SubhanaAllah yani hata hamna hofu ya Allah masheikh wanatupa mwelekeo na darsa kuhusu dini na kuwahurumia ndugu zetu walioko kwenye vita kisha nyinyi mwaleta ubishi na kejeli tumuogope Allah jamani na tuiogope siku ambayo tutarejea kwake waislamu
@nelson-cd7fr21 күн бұрын
Allahu Akbar Masha Allah sheikh Bahero maneno ya busara hayo jazzakallahu kheir
@AlidKijanaa23 күн бұрын
اللهم أعز الإسلام والمسلمين
@zanzibaronlytv347021 күн бұрын
Alhamdulilah kuwa salafy na nikajiweka mbali na masheikh waongo watu wa maandamano ,
@sakinasakku834021 күн бұрын
MAASHAA ALLAH
@Muislamu22 күн бұрын
يوشَكُ hata hadithi hujui kusoma kk kisha waongelea dini ...kasome kijana
@abulhanifah25420 күн бұрын
Mahizbi mna tabu sana, fikra za ki khawarij ndo mwaeneza kwa Waislamu, muogopeni Allah .Badala ya kuhukuma mambo ki elimu hamasa ndo mnejaza vifuani vyenu.
@Muislamu22 күн бұрын
Hayo ni meneno yenu wala nyinyi sio wasomi wala hamuwakilishi wasomi ...ni msomi wa sheria kutoka wapi ? Sheria hio uliisoma wapi ?