Nakumbuka miaka 1979 hadi 1984 marehemu Babaangu aliupenda sana wimbo huu!
@martinokot3132 Жыл бұрын
This is my favorite song since 1980s when I was in Juba, very young, I was listening from Medium wave Kenya broadcasting service
@edwardmayige10612 жыл бұрын
Naupenda sana huu wimbo miaka ya 1983 nikiwa na miaka 10 tu kuna jamaa anaitwa Emma alikuwa na redio cassette yeye tu kijijini kwetu ya vimulimuli basi tulikuwa tunaenda kwake tunacheza sana mpk usiku mwingi halafu tunarudi nyumbani kulala vumbi bila hata kunawa miguu
@virginianjeri349419 күн бұрын
Gramaphone ya zile record players za black na batteries 6... Ilikuwa 👍
@FlorenceKilonzo-yo1ub7 ай бұрын
Wueh Iko sawa❤❤❤❤
@jacksongerald14022 ай бұрын
😂😂gooooood
@zacharynyamwange26105 жыл бұрын
George Ondieki wherever you are remember our days at Sibanga Primary Kitale Trans Nzoia School 85-88! Song reminds me of our days then!
@justingitano56156 жыл бұрын
Enzi zetu miaka 1989
@amosikazinzi27494 жыл бұрын
Hizi nyimbo zinnanikumbusha mbali sana enzi hizo nilikuwa machimboni bulyang'hulu mwaka 1984
@annakaluo38376 жыл бұрын
Miaka hiyo 1988 tulikuwa wadogo lkn ndo mziki uliokuwa unatikisa wakati huo.
@yunzassevara6175 жыл бұрын
Hakika hata mie nakumbuka vyema!.
@emmanuelmlowe13117 жыл бұрын
Emma mlowe. hesabu gharama inanikumbusha mbali sana
@bogoheidaso26284 жыл бұрын
Huu wimbo mzuri ingawa nilizaliwa nikaukuta naupenda Sana
@mutulamuinde5346 жыл бұрын
Ni kweli.wanamke mrembo Ni kifo!kwanza ati_riri kote nchini Kenya💀💀💀💀💀💀👽👽👽👽👽👽👽👽👽👽
@ruthwendork5 жыл бұрын
Asi ni kweli
@samwelihhando65993 жыл бұрын
I like this song big up our neighbour Kenya
@peterbayo46774 жыл бұрын
Amazing song
@nelsonkavu160314 күн бұрын
Francis danger
@emmanuelmlowe13117 жыл бұрын
nipo moshi lakin enzi hizo nilikuwa ludewa tanzania 1982
@ruthwendork5 жыл бұрын
When music was sweet ....zilizopendwa
@swalehgithinji55856 жыл бұрын
Francis Danger,Original Kilimambogo brothers.
@emanuelmlowe68543 жыл бұрын
Nataman kusikia maana nimepata bahati kusijili nyimbo za zaman
@johnmabiti75924 жыл бұрын
Hata nami ilishanipata
@emanuelmlowe68543 жыл бұрын
Toka the man na ndio nasikia Leo kwel? Kutokana kupotea kwa player na santuro
@martinnyingi50276 жыл бұрын
Wimbo tamu sana
@mandelalaurent92137 жыл бұрын
duu esabu gharam namkumba baba aliipenda sana nyimbo hii
@brysonkaale30032 жыл бұрын
Ni mwanamuziki gani alipiga hii nyimbo?,Imenikumbusha mbali Sana!,Border ya Holili!
@KituimosesАй бұрын
Frances "danger "Kavuo
@charlesmohabe96797 жыл бұрын
Nakumbuka mwaka 1986 niliyokuwa mgodini muziki huu ulikuwa ukipigwa mtu ananunua kreti za bia mpaka zinalingana na urefu wa mtu ndo watu waanze kunywa
@marcelnyonyi88127 жыл бұрын
Charles Mohabe hahahaha. Ndo nazaliwa miye lakini mziki huu bado linashika
@mlushulm6 жыл бұрын
😂 😂 😂
@elinamikinasha4915 жыл бұрын
Unakula ugali mkavu ukisikiliza muziki huu unashuka bila mboga
@jangayjorojig75806 жыл бұрын
huu wimbo umenikumbusha mbali miaka ya 80 ukumbi namwagiliwa maji lakini baada vumbi hutimka kama vile haukumwagiliwa mambo ya vijijni sakafu hakuna kipindi hiko
@felixmagulu61425 жыл бұрын
Jangay ni kweli kabisa enzi za disco vumbi Player na santuri ndiyo ilikuwa mpango mzima, Santuri inapigwa part One kisha inageuzwa part two kupata chorus.
@felixkyamata79125 жыл бұрын
Love this song
@hassanlibingai88118 жыл бұрын
Haya ni maneno mazito....respect Mulunda
@mlushulm6 жыл бұрын
Hassan Libingai ahsante... 2 years later, maneno mazito kweli!
@richardkawea18044 жыл бұрын
In 1988 Nikiwa Kijana WA shule ya upili Wacha tu ndio ngoma na ujana
@kiparambota89186 жыл бұрын
Za kale dhahabu
@obedndanyi8984 Жыл бұрын
Huyo alikuwa kikuyu
@KituimosesАй бұрын
Mkamba
@gepladudiyek45067 жыл бұрын
ni miaka ile ya 89 nikiwa kijana mdogo xn.rahaje!
@tomjohn81414 жыл бұрын
When music was a soul's cure!
@hamisbanka47638 жыл бұрын
HAMIS BANKA Hesabu gharama huwa inanigusa miaka ya 88 nikiwa bado niko singida
@lance39478 Жыл бұрын
kwetu kabisa.kwa mapunda!
@hamzaamrani18006 жыл бұрын
Nainjoi sana hii burudani
@johnngetich36187 жыл бұрын
kumbe hii garama ilikuwa tangu i thougt ni jubelee gava pekee
@mlushulm6 жыл бұрын
john ngetich hehe mtego wa panya hushika waliokuwepo nawasiokuwemo
@ephantusmurumia86057 жыл бұрын
mpaka leo ngarama tupu.
@petermaloba31294 жыл бұрын
Very good song remainds year 1988
@lance394783 жыл бұрын
When music was music!not nowadays just noise, filth, dirt and vulgar language.
@daudkaberela79195 жыл бұрын
Hadi raha mziki hauchuji
@kimwishjose26144 жыл бұрын
when music was real
@humphreykariukinthianthia83856 жыл бұрын
Tosha Deja
@mlushulm6 жыл бұрын
Wenzangu, natafuta wimbo ulikua unaenda hivi " Hata kama ni mapenzi, wacha ikae. Wataka mapenzi wako wengi Afadhali tutengane kuliko madharau" nani aliimba na yaitwaje?
@adamfungamwango46406 жыл бұрын
Mulinda wimbo huo unaitwa 'Wanitoa Mapenzi' umepigwa na Orchestra Moja One ya Kenya, mtunzi ni Moreno Batamba
@jacksonmwalyego49335 жыл бұрын
Wiliam Maunda anaimba hiyo wimbo
@ngairasunday71774 жыл бұрын
Wimbo huo ni wa Marijan Rajab, ingawa nimesahau vile unaitwa. Wimbo smart sana.
@mlushulm2 жыл бұрын
Nimepata wimbo wenyewe - Charles Ray Kasembe & Orch. Les Volcano - Kata Shauri Mapema kzbin.info/www/bejne/pKDKop2cpap7oMk
@ruthwendork5 жыл бұрын
This sounds like kalambya boy's and the voice Mutaiti ......correct me
@HAIL652664 жыл бұрын
Ruth Katundu Danger, killimabogo brothers
@amosmwema78037 жыл бұрын
Music by golden fingers
@kornelymsuya28778 жыл бұрын
downlod
@hamaditwahiru27148 жыл бұрын
brututh
@virginianjeri34945 жыл бұрын
😂😂😂
@hamaditwahiru27148 жыл бұрын
daudi
@mandelalaurent92137 жыл бұрын
esabu gharama namkumbuka baba aliipenda sana hii nyimbo
@allyop93335 жыл бұрын
Wimbo wa hesabu gharama ninapousikia huwanapata huzunisana na hadimachozi yanitoka tulikua tunacheza mwaka 1981