Hii Challenge Ni Funga Mwaka😂🙌🏾

  Рет қаралды 15,012

Ivan17_tz

Ivan17_tz

Күн бұрын

Пікірлер: 67
@HamissaAbassi
@HamissaAbassi 2 ай бұрын
Huyuo dada alivyoskia mwenzie anataka kuolewa ndo akaharibu kabisaaa 😂😂😂😂😂😂
@beckymaria2125
@beckymaria2125 2 ай бұрын
Ladies wivu itatumaliza kwanza mtu akisikia mwenzake anaolewa naye hajaolewa lazima tu aharibu shetani ya mwanamke ni mwanamke 😂😂😂
@justinmweni-j9h
@justinmweni-j9h 15 күн бұрын
Urafiki was kweli, ni Brothers
@murtalla2826
@murtalla2826 2 ай бұрын
Daaah huyu jamaa kanitoa machoz 😢😢 kumbe urafiki wa kweli upo 😢
@VictorBugobola
@VictorBugobola 8 күн бұрын
Urafik wa wadada n unafiki tu😂 nd wanaongeza kwa Wivu😂
@beckymaria2125
@beckymaria2125 2 ай бұрын
Usiwe ukisoma numberi zote za simu za watu kwenye camera pls acha wawe wakiandika for the privacy purposes, good job
@SamiraChai
@SamiraChai Ай бұрын
The best boy's,km mm na mabest zangu alhamdulilh kwa ilo
@medarute-yo6qz
@medarute-yo6qz 2 ай бұрын
Wadada wanawivuu sana😂😂😂😂😂
@AlbinMsechu
@AlbinMsechu 2 ай бұрын
Dah!! Masela masela haswa....big up sana Rojas na rafikiyo
@elijahnyakundi7688
@elijahnyakundi7688 2 ай бұрын
yaani kaka wee, thumps up! kwa kazi unayofanya, mbali na kuburudisha ina mafunzo kibao. siku zote urafiki wanaume ni wa kweli. much love from 254
@KhadijaBunto
@KhadijaBunto 3 ай бұрын
Masela Hongera zenu, mna upendo wa kweli
@GcFd-s8t
@GcFd-s8t 2 ай бұрын
Dahhhhh❤umetusha yani bomba sana ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@RahemaJumany
@RahemaJumany Ай бұрын
I like this man so strait ❤🎉
@ammielvictorykirango2887
@ammielvictorykirango2887 2 ай бұрын
Umetishaaa sanaa, Mwana
@lourahandrew7073
@lourahandrew7073 2 ай бұрын
Ladies ladies ladies nimeita mara tatuu😂😂😂
@joycekambuga6286
@joycekambuga6286 2 ай бұрын
Mungu akubariki dogo una moyo wa utu
@justinmweni-j9h
@justinmweni-j9h 15 күн бұрын
Madada hawapendani kabisa
@Nalee-f5b
@Nalee-f5b 2 ай бұрын
Huyu kaka kaniliza walai😢😢😢😢😢😢😢😊
@cally-wise
@cally-wise 3 ай бұрын
😂😂😂 umetishaa , ila masela sure tunapendana
@jamyabdul4321
@jamyabdul4321 3 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣.. ila wanawake jamani
@happynkya9770
@happynkya9770 2 ай бұрын
😅😅😅haya maigizo bhana
@FazohMedia
@FazohMedia 3 ай бұрын
Safi Kazi nzuri
@rittalucas-kr4wh
@rittalucas-kr4wh 2 ай бұрын
dah kaka Rojas kwa rafiki wakweli ❤
@DannyFabiano-p9b
@DannyFabiano-p9b Ай бұрын
Hawa watu mbona n wa apo hotel ,usije ukawapanga tuu
@yussufalawy3848
@yussufalawy3848 Ай бұрын
Umlipe nauli yake huyo boy
@hildamasonda6528
@hildamasonda6528 3 ай бұрын
Men men big up
@wsilver9553
@wsilver9553 3 ай бұрын
Hapo ninavona mngefanya challenge za kufanana ushindi ungekua wa halali na nirahisi kujua rafiki wa kweli yupi
@DieudoneMulumba
@DieudoneMulumba 2 ай бұрын
Kwanza mwanamke ndo alikuwa na challenge nzuri,
@ALPHONSEKABWE-l7u
@ALPHONSEKABWE-l7u 2 ай бұрын
Vidume💪💪
@NicIbrahim
@NicIbrahim 3 ай бұрын
😢😢😢😢😂😂😂😂huwiiiiiiiiii uwiiiiiiiii
@mariaally7549
@mariaally7549 2 ай бұрын
Malafiki nyoko sana
@BahatiAlphonce-p9z
@BahatiAlphonce-p9z 2 ай бұрын
Nimeipenda na mimi nahitaji chalenji
@abuusaid3297
@abuusaid3297 2 ай бұрын
Uaminifu wa mambo3 mwanadam anashindwa kuubeba, ispokua anae muogopa allahu, 1 uaminifu upande wahela, 2 uaminifu upande wa mapenzi, 3 hasadi choyo kinyongo, ili haya uyashinde mtangulize allahu( kua niharam hayo) ndipo utaudhibiti moyo wako,
@ChristineSamson-p5q
@ChristineSamson-p5q 3 ай бұрын
Cheers for all men's.... 🎉🎉🎉🎉
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 2 ай бұрын
daaah dadazetu bhn
@hildamasonda6528
@hildamasonda6528 3 ай бұрын
Kabla challenge haijaisha nimeshaanza kuogopaaa😂😂😂😂ladies ladies mbona ivooo jmn
@omanhh2875
@omanhh2875 2 ай бұрын
Usiogope
@kilalak2932
@kilalak2932 2 ай бұрын
Wanawake kama siyo wanaadam vile Allah atuepushe na shari zao
@AkxaEdwin
@AkxaEdwin 2 ай бұрын
Nimelia daaah!!
@harushimanaoniass
@harushimanaoniass 2 ай бұрын
Bro ugekuwa kwetu Burundi 🇧🇮 ungekula hela kabis
@SamwelSamGO-rw3lu
@SamwelSamGO-rw3lu Ай бұрын
Mamen😎
@MwanajumaMkuwe
@MwanajumaMkuwe 2 ай бұрын
Lafiki wakweli uyo
@aggreynsemwa
@aggreynsemwa 2 ай бұрын
Challenge ilikuwa sawa, wanaume hatupendi kutumia pesa hovyo marla kuntumia nauli toka bgamoyo kajitoa, kina dada wivu kashindwa eneo linalowahusu kinadada
@annakatisha
@annakatisha Ай бұрын
ila challenge ya mkaka ni rahisi nae angetumiwaa ya mapenzi
@KhadijaBunto
@KhadijaBunto 3 ай бұрын
Daah wadada punguzeni roho mbaya, hivi kumsemea rafiki yake mbaya hivi ndio nini?
@hildamasonda6528
@hildamasonda6528 3 ай бұрын
Ety jmn ili tuu mwenzako asioleweeee
@AishaGor
@AishaGor Ай бұрын
Yan mm nimschan Lakn bola urafk wavjana.
@joycekambuga6286
@joycekambuga6286 2 ай бұрын
Sisi Wana wake tatizo roho mbaya tu Zina tutesa sana
@Jacklinejohn7
@Jacklinejohn7 2 ай бұрын
Ivi kwann mkifanya challenge mnajichekesha kama mashoga
@AmosMussa-df8fk
@AmosMussa-df8fk 2 ай бұрын
Masela😮
@ChristineNyongesa-l7s
@ChristineNyongesa-l7s 2 ай бұрын
urafiki wa mwanamke mm hapana heri nkue na rafiki WA kiume
@peacermaria2045
@peacermaria2045 Ай бұрын
😅😅😅
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 ай бұрын
Wana wk atuoendani ht kidogo
@RehemaNjame
@RehemaNjame 2 ай бұрын
❤ dah
@elizabetjmillel3351
@elizabetjmillel3351 2 ай бұрын
Oii weee naye c ungefanya challenge za kufanana
@mkamaboy2016
@mkamaboy2016 2 ай бұрын
Sema Aisha n pisi aisee haiwez kuwa pekee ake coz Amekutana na watu wa aina mbalimbali ukitegemea yy n waitress
@ShamsiMbago-n2q
@ShamsiMbago-n2q 2 ай бұрын
Unakosea kuunga apoapo,,kata cm kwanza kisha ndo umpgie kuw mnafanya challenge ,,asa we apoapo ata ainog
@rozaliarwezaula6924
@rozaliarwezaula6924 2 ай бұрын
Wanaume ongera
@JovinMsokile
@JovinMsokile 2 ай бұрын
Najubali mkali wenoma
@JovinMsokile
@JovinMsokile 2 ай бұрын
Wenoma
@RoseKomba-w6r
@RoseKomba-w6r 2 ай бұрын
Urafiki wawanaume niwaukweri wawanawake ni shida san cos sisi wanawak tunawivu san kwawanawake wenzetu yn kifup hatupendani ni unafki tu hakubag urafk wakweri
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 2 ай бұрын
Nimejikuta nalia
@mkamaboy2016
@mkamaboy2016 3 ай бұрын
Lete namba ya aisha
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 2 ай бұрын
Mashaa الله ❤❤❤❤❤❤❤❤💯💯
@emanuelyohanichristopher
@emanuelyohanichristopher 3 ай бұрын
mnakatwaaaaaa
@AkxaEdwin
@AkxaEdwin 2 ай бұрын
Nimelia daaah!!
DAH HII CONTENT IMENILIZA SANA PART TWO 2
15:01
Ivan17_tz
Рет қаралды 65 М.
SAKATA LA MIMBA | PART TWO 2.
11:33
Ivan17_tz
Рет қаралды 11 М.
Lazy days…
00:24
Anwar Jibawi
Рет қаралды 9 МЛН
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 18 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 33 МЛН
FUMANIZI BAR .. AKOSA MILLIONI 5 KISA KUSHINDWA KUMTAJA..
12:27
Jaydanny watatubu
Рет қаралды 36 М.
DAAH EX WA HUYU DADA😭🙌🏾
14:50
Ivan17_tz
Рет қаралды 8 М.
CHALLENGE IMEFIKA RUANGWA😭🙌🏾
15:57
Ivan17_tz
Рет қаралды 15 М.
UMASKINI WANGU
40:03
BabaJoan
Рет қаралды 105 М.
KACHUKUA MPENZI WA MWENZAKE Pt2
8:59
Mr Uky
Рет қаралды 239 М.
DAH HII KIUFUNDI INAITWAJE??😂😭🙌🏾
15:35
Ivan17_tz
Рет қаралды 8 М.
FUMANIZI | KAMFUNGIA MUME WA RAFIKI YAKE WIKI, PART ONE 1
22:22
Lazy days…
00:24
Anwar Jibawi
Рет қаралды 9 МЛН