Heshma - Nonini ft. Boneye (Official Video) [SMS "Skiza 6110076" to 811]

  Рет қаралды 96,870

NoniniMgenge2ru

NoniniMgenge2ru

Күн бұрын

Пікірлер: 146
@michaelnjema2214
@michaelnjema2214 6 ай бұрын
If you here 2024 kindly like.
@benjaminoningu3720
@benjaminoningu3720 7 ай бұрын
God father nakuona uki pepeta dimba ⚽️
@ericmwanza1470
@ericmwanza1470 Жыл бұрын
lyrics kuzaliwa... mwezi moja na mzee Ghandi na mashujaa... wengine wengi tu zaidi ndoto... kujisaidia kuepukana na mtaa heshma... kwa mtaa ikamjenga kuwa star California... mtaa moja, balaa mahali ma-star... huzaliwa tu, kila saa kuhama... aende aende wapi? Calif... bado iko kwa hiyo moyo ndani Genge... familia jo kuingia Kenya... mzima mziki kuiskia kama... kuuza unga kaanza polepole hit... baada ya hit akawapa baada ya colle rap... kupanda kule kukikucha wengine... kando wajaribu kumchuja kujiangalia... mbele akiwa kwa ukuta mgenge... ndio amekuwa mzee wa nyumba (CHORUS) (Bon'eye) Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa) Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa) Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa) Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa) (Nonini) mziki kwangu ni kucheza tu chess kaa chini... songa kwanza na all the best karibu... tena kwa hii mchezo ya genge masoja... wako wote pia walete sacrifice... masoja wa mine mi sijawahi defence... ndio wananipa tu nikuwe hai frontline... ya mine pekee inatesa mkipenya... kunifikia mtaweza? ma-spy kibao mi huskia jo mkiongea hakuna hunilipia bill hakuna mi hutegemea isipokuwa mafans wangu naitanga wagenge bila wao singewahi panda hizi ndege maisha ishageuka siku hizi sipandangi Akamba guess ndio maana waniitanga the Godfather kimziki ukipenda niite bwana Mayor bling ni awards juu ya meza si unamezea (CHORUS) (Bon'eye) Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa) Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa) Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa) Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa) (Nonini) kila kukikucha ndevu mpya inatoka twazidi kuwa wazee tukitafuta njia ya kuomoka wao husema ya tatu ni bahati fiti kwangu ni foundation ndio inamaliza simiti nimekaa chini nikabonga na beste yangu fulani akani-show yuko na mi kila mahali kwa hivyo nisikuwe na wasi wasi nisitie shaka watakubali bado jo uko huu mwaka mafia ni mmoja mi huwanga namheshimu akisema nile machungu anala mpaka ndimu simpigiangi simu siwezi jaribu mi hupatana na yeye place fulani tu mausiku kitu funny haniongeleshangi, hanipangi ganji alinipa kitu muhimu zaidi ya hii kipaji mafia ni God wangu nimemweka mbele ndio maana waniitanga Godfather wa genge (CHORUS) (Bon'eye) Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa) Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa) Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa) Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa
@mombasanews3024
@mombasanews3024 4 жыл бұрын
Music will make you realize how fast time flies. Anyone who knows this song he/she by now Must be over 25 years !!!! wapi likes zangu.
@Githinji_the1
@Githinji_the1 3 жыл бұрын
Wewe mlami kweli?
@Nat-wu4kj
@Nat-wu4kj 3 жыл бұрын
Mimi niko tu 19 😜😂😍
@mosesmura1152
@mosesmura1152 2 жыл бұрын
Must be 25 en above time does fly
@inminutezchannel9541
@inminutezchannel9541 Жыл бұрын
Am under 25am lucky to listen to this legend😭
@ericmurithi9693
@ericmurithi9693 5 жыл бұрын
Most underrated song of nonini's career views ni kidogo sana
@robinthaking5299
@robinthaking5299 2 жыл бұрын
Naona mnaanza kutumia jina underrated vibaya
@konestunthassan3380
@konestunthassan3380 Жыл бұрын
True I rarely hear it on mixes na imagine mimi kwangu it’s my best Nonini Track ever.
@johnwesley5496
@johnwesley5496 11 ай бұрын
💯
@edwinkana6289
@edwinkana6289 4 ай бұрын
Walai na penda hii song.... One of the best songs ya king of Genge
@mercynyokabi3813
@mercynyokabi3813 4 ай бұрын
Napenda hii ngoma walai, nonini I salute you
@elaijagrandson7305
@elaijagrandson7305 9 ай бұрын
Am here 2024 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nonini made the living Hits🎉🎉Mgenge ni 2rue
@ODIMZJR
@ODIMZJR 3 жыл бұрын
MAHATMEEEEEEEE BROUGHT ME HERE
@cellebshot
@cellebshot Жыл бұрын
Nonini once said " strategy ndio jina ya hii mchezo" that never aged well for these rappers always asking for help everytime 😹💔 Mgenge True was way ahead of his time ❤
@steveoluoch8531
@steveoluoch8531 4 жыл бұрын
Heshma kwa mtaa KUANGUKA TULIKATAA HESHMA....
@makhanu91
@makhanu91 4 жыл бұрын
Haoo wadhi 6 kudislike ni WATIAJI. Heshma CLASSIC. 👌🏾 [2k20] 💯🇰🇪🖤🤸🏾‍♂️
@ditok2547
@ditok2547 3 жыл бұрын
Kumbe kuomoka ilikua izo enzi🔥🔥🔥
@anthonysadera4524
@anthonysadera4524 Жыл бұрын
nonini is the God Father of genge
@noahsande4969
@noahsande4969 4 жыл бұрын
Bling Ni award juu ya meza si unamezea
@victortungiru
@victortungiru 5 жыл бұрын
2019 anyone...
@josefndegwa9700
@josefndegwa9700 3 ай бұрын
Hii ngoma yushika sana kwanza ukichonga jaba. kumedi mbaya
@kapuchu16
@kapuchu16 4 жыл бұрын
Sammy science Bavon nakuona 1:08 big up your self
@johnmainamwangi3768
@johnmainamwangi3768 Жыл бұрын
WAANDAMANE NA HESHMA
@maxlusenaka996
@maxlusenaka996 3 жыл бұрын
kumbe kuomoka ni sheng ya kitambo....mbona sijawai jua
@maxbradley2811
@maxbradley2811 Жыл бұрын
This song was soooo underated..one of the best jams za Nonini ever.
@rachealwangechi2091
@rachealwangechi2091 4 ай бұрын
legends songs
@ugkcreations4895
@ugkcreations4895 5 жыл бұрын
Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa heshma wagenge wanatambaa!!! 2019 na bado inatubamba!!
@josiahabiya7885
@josiahabiya7885 3 жыл бұрын
Nonini the godfather. The kind of songs i meed to uplift me. They uplift me more than gospel music
@sakweezy
@sakweezy 4 жыл бұрын
02:41 So this "kuomoka" word has been around for years...I just knew it recently! Nonini baba yao!
@MrRascarter
@MrRascarter 3 жыл бұрын
Iko kwa wimbo flani pia ya Kleptomaniacs freak It kitambo sana early 2000s
@fredrokish
@fredrokish 2 жыл бұрын
Even in Tafsiri hii by k shaka infact it evolved to " kukafunga"
@stillbeborn
@stillbeborn Жыл бұрын
Hamna kipya chini ya jua
@sockcity
@sockcity Жыл бұрын
Heshma kali💥💯baka 2023
@Coach_Andy22
@Coach_Andy22 4 жыл бұрын
Io beat musyoks!!!! 🔥 🔥 🔥
@michaelnjunge3903
@michaelnjunge3903 4 жыл бұрын
the most underrated musician.. Nonini ni babayao
@NoniniMgenge2ru
@NoniniMgenge2ru 4 жыл бұрын
Bless 🙏
@abduljabbar-jg2hz
@abduljabbar-jg2hz 3 жыл бұрын
Kama uko hapa 2021... Pewa heshma
@edgeroba6185
@edgeroba6185 22 күн бұрын
uyo boy ako na tsho ya signs of hope anaitwa nani anakuanga kwa ngoma zote za calif🙂
@NoniniMgenge2ru
@NoniniMgenge2ru 21 күн бұрын
TITo
@josephmark-gm2dj
@josephmark-gm2dj Жыл бұрын
Mtv they were supposed to nominate this song for any of their rewards in 2010v neeeds a grammy mr nonini for ths track
@hunchotheboss6119
@hunchotheboss6119 5 жыл бұрын
2019 WATU WAMEKOSEANA HESHIMA UNGEDHANI WATU HUKUA JABA 24/7 🚫LAKINI BADO ITADUMUU😂👊👊💯...KWENYE VIDEVU NA MAKAHASHOO😂😂👊👊💯
@allangodi3041
@allangodi3041 3 жыл бұрын
nonz alirudi homeground, i can see mahatma, the 2 jamaz (tito and the guy na kitamba) wenye wamekuwa vida za calif since tene. my 2nd fav nonz song. i wonder why nonz anaita God "mafia"
@felixonyango2340
@felixonyango2340 4 жыл бұрын
Heshma muhimu hadi sai 2020
@wanjirukarago9308
@wanjirukarago9308 2 жыл бұрын
Tbt moja safi sana.
@okokomkavi4345
@okokomkavi4345 3 жыл бұрын
I was in a matatu yesterday that played a music mix of Kenyan Old skul genge, including this one. This song took me waaaaaaaay back. 2021 and it's still a vibe.
@Ga_ceri
@Ga_ceri 2 жыл бұрын
Same I came here looking for it cause Mat nilikua ilicheza hii ngoma
@chriskoech4993
@chriskoech4993 2 жыл бұрын
Music video iko juu tuu sana
@kihuromaina6583
@kihuromaina6583 4 жыл бұрын
Mistari safi
@shawnkimathi186
@shawnkimathi186 4 жыл бұрын
tupe season nyingine la genge finnest
@NoniniMgenge2ru
@NoniniMgenge2ru 4 жыл бұрын
Inakamu
@ugkcreations4895
@ugkcreations4895 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 🔥 Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa heshma wagenge wanatambaa!! Hii bado ndio ngoma ya kuanzisha kila day Big up bless up kwa kila mse na mtaa unarepresent!! #NoniniMgenge2Ru #KenyasFinest #254FLOW 2021 na bado wagenge tunatambaa 😎
@joskaymechanics
@joskaymechanics 2 жыл бұрын
Heshima👊🏾✌🏾wagenge hao
@eliastevez001
@eliastevez001 3 жыл бұрын
Wapi likes za nonini 2021?
@aliyowkheiryow5053
@aliyowkheiryow5053 4 жыл бұрын
Kwa musiki call bonamia Salute ndugu Itabamba miaka 100 ijayo
@user-nd4bz6xt5n
@user-nd4bz6xt5n 4 жыл бұрын
2020 na bado inanibamba mbayaaaa...big up Nonini heshma kwa mtaa
@majestic_links
@majestic_links 5 ай бұрын
Wazee wako jamaa itabidi uwapatie HESHMA
@peshable
@peshable 4 жыл бұрын
OG for real
@cliffkidd_
@cliffkidd_ 3 ай бұрын
July 2024 ❤ Heshmaaaa 🇨🇦🇰🇪
@cliffkidd_
@cliffkidd_ 3 ай бұрын
Mgenge Timezone 💯 Kuja Show New Liskard Ontario ,ama Kuja to ziwake 😅
@situmaraphael7073
@situmaraphael7073 2 жыл бұрын
A song that just urges you to work hard, never give up, and give your all.
@ephantusgichane6533
@ephantusgichane6533 3 жыл бұрын
Noma sana Nonini hii ngoma no noma kuruka
@kiharasamuel
@kiharasamuel 4 жыл бұрын
Nonini is the GOAT
@davidlemeria5055
@davidlemeria5055 11 ай бұрын
I remember the first time we heard this song with my bro and he was like 'sasa nonini akitoa Ngoma Kali hvi si anafanya upcoming waogope kutoa ngoma'😂😂
@tuk_talk
@tuk_talk Жыл бұрын
Heshma 2023... Beat noma 💯
@santiagokenya6294
@santiagokenya6294 2 жыл бұрын
Still listening to it
@cliffaliwa
@cliffaliwa Жыл бұрын
mgenge ashakuwa mzee wa nyumba. ❤‍🔥🔥🔥🔥🔥
@oyugiotieno5243
@oyugiotieno5243 3 жыл бұрын
Mistari dopest always
@DonKhalifah
@DonKhalifah 4 жыл бұрын
Naona Mahatmeeee na Tito kwa vida...Calif mtaa imekulea msee big up
@fettymukii5105
@fettymukii5105 2 жыл бұрын
2021 na bado yatubamba big up mgenge true
@mohanleroy4654
@mohanleroy4654 2 жыл бұрын
Heshma
@felixchebor494
@felixchebor494 2 жыл бұрын
Legendary forever! I miss this kind of jams.
@mikekamau2977
@mikekamau2977 Жыл бұрын
Twende qwa msuro njeva,,,Desah the ground,,,Anfield,,,, calif records nonini btw highschool ulienda macha
@sammytokore9386
@sammytokore9386 2 жыл бұрын
The true Kenyan music, i love the creativity
@falamangaa7222
@falamangaa7222 Жыл бұрын
2k23 ...heshma!!
@abdulahibeats1947
@abdulahibeats1947 8 жыл бұрын
Heshima kwa mtaa kuanguka tulikataa Wagenge wanatambaa
@anthonysadera4524
@anthonysadera4524 Жыл бұрын
heshima kwako mzing ,miaka ni mia sita hamsini
@larryngala1784
@larryngala1784 4 жыл бұрын
🔥🔥 heshima kwa mtaa
@grujames
@grujames 3 жыл бұрын
classic hit never to be forgotten🦎
@AliChiraghdin
@AliChiraghdin 8 ай бұрын
Mgenge utabidi unijenge
@MrRascarter
@MrRascarter 3 жыл бұрын
Kila kukikucha ndevu mpya inatoka, twazidi kuwave maze njia ya kuomoka
@richardmunyao4607
@richardmunyao4607 9 жыл бұрын
Akisema nile machungwa nala mpaka ndimu!!! Big up nonini...God bless
@UrbanCraftTv
@UrbanCraftTv Жыл бұрын
This one 👌
@MadeInShibuya
@MadeInShibuya 5 жыл бұрын
Heshma kwa mtaa🔥
@shereheafrikachuchu7189
@shereheafrikachuchu7189 3 жыл бұрын
Godfather ❤❤❤
@Faxminds
@Faxminds Жыл бұрын
WHAT HAPPENED TO KENYAN MUSIC....i always think we time travel and beginning from the top going down
@Kevo_Bingy
@Kevo_Bingy 2 жыл бұрын
Living Legend
@BabakeNazBeel
@BabakeNazBeel 12 жыл бұрын
hii beat ikianza tu hivi manzeh mi hunyonji!!!! hii beat imeiva ka rice imepikiwa kwa pressure cooker!!
@fredrickireri7583
@fredrickireri7583 5 жыл бұрын
I will always support you, you the best
@paulnantulya
@paulnantulya 3 жыл бұрын
A level of creativity that can only be found in Africa.
@Gichuhiful
@Gichuhiful 14 жыл бұрын
Biggup Nonini?.....u affi b di badest..
@mommskenya
@mommskenya 14 жыл бұрын
ths guy never dissapoints.... Nonini is jst the king!!! i like th flow! Nonini, yoz is th only original album i have n i wud have bot 2 jst to support u but mfuko mbaya!!
@nakupendatanya
@nakupendatanya 14 жыл бұрын
Umenena!!!
@benardkorir4497
@benardkorir4497 Жыл бұрын
Respect nonini
@chrisantusmokua7885
@chrisantusmokua7885 Жыл бұрын
AKAMBA BUSES DEM WERE DA DAYS
@sikomaggto
@sikomaggto 14 жыл бұрын
sick beats
@TheWordpath
@TheWordpath 10 ай бұрын
Hakuna kitu kubwa kuliko Kipaji
@everwoodsolutionsltd6455
@everwoodsolutionsltd6455 5 жыл бұрын
nakutafta nonini
@elaijagrandson7305
@elaijagrandson7305 Жыл бұрын
Who's here 2023
@henrywaweru377
@henrywaweru377 4 жыл бұрын
💯🙌
@josephsimiyu6984
@josephsimiyu6984 3 жыл бұрын
One of my biggest Nonini song.
@SalahAbdi007
@SalahAbdi007 Жыл бұрын
Godfather album 🔥🔥🔥💖💖
@thomasngahu2263
@thomasngahu2263 2 жыл бұрын
Where are the comments?? Genge love
@kimanimwangi9655
@kimanimwangi9655 6 ай бұрын
07.04.2024💪🏿 Bado tunapiga M21😅
@7_h54_fgdfgd
@7_h54_fgdfgd 14 жыл бұрын
Californiaaaaaaaaaa enyewe ndo hii sasa
@primezz1
@primezz1 14 жыл бұрын
aha..hii nayo iko yuu tu xana
@kamunyushadrack
@kamunyushadrack 6 жыл бұрын
Dope forever
@TheWordpath
@TheWordpath 10 ай бұрын
Gengeeee
@george32108
@george32108 13 жыл бұрын
nipo Tanzania n i just wana knew who r genge members btn Juakali and Nonini?
@directedbyvideoguru
@directedbyvideoguru Жыл бұрын
Musyoka ni mnoma 🤐
@ToniMasha
@ToniMasha 13 жыл бұрын
mambo badest,,, mara that that,,,
@stephenndasaba3862
@stephenndasaba3862 9 жыл бұрын
Nonini u mst back again ndani ya p unit
@atotijaber
@atotijaber 14 жыл бұрын
Uwiiiiii bon-eye mad luv hadi kifo godfather naye iz hatari
@2012WPAUL
@2012WPAUL 11 жыл бұрын
Ndevu Humea wala Haitoki.
@vikimabwa
@vikimabwa 14 жыл бұрын
Big up Habo! Ngoma video imenimailza bana! MGENGE DAMU!
@Mr2real2real
@Mr2real2real Жыл бұрын
Who sampled who? Ay habari ndio hiyo
Kadhaa (low resolution) - Nonini
5:26
NoniniMgenge2ru
Рет қаралды 826 М.
06. Juacali - Vile tafanya (JuacaliSekta Album)
4:41
Calif Entertainment Africa Ltd
Рет қаралды 259 М.
Человек паук уже не тот
00:32
Miracle
Рет қаралды 3,1 МЛН
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 36 МЛН
Nonini - Kadhaa ft Christine Apondi (Official Video) HD version
5:27
NoniniMgenge2ru
Рет қаралды 180 М.
Mtoto Mzuri
3:45
Nonini Mgenge2Ru - Topic
Рет қаралды 3,4 М.
Jimwat - Sitoi Kitu Kidogo (Official Video)
4:09
Calif Entertainment Africa Ltd
Рет қаралды 504 М.
Nimetoka Mbali - Nonini (Official Video) [SMS "Skiza 6110046" to 811]
5:07
Ukoo Flani - Wenyeji (Official Video)
3:34
Mziiki
Рет қаралды 630 М.
OCTOPIZZO - Swag ft. Amina [ItsNambaNaneTV]
4:36
OCTOPIZZO
Рет қаралды 402 М.
Kataa Hio - Nonini (Official Video) [SMS "Skiza 6110069" to 811]
4:04
NoniniMgenge2ru
Рет қаралды 178 М.
Juacali & Mejja - Bongo la Biashara (Official Video) [Skiza 8541335 ]
4:00
Calif Entertainment Africa Ltd
Рет қаралды 416 М.
Человек паук уже не тот
00:32
Miracle
Рет қаралды 3,1 МЛН