HELENA CHIZI MAPENZI - PART 02 [ MWISHO ]

  Рет қаралды 30,734

Ankojay Simulizi

Ankojay Simulizi

Күн бұрын

Пікірлер: 209
@fatmahmkuzi
@fatmahmkuzi 11 ай бұрын
Simulizi tam sana aki jamani mapezi haya asate Ankojay asate kwa kazi zuri🎉🎉🎉🎉🎉
@Winniequinepretty-wm7rr
@Winniequinepretty-wm7rr 10 ай бұрын
Daaaah inasikitisha sana iseeeee Helena pole sana Mungu akutangulie
@WardaSalimu-i4q
@WardaSalimu-i4q Жыл бұрын
Jamani ankojay 😊🎉🎉🎉 anajuwa anajuwa tena jmn natamani siku nikija Tanzania nimuone ❤ mungu akupe maisha marefu 🎉❤
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 7 ай бұрын
Karibu Tanzania
@saidhassan8080
@saidhassan8080 Жыл бұрын
Waakwanzaa jmn mb'n sipati like za kutosha wadau 🎉🎉🎉
@WwEe-qc7tc
@WwEe-qc7tc Жыл бұрын
Hongereni anko na mwandushi mtayarishaji wa hii sumulizi tamu na yenye mafunzo mengi
@Uwimanachance-ug9qz
@Uwimanachance-ug9qz 9 ай бұрын
Nimeyipenda sana hiyi simulizi ❤❤
@yusrambodze3804
@yusrambodze3804 Жыл бұрын
Maajabu wa pili leo nipeni na mm bac acheni ubaguzi my zangu😂😂
@MariamJuma-o9z
@MariamJuma-o9z Жыл бұрын
Wooooow Anko jay simulizi mzuri sana tamu hiyo always you Anko mapesa❤❤❤❤❤ from 🇰🇪but in Dubai
@FlorianStaub207
@FlorianStaub207 Жыл бұрын
Sweety story n yenye mafunzo😍😊👌
@Pretty22750
@Pretty22750 Жыл бұрын
Kweli njia za Mungu ni mingi sana za kumfanya mtu kufanikiwa au kukipata kile ulichodhamiria kukipata japo njia zingine hutufanya kupitia magumu ila yote tisa kumi haijalishi ni maumivu kiasi kipi unapitia cha msingi ni uvumilivu na kumtumainia mungu bila kukata tamaa, shukran Anko Jay na mtunzi pia kwa mafunzo mengi❤❤❤
@Uwimanachance-ug9qz
@Uwimanachance-ug9qz 9 ай бұрын
Waaaaaooo vizuri sana❤❤
@margaretwatenya3730
@margaretwatenya3730 Жыл бұрын
Asante mwandishi Ali Mbetu na msimuluzi Ankojay Kwa hii simulizi nzuri tena yenye mafunzo mazuri. Heko kwa Abby kwa kuwa na upendo wa dhati na ambaye hakutaka kuumiza watoto wa kike.Funzo lingine ni wazazi wasiwe watu wakulazimisha maamuzi Kwa Wana wait na pia wawe marafiki na watoto wao , yaliompata Helena yasingetokea. Mke au mume mwema hutoka Kwa Mwenyezi Mungu.
@fetreshazKhamisi
@fetreshazKhamisi Жыл бұрын
❤❤❤❤,🇴🇲🇴🇲🇴🇲 Anko jay tuletee mzigo mpya wa X
@donaldchacha
@donaldchacha Жыл бұрын
Simulizi ni nzuri na imeisha vizuri sana tofauti na simulizi nyingi zinazoishia gerezani, video nk. Hongera sana mtunzi
@victorwesamba2520
@victorwesamba2520 Жыл бұрын
Wow leo nimewahi ❤❤❤❤mm crash wake ( Eddy)namba sana😂😂😂😂😂wake weza tent hoi apa blue 😂
@doricedeus7587
@doricedeus7587 Жыл бұрын
Wale ambao sasa hivi ndo tunasikiliza mwaga kopa❤
@girukwishakaclaudine5374
@girukwishakaclaudine5374 Жыл бұрын
Chizi Mapenzi ina 🤭😂🤣🤣 Yan AnkoJay ahsante kwakweli inamafunzo mazul 🙏
@sephrinewarenga2745
@sephrinewarenga2745 Жыл бұрын
Kazi nzuri Anko Jay listening from kenya
@josephineuwizeye8250
@josephineuwizeye8250 Жыл бұрын
Merci Ankojay histoire sui contient beaucoups de leçon.🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@chantalmavandu4950
@chantalmavandu4950 6 ай бұрын
Hapo hekima ilitumika sana Asante
@tinershayo6191
@tinershayo6191 Жыл бұрын
Uwezi kumpa kila kitu bb mtoto anataka dude
@MoshiMoshi-qy8dq
@MoshiMoshi-qy8dq Жыл бұрын
wanafamilia wa anko mapesa natumai wote hamjambo tumshukuru mungu kwa kutukutanisha kwa mara nyingine tena we love you 😍 ❤️ anko Jay 🎉🎉
@pascojunior-u7e
@pascojunior-u7e Жыл бұрын
All time ntakua timu anko j tofaut na hapo naskiliza taarifa za habari
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 7 ай бұрын
Mmmh,kupenda namna hii mim sitaki kabisa ,ni mateso
@rosalienahimana6287
@rosalienahimana6287 Жыл бұрын
Ahsante saana Anko Jay mungu ainue kazi ya mkono yako pamoja na mwandishi wako akili ni mali wahinga walisema. Ngabi kijana mwenye busara na kujiheshimu kweli alitumia busara kwa kuapenda wote kwaema walio mtendea ❤❤
@MishyYusuph
@MishyYusuph Жыл бұрын
Ahsante sana Anko kwa muendelezo huu,bado tuko pamoya.
@selfamitche3530
@selfamitche3530 Жыл бұрын
Mariam (Abby wewe ndo umebeba uhai wangu) swali langu ni kazi ya Mungu ni gani.
@ruthwaithera2650
@ruthwaithera2650 Жыл бұрын
My ears ready to listen..hope Abby will win..but i trust and believe in true love❤❤❤❤❤..
@aminakhamis5078
@aminakhamis5078 Жыл бұрын
Allaaah siku zote hakupi mtihan abao huwezi ubeba nime furahi kama kweli kuona wanawake wote wa 2 wame kubaki wazo la Abby 😊
@ZinaTanzani
@ZinaTanzani Жыл бұрын
Mashallah kipenzi chetu anko Jay Allah akupe itaji la moyo wako
@nadrasalum6039
@nadrasalum6039 Жыл бұрын
Asante ankj wacha nisikilize nizidi kujifunza ❤❤❤❤
@KhadijaPahe
@KhadijaPahe Жыл бұрын
Wow nawapenda bure team akojay
@ladyt1471
@ladyt1471 Жыл бұрын
Helena pamoja nakumwangaikia kote Abby amekusaliti nakusahau kuwa ili afike hapo aonekane na huyo mariam ni wewe pole sana Helena
@everlinekenga437
@everlinekenga437 11 ай бұрын
🎉🎉❤❤ so amazing 👏 😍 halafu eti ako jay wataka kuacha kusimulia😮😮
@nadinendoricimpa8289
@nadinendoricimpa8289 Жыл бұрын
Jamani hmujambo leo namm nimewahi watu wa Burundi likes zenu🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@saraasatenisanasimlizimixc9232
@saraasatenisanasimlizimixc9232 Жыл бұрын
Asate sana ako Jay ubalikiwe sana
@MariaMa-n5b
@MariaMa-n5b Жыл бұрын
Wow thanks ankojay but we miss x14
@saadamohammed7431
@saadamohammed7431 Жыл бұрын
Ahsante ancojay kwa sehemu ya 2 we love you ❤❤❤❤❤
@LinetMbryu
@LinetMbryu Жыл бұрын
Vp anko simulizi ya x sehemu ya kumi na nne mpaka lini
@hawasaid5286
@hawasaid5286 Жыл бұрын
ukikaidi wazazi. Dunia itakufudisha. waheshimu baba na mama yako ili siku zako ziwe nyingi ha duniani.Mungu amewapa wazazi mamlaka juun ya watoto wao. kuwapa pesa watoto sio njia sahihi ya kumlea mtoto, hizo pesa zitampeleka kufanya mambo mabaya. enyi wazazi...........
@bettywayera8501
@bettywayera8501 10 ай бұрын
😢hii ni noma ankoj,,abby kuowa wanawake wawili.
@DyanaDyana-v4d
@DyanaDyana-v4d Жыл бұрын
Wow,nimewahi atimae leo❤❤❤🎉🎉🎉
@zuenahz5514
@zuenahz5514 Жыл бұрын
DUUUUUUUUUUH Helena unataka kuolewa mke Wa ishirini kumi na nne 😂😂😂😂😂😂😂nimecheka wallah 😂😂😂mapenzi haya 😂😂😂😂
@رحيمةتنزانيا
@رحيمةتنزانيا Жыл бұрын
Kazi nzuru anko jay
@victoriangasa
@victoriangasa Жыл бұрын
Wa mwisho 😢😢msisahau kunipa like jmn😂😂❤❤🎉🎉.
@PendoPatrick-q9m
@PendoPatrick-q9m Жыл бұрын
Sijapenda hata ilivyoisha😏😏
@lonakirao5275
@lonakirao5275 11 ай бұрын
Pongezi kwa mtunzi na msimuliaji Ankojay,simulizi tamu mwanzo mwisho kweli mapenzi yakweli hayana ubinafsi ❤❤❤❤
@zainabmohamed9439
@zainabmohamed9439 Жыл бұрын
Hallo my MORGAN FREEMAN you’re voice you keep doing is like cup of coffee in the morning
@agnesagnes5288
@agnesagnes5288 Жыл бұрын
Waqwanza leo aiseeee nimewai 😂😂😂😂❤❤❤❤asante xn ankoj
@SospeterEzekiel
@SospeterEzekiel Ай бұрын
L.. . .n
@FatumaWasadiki-rv2iv
@FatumaWasadiki-rv2iv Жыл бұрын
Ankojey wetu jaman nakusikiliza nikiwa🇧🇮
@NdukuOkero
@NdukuOkero Жыл бұрын
Asante Sana Mariam Na Hellen Abbi Alitoa Jambo Zuri
@Joharibashir.193
@Joharibashir.193 11 ай бұрын
ata sijui nalia nn aiseee mapenzi jamani daah😪 asante kwako mr jay nahongera kwa muandishi pia nimejifunza kitu jamani
@ChristinaPaulinous-d5l
@ChristinaPaulinous-d5l Жыл бұрын
Ahsant Kwa mwendelezo anko wetu❤❤❤❤❤❤
@EdwardSamwel-c7l
@EdwardSamwel-c7l 11 ай бұрын
Ila umetuacha mashabiki zako kwenye utamu simulizi ya x,sisi tusiyo na uwezo wa kununua bando kununua tena hiisimulizi ya X
@miriammaruwa2046
@miriammaruwa2046 Жыл бұрын
Anko jay thanks sana kwa simulizi nzuri na yenye mafunzo
@جيهانسالم-ج3خ
@جيهانسالم-ج3خ Жыл бұрын
nimewayi sana leo jamani
@SophiatembaTemba
@SophiatembaTemba Жыл бұрын
Asante sana hii simulizi inetufunza zmsana ankoj tunajushukuru❤❤❤❤
@Sss-b9w6f
@Sss-b9w6f Жыл бұрын
Waooo shukran sana ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢😢😂
@jokhajj
@jokhajj Жыл бұрын
Wow raha sana abby umefanya jambo lamana kuwaowa wote❤😊😊
@stellahrobert5
@stellahrobert5 Жыл бұрын
Jamani leo nimewai kindongo
@mary-kamara
@mary-kamara Жыл бұрын
Ubalikiwe ankojay ❤
@SarahEzekiel-d9n
@SarahEzekiel-d9n Жыл бұрын
Nimewahi leo😊😊😊
@generosendume2229
@generosendume2229 Жыл бұрын
Niko juu 👏👏👏👏
@nellylewa4457
@nellylewa4457 11 ай бұрын
Asante sana kwa mafunzo ❤❤❤
@aminah9557
@aminah9557 Жыл бұрын
Abby Abby Abby nimekuita mara ngapi,kutana ha Hellena kabla hujachukua maamuzi ya kuwa na pmenzi mwengine 😢😢😢😢😢
@MaryamKhamis-w9s
@MaryamKhamis-w9s Жыл бұрын
Kwel angekutana kwanza na helena ndipo amue kuwa na mpenz mwingine abby kasahau helena kamtoa wapi
@aminah9557
@aminah9557 Жыл бұрын
@@MaryamKhamis-w9s uzuri amewaoa wote,Mungu ni mwema 🥰🥰
@ladyt1471
@ladyt1471 Жыл бұрын
Kweli Abby kasahau kabisa
@marynaomi
@marynaomi 11 ай бұрын
Nkweli kabisa Abby ungekutana na Hellena kwaanza?
@dianandabirorere6365
@dianandabirorere6365 Жыл бұрын
Thx Anko j 🙏,sijachelewa sana leo❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@alinaaa-e2s
@alinaaa-e2s Жыл бұрын
No 1 leo jamani
@nureybeka8195
@nureybeka8195 Ай бұрын
I simulizi imeniuma huku mwisho nimevaa kiatu chahelena nime jiona km mmi ndo Helena nisingekubali mke wapili jamani😅nimeumia sana😢
@tinershayo6191
@tinershayo6191 Жыл бұрын
Tena Mimi nataka amwache peupe
@fatumahaji-ei5hk
@fatumahaji-ei5hk Жыл бұрын
Anko tuma na x badae kunawanawatu nimewatumia link wananisumbua wanata muendelezo pt14
@Mariamsuleiman-b9c
@Mariamsuleiman-b9c Жыл бұрын
Mzingo umeshuswa mbone raha kwa kweli 😂😂😂hongera anko j ❤❤❤
@BintiHamisi-lh3xx
@BintiHamisi-lh3xx Жыл бұрын
❤❤❤ better to be late than ever!!!!huna kazi mbovu,,,tumpe mauwa yake anko jey wetuu
@lonakirao5275
@lonakirao5275 11 ай бұрын
💐💐💐💐💐
@aysha2023-f8s
@aysha2023-f8s Жыл бұрын
Wakwanza leo jaman mauwa yangu
@josephineuwizeye8250
@josephineuwizeye8250 Жыл бұрын
Much love from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 Жыл бұрын
Auu asante kwa mwendelezo anko jay❤❤❤❤❤
@ZawadiIddi-g3y
@ZawadiIddi-g3y 4 ай бұрын
Nimechelewa mim jamn😢😢😢 ila tuko pamoja to
@ARa-k8h
@ARa-k8h Жыл бұрын
Hakika hizi simulizi mix zinatusaidiya sana
@lillykuiname69
@lillykuiname69 Жыл бұрын
Nahisi kumchukia sana Mariam 😬😬😬
@tinershayo6191
@tinershayo6191 Жыл бұрын
Mie pia
@SophiatembaTemba
@SophiatembaTemba Жыл бұрын
Mm pia Na mchukia sana Maria
@peninahthomas2171
@peninahthomas2171 11 ай бұрын
Ndaah simulizi hii imenikumbusha mbali Sana🤌👍
@tinershayo6191
@tinershayo6191 Жыл бұрын
Abby visited us in Toronto 🇨🇦
@Patricia-i4b5i
@Patricia-i4b5i Жыл бұрын
Anko jay ❤❤❤pamoj
@hamidabaliyanga2584
@hamidabaliyanga2584 11 ай бұрын
Asante sana Ankojay
@fatimafoaani2263
@fatimafoaani2263 Жыл бұрын
Congratulations 👏👏👏 my wetu kipenzi anko Jay story ni tamu sana tumeinjoy sana big up My brooo ❤❤❤🎉🎉🎉
@SumayyaahMuzzammil
@SumayyaahMuzzammil Жыл бұрын
Mi kuweza mmmh hapana😂😂😂😮😮😊😊😢😢
@MajiburaAllyAllymajibura
@MajiburaAllyAllymajibura Жыл бұрын
Woyooooooo kitu na box
@nahimanajo8993
@nahimanajo8993 Жыл бұрын
Asante Anko Jay simulizi zuri sana❤❤❤
@CatherineWaweru-y4j
@CatherineWaweru-y4j Жыл бұрын
Nilikumiss haki ww 😅❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@mariamjuma743
@mariamjuma743 Жыл бұрын
Jman wapenzi hmulali 😂😂asnt sana anko je
@WitnesiMgeni
@WitnesiMgeni Жыл бұрын
X jamani plz
@elizabethmajaliwa8962
@elizabethmajaliwa8962 Жыл бұрын
❤❤nzur team strong gonga like ata moja
@NadzuwaGofwa
@NadzuwaGofwa Жыл бұрын
Shukurani Ankojay mungu ruzuku
@SumayyaahMuzzammil
@SumayyaahMuzzammil Жыл бұрын
Wa pili leo team kulala KZbin naomba like 5 tu
@nurianaramadhan
@nurianaramadhan Жыл бұрын
Utakuja kugongwa na gari la Anko j😂😂😂😂😂😂we lala tu barabarani
@SumayyaahMuzzammil
@SumayyaahMuzzammil Жыл бұрын
@@nurianaramadhan umejua kuongeza siku zangu za kuishi umenchekesha isivo kawaida hahahahahahahaa😄😄😄😄😄😄😄
@nurianaramadhan
@nurianaramadhan Жыл бұрын
@@SumayyaahMuzzammil kweli au we umeonaje😁😁
@SumayyaahMuzzammil
@SumayyaahMuzzammil Жыл бұрын
@@nurianaramadhan hhhhhhhh
@rizmwMwriz-mf2cu
@rizmwMwriz-mf2cu Жыл бұрын
Ucjal chukuwa haya 🌹🌹🌹ya upendo kwa ajili ya Anko J mapesa
@متجرجهاد-ذ3ث
@متجرجهاد-ذ3ث Жыл бұрын
Abby hatimaye umekua beb Wa wawili sasa hongera Sana 😂😂😂
@SophiatembaTemba
@SophiatembaTemba Жыл бұрын
Nimefurahi kusikua amewaia wawili❤❤❤😂
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg Жыл бұрын
Nmewahi leo❤❤❤
@tabiasalum3381
@tabiasalum3381 Жыл бұрын
Nimewai❤❤❤
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Wow!❤❤❤❤ asante sana Ankojay kwa hitimisho la simulizi yetu
@omerrashed9080
@omerrashed9080 Жыл бұрын
Pamojaankojay allahakubariki
@generosendume2229
@generosendume2229 Жыл бұрын
Leo niko wa kwanza marekani juuu
@tinershayo6191
@tinershayo6191 Жыл бұрын
Abby Abby Abby Abby nakuita mara Nne be careful na wanawake wasiokusaidia kuwa mpole rudia kumwona Hellena
@AishaNanzua
@AishaNanzua Жыл бұрын
❤❤❤wau mko poa family
SIMULIZI MPYA: BINTI LIVIA, By Ankojay
2:30:01
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 55 М.
MSELA - SIMULIZI YA MAPENZI
2:04:52
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 57 М.
А я думаю что за звук такой знакомый? 😂😂😂
00:15
Денис Кукояка
Рет қаралды 5 МЛН
How to Fight a Gross Man 😡
00:19
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 19 МЛН
Turn Off the Vacum And Sit Back and Laugh 🤣
00:34
SKITSFUL
Рет қаралды 9 МЛН
PENZI LA BINAMU, part 1 By Ankojay
2:56:04
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 213 М.
SIMULIZI MPYA - HELENA CHIZI MAPENZI
2:37:20
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 47 М.
SIWEMA | LOVE STORY
2:22:28
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 23 М.
MKE WA BABA: SIMULIZI FUPI, By Ankojay
2:00:07
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 64 М.
SIMULIZI MPYA: JINI MAHABA, By Ankojay
3:14:42
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 58 М.
BINTI KIZIWI | SIMULIZI MPYA
2:02:56
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 30 М.
HILNA | SIMULIZI FUPI | ALIIBA NGUO YA NDANI ILI AMROGE AMPENDAE
3:00:28
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 18 М.
MY DREAM - PART 03 [ MWISHO ]
2:33:45
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 42 М.
BINTI NDELEZA : SIMULIZI FUPI YA SAUTI.
3:46:30
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 19 М.
А я думаю что за звук такой знакомый? 😂😂😂
00:15
Денис Кукояка
Рет қаралды 5 МЛН