupiga sana penati
@AminaAbdallah-s9d
@AminaAbdallah-s9d Ай бұрын
Ni kushenyenta tu 😂 Simba ubaya ubwela ubingwa uleeeee.............🎉
@jrsingham
@jrsingham 12 күн бұрын
Wazee wa mapigo na mwendo hatimae wanapigwa huku wanakwenda😂😂
@joycesamweli1219
@joycesamweli1219 Ай бұрын
Hapo kwenye mechi ya Dodoma kocha wao alilalimika kafungwa goli nne anaona sawa tu
@thehustlerafrica
@thehustlerafrica Ай бұрын
Goli dhidi ya mashujaa nililia sana Kwa furaha😢😢
@ucsrukwa
@ucsrukwa 19 күн бұрын
Aiseee ni ududu
@ShukuruMakoko
@ShukuruMakoko Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@JustinSamson-h1c
@JustinSamson-h1c Ай бұрын
✌️ubay ubwela2
@MwagulaMaikoMwagulaMaiko
@MwagulaMaikoMwagulaMaiko Ай бұрын
🤞🤞
@OmarAli-m4x
@OmarAli-m4x Ай бұрын
Nikumbushe ngoma asije aka achwa viongozi mnasikia
@JacksonSwai-jo3ok
@JacksonSwai-jo3ok Ай бұрын
Chaajabu penati zote na nyingi amna ata 1 iliye kosa kwenye wapigaji 😢
@joycesamweli1219
@joycesamweli1219 Ай бұрын
Ngoma kashasaini mkataba miaka 2
@macheakelefu4685
@macheakelefu4685 Ай бұрын
Dodoma wanalalamika penat halal ya Simba ila ile ya uto 😅😅😅😅😅
@harrycombat7669
@harrycombat7669 Ай бұрын
kunakitu kidogo simba mnafeli anaye husika na ku upload hizi video anitafute
Murottal Anak Juz 29 - Riko The Series (Qur'an Recitation for Kids)
1:23:07
Riko The Series
Рет қаралды 5 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
BoBoiBoy Movie 2™️ | WITH NEW SECRET ENDING!
1:59:30
Monsta
Рет қаралды 127 МЛН