PNC interview kubwa sana hii salute planet bongo ayeeeeeeeer
@Zarmahshimia Жыл бұрын
Aliyeipiga beat ya Nalia ni producer yupi❤❤❤
@miltonemusumbah25446 жыл бұрын
Yanii planet Bongo mumenikumbusha mbali sana, nikiwa high skuli, huo wimbo wa waumiza moyo nilikuwa nautumia sana kumtuliza mpenzi wangu. PNC should come back
@noblezeprezdaa28813 жыл бұрын
PNC my favorite artist forever
@Ndahekenya Жыл бұрын
Shalapu sana brother
@baburishard44706 жыл бұрын
Huyo ni mwanangu from day UNO Byser 👊👊👊💖
@swalehbakari56376 жыл бұрын
Mbona is favourite song mpaka sasa
@shabanmgonella99026 жыл бұрын
PNC ni noumaaa sana bado mzima sana heshima yng ni toka moyoni
@edsonluambano35526 жыл бұрын
Da nakumbuka enzi zile shule siku ya disco nyimbo ilikuwa matata sana pnc tunakumic sana watu wa kipindi kile
@barikiarastus87706 жыл бұрын
Fifi kacheka kusikia machunusi kibao big up pnc
@abdulrahmanilikavala73177 жыл бұрын
Kaka ulipotea muda mrefu sana ila bila shaka tunategemea ngoma kali kutoka kwako usituangushe mashabiki wako. Mana vijana siku hizi wa nakuja vizuri kimziki.
@omarchuma61357 жыл бұрын
Ulipotea kwenye game Sana rudii bro pnc
@jamesmwawesu81676 жыл бұрын
Braza kwenye game upo fresh....mbona kimya muda huo wote wakati uwezo unao Kama vip endelea kuachia madude eeeh ivoooo
@jaredouma71936 жыл бұрын
James Mwawesu ivooo
@mangiclaus7 жыл бұрын
duh jamaa mkali sana
@fanvansase62337 жыл бұрын
PNC unatisha bongo flavor og
@raymondkanyama63876 жыл бұрын
hiki kipaji et jmn kinakufa hvhv madee nakulaumu mnoo
@jumahassan86672 жыл бұрын
Good
@mosesjnr84366 жыл бұрын
Mpaka leo huwa sielew tatizo la kufeli kimuzik kwa huyu jamaa,PNC ana kipaji sana
@dotykenya71755 жыл бұрын
In 2018 bado namkumbuka pnc uku kenya
@geofreyjohn10396 жыл бұрын
ngoma utazan ndo wana rerizee
@mangiclaus7 жыл бұрын
unaongea kwa huruma sana pnc. sijui kwa nini nasikia huruma sana