HAYA NDIO MAUQIFU YETU (FINAL)🎙️ SHEIKH ABUU KHAWLAH MBWANA ABDI حفظه اللـه تعالـى

  Рет қаралды 3,219

ABUU RUWAYDA Tv

ABUU RUWAYDA Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 47
@abuuruwaydatvTz
@abuuruwaydatvTz 10 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/bJSxpomvjc9-aaM&si=_d20bPQjsHDNpYQM
@bashiromary4897
@bashiromary4897 10 ай бұрын
Nimesikia kidogo tu nimeelewa kwanzia leo jibu ninalo
@Husein-v7i
@Husein-v7i 7 ай бұрын
Shekh wetu abuu haula allah akuhifadhi ndugu yetu kwajambo unalo fanya
@Rajabu-g4v
@Rajabu-g4v 9 ай бұрын
Allah aisimamishe dawwa ssalafiya ipae ,, (hiii dini sio ya babu zenu) nimeipenda
@khamisali5978
@khamisali5978 7 ай бұрын
Aamin
@samirrubeya2379
@samirrubeya2379 6 ай бұрын
Jazakallah kheir Abu Khaula. Ibarik fik
@TWAHIRUMUSTAFABAKARI
@TWAHIRUMUSTAFABAKARI 10 ай бұрын
Acha kelele mkimchukia anaempenda mtume mmemchukia mtume
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 9 ай бұрын
Anampenda kweli mtume hawezi kumsingizia uwongo masufi acheni uwongo
@yussufhamad3721
@yussufhamad3721 9 ай бұрын
Jaman kwan hukohuko jikon anakoongea tuseme walokobarazani hamusikii ama vp mtafutieni japo mtoto mwezake amjibu maana she mziwanda ALLAH amuongoze ni shekhe kubwa hawezi kumjibu kijana alomaliza thanawi
@TWAHIRUMUSTAFABAKARI
@TWAHIRUMUSTAFABAKARI 10 ай бұрын
Allah akuhurumie
@abdalahhasani6855
@abdalahhasani6855 10 ай бұрын
we we jitokeze acha kelele
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 9 ай бұрын
Wanaotoa mafundisho ya uwongo uwongo kama mziwada hawa ndio wanaoharibu uislam na kuwapoteza wenzao
@Rajabu-g4v
@Rajabu-g4v 9 ай бұрын
Mziwanda nakukubali lakini ifate hak uyu abuu khoula anafundisha c mshabiki, mziwanda njoo kwenye Sunna ww una elimu usiambukizwe bidiaa
@AndulHida-hs5py
@AndulHida-hs5py 10 ай бұрын
Wakati wewe unatumia nguvu nyingi kukosoa waislam wenzako, Wale wasiyowaislam wanapita hapa, hapa kuuangamiza waislam jiangalie sana,
@TWAHIRUMUSTAFABAKARI
@TWAHIRUMUSTAFABAKARI 10 ай бұрын
Jitokezeni sasa
@ABUUAMINAABDALLAH
@ABUUAMINAABDALLAH 10 ай бұрын
Alhamdulillah tumeipata haki hii ndio dini isiyo na shaka manhaj salafi haifichi kitu inaibainisha haki kwa dalili Allah walipe, wahifadhi mashekh kama hawa wape umli mrefu wenye manufaa Mziwanda ingia darasani usome haki tumeijua kwa haki ya Allah uislam ni dalili na dalili ni Qur'an na hadith usilete akili yako mbovu kwenye haki ya uislam Allah akuongoze kwe haki usarafi raha sana ni dalili tu Qur'an na hadith na ufahamu wa wema waliotangulia Allah akuhifadhi sheikh khawla tunakupenda kwa ajili ya Allah
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 9 ай бұрын
Bidaa ni iugonjwa wanaokuwa nao watu wasiotaka HAKI km ziwada wale wasiojuwa chochote km wanaomsikiiza
@TWAHIRUMUSTAFABAKARI
@TWAHIRUMUSTAFABAKARI 10 ай бұрын
Napendekeza kama wew hupendi kuonekana picha yako usinukuu taswira ya mtu
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 9 ай бұрын
Masufi semeni kwel ..mahabasha wakitingisha mabega au wakicheze kwa ngao na mishale ?
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 9 ай бұрын
Sisi hatuhitaji picha tunataka ukweli HAKI ilyothibitikwa mtume na sio picha haisaidii
@TWAHIRUMUSTAFABAKARI
@TWAHIRUMUSTAFABAKARI 10 ай бұрын
Wewe umejificha Huna hoja Abu khawla hata Mimi ninakuweza
@mwanamvuajamali8215
@mwanamvuajamali8215 10 ай бұрын
Masufi kwa kupindisha mambo usipokuwa makini wanakupoteza
@issaiddy-t2d
@issaiddy-t2d 10 ай бұрын
Umepewaa namba shekh mbn unaliaa ukiwa mbali
@alhajisingano6590
@alhajisingano6590 10 ай бұрын
Tunahitaji majibu namba ss wenyewe tunazo hatuzihitaji, Leteni hoja zenu kama kweli mpo kwenye hakki
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 10 ай бұрын
جزاك الله خيرا يا شيخنا أبو خولة، لقد قمت بعمل جيد جدا، في توضيح هؤلاء الضالين و ضللاتهم، خاصة هذا الرجل كذاب ملبس منحرف و الضال(مزوندى)،،،، و أسأل الله أن يحفظك بصحة وأن يزيدك علما حتى تستمر في الدفاع عن المنهج الرسول صلى الله عليه وسلم
@muhamadberhe
@muhamadberhe 10 ай бұрын
آمين
@ABUUAMINAABDALLAH
@ABUUAMINAABDALLAH 10 ай бұрын
Allahumma Amiin thumma Amiin
@bashiromary4897
@bashiromary4897 10 ай бұрын
Aamiin ya Rabbi
@TWAHIRUMUSTAFABAKARI
@TWAHIRUMUSTAFABAKARI 10 ай бұрын
Tafuteni hoja
@tanzaniaonmzamiloon8627
@tanzaniaonmzamiloon8627 10 ай бұрын
Acha kelele mtafute tujue kweli unaelim
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 10 ай бұрын
Hatuna elimu lkn ujumbe ushakufikia
@Ruduud-kwa-watu-wa-bidaa
@Ruduud-kwa-watu-wa-bidaa 10 ай бұрын
Kazi mnayo
@abudardaiasaa7700
@abudardaiasaa7700 10 ай бұрын
Hamuez mijadala musitafuten balaa makhuraf musione watu wanakataa mkaon munaogopewa
@tanzaniaonmzamiloon8627
@tanzaniaonmzamiloon8627 10 ай бұрын
@@abudardaiasaa7700 kama hatuwezi mbona kimya mnapiga kelele mitandooni tu na namba mmepewa? Niishara tosho hamna uwezo nimikelele tu ndo maana sio kila clip ujibiwe kwasababu sio kawaida ya Simba kumjibu mbwa akibweka kama nikidume anajiamini kielim amtafute na arekodi mazungumzo walizungumza kwajili ya niqashi sio kelele chumbani
@abuujuhaima5588
@abuujuhaima5588 10 ай бұрын
​@@abudardaiasaa7700Hii mijadala tushafanya sana na Shekh wako mziwanda anaujua sana ukweli sema kinachomfanya ang'ang'ane kwenye upotovu ni maslahi ya kidunia na matamanio ya nafsi
@MohammedShehe-x8p
@MohammedShehe-x8p 10 ай бұрын
Weeee kijana upewe jina lipi kati ya haya (mpumbavu au mjinga)) iyo akili yako kweli haipo salama.. Unaita kelele izo mbn umezisikiliza. Zindukeni
@IslamAhmed-xd5my
@IslamAhmed-xd5my 9 ай бұрын
Kuna Jama mjo Sudan alikua mchawi alipta vp Kua mchawi alikua Na mjomba yake alikua Sufi akamwabia ukita Kua Wali Kaa ndani ya nyumba siku arubaini atawadhe Na mkojo Na Kainao siku arubaini kisha akatokewa Na jinni kasema Kwa anzia Leo ww Ni Wali huyo Jama sihi kasilimu Tena kaipata wapi kutoka mjaba yake Sufi kaeleza mwenyewe masufi Ni kama mapasta Na Ni washirikina
@abdalahhasani6855
@abdalahhasani6855 10 ай бұрын
we we jitokeze acha kelele
ТВОИ РОДИТЕЛИ И ЧЕЛОВЕК ПАУК 😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 6 МЛН
Real Man relocate to Remote Controlled Car 👨🏻➡️🚙🕹️ #builderc
00:24
Ghurabaa ni Nani? -Abu Khawlah Mbwana Abdi - 1
1:34:44
Abu Musw'ab
Рет қаралды 1,1 М.
MUHADHARA | NASAHA ZA WAZI NO 02 ( B ) - SHEIKH ABUU MUAWIYA HASSAN AWADHI
30:53
MUNAQASHA ULIOWAFUNGUA WATU MACHO- SHEIKH. MUHAMMAD BACHU MOMBASA 24/9/2023
2:54:48
SHEIKH MUHAMMAD IS'HAKA AWARIPUA WATU WA TWARIQA
1:24:46
AL MUBAJJAL TV
Рет қаралды 24 М.