habari mashabiki zangu!maoni yenu nimeyaskia sana ila kiukweli nimepata changamoto kubwa hadi kumaliza hii season one..changamoto kubwa ni kwa baazi wa wasanii kutofika kazini kwa mda sahihi ndio maana nimechelewa kutoa kazi,niseme tu leo tunamalizia season one na week ijayo nitawaletea tamthiria mpya ambayo itakayo kua inaruka kila baada ya siku mbili🙏🙏🙏🙏🙏hii ni kwaajili yenu mashabiki zangu🫶🫶nawapenda sana na asanteni kwa kunifatilia...pia melisa season 2 itakuja baadae ikiisha hiyo tamthiria mpya
@AphurahBoakye15 сағат бұрын
Tunakupenda pia bro❤
@FaithaJvc15 сағат бұрын
nifanye namm niwe muigizaj wako jmn napenda sana kuigiza🙏
@michaelsamwel88315 сағат бұрын
Daah ingependeza zaid kama ungemalza kbx melisa then nyingne
@EnricoRicky-g6e15 сағат бұрын
Pamoja saaana💪💪
@Rachel-94tz15 сағат бұрын
Pole kwa changamoto,pia hizo changamoto zisikukatishe tamaa,tupo pamoja
@JastFinancial0215 сағат бұрын
Mwangapi wamependa Melissa kuludi kwa hemedy chande ❤🙏
@ManuelCornelioBentoBento13 сағат бұрын
Hemed nunca me decepciona. Ninamkubali sana.
@SaidMahenge-c7v9 сағат бұрын
Mimi hap
@RuthNyakoa-tq2xn5 сағат бұрын
I like melisa to be with hemedy
@JastFinancial025 сағат бұрын
@RuthNyakoa-tq2xn hongera Sana 🙏
@JastFinancial025 сағат бұрын
@@ManuelCornelioBentoBento hongera Sana
@Emmilyjuma14 сағат бұрын
Duuuh finally imetoka,maana kila mara nnachungulia, Happy JAMHURI DAY wakenya wenzangu❤
@user_faff847 сағат бұрын
Tumechungulia sana Kila time aki... Happy Jamuhuri day too 😊😊🇰🇪💪
@NasmahPaul-f5d7 сағат бұрын
😂
@rukiamohammed61505 сағат бұрын
Kumbe tuko wengi😂😂
@KKK-v6j3 сағат бұрын
Happy jamhuri Day 🎉🎉🎉
@mussashabani84805 сағат бұрын
Haito patikana Tena nyimbo Kama ya Melissa jamani nzur sana ❤❤❤❤
@rizionemarurytz121511 сағат бұрын
tokaa nianzee kuifuatilia hiii movei sikuwai kucomenti kituu chochotee mpakaa leo hii inaishaa kiukwelii movie kalii sana naweza semaa ni movie yang ya kufungia mwaka ata ivooo mmejitahidi san ata finish imeenda sawa pamoja sanaa brooo
@JumaKavula-u5e15 сағат бұрын
MELISA, ni picha ambayo kifupi nmeipenda sana, like nyingi kwa wanaoungana na mimi💞
@PromiseBanza4 сағат бұрын
Yaya nashukuru sana kuwaona mara tena wana chande ila mumewahi kuimaliza tuliipenda sana Melissa RDC
@Plagmotz7 сағат бұрын
daah salute mark movie inagusa moyo kabisa nice bro God bless you
@MtindoZawadi14 сағат бұрын
Tunaomba uendelee na season 2 kwanza ndo uendelee na nyingnee chande❤❤❤
@MwanasitiHamisi-g3j13 сағат бұрын
Plz endelea na season 2 kwanza nyengine badae plz
@ErnestChaulema14 сағат бұрын
Hapa umetixha kaka nimeangalia move zako nyingi ila hiii niliipokea kwa hcia kubwa mno nawapenda sana
@ZabraVille13 сағат бұрын
Kiukwel hii episode nmeipenda sana nkuomba ucichelew kutoka Melisa episode 2 plz🙏
@SamouOman14 сағат бұрын
Kazi nzur kak mungu awaongoze katika kazi zenu
@chiluguProsper12 сағат бұрын
Safi san bro muve nzur san ila hiyo ijayo usimsahau Melissa
@FestusJuvinary15 сағат бұрын
❤🎉👎🙌👍🤛🌷🥀🌹🇹🇿👍👋💕❤️🖐️🙌🙌👎👍 hiki kipande nilikisubili kwa hamu nilishindwa Hadi kununua mbiga za watoto wangu nikiwa nabania hela ya bando duuu💐🔥💯💥💥👐🤸🇹🇿❣️💯💐🔥
@AminaMaisha-vd6mf13 сағат бұрын
Duh! mumejuwa kunitoa chozi 😢 kazi nzur san ❤❤🇰🇪
@gloryjohn625210 сағат бұрын
Ooooh!!! Melisa karibu tena nyumban nimecheka mpaka nalia ❤❤❤
@fatmafetty71057 сағат бұрын
Hemedy brother nitamisi mziki pia movie ya Melissa daaa ni Bomba sana nyengine ni gani
@omanoman292315 сағат бұрын
Wow,sema mmechelewa sana daah had tumesahau
@purityrehema54314 сағат бұрын
Wakwanza leo naomba likes hata moja toka niangalie hii series sijapata hat like moja 🎉🎉much love from 🇰🇪
@PaulineJaphet12 сағат бұрын
Tatizo mnachelewa sana kutoa hapo ndo itakuwa mwisho au❤❤❤❤
@AngelHiluka15 сағат бұрын
Hongeren sana kwa kazi nzuriii tunatumain utatuletea kazi nzurii zaid na zaid
@oddypoddy-s4n15 сағат бұрын
Kutoka Kenya wakwanza likes kwa sana tu🎉🎉🎉🎉
@AbdulHajji-f9e15 сағат бұрын
nakukubal sana brooo pia hongera sana kwa KAZI nzuri
@SwaumuMuome15 сағат бұрын
Wakwanza team trong kazi nzur ila munachelewa sana mpaka tunasaau
@annegakii642012 сағат бұрын
Mark na Melisa watafanya watu walie baaana ,,hizo feelings men💔😍😍
@FaizaKabibi-tb2dj14 сағат бұрын
Safi Sana tunasubiri season 2 msichelewe bana
@goodluckjohn11 сағат бұрын
Hemed chande umetukosea sana Melisa inaishaje mapema ivyo sehemu Tamu nd inaishia
@rozamarcelle124114 сағат бұрын
Asante sana wanduguzetu tunainjoi sana tena sana 🙏🏾🥀🥀🥀🥀🥀
@LizzyJuma-w3u10 сағат бұрын
Ila bianfs ningependa kuona melisa season 2 jmn nataka kuona wht next hongera uko vzr kz nzr xn
@KadzehaSophia15 сағат бұрын
That's amazing 🎉 namuombea mod piaapate wa kufanana naye atakaye mfanya asahau maumivu
@Jamal-i4w15 сағат бұрын
Nakubali bro tupo na wew mbaka mwisho 🎉🎉
@MussaKarimu-nl1ow15 сағат бұрын
Umetisha sana mkuu sema unachelewa sana broo
@TumainEsau10 сағат бұрын
Funga mwaka❤❤❤❤penda sana sijapenda mbna imeishia pazur
@Maryamhassan-kq9ql14 сағат бұрын
Waah hii episode Kwa kwel imeenda sna ata tuseme kwaka moja baadae lkn imeisha vzr❤❤❤❤
@kharimjohneric549913 сағат бұрын
Hemedy chande may God give you strength you are very talented brother🎉🎉🎉🎉🎉
@neemakoi66355 сағат бұрын
Kazi nzuri sana congratulations 🎊 👏 💐 🥳 🙏 Mr handsome 😘 💖 😍 ❤️ much love from saudi to Kenya ila nilikua naombi mtoe hii song ya melsa ni nzuri sana 😊 💖 😄 niombi sio amri
@LamickMoumaleick15 сағат бұрын
Hakun mtu yoyote wakunambia kuw yeye ni wamwanzo km sio mm ndan ya sekunde 5 nimeinasa MELISA kubababake😅
@DaliliManenga15 сағат бұрын
Good job,ila munachelea sana,tunaisubiri kwa hamu kubwa Mélissa Season 2
@UmukunziRamura-ur9zc15 сағат бұрын
Tuna subiri season 2 Inii Shaa Allah 🙏🏽 mungu awarinde tunawa penda sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@HemediMwinzo15 сағат бұрын
Gud episode umeimaliza vizuri congratulations 👏👏👏
@OmgWilliam-c7u13 сағат бұрын
Kaka Bora. Hata. Ungetia. Kwanza. Melisa. ❤❤❤❤❤❤
@ZaniaUmurundi199610 сағат бұрын
Jamani sijawayi kuwa wakwanz amlalagi mchana wadahu😮😂😂ila nawapend sn❤❤❤❤🎉😊
@JumaAdamo-rz4ye15 сағат бұрын
O trabalho é muito importante,continuem assim mesmo meus atores muito obrigado ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@raphaelleo920911 сағат бұрын
Tunaomba huu wimbo wa melisa am in love with you
@HalimaRamadhan-uu9nv15 сағат бұрын
Nicee 🎉❤❤ can't wait for another series 😊😊
@Oumaymahmm14 сағат бұрын
ALLAH awalipe kwakwali movie mmeipeleka vizuri sana 😊😊 japomme tuchelewesha sana 😊 ila shukran sana kaka HEMED NA DADA MELISSA PAMOJA NA WENGINE 😊😊😊😊😊
@Emily-k9814 сағат бұрын
Napenda movie ila machozi yangu hajifiche 😢😢 daaaah nalia jamaniiii 😢😢😢so thank you very much my family people 🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
@GermainBahati-o6e15 сағат бұрын
Uko natuchelewesha big tuna kupenda sana Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@JessieJessie-w5m11 сағат бұрын
Nimekuwa wakwanza I from Burundi jaman like nying jaman
@EnjoMedadi7 сағат бұрын
Bulundi sehem ngani jamn
@GinaFaruqueFaruque-e6j10 сағат бұрын
Pole sana Kaká macki nawapenda sana parte 2
@EltadeoraSocratetadeo-z1e15 сағат бұрын
Kutoka dr Congo ndani ya top 100comments nipo
@tonykonki143715 сағат бұрын
Mwisho sijaupenda mark wetu kwanini kawa hipo ?
@RajabuShabani-s3b12 сағат бұрын
Nakubali unajua kutengeneza story ipo kama ya kihindi
@reynarahma14 сағат бұрын
Pole kwa changamoto but mpk hapa ulipofika umefanya kazi kubwa sana na nzuri sana kiukweli🌹🌹 inshallah mwenyezi mungu azidi kufungua njia zako za mafanikio yako 🙏
@gadafimuemede298515 сағат бұрын
Pamoja Sana Respect 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@AisherJuma-d2q15 сағат бұрын
Wakwnza leo kutoka saud team strng together ❤💪
@Veronicah-cr8er13 сағат бұрын
Much love from Kenya Kazi nzurii sana❤❤
@LelyHakim-j5z12 сағат бұрын
Mkenya halisi nko ndan mapema
@mbarderonly587414 сағат бұрын
Kwahyo stor ya tariq na marehem mke wake na mchepuko wake nao hawakuwa wakija job pole sana
@TuyizereDembere15 сағат бұрын
Nakubali sana brother kazi nzuli sana 💪
@SusanWamalwa-wq2cm15 сағат бұрын
Kutoka kenya 🇰🇪 fan wako sana ila tumesubiri sana finally its here ❤
@HadijaVinyu14 сағат бұрын
Asante kwa movie nzuri mungu Akubariki, usiache kutuletea season 2🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@SmartVicenzo15 сағат бұрын
Smart Vicenzo 🇹🇿
@PaschalPius-b6s15 сағат бұрын
Wanao mkubali Melisa 2onane
@MalingiTaura8 сағат бұрын
big up kaka kaz nzuri sana❤❤
@فاطمة-ح8ث4ن11 сағат бұрын
Jaman ogera saan yan imeaz vizur nakuish vizur nakutuliz saan❤❤❤❤nimelia
@OffKing-j8e14 сағат бұрын
❤❤❤❤❤ nzuri sana iendelee basis isiishie hapo
@fatmafetty71057 сағат бұрын
Nimependa sana movie zako plz nyengine plz nikiangalia movie zako siboeki ni Fatma kutoka KENYA
@RizikiZiki10 сағат бұрын
Yooo Hemedy tumaliziye kwanza iyi tupate raha 😢imeishiya pazuri sana❤
Hongera kw pich zako Zina mafundisho mengi katika dunia yte ypo hyo
@SalmatatuMadaraka12 сағат бұрын
Good job napenda movie zako mpka bc❤❤❤
@vannymtavangu184414 сағат бұрын
Umetisha san allah awe pamoja nawe sisi tunasubir kazii zako tyuu 🎉🎉
@HudhaimaabassiBakari4 сағат бұрын
Kaz nzury napend ❤sn tamthilia zak mungu akufnyie wepes Kwa kil hatua
@Tatianaiguette13 сағат бұрын
Muna pendezana mukiwa. Kama ❤❤❤❤❤❤❤ nawapenda sana
@PendoSamweli-g6k15 сағат бұрын
dakika ya 10 comment70🙌watu mpo vzur asee😂😂😂
@kingcicero170815 сағат бұрын
Ambao tumetoka toka episode ya kwanza mpaka leo hii kwenye Final tupo pamoja, like hapa tujuane❤ Huku tukisubiri Session two
@alonijamal470815 сағат бұрын
Mh ila manz Melisa bonge pic apewe hongere zake
@PatriciaMujeni14 сағат бұрын
Congratulations Allan awe nae movie nimeipnda snaaaa!! Melissa upewe maua yko 🎉🎉🎉🎉❤
@MasauShida9 сағат бұрын
Kazi nzuri sana Mr. Hemedy Chande🇹🇿
@SifaVano15 сағат бұрын
Big up sana kweli ❤🎉
@FatmaAbdul-e4t15 сағат бұрын
tumeisubir kwa ham hatimay imetok❤❤❤
@MagrethyAdolph15 сағат бұрын
Wakwanza nakupenda san broo
@NulatiNassib10 сағат бұрын
nimeikuba sana iyo move inaelimisha kwakwl
@UnrulyHope-e9j8 сағат бұрын
Hongera sanaa Hemedy kwa kazi nzuri🎉🎉🎉❤❤❤👏👏👏💪 nangoja season 2 nimefurahi sana Melisa kuonana n Mack
@MekafinancialServices-b7n15 сағат бұрын
Nmekuwa wa kwanza leo❤❤
@LoiceKatana-ci1tx9 сағат бұрын
Mubarikiwe sana Hamed na team yako, kwa kutuletea mafunzo mazuri🎉🎉❤
@JustinMbulu-f6v3 сағат бұрын
Pamoja sana ndugu zangu tulikua pamoja toka ep 1 had mwisho hemedy chande tunakuombea kwa mungu akusaidie utuletee movie nyingine nzuri kama hii au zaidi 🤝🤝🤝🙏
@mwikalababu13 сағат бұрын
kaka uwai sizoni 2 merisa naipendasan mpamoja nazine ira kwanza merisa
@aishaomar962110 сағат бұрын
Hongera kaka kwa kutumalizia kipamde kitamu ila daah mepenzi yana nguvu❤
@ChristinaMagela-cu8cr5 сағат бұрын
💗💗 naipendaaa San jaman musiweee munatuchelewesheaa san
@JladyKadzo15 сағат бұрын
Eti final jamani chande movie zako tamu ila jitahidi zikuwe ndefu angalau mashabiki wako tufurahi
@MarionRaphael-i1f14 сағат бұрын
Amn SI fnall n finally y season1
@FurahaNgala-s6s12 сағат бұрын
Nikweli
@SadamuManjaki-vu1co10 сағат бұрын
Mack ukovizuri kwa muvi hiiturijua mapenzi uriyompa razima akuzalie mtoto unatahiri mpendwawetu Mack 🎉🎉🎉Melisa unabahati jivunie Erene Tupauko 😮😮😮
@FunnyAquariumFish-ih3in11 сағат бұрын
Speed 120 kwenye Kona shaa the greatest hemedi chande film east zuu tz
@MOISECHRISTIAN-pt3np12 сағат бұрын
Wangapi hawakutaka SEASON ONE melisa isi ishiye hapa??☝️☝️☝️
@RabisonKasofu13 сағат бұрын
Jamaa wew so mtu wakaida maana me nimelia
@JladyKadzo4 сағат бұрын
Hapana hii melisa ndio tamu
@زينبال-س9خ24 минут бұрын
Wooow final wamerudiana nmefurahi sana wallah ❤❤nawapenda sna ❤❤❤